Ibraah - Nafunga Mwaka (Official Lyrics Audio)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 25 дек 2024

Комментарии • 797

  • @mashabikiwaharmonize
    @mashabikiwaharmonize 26 дней назад +196

    Tunao mkubali IBRAAH tuonyeshe upendo hapa tukifunga mwaka nae ❤

    • @verosir1416
      @verosir1416 25 дней назад +1

      Nafunga mwaka❤🎉

    • @GenerousAzard-fq1ym
      @GenerousAzard-fq1ym 25 дней назад +1

      ❤❤❤❤

    • @chobychobs
      @chobychobs 24 дня назад +1

      Xhukran n endelea kumpambaniaa

    • @msakanot
      @msakanot 24 дня назад +1

      🎉🎉❤wold wide

    • @KhadijaMzuri
      @KhadijaMzuri 24 дня назад

      Mm namkubali diamond simkubali ibraah 😂😂😂😂😂😂

  • @moneLy6ix9inecode
    @moneLy6ix9inecode 25 дней назад +46

    Wanangu wa KONDE GANG mbn mm nalike comment zenu zangu mnazipita bc njoo like twende sawa

  • @digitalworld7451
    @digitalworld7451 26 дней назад +70

    KAMA LIMETOROKA MIREMBEEEEEE 👑

  • @badboyjephanie-uh3mz
    @badboyjephanie-uh3mz 26 дней назад +104

    Tunao mkubali ibrah tujuane kwaku like hii comment

  • @KingRemy-vd8rn
    @KingRemy-vd8rn 26 дней назад +57

    Mimi wa kwanza Léo kutoka Congo 🇨🇩 naomba liké zangu plz Tim konde geng muko wapi tunjuwane hapa 🎊🎊

  • @SwahibuKhatibu
    @SwahibuKhatibu 26 дней назад +38

    Oyi chingaa we n fire 🔥 🔥 nipeni like watu wa konde gang

  • @Uchukhan_
    @Uchukhan_ 26 дней назад +16

    Chiziii❤🎉🎉🎉 Mwanangu Funga tu Mwaka Huu Wakoo Umeanza Vizuri Unafunga vzr ❤❤❤❤

  • @Jk_rules_
    @Jk_rules_ 26 дней назад +7

    Tamuuu.

  • @blingboyanman
    @blingboyanman 26 дней назад +21

    Nipeni zangu toka Congo🇨🇩🇨🇩Jameni

  • @DonbrightKenny
    @DonbrightKenny 25 дней назад +23

    CHINGA noma mm hapa fans wakwanza kutokae🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮 nipeni like zangu acheni wivu basi

