AMPLIFAYA: KUWENI MAKINI NA BAADHI YA WAHUDUMU, MKILEWA WANAONGEZA BILLS

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 15 ноя 2024

Комментарии • 16

  • @HappinessSimon-n4i
    @HappinessSimon-n4i 10 часов назад +2

    ni kweli wawe na kauli nzuri pia wawe na huduma nzuri kwa wateja hata huku kwetu wapo from kahama town

  • @jackiesfood
    @jackiesfood 9 часов назад +1

    Engineer you are blessed and very talented, your work is awesome❤

  • @HappinessSimon-n4i
    @HappinessSimon-n4i 14 минут назад

    habari kaka millard naomba kazi ya kufanya usafi ndani .. kupika niko vizuri kaka..

  • @HappinessSimon-n4i
    @HappinessSimon-n4i 10 часов назад +1

    ila kaka millard nakupenda bureeeeeee pia napenda sana sauti yako....

  • @PrincessHellen-pg1oy
    @PrincessHellen-pg1oy 9 часов назад

    Somo nzuri sana😊

  • @giliadisumary9492
    @giliadisumary9492 10 часов назад +1

    Somo. 👏

  • @eddygad2858
    @eddygad2858 10 часов назад +2

    Eeeeeh sauti ya Millard Ayo sauti yake niki vutio kwa ws dada imaginez akibembeleza mtoto kwa iyo sauti atalainika tu ili Frida ni mwisho kicheko chako wewe eeeeeh

  • @Zenny89
    @Zenny89 7 часов назад

    Hii ya Tip imenigusa sana... Kuna lijamaa lipo pale CapeTown Fish Market ya Zanzibar anakera vibaya sana. Niliingia kula chakula cha jioni na mke wangu, akaanza kutuomba tip hata kabla hatujala..alinikera zibaya sana..yaani unaomba tip hata kabla hatujakaa kwenye meza?

  • @joshuajustustz
    @joshuajustustz 5 часов назад

    Apo mwanzo FRIDA pia kuweni makini na sehemu ambazo wahudumu ni maroboti... Sepa. Bei zake sio za kitoto

  • @blackeagle4441
    @blackeagle4441 8 часов назад

    Nyieeee kuna kale ka feeling kakupewa 5k NB:inategemeana #vido #frida #millard inategemeana unaenda kwenye migahawa gan. Mkija mountain Meru, melia, kibo palace hamuwezi kuta mnachokiongea wakuu

  • @ssalimsalim3864
    @ssalimsalim3864 9 часов назад

    Hiyo yote ni poor customer service training, watu wanaajiriwa bila kupata customer service training na sio mahotelini hata bank au maofisini wanazo hizo attitudes because of lucky of customer services.

  • @GloryTemba-d5t
    @GloryTemba-d5t 10 часов назад

    Sio sehemu ya sitareh tuu hata office

  • @Sara-gn6kr
    @Sara-gn6kr 9 часов назад +1

    Frida mjinga kweli eti ilikua shi ngapi mi wangenikoma😂😂😂😂 najiona mm kabisa dogo langu

  • @paulokenedy4090
    @paulokenedy4090 9 часов назад

    Mbona WENGINE nao wanaiba mamilioni maofisini na serikalini mnaona hao sawa na ndio wanakuja nazo kuspend maclub

    • @uledimasai9415
      @uledimasai9415 9 часов назад

      Chizi wewe, hata huelewi nini kinazungumziwa

  • @stanleyandrea5153
    @stanleyandrea5153 5 минут назад

    Mi najumlisha tu