Sheikh Mtoto wa Miaka 9(Sheikh Ramadhan) Atoa Neno Baada ya Swala ya Ijumaa Mbezi Beach Dar esalam

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 24 янв 2025

Комментарии • 188

  • @AdamKambi-y5z
    @AdamKambi-y5z 10 месяцев назад +6

    Mwenyezi mungu akulinde na husuda akukuze vema uzidi kuelimisha jamii inshaallah

  • @zainabmaulidi9846
    @zainabmaulidi9846 10 месяцев назад +7

    MashaAllah tabarakaAllah ALLAH amzindishie Elmu🤲❤️❤️

  • @ANRAHIMKADUMA
    @ANRAHIMKADUMA 10 месяцев назад +1

    Mashaallaa Jazaka LLAU kheri ,Elimu anayoipata mtoto huyuni bora kuliko hiyo unayosema akasome mara Elf

  • @abdulkandenyakandenya9915
    @abdulkandenyakandenya9915 10 месяцев назад +8

    MASHALLAH ALLAH AMZIDISHIE....

  • @BintIssa-z4o
    @BintIssa-z4o 10 месяцев назад +6

    Maa Shaa Allah Tabaracka Allah, Yaa Rabb naomba uni bariik na watoto wenye Din na Ucha Mungu🤲🤲

    • @مسمس-د2ز
      @مسمس-د2ز 10 месяцев назад

      mashallah Allah akupe mwisho mwema

  • @mifunga3414
    @mifunga3414 10 месяцев назад +2

    Mashallah ❤ moto kwa sisi wanadam mbele ya Mwz Mungu Mashallah mwez Mungu akuifazi duniani na kesho hahera❤ in shallah

  • @abubakarAbdallah-h7w
    @abubakarAbdallah-h7w Месяц назад

    Mashaallaah mwenyezimungu akujalie uweze kukumbusha waj wa allah subuhnah wataallah.

  • @IdrisaHamad-ij5pr
    @IdrisaHamad-ij5pr 10 месяцев назад +1

    Mashallah allah ampe ampe umri mrefu wenye barak na yey amuondeshee mahasid na vijicho ila nasaha zang msimamiz wa huyu mtoto bs akitahid kumpatia ilm huyu kijn huenda ikawa ndio sabb ya pepo yake

  • @MuhidiniHaruna-gm5cr
    @MuhidiniHaruna-gm5cr 8 месяцев назад +1

    Alla akujalie umri mrefu na akupe amali njema hapa na kexho akheera na wazazi wako Allah awape umri mrefu

  • @FaridaKarembo
    @FaridaKarembo 15 дней назад

    Mwenyezi mungu akulinde na husuda akukuze Vemauzidi kuelimisha Jamie insha Allah

  • @mwanaishaathman3075
    @mwanaishaathman3075 10 месяцев назад +8

    Allah akufanyie wepesi kwa idhini yake
    Akupe ilmu yenye manufaa na akuepushe na Hasad

  • @rahimjamal2717
    @rahimjamal2717 16 дней назад +1

    Mungu akupe kila la kheri

  • @FatimaFatima-bx8ez
    @FatimaFatima-bx8ez 10 месяцев назад +1

    Mashaallah tabaraka Allah ya- akkhi mungu akulinde na macho ya husda ishaallah amin 🙏 🙏 🙏 😘 ❤

  • @AliMaro-v6h
    @AliMaro-v6h 10 месяцев назад +2

    Mashaallah mungu akuongoze

  • @AbdulikalimNgendakuriyo
    @AbdulikalimNgendakuriyo 7 дней назад

    Allah akupe maisha marefu utupe mawaiza mengi

  • @SheikhAbdull-ys2fd
    @SheikhAbdull-ys2fd 9 месяцев назад

    Allah amuongze ndgu yetu kjna mdgo sheikh Ramadhan..mwnyez mungu awahfidhi wazaz wke hpa dunia n kxho akher insha'Allah

  • @ip_header
    @ip_header 5 месяцев назад +2

    Mashaallah munguakujalieakili

  • @ip_header
    @ip_header 5 месяцев назад +2

    Mashaallah mungu akujalie

  • @SheikhAbdull-ys2fd
    @SheikhAbdull-ys2fd 9 месяцев назад

    Allah akjlie maisha ylo marhm n akjlie pepo y jnatul fardos kma alvyomjlia bwna mtume Muhammad S.A.W...

