PANGA LILIVYOWAFEKA VIGOGO CHADEMA || YASEMEKANA 10 WAFYEKWA KILIO KICHEKO WALIOSALIA HAWA HAPA...

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 14 май 2024
  • Usaili wa siku mbili wa wagombea wa nafasi mbalimbali katika kanda nne za Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), umeacha kicheko, kilio na simanzi kwa watia nia waliopenya na wanaodaiwa kukatwa majina yao baada ya kutokidhi vigezo.
    Mchakato huo ulioitimishwa usiku wa kuamkia leo Jumanne, Mei 14, 2024 ulikuwa wa moto na hofu miongoni mwa wagombea kupenya kwenda katika hatua inayofuata ya kuanza kampeni ili kuwania nafasi walizoziomba katika kanda nne za chama hicho kikuu cha upinzani nchini.
    Mwananchi Digital imedokezwa takribani watia nia 10 wamekatwa majina yao wakiwamo wanaowania uenyekiti na umakamu katika kanda za Victoria, Serengeti, Nyasa na Magharibi.

Комментарии • 29

  • @user-xe8xv6so6s
    @user-xe8xv6so6s 25 дней назад +2

    Nimefurahi kumuona j
    Mnyika kubakia miongoni mwaa waliobora

  • @onesmomasala-rg2wd
    @onesmomasala-rg2wd 14 дней назад

    Duu CHADEMA 😅

  • @FideriusJoseph
    @FideriusJoseph 19 дней назад

    Viroba mnapata wap ?dah! Mnagonga balaa 2:09

  • @rasnchimbi
    @rasnchimbi 25 дней назад

    Mmapandikizi yamulikwe😂😂

  • @beinafuu6219
    @beinafuu6219 25 дней назад +2

    Mbona unaongea wewe jaman kulikon mbona wao awatuambii

  • @halimamasai2234
    @halimamasai2234 25 дней назад +2

    Hiyo kawaida majina makubwa hayakatwi hata kama wanauchafu 🤣🤣🤣

    • @eliajimmy95
      @eliajimmy95 25 дней назад

      Kawaida huko CCM

    • @halimamasai2234
      @halimamasai2234 25 дней назад

      @@eliajimmy95 We acha ufala chadema mwenyekiti wenu yupo kwenye kiti maisha kama mfalme CCM hiyo hayipo kabisa 🤣🤣🤣

    • @eliajimmy95
      @eliajimmy95 25 дней назад

      @@halimamasai2234 katiba inasemaje? Kila baada ya miaka 5 unafanyika uchaguzi anashindana na watu wengine kwa uchaguzi huru na haki lakini anashinda, ulitaka afanyaje?

    • @halimamasai2234
      @halimamasai2234 25 дней назад

      @@eliajimmy95 We acha kutudanganya mtu akisema tu nachukua form anafukuzwa chadema hakuna mtu anasogelea hiyo kitu mfano ni zito, sumay, na wengine wengi tu

    • @eliajimmy95
      @eliajimmy95 25 дней назад

      @@halimamasai2234 wewe ndio muongo na inaonekana unaishi kwa kusikiliza propaganda za ccm lakini sio kwa kufuatilia ukweli . Nani aliyekwambia sumaye alifukuzwa Chadema? Nani alikwambia kuwa Zito alifukuzwa kwa sababu ya kugombea uwenyekiti? Mbona kuna waliogombea wakashindwa na leo wako CCM Akina Cecil Mwambe.

  • @nathanpangjanda2734
    @nathanpangjanda2734 25 дней назад

    Hiko chama bila mbowe kukubali hapo hupiti hinamaana hakuna huchaguzi ni mbowe hanae chagua watu wake ili wamlinde

    • @marcokaroje8980
      @marcokaroje8980 25 дней назад +1

      Kama unakerwa hivi lakini naona unaingilia mambo yasiyokuhusu usitake kuwachagulia viongozi wao wewe siyo katiba ya chadema

    • @ezekielkiduge8730
      @ezekielkiduge8730 22 дня назад +1

      Ungekuwa mchawi bila shaka ungemloga Mbowe ila basi duwa la kuku halimpati mwewe!!!!!!!!!!!!!!

    • @Emmanuel-bp7ir
      @Emmanuel-bp7ir 20 дней назад

      Kwani huko ulipo wewe pimbi hamna miungu watu acha ujinga kama wewe upo kwenye mtaro zinakupitia tuliza mshono, na umshukuru Mungu, watu Wana Hali mbaya mnafiki wewe, nyambafu.

  • @chemstry409
    @chemstry409 25 дней назад

    DJ vp bado chairman....😂😂😂

    • @sskondopoleani9616
      @sskondopoleani9616 25 дней назад

      Hee na Wanzizabar wamo?? Mh labda sielewi

    • @judicateurassa7817
      @judicateurassa7817 25 дней назад +1

      Mbowe hatoki mpaka tupate uhuru Tanganyika maana ccm mnataka atoke hapo

    • @chemstry409
      @chemstry409 25 дней назад

      @@judicateurassa7817 OK SAWA ....TUNAMTAKIA KILA LA KHERI....

    • @salummohamed2689
      @salummohamed2689 25 дней назад

      Judica umenena, Mbowe hatoki mpaka Tanganyika irudi na KATIBA mpya iandikwe. CCM wanaona Mbowe ni kisiki Cha uongozi Bora ndo sababu Kila kukicha eti Mbowe aachie uenyekiti ndo demokrasia. Hata baba wa Taifa alihakikisha Tanganyika inapata uhuru, hakujali muda. Viva Mbowe.

    • @halimamasai2234
      @halimamasai2234 25 дней назад

      @@judicateurassa7817 hamjiamini ndo maana mbowe akitoka ndo kifo cha chadema 🤣🤣🤣