Nimegombolewa na kristu. Wimbo huu unabariki moyo wangu. Wimbo huu unanikumbusha mbali mno. Naikumbuka ndugu yangu Yuda aliyelala mwaka wa 2006. Na mamangu mzazi aliyetuaja mwka jana mnano oktoba mosi
Haijawahi kutokea kwaya Bora Kama hii barani Afrika nadhani hata Duniani pia. Enzi zangu za utoto mlinifanya nikajitambua nikiwa na umri mdogo. Mbarikiwe Sana mlio hai na waliokufa pia Mungu awarehemu
siku kama hii yesu aliteswa miaka ya nyuma sasa ni 2024 naye yesu akasema yeloi yeloi yaani Mungu wangu Mungu wangu mbona umeniacha na saa tisaaa........ DAAH our god forgives us our sins
Ndugu zangu ni wakati wa kujitayarisha kutezwa naye mwokozi wetu.This song reminds me of how Hs sufferings rescues me every time I get in collision with merciless worldly powers who do not believe there's a an Alfa and Omega.😐
Nasikia kububujikwa na machozi kwani hii ndio moja ya nyimbo Kati nyimbo zilizonivusha katika ile vita Kali ya maisha ya KIROHO Hadi kuweza kukamilisha kusudi la MUNGU katika maisha yangu! Nilianza kusikiliza huu wimbo nikiwa Mtoto mdogo kwenye shule ya jumapili pale ISANGA MORAVIAN CHURCH-Mbeya kabla ya hata kujua wito uliopo mbele yangu lakini kwa uwezo wa MUNGU Leo hii kazi ya MUNGU imekamilika kwa msaada wa myimbo nyingi za hii kwaya iliyokuwa ikimtukuza MUNGU katika ROHO na kweli! MUNGU awabariki Sana! Salaama nyingi kutoka FURAHA Choir LUTHERAN CHURCH- SWAHILI SERVICE LONDON-UK CHRISTOPHER ELIAH SHONGA
Hii nyimbo nzuri sana nilikuwa naisikia kipindi Cha pasaka nikiwa primary now it is 2024 mbarikiwe sana waimbaji najua Sasa ni watu wazima
MUNGU wangu Mungu mbona umeniacha Mungu awabariki waimbaji wote. 2020
2024, and the song is still awesome.
Baada ya miaka mingi i searched this song....wow Gen z listening sep 2024...
Daaaaah hii nyimbo sana hadi nimeipata inanikumbusha mbali sana nkiwa mdogo 2005 😭😭🙏
Tuko pamoja nduku....2005 class 8.
😊
Yaani wakati mm nipo la kwanza huo mwaka lakini nilikuwa nasikiliza jaman hii kkkt ibarikiwe sana
Have listened to this song since my childhood and it's uplifting and makes me think of our sinful ways
Mungu wangu Mungu wangu mbona umeniacha!!! 2021😍😍
This song reminds me of my late dad, he loved this song may his soul remain resting in peace 🕊️.
Mungu wangu mungu wangu mbona umeniacha hii nyimbo ya huzunisha xna😭😭😭😭😭
nikiisikiliza hii nyimbo. namkumbuka marehemu mama yangu. alinipenda sana. na alijuwaga wimbo u kuwa naupenda
😢😢😢😢 apumzike mama mahara pema sote njia moja
Real choir,old is gold🎉🎉🎉🎉may God bless you all.
Finally I have found it today, 23/03/2023. heard it in the 90s
Today Thursday 15/08/2024
MUNGU na ashukuriwe,
Sema Amina na Ubarikiwe Sana 🤝🙏🏼
still fresh in mind listening 2024
This is what was called real gospel songs be blssed
This was the period
Nice song. Thank you Jesus for dying for me on the cross and forgiving me my sins. I am a forgiven sinner
Teresia Kagendo
This song... non I'm speechless, ..may God bless this group; the song hit me since my childhood .
mungu ibariki kwaya hiiii
I listened to this song when i was 6 years now am back here at 20... God is great.. I love this choir so much
Nimegombolewa na kristu. Wimbo huu unabariki moyo wangu. Wimbo huu unanikumbusha mbali mno. Naikumbuka ndugu yangu Yuda aliyelala mwaka wa 2006. Na mamangu mzazi aliyetuaja mwka jana mnano oktoba mosi
Jaman huuu wimbo naupenda mno tangu nikiwa mdogo mbarikiwe sana
Remember this song , i first heard it in 1995 when I was very young about 12 years. My uncle used to play it in the village.
All were Acompolished on the cross by Our Christ, Now we are able to access God directly . Thanks Jesus for this Agape Love !!
MUNGU wangu MUNGU wangu usiniache
You guys are looking so nice. Elohim! Eternal one.
Madheheb pemben...👍Pindi unasikiliza/tazama nyimbo ya dini nakutaman kutubu/kuokoka...sikuiz unasikiliza tukutuku dugudu sebeneeee/mafanikio
Nashukulu mungu kusikia Jimbo hii imenipa Imani kubwa sana
Very touchy words driving you to the sufferings of Jesus christ. Be blessed
Kwadam hii mungu wangu mbaliki mke wangu amina
"Mungu wangu Mungu wangu mbona umeniacha"Good Friday
Mungu wangu mungu wangu utukuzwe🙏🙏🙏❤️❤️
It's time cry to my God against illuminati around me.