  • @bahatilaizer8706
    @bahatilaizer8706 10 месяцев назад

    Tabaraka Allah Akheri
    Allah akujalie afya njema na Akuepusha na husda za Watu wabaya 🙏

  • @JudyOkenyuri
    @JudyOkenyuri 3 дня назад

    Mashaallah mtoto msuri hongera sana

  • @MinaramitatuGassupplies
    @MinaramitatuGassupplies 3 месяца назад +1

    Allah hakupeuhai mrefu mashaAllah❤❤❤❤

  • @JonasAmisiheradi
    @JonasAmisiheradi 10 месяцев назад +1

    Macha Allah, na mawaidha ya Cheikhs Mtoto.

  • @Zanha582
    @Zanha582 10 месяцев назад +8

    Allah akulipe heri

  • @neemadunda3921
    @neemadunda3921 10 месяцев назад +3

    Allah akuongoze ktk haki na akuhifadh

  • @IbraKaju
    @IbraKaju Месяц назад

    Mashalwau Mungu akujalie

  • @JamilaJoka
    @JamilaJoka 16 дней назад

    Mashaallah mungu azidi kumlinda

  • @shinayzashiraaz4588
    @shinayzashiraaz4588 8 месяцев назад

    Allah amuhifadhi,amuongoze katika kila kheir na amuepushe na kila shari,amjalie umri wenye siha njema ,Allah amjaliie elimu njema yenye kheir hapa na kesho Akheera in shaa Allah, na Allah amjalie ndio njia ya wazazi wake kuingizwa peponi yenye Daraja kubwa In shaa Allah
    MashaaAllah, Tabarakallah

  • @HamisiJuma-zw1jj
    @HamisiJuma-zw1jj 10 месяцев назад

    Mashallah mungu akuzidishie mashallah!!!!!

  • @Salma-v7i3u
    @Salma-v7i3u 2 месяца назад

    Maashallah allah akulinde

  • @HadijaSalumu-v9x
    @HadijaSalumu-v9x 10 месяцев назад

    Mashaallah Allah akuzidishie kile lenye kheri

  • @asellasway9755
    @asellasway9755 9 месяцев назад

    Mashalla mwenyezi mungu akubariki mototo

  • @ggv866
    @ggv866 10 месяцев назад +3

    Waleykum salaam waramadhulahi wabarakatuh

  • @MialiiMohamed-m9l
    @MialiiMohamed-m9l 10 месяцев назад +2

    Walkm msalm waramatullah wabarakatu, mashaa Allah

  • @SaumuHamadi-gk4by
    @SaumuHamadi-gk4by 8 месяцев назад +2

    Yarabii tujaliye kutupa watoto wema akhera na duniani🤲🤭

  • @ZuleaMusa
    @ZuleaMusa 7 месяцев назад

    Allah bless Ramadhan and give her more knowledge

  • @zeitunhassan7284
    @zeitunhassan7284 2 месяца назад

    Mungu akuzidishia. Yarabi

  • @KarimSeleman-r4y
    @KarimSeleman-r4y 10 месяцев назад +2

    Mashallah best shekhe

  • @mosiuledi4598
    @mosiuledi4598 9 месяцев назад +1

    Nampenda huyu mtt mashaallah

  • @trawallytrawally7355
    @trawallytrawally7355 10 месяцев назад

    Macha'allah Allah amzidishie❤

  • @Mauamunga
    @Mauamunga 10 месяцев назад +1

    Waleikum Salam warhmatulaih wabarakatu mashallah

  • @komboaly5045
    @komboaly5045 10 месяцев назад +1

    Allah ampe kila la kher mwana huyu

  • @abrahmanirashidi3052
    @abrahmanirashidi3052 10 месяцев назад

    Allaah akujaalie kheri Shekhe wetu

  • @tungarazalaurent2602
    @tungarazalaurent2602 10 месяцев назад

    Mashallah mtoto Allah akujalie

  • @AshaNyamhala
    @AshaNyamhala 5 месяцев назад

    Mashaallah Allah uyu mtoto mhifadhi

  • @AishaBashir-j9e
    @AishaBashir-j9e 4 месяца назад +1

    Maashallah tabaraka llah

  • @ShadiduAbduri-q8l
    @ShadiduAbduri-q8l 2 месяца назад

    Mashallha allha akupe umli mrefu

  • @rizkrizk2004
    @rizkrizk2004 10 месяцев назад

    Mashaallh tabarkallah Allah akuzidishie 🤲🤲🤲🤲🤲

  • @KhamisHaji-pw4jo
    @KhamisHaji-pw4jo 10 месяцев назад +2

    Allahu-akbar Al-hamdulillah 🤲

  • @HajjBoy
    @HajjBoy 6 месяцев назад

    Mashaallah mdogo wetu

  • @khamisswalehe
    @khamisswalehe 10 месяцев назад +2

    barakallahu fiika

  • @مسمس-د2ز
    @مسمس-د2ز 10 месяцев назад

    mashallah Allah akupe mwisho mwema

  • @AishaSalim-k2f
    @AishaSalim-k2f 2 месяца назад

    MashaAllah ❤️

  • @ChukiNjilinge
    @ChukiNjilinge 10 месяцев назад

    MashaaAllah amekuwa Ramadhan.

