Размер видео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показать панель управления
Автовоспроизведение
Автоповтор
Kila nikikumbuka kunasiku namm ntalala apo naishiwa nguvu 😢😢 Mungu tupe mwisho mwema
Pole Sana Mariam mungu akutie nguvu
Huyo mtoto anamoyo wa kiume Sana...kaamua kumfuta machozi mama yake..daaah inaumiza..
😢😢sote ni njia moja mola akutie nguvu mama na family yako
Poleni sana. Lakini najiulizaga, mara nyingi tar ya kuzaliwa na kufa na mwezi huwa hazipishani sana. Sijui kama huwa mnaangalia.
Nikwel mi pia nimegundua hilo na najiuliza sana
hata mm nimekua nafatilia sana nimeona kama hvyo yaan dah
Kwel kabisa
Yani sijui kwanini inakuaga hivi leo tumempumzisha dada yangu amezaliwa tar 23 mwez wa 8 na kufariki tar 13 mwez wa 8
@@pendojohn5759 🥱🥱
Polen sanaaa
Kitu kibaya kikiwa hai 😢kikiondoka ndo utajua umuhim wake nyie😢
Wamsomeshe huyo mtoto ana roho ya ubimadamu
Maisha mwanadamu ni mafupo.poleni familia mungu awape nguvu
😭😭😭😭😭in God we trust 🙏
Najiulizaga mara nyingi tar ya kuzaliwa na kufa na mwezi huwa hazipishani sana, sijui huwa unaangalia
Pollen wafiwa wote, mungu awatie nguvu😢
Poleni sana familia kwaujumla
LucySengo hata Mimi Huwa najiuliza tar ya kuzaliwa mwez Huwa zinafatana pamoja na tar ya kufa cjapata jibu kabisa
Mungu akulipe unayo stahiki kulipwa 😢😢
Nenda bro😭😭😭
Poleni
Polen family mung awape nguvu 😭😭😭😭
Maumivuuu akiyonayo Domo kaya ni makubwaa
😢😢😢😢😢naishiwa maneno
Polen sana
Poleni sana tutamkumbuka kwanyimbo zake
R.I.P poleni sana wafiwa 😭
polenisana
Tujifunze ukimkuta mtu alangon kwako muoji vizur nasiyo kupiga
😢😢😢
Inaumizq jmn r.i.p man dojo
R i p
Poleni jamani..nakumbuka wimbo wake .kazi yake Mola haina makosa
Kama mtu anaweza kuuliwa kansani ikowapi sehem salama yakukimbilia
😭
Nimeshangaa sana ! Mambo ya ajabu kabisa na hilo kanisa na waumini walioshiriki mauaji bwana awalipe kadiri ya wanavyostahili
Yani inasikitisha seemu ya kutatia msaada imegeuka Sasa inauma mno angeulizwa tu pengine Kuna watu walikua wanuandama ndio mana kakimbilia apo Kwa kujua ni seemu ya mungu atakua salama Dah mungu amlaze maala pema👏
Sasa kanisani mtu anaiba nn akati sadaka azilalagi kanisani
Ndio ipo hivyo hadi mimi nimeona
Hata kama zikipishana ni kidgo sana