Huu wimbo nimeakikisha nimeupata niliupenda tangu udogo wangu😭😭😭
nimebarikiwa sana na hii nyimbo i just say thanks Jesus
Love love huu wimbo, yaani hii choir ilikuwa safi sana
Janey O J nyimbo nzuri sana haiishi mda
Haijawahi kutokea kwaya Bora Kama hii barani Afrika nadhani hata Duniani pia. Enzi zangu za utoto mlinifanya nikajitambua nikiwa na umri mdogo. Mbarikiwe Sana mlio hai na waliokufa pia Mungu awarehemu
wimbo huu ulikuwa mzuri saaana mubarikiwe wote mlioifanya kazi ya bwana AMEEEN
siku kama hii yesu aliteswa miaka ya nyuma sasa ni 2024
naye yesu akasema yeloi yeloi yaani Mungu wangu Mungu wangu mbona umeniacha
na saa tisaaa........ DAAH
our god forgives us our sins
Hongereni kwa nyimbo nzuri yenye mafundisho
asante kwa ukombozi kwa kumwagika damu yako yesu kristo ndio kuponywa kwetu.
Huu wimbo Bora Sana kwangu huwa nakumbuka mbali Sana..
huu wimbo niliwahi kuusikia mwaka 1996 nikiwa mtoto mdogo
Muhenga mwenzangu.
Naiman ushahama nyumban kwenu(jokes)
Nice song I love it waimbaji be blessed
2020 mpo?? Still alive
a very insightful song with no time limitation
Mungu wangu Mungu wangu mbn umeniacha😍
Up to now 2022 am still listening this song
Huuu naupenda sana toka nikiwa mdogo wala haunichoshi
Thank you Lord for the good work you did on the cross because of our sins
Ndugu zangu ni wakati wa kujitayarisha kutezwa naye mwokozi wetu.This song reminds me of how Hs sufferings rescues me every time I get in collision with merciless worldly powers who do not believe there's a an Alfa and Omega.😐
Nasikia kububujikwa na machozi kwani hii ndio moja ya nyimbo Kati nyimbo zilizonivusha katika ile vita Kali ya maisha ya KIROHO Hadi kuweza kukamilisha kusudi la MUNGU katika maisha yangu! Nilianza kusikiliza huu wimbo nikiwa Mtoto mdogo kwenye shule ya jumapili pale ISANGA MORAVIAN CHURCH-Mbeya kabla ya hata kujua wito uliopo mbele yangu lakini kwa uwezo wa MUNGU Leo hii kazi ya MUNGU imekamilika kwa msaada wa myimbo nyingi za hii kwaya iliyokuwa ikimtukuza MUNGU katika ROHO na kweli!
MUNGU awabariki Sana!
Salaama nyingi kutoka FURAHA Choir
LUTHERAN CHURCH- SWAHILI SERVICE LONDON-UK
CHRISTOPHER ELIAH SHONGA
Hii song imenifanya kuvumilia mateso ya saudi arabia waah wacha mungu aendelee kuitwa mungu
Daah aiseee😢huu wimbo unaweza ukakufany ukaenda kanisani ukalia uck mzm
😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅 kweli
nice mbarikiwe
Tunapoathimisha Peaks tukumbuke Kuwait Mate so aliyoyapata Bwna Yesu c kitu kidogo ni we we name Mimi tuupokee Uzima was milele.sema As ante Yes.
Amina
Hongeleni xana kwaya hii mlijitahid xana kwa kweli
Jesus , if choirs sung like this ! All God create is likely to praise the Lord
nilikuwa naiskiza enzi hy ya sinema aloooh na kanda au kaseti
Am respecting u my God Amen
Nzuri sana na inafundisha
2024 and the Song is New❤❤
Pole yesu wangu nakupenda daima
Love you Jesus thankyou bcos of ur death am alive
Millicent Akinyi Asanteni sana wana kwya kwa nyimbo mzuri
Daima yesu nimfarme amenaaaaa
Best of luck with Jesus our only hope
Mungu wangu mungu wangu utukuzwe
Still alive 2019
Mungu wangu"mbona umeniacha? Uhimidiwe milele daima
nyimbo nzuli xana bwana awe nanyi
10/4/2020 tupo pamoja
Hakika vya kale ni dhahabu wimbo umetulia ujumbe unasikika lakini inhekua leo hapo viuno midundo fujo tu
😂😂😂😂😂😂😂😂😂❤
This song (and album) will last forever ....
Charles Ayo kwakweli ulikua unatisha sana
🙏🙏🙏🙏 nice song he blessed
Without God you're lifeless.
mbarikiwe sana wapendwa
Kwa kuteswa kwako bwana sisi tumekombolewa aameeeen😭😭😭😭😭😭
Asante Yesu kwa kutukomboa
Tuombe mungu kila wakati maana hatujui atakapo kuja
Wimbo mzuri sana hongereni kwenu
May God bless you
I feel pit alot
lord please forgive us 😭😭😭😭😭
Tunaomba audio mumweke kwenye Google
nyimbo nzurisana
Asante Yesu ❤
2019????
Jesus thks for loving me
It's makes me to hold on
mubarikiwe xana mabib
Nice
So blessed song
Thanks dod
Jamani kwaya naipendaga iyo
Great song makes me blessed, GOD bless
Thenks Good i love you song?
Be blessed today with this song
Daaaaaah 😭😭😭😭
mungu awe nyanyi
2022 mikono juuu
The best
still watching
Ammena
Mungu wangu Mungu mbona umeniacha Mungu awabarik
Huo wimbo wa mateso take bwana unaniliza sana mmbarikiwe sana waimbaji
ameni
Evergreen gospel music