  • @MayaLupatu-c2n
    @MayaLupatu-c2n 10 месяцев назад

    Mungu awaongoze watoto wetu inshallah

  • @UMMYYFATMA
    @UMMYYFATMA 10 месяцев назад +2

    MashaAllah
    MashaAllah

  • @User7700
    @User7700 10 месяцев назад

    Allah akulinde ❤

  • @abdicozzy2592
    @abdicozzy2592 10 месяцев назад

    Mashallah Subxanllah Allahu akar

  • @hebamuhammad7278
    @hebamuhammad7278 10 месяцев назад +1

    Manshaalla tabarakalla ❤❤

  • @ShabiruRashidi-q6r
    @ShabiruRashidi-q6r 10 месяцев назад +2

    Ma shallah

  • @RamadhaniHamza-r2c
    @RamadhaniHamza-r2c 10 месяцев назад +2

    Mashaallah ❤

  • @IddiSelemani-i8v
    @IddiSelemani-i8v Месяц назад

    Mung amzidixhie elim

  • @MwanashaNganzi
    @MwanashaNganzi 10 месяцев назад +2

    Kamekua mashaallah mungu akueke mwenetu

  • @abdiazizalio8528
    @abdiazizalio8528 5 месяцев назад

    ❤ MashaAllah

  • @RahmaKumbi
    @RahmaKumbi 25 дней назад

    yarabi tujalie mwisho mwm

  • @FatumaShabani-h3n
    @FatumaShabani-h3n 10 месяцев назад +2

    Mola akupewesi

  • @RamadhaniHamza-r2c
    @RamadhaniHamza-r2c 10 месяцев назад +2

    MashaAllah

  • @BakariKassim-s7l
    @BakariKassim-s7l 10 месяцев назад +2

    Masha ALLAH

  • @teronotieno3338
    @teronotieno3338 10 месяцев назад +3

    Mashaallah

  • @nakashamaira6-fk3jl
    @nakashamaira6-fk3jl 9 месяцев назад

    Mashaallah

  • @jamalissa3877
    @jamalissa3877 10 месяцев назад +2

    masha allah

  • @IslamAliIslam-ul1yp
    @IslamAliIslam-ul1yp 10 месяцев назад

    MashaAllah Allah amwepushe na hassad inshaallah

  • @IsmailOmar-f4x
    @IsmailOmar-f4x 3 месяца назад

    Alhamdulilah

  • @HusseinMwatende-ws1nt
    @HusseinMwatende-ws1nt 2 месяца назад

    Subhannah allah

  • @setiseti5281
    @setiseti5281 10 месяцев назад

    Maaashaalllah mwanangu

  • @mgazalugendo233
    @mgazalugendo233 10 месяцев назад

    Allah akufanyie wepesi katika Mambo yaheli

  • @issafaquedalaura8279
    @issafaquedalaura8279 10 месяцев назад +1

    Masha Allah❤❤❤❤

  • @SinigiriraAbdoulkarim
    @SinigiriraAbdoulkarim 10 месяцев назад

    Allahu ameen ya rabilallamina.

  • @DhB-z1p
    @DhB-z1p 10 месяцев назад

    Mashallah tabbarkallah ❤❤

  • @AbdallahKifundo-t5e
    @AbdallahKifundo-t5e 10 месяцев назад +16

    Mtoto mpelekeni akasome hapo mnampa majukumu kabla na yeye anavimba kichwa,baada ya miaka 20 mbele atashindwa na wenzake walioko markaz ,akasome kipaji anacho

    • @TV9994
      @TV9994 10 месяцев назад +2

      Jinsi tu alivoo hapooooo na confidence elimu yanini? Ukizingatia elimu za Tanzania ukimaliza kusoma unakaaa nyumbani na huoni Kama anakili nyingi

    • @TV9994
      @TV9994 10 месяцев назад +1

      Wewe umesoma saizi uko youtube

    • @aishahazary4097
      @aishahazary4097 10 месяцев назад +2

      Unataka elimu gani xaidi ya hii??.Sema aendelezwe ..Na mbona anasoma huyu mtoto

    • @RossaMengo
      @RossaMengo 10 месяцев назад +4

      Practice makes perfect...badala ya kumuombea ALLAH azidi kumuongoza unaongea sheet

    • @RossaMengo
      @RossaMengo 10 месяцев назад +4

      Wako yuko wapi aliesoma atupe mawaidha kama hivi..anyways I feel your pain napia husda ndio uko nayo..HASBIALLAHU WANEEMAL WAKIL

