Lugha ni makonde wimbo wasema kila mtu anafurahi siku arudipo nyumbani kwa baba na mama ake alipozaliwa, tafadhali ukimpata msisahau nyumbani ulikotoka eti kwasababu nyumba ya nyasi, au udongo, au kuti. Anamaliza kwa kusema mnaona yeye ni mmakonde lakini wanamjua mpaka ulaya,
Heko kwa Field Marshall Body gurd (Tongolanga) Makondeko musica jamaa alikua talented sana kuna wimbo wake unaitwa SANURA mzuri sana.R.I.P Field Marshall "Tongolanga"
Sifaham lugha ila wimbo nzuri nahis anasema kila MTU anapenda kwao chonde mkipata mkumbuke mlikotoka
Ndio anasema kila mtu anapenda siku akienda kwao pia usinifiche uko wako ambako ulipo zaliwa usijivunie mabati umesahau nyasi
Kabisa
Umepatiaa💪💪
Ahsanteeh
Na huu wimbo harmonize ameurudia tena, mwenye wimbo anaitwa mzee tongolanga kutoka kusini mtwara, umakondeni
Lugha ni makonde wimbo wasema kila mtu anafurahi siku arudipo nyumbani kwa baba na mama ake alipozaliwa, tafadhali ukimpata msisahau nyumbani ulikotoka eti kwasababu nyumba ya nyasi, au udongo, au kuti. Anamaliza kwa kusema mnaona yeye ni mmakonde lakini wanamjua mpaka ulaya,
asante braza search mr jay wema you support my music bongo kenya
Nakupa points hapo Harmonize,asanthaa,Makonde for life..🤗Im happy.
❤
Heko kwa Field Marshall Body gurd (Tongolanga) Makondeko musica jamaa alikua talented sana kuna wimbo wake unaitwa SANURA mzuri sana.R.I.P Field Marshall "Tongolanga"
Mtu kwao asa ukifaamu luga safii Sana kaka
Wimbo mzuri nimeupenda nauskiliza mda wote
💥💥💥
Kila mtu anakwao kwaiyo tukipata tusisahau asili zetu zilipo
Shw qali mzee
Naqbareeh om boi
Lwimu lwambone sana. Naipenda hii song naisiki Niko apa Maputo ninakumbuka nyumbani
kwakweli hii ngoma ni tamu sana lugha sijui ki makonde ila tamu
Saanaaa
Japo mi ni mchaga lakin nyimbo ni nzur na hata ukiipiga hadharan watu hupenda kuijua na kudownload 🔥🔥🔥
Kali saana hii
UU wimbo nakupenda
Sielewi lakini naipenda mbaya
Jeshiii
Kazi nzuri sna kka
Shoukran🙏🙏
Mwiu kaka.
Yani wimbo mtamu sana huu kama asali asante harmo zaidi tokolanga
Nakusikiliza konde boy wewe uko juu sana
Wimbo mzuri sana. 14.06.21.
Kila munu avyena kwao👌👌💃💃💃🔥🔥🔥
Kukaaay
sio avyena avena kwako jamn kama hujuh si ukae kimya
Napenda sana hii nyimbo
Safi sana mkaka pambana
Eeee picha hii ina istoriya kubwa sana yamda sana aesee tuko pamoja sana
Tuko pamj saana,,ila usisahau kusubscribe ktk channel yetu pendwa hii kwa support zaid
Teyari
Good
Wale tunaosikiliza 2025 gonga like zangu hapa
Wumbo mzuri. Jeshiii
Jeshiii
Safi sana konde
💥💥
Nakumbuka my dady kabla ajafaraki alikua anependa sana ilo songs dady forever rest in peaceful ❤
@@mickyselemani8926 R.I.P
Tunkugwaa kaka
M mmmmm ndo kari zaidi kweli.tusijisahau.kwetu.hata kama.tukipata
Kabsa
wimbo mzuri sana sana
Keep it kk one day yes
Makin saana bloodie
Jamani naipenda hii nyimbo ❤❤❤❤❤❤
Nyimbo hii imetulia sana
💥💥💥
Nakumbuka home
I like the song tunalifalive kukaya
Maningue Nice!come back to home.o bom filho sempre a casa!
💥💥💥
❤❤❤❤ Nice
Thanks
Mpaka kwetu ku Nampanha
Ukiingia youtube andika makondeko albam ya tongolanga utaukuta wimbo huu.
Kunisi shikamoo✊✊😜
Wimbo mbimbasana uhoooo
Wimbo mzuri
Kali saana
God bless konde boy
Inshaallah
Me pia napenda huu wimbo pia napenda wamakonde
Nangu pano ni makonde vaningu mala mpaka ulaya
Mkali wao
Nimu shebi safia
Excelente musica Makondeko.gosto
🤩🤩
Ipowa
Mambo ni 🔥
Saana
Sifamu lugha lakini nyimbo inaoesha manenoyake yanamana tunamuomba harmonize ifanyie hinyimbo remix
A música diz não se esqueça da sua família quando for rico
Hello konde trans hii song kwa swahili
Safiiiiiiii
Lkee
Aiseee gooood song
Good song
Harmonize kukaya 0:31
Bwawa la umeme
🤣🤣
Shingwe doi kablancy
Good song
Thanx
Kila mtu aende kwao
💥💥💥
Ni klamtu jari kwao hata ukipata
💥💥
Kukaaya means wat members
@@wafulaalex2291 Nyumbani
Nyumbani
Home
Sijui napenda huu wimbo kwanini ingawa sisikie kinacho imbwa
❤ song
Eti vigai, mabati kukaya na chisuvele. Kwa kiswahili ni nini?
Kibuhile
Eti unajidai kuishi mjini kwenye Nyumba zilizoezekwa vigae na mabati wakati kwenu Nyumba imeezekwa Kwa nyasi
Eti vigai mabati ni ukipata nenda kapenzeshe kwenu weka vigae au mabati
nyimbo hiii nzuli ila kainyimamidundoooo ya mziki bezi hakuna hapa na kucheza sana
@@paulmkude7037 muhongo bna
😇😇😇😇
❤❤