  • @ChenchiKing
    @ChenchiKing 26 дней назад +20

    Chinga Mwak Huu Amehamuw Kufany Umafya Tu Achek Na Kima Yey❤🎉🔥🔥🔥✅

  • @sergemahamba7482
    @sergemahamba7482 25 дней назад +19

    Mimi wa kwanza toka DRC🇨🇩 naomba likes zangu

  • @barackahamimu8792
    @barackahamimu8792 26 дней назад +159

    Nipe like zangu iam waiting mbka kukuchee konde gang 💥💥💥

    • @MwadjumaAmisi
      @MwadjumaAmisi 26 дней назад +1

      Konde gang ibrah kazi kubwa ume fanya 🎉🎉🎉

    • @kirikuvibe
      @kirikuvibe 26 дней назад +2

      Subscribe 🙏

    • @OfficialbabumusicTz
      @OfficialbabumusicTz 26 дней назад

      konde gang naomba sapoti na kwangu SUBSCRIBE naomba

    • @OfficialbabumusicTz
      @OfficialbabumusicTz 26 дней назад

      ​konde gang naomba sapoti na kwangu SUBSCRIBE naomba

    • @OfficialbabumusicTz
      @OfficialbabumusicTz 26 дней назад

      ​konde gang naomba sapoti na kwangu SUBSCRIBE naomba

  • @Kondegang_tz
    @Kondegang_tz 26 дней назад +29

    Oyaa weeeeeeeeeeee sikama limetoloka milembe chiziii❤❤❤❤

    • @OfficialmunchuTz
      @OfficialmunchuTz 26 дней назад

      ruclips.net/user/postUgkx7v09jUijzuwtDn8I37vQX4H6S6gz-A2A?si=lbV8ZzEI7rOUxn53

    • @OfficialmunchuTz
      @OfficialmunchuTz 26 дней назад

      ruclips.net/user/postUgkx7v09jUijzuwtDn8I37vQX4H6S6gz-A2A?si=lbV8ZzEI7rOUxn53

  • @blesmedia689
    @blesmedia689 20 дней назад

    Jeshiiii ontop kweli ibrah nimziki mwengine tofauti kabisa kilaaaaaaaaa🎉🎉🎉🎉

  • @CharlesSteven243
    @CharlesSteven243 25 дней назад +16

    Eti wanasema tuku nyime funguo za studio sasa 🔥🔥🔥🙌🙌

  • @marcosjorgepadiapuka13
    @marcosjorgepadiapuka13 25 дней назад +9

    Ngoma inautamo flani. Kweli kama umetoroka milembe gang gang 4 every bord❤❤❤❤

  • @LEADERSOFFILMZCOMPANY
    @LEADERSOFFILMZCOMPANY 26 дней назад +30

    Nasubiri sii keshi mpaka niione hiyi ngoma

  • @RoyAshuma
    @RoyAshuma 25 дней назад +2

    Mwenyezi Mungu akajibu maombi yako na akupe hitaji la moyo wako....Chinga mbona unyama mwingi🔥🔥🔥

  • @SavamoDayog
    @SavamoDayog 23 дня назад +5

    Duuuuh hii kalii broo😊

  • @ZenVeeZeneration
    @ZenVeeZeneration 26 дней назад +13

    Yasiwe ya zuchu na mondi😮😮Yani ibraah

  • @PashaSmart
    @PashaSmart 25 дней назад +21

    Ibra umetisha can wenzang na mimi 2nae mpenda ibra nigongee like hapo

  • @BenBella254
    @BenBella254 26 дней назад +12

    KAMA LIMETOROKA MIREMBEEEEEE 👑CHINGA

  • @ChancyMayuni
    @ChancyMayuni 24 дня назад +3

    Konde huyu chiz noma tufunge mwaka jamen Kama unamkubal ibra❤❤❤

  • @PriscaBartazal
    @PriscaBartazal 26 дней назад +23

    Kitu kibwaaaaa

  • @jamesmichubu4665
    @jamesmichubu4665 25 дней назад +3

    I bless and thanks God for the struggles of the year but finally am done almost to see another soft and amazing year ahead of me 💟 glory be to God 🙏

  • @SaidiNyange-m6m
    @SaidiNyange-m6m 26 дней назад +6

    Wanang wa gang gang chiziiii yan kama tumetoroka mirembe mwakani tena hiyo alhamdulillah

  • @GodwinYindi
    @GodwinYindi 25 дней назад +5

    Safi nyimbo nzur nimeenda irudia nyimbo ya marehem mandojo inaitwa cheche Kuna vitu vingi mmefanana hope mngetoa ngoma nae pamoja kpind cha uhai wake

  • @RAMADHANIALIMWIKE
    @RAMADHANIALIMWIKE 26 дней назад +7

    Tulio kuwa tunasubilia mote wa chinga... ibraah tz..tuonane hapa kwa❤❤

  • @MarcoLutego
    @MarcoLutego 26 дней назад +6

    Chingaaaaaaa chiziiii funga mwaka tuuu bro unauwaaaa sanaaaa ety

  • @KidecoRakitic
    @KidecoRakitic 25 дней назад +7

    Umeua baba kwishaaa unajua sana fundi

  • @NGOSHA
    @NGOSHA 26 дней назад +25

    Kama unamkubali ibraah dondosha like apa🙌

  • @raphaelmzindakaya8131
    @raphaelmzindakaya8131 26 дней назад +20

    🔥🔥🔥🔥🔥 so poa goma la mwaka ngonga like

  • @Alibabason
    @Alibabason 25 дней назад +6

    Chinga once again. My vitamin music 🎉❤

  • @Basso_Steven67
    @Basso_Steven67 26 дней назад +4

    Nakusapoti nikiwa 🇿🇦 🇿🇦
    Nafunga mwaka, tukutane mwakani.. ❤ 🔥🔥🔥🔥

  • @EliphazBucumi
    @EliphazBucumi 26 дней назад +15

    Wa first From Burundii 🇧🇮🇧🇮 naomba like zanguu plz oya wananguu wa gang gang 🥶🥶🥶🥶🥶

  • @NeemaMacheni
    @NeemaMacheni 12 дней назад +1

    Noma sana 😂😂😂😂 Ibraah una miaka mingapi tuyajenfe😂😂😂😂😂

  • @ZawijiMohamedLuwali
    @ZawijiMohamedLuwali 25 дней назад +3

    We ibra ni watoto Kweli, naii Kweli ndo funga mwanao yenyewe 🫡🫡🫡

  • @rockonsonmlandi2818
    @rockonsonmlandi2818 26 дней назад +4

    Ibra Ako sawa ...napenda Sanaa sauti yake ya kuhuzunisha kuliko akishout ✍️...ila Ako best ...much love from Kenya 🇰🇪

  • @Aleck-y2e
    @Aleck-y2e 22 дня назад

    Much respect guys! A.y nimemkumbuka alipo kuja cambini nduta kibondo kutuwakish wakimbiz! Maisha malefu kwak kaka

  • @kirikuvibe
    @kirikuvibe 26 дней назад +20

    Moto juu ya moto🔥 Nami Naomba Likes Zangu

  • @ByamunguLuka
    @ByamunguLuka 24 дня назад +1

    Chinga kalii saaaanaaa
    Uku nacheza kiiindi

  • @mtwaraboy_23
    @mtwaraboy_23 25 дней назад +7

    CHINGAA 👑 NI MMOJA TU BONGO 💪

  • @SaidKazungu-j2g
    @SaidKazungu-j2g 25 дней назад +7

    Sanaa chinga boy +254 watuenjoyisha

  • @NelsonDread-mu1ox
    @NelsonDread-mu1ox 25 дней назад +4

    Nomaa

  • @WemaDola
    @WemaDola 20 дней назад

    Duuh aaahha spannah inakaza 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 hili goma lamoto

  • @Ezekielbishoo
    @Ezekielbishoo 26 дней назад +6

    Sijatoka 2 lakn ishashika trending

  • @SimonLukiko
    @SimonLukiko 25 дней назад +4

    Napendaga ukisema kama nimetoka milembe

  • @blesmedia689
    @blesmedia689 25 дней назад +3

    Ibrah Amekua mkubwa sana 🎉🎉🎉🎉🎉

  • @kapsarakelvinjwang4484
    @kapsarakelvinjwang4484 24 дня назад +5

    natoka Kenya kama umesikia sauti ya mbosso weka like hapa😂😂😂

  • @nurdinsaid901
    @nurdinsaid901 26 дней назад +5

    Sawa mzee wangu

  • @MozeNation
    @MozeNation 26 дней назад +16

    Wanao omba like wanifate in box niwape mafanikiyo sema kama umeipenda huyu wimbo DONDOSHA ❤️

  • @AllyTepa
    @AllyTepa 24 дня назад +1

    Oya wee oya❤❤🙌🙌

  • @SepamaybeMsafii
    @SepamaybeMsafii 26 дней назад +5

    Love from Burundi 🇧🇮 ❤❤❤

  • @imuutyger3175
    @imuutyger3175 26 дней назад +13

    Wale wakenya🇰🇪 kam mumeikubali hii ngoma plz like tujuane🎉❤🔥🔥🔥

  • @KasmirAmour
    @KasmirAmour 22 дня назад

    Oya wanangu nafung mwaka tukutani mwakani mwendo ule ule 🎉

  • @NaomiKitamoga
    @NaomiKitamoga 25 дней назад +3

    Ebwana weeeeeeeeeeeee dah umenitisha

  • @mathiasbosire7927
    @mathiasbosