I have been searching for these types of songs for years, I'm glad I came across this item. I grew up listening to these songs, it brings back my childhood memories ❤️
Weeeeeh sio kwa wanafunzi kupanda mlimani huko na sketi zao 😅😅😅😅😅 I swear old is gold. We used to listen to this kwenye redio mkulima na cassette zetu za kurewind kwa pen ya Speedo au Bic. Ah weeeh old is Gold. To this very day, God receives all the glory. Amen!
Who's listening to these angels wth me? It's another tme to be reminded of what my savior underwent to set me free.Thank you Lord for your unmatchable love to your creation.
Naamini ni kwa uwezo wa MUNGU tu aliyeniwezesha kubonyeza hapa na kuikuta moja ya kwaya niliyoipenda Sana miaka yangu ya Sunday school kwaya iliyonipa motisha na kiu ya kumwimmbia MUNGU Hadi Leo hii na hata milele! MUNGU awabariki sana! Salaaam kutoka kanisa la LUTHERAN-LONDON UK
Kwa earphones Iko tamu, woow, I remember those days nikiwa high school, It never passed a day kabla sijaskia huu wimbo. I had the whole album, hehe. I have been looking for this song, but as ate nashukuru nimekupata. Imenikunbusha mbali, sana😘😘😘😘mob love from Kenya..... Staying in Qatar... 😍
I'm desperately looking for the original album, I think it was by Arusha choir if I'm not mistaken. My uncle had the cassette, I listened to it a lot, a long time ago when I was living in Kenya.
Yaaani nilikuwa naukumbuka huu wimbo sana sema nilikuwa sijui kwaya gani imeimba cuz nilikuwa mdogo nilivyousikia.Ubarikiwe sana ulieuweka huu wimbo humu God bless :-)
2023 we here again praising God with these beautiful voices❤❤❤
The first time to listen it's 1995 , Very much blessings to me
Still enjoying the songs in 2024❤❤❤
Boas cañticas adoro saber que ainda existem pessoas que seguem mandamentos de Deus.🇲🇿2024
Ni 2020 bado Mwenyezi MUNGU anazidi kutupatia uhai wa kusikiliza nyimbo zilizobamba enzi hizo katika Tasnia ya nyimbo za injili
Anyone with me still enjoying these songs 😘
Me
Me here
❤ me here
I have been searching for these types of songs for years, I'm glad I came across this item. I grew up listening to these songs, it brings back my childhood memories ❤️
Weeeeeh sio kwa wanafunzi kupanda mlimani huko na sketi zao 😅😅😅😅😅
I swear old is gold. We used to listen to this kwenye redio mkulima na cassette zetu za kurewind kwa pen ya Speedo au Bic.
Ah weeeh old is Gold. To this very day, God receives all the glory.
Amen!
Who's listening to these angels wth me? It's another tme to be reminded of what my savior underwent to set me free.Thank you Lord for your unmatchable love to your creation.
Benedatte Mutisya mmmmh
Hyo videos y vijana iko noma sana
@@danielmatum3038 qqqq
My Mom used to play this song every day when she’s back from work!! Lovey moment and life!!! Back then 1990’s
This is not the original album.. it's a re- done one
Sisi the neighbours
@@davidosodo548 this was redone in the early 2000s
Me too , my mom listened to this song, enjoy listening todate
2021 still love the songs all the way from zambia ❤❤❤
The best song ,❤️❤️ hii nyimbo naipenda mno mungu aibariki hii kwaya ya vijana 🙏🙏🙏
Kwasasa ni wazee😂 japo ujumbe walioimba haujazeeka keep enjoying 😉
Naamini ni kwa uwezo wa MUNGU tu aliyeniwezesha kubonyeza hapa na kuikuta moja ya kwaya niliyoipenda Sana miaka yangu ya Sunday school kwaya iliyonipa motisha na kiu ya kumwimmbia MUNGU Hadi Leo hii na hata milele!
MUNGU awabariki sana!
Salaaam kutoka kanisa la LUTHERAN-LONDON UK
Barikiwa sana hapo ulipo kaka yangu
God thank you for lm still listening this strong gospel music God bless you All.And this is 2024 still hot.❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
Wimbo huishi hamu kuusikiliza 2020 nimeutafuta tena Kazi yenu ni njema Mungu awabariki
Beautiful yestermemories and it reminds me wen I visited my granny mum in mbeya tz 1989
Mungu awatie nguvu katika kazi zenu mtasikilizwa vizazi na vizazi hakika nyimbo zenu ningumu kututoka masikio mwetu
My favorite album during Lent and Easter periods.
Wimbo mtamu sana can't resist listening to it
Nyie😪😪😪😪25/01/2022
Jamaniiiii nilikua mdogo enzi izo, technology ndo nimeipenda
I really love this song it reminds me when I was young 😊
loving it in 2020 august ,hii tuliimba kwa cu choir pale high school
Kwa earphones Iko tamu, woow, I remember those days nikiwa high school, It never passed a day kabla sijaskia huu wimbo. I had the whole album, hehe. I have been looking for this song, but as ate nashukuru nimekupata. Imenikunbusha mbali, sana😘😘😘😘mob love from Kenya..... Staying in Qatar... 😍
❤ I support you with the experience I have
Hopefully God is still taking care of each one of them as the glorify Him on singing.
Thanks.
nilikua nautafuta Sana hii albamu Asante mungu wangu mbarikiwe sana
Mbarikiwe sana. Mimi nilianza kusikia nyimbo zenu wakati nilikuwa bado kwenye primary school. Nyimbo nzuri sana. Hongera!
annick niyibizi pamoja
Asateni sana mumgu awabariki sana
2023 nani ako hapaa? Nakaaga hivi nakumbuka wakati watu walikuwa wanaimba nyimbo za mungu.
nahisi km wazungu wanainjoy hizi nyimbo kuliko sisi wazawaeeeee
nabarikiwa Sana nikiusikiliza huu wimbo
I'm desperately looking for the original album, I think it was by Arusha choir if I'm not mistaken. My uncle had the cassette, I listened to it a lot, a long time ago when I was living in Kenya.
Where are you living nowadays?
Me too, it is true this is not the original
wooo what a wonderful songs I wish I could join you guys may god bless you all
Keep it up guys
2023 still here all the way from Zambia
It's 2023 and am here enjoying❤❤❤
When traveling long distance 💖
Best songs ever in mind that I still listen to.
Love the song from Nairobi
Need more of these songs on mp3
Old is gold
kazi nzuri sana
These guys were amazing
Nice song ...barikiweni
what a nostalgia filled with a message of blessings. Hail these wonderful singers
Naliipenda ilinijenga nabado inanikumbusha nyuma Asante.
I love this song since 2015
Wonderful song, you bless my Soul. God bless you all
I wish ningeweza ku download
2023 still hitting
Please keep this message for future generation
Naupenda sana huu wimbo
Haishi laza miaka nenda ludi mungu awabaliki
Love this song forever.sauti ikatoka
Hakika tuwapende adui...
Tamu sana
Huu wimbo unanikumbusha mbali sana..!hakika cha kale ni dhahabu.......
Ndugu wapendwa Kwaya KKKT Mabibo mmehubiri Injili kamilifu yake Bwana Yesu.
Thanks guy's ❤
Class camp 🏕 👏
Mom used to listen to this very much in the 90s
Mbarikiwe sana
I still love these song so much
Yaaani nilikuwa naukumbuka huu wimbo sana sema nilikuwa sijui kwaya gani imeimba cuz nilikuwa mdogo nilivyousikia.Ubarikiwe sana ulieuweka huu wimbo humu God bless :-)
Nyc song,,, where can one get dvd..... I need one copy of these songs
Janey O J ucjl
2020 bado napenda hizi nyimbo sana..
Good memory of my childhood still blessed till today
Wimbo unanikumbusha malehemu baba yangu aliipenda Sana ngoma ii
2019 Tupo hapa
Good song ever still it rings in my mind
Izi ndio silikua touching voice the really songs
oooh saut ya zamani sana" ila ndo ibada yangu
Great 😍❤
Memories Amen.
Uvaaji huu ndio unatakiwa kumwimbia bwana yesu mbarikiwe watu wa mungu
Am still listening them in 2020
Ninabarikiwa uimbaji huu, 🙏🙏
From Vietnam
Enjoying it today and all times to enjoy but note maneno ya mwanawe mpendwa
Live 2023
Oct 16 2020.. still good
Who is watching with me in 2018,2019 I'm watching from America
Even in 2020 I'm glued to them
Une bonne musique je des souvenir pour ces chansons
Ahasante mungu hii nyimbo unanikumbusha mbali miaka 30 iloyopita
Ya kale ni dhahabu hakika, mbarikiwe sana watumishi MUNGU, hakika injiri imetufikia wengi na tumebarikiwa na Bado tunazidi kubarikiwa. Amenii
Cool❤❤❤❤
Listening to it 2021
Mbarikiwe
nice one
Pamoja sana aaaaaa🙏🙏
Mungu awabarikiki kwa ujumbe mzuri
Blessed indeed
blessed song
naupenda wimbo huu sana
Amen & Amen
Hiyu ndie Mwanangu mpendwa nilie pendezwa nae Msikilizeni YEYE. Mungu Awabariki Wote mlio husika kutupa ujumbe na ukumbusho
Ahsantee kwa kwaya ni nzuri sana 2020
mubarikiwe xan nyimbo nzur
Hizi nyimbo ni pure Gospel, hawa watu waliimba sana 🙏
When chior was chior 🥰🥰🥰
God his the way
Asanteni Kwa Sanaa nzuri
Jaman mm napenda sana nyimbo zao Tang utotoni mpaka Sasa mbarikiwe sana
Let's go 2020
mbarikiwe
hamkuwai kukosea mbarikiwe sana
Yaani kwaya za kileo hua sinunuagi hata nyimbo zao
Hakika mbarikiwe