  • @ip_header
    @ip_header 5 месяцев назад +1

    Akili

  • @AminahAminah-d5s
    @AminahAminah-d5s 10 месяцев назад +1

    Waleyku msalaam warahamathullahi wabarakathu

  • @MasungaNzungu
    @MasungaNzungu 10 месяцев назад

    Daa! Nautamani
    Sana uislam
    Ilasjajua nakama wp

    • @GhalibMohammed-u9t
      @GhalibMohammed-u9t 9 месяцев назад

      Uislam ni rahisi unaingia kwenye uislam popote ulipo / tafuta muislam anaefaham atakuslimisha popote ulipo

    • @hamzahhassan6474
      @hamzahhassan6474 8 дней назад

      Uislamu ni dini ya haqh na kushauri ukisilimu ufuate kitabu na sunnah za mtume swala na salama ziwe juu yake yaa Rabbi akuongoze inshaallah

  • @CheupeSaid-ny5ud
    @CheupeSaid-ny5ud 10 месяцев назад

    Allah akuhifadhi amiina

  • @mohamedshee7967
    @mohamedshee7967 10 месяцев назад

    Ma sha Allah

  • @YahyaMnali
    @YahyaMnali 10 месяцев назад

    Wakwangu mimi akiwa hivi namshukuru Mungu

  • @abubakarngemelo
    @abubakarngemelo 2 месяца назад

    manshallah

  • @alialamoudi9729
    @alialamoudi9729 7 месяцев назад

    Ameanza NA miyaka sita NA sasa inamiyaka 9 hiyo elimu ameipata wapi hii ni kipaji ya hali ya juu sana NA inashangaza kwanza lugha ya gruani ni fasaha sana NA vipi kaelewa lugha ya kiyarabu ni ngumu sana ameijuje kwa ufupi tuachie mungu NA hii ni dalili ya kiyama mtoto anafahamu dini vizuri sana mungu amhufathi NA hongera kwa wazazi wake wamemlea vizuri

  • @MohamefMullah
    @MohamefMullah 10 месяцев назад

    Hiyo ni kusema hajafka :bale ghee ni mikojo baada ya kusema Mashaallah unafanyia hasad wallah mtihan

    • @mohamedisimai
      @mohamedisimai Месяц назад

      Yeye kashafika baleghe na mbona hajitokezi

  • @RamadhaniHamza-r2c
    @RamadhaniHamza-r2c 10 месяцев назад +2

    MashaAllah 1:22

  • @JamaliBanga
    @JamaliBanga 5 месяцев назад

    Anavyo visoma wew unaweza ukavisoma uyo amesoma

  • @mfakimwakulonda3481
    @mfakimwakulonda3481 10 месяцев назад +1

    Mashallah Allah amhifadhi. Lkn apelekwe darasani kijana huyu Atafanikiwa zaid

    • @ZainabuMlyatangu
      @ZainabuMlyatangu 10 месяцев назад

      Kwako haoni shule?

    • @aishahazary4097
      @aishahazary4097 10 месяцев назад

      Nani kawaambia huyu mtoto hasomi?.Tena maasha Allah yuko vizur mno darasani

    • @awadhkannah6587
      @awadhkannah6587 10 месяцев назад

      Yupo shule ya dunia na yupo shule akhera, mashaallah anaepata kote kote, Mungu awaongoze wasimamizi wake ili afanyikiwa

  • @AsmaYahaya-p5o
    @AsmaYahaya-p5o 10 месяцев назад

    Mashanlhn

  • @MummyRoox
    @MummyRoox 10 месяцев назад

    Mashallah mashallah takbir

  • @peresspemo8962
    @peresspemo8962 7 месяцев назад

    Kabix

  • @mwanahawamwanahawa-l8j
    @mwanahawamwanahawa-l8j 10 месяцев назад

    Maashaaal

  • @SaideAbudo-z2g
    @SaideAbudo-z2g 10 месяцев назад

    Mashallah tabarakallah 😂😂😂

  • @SheikhAbdull-ys2fd
    @SheikhAbdull-ys2fd 9 месяцев назад +1

    Hpa umeambiw vzur respectful comment wew unadai kua ety hpo hkna wasomo ndpxa mtto anatoa khtbah,sawa Je n wew umepta furha ipi ktka uislm kusmama mble y ummah n kzngmza chchte kuhxu dini na ukaelewka..kua makni ktka commnt zko ndgu..ama wew sio muislm..sheikh Abdul kutka kenya

  • @Shaffy606
    @Shaffy606 10 месяцев назад

    😊😊😊

  • @NelsonMjukuu
    @NelsonMjukuu 2 месяца назад

    Mung azid kukup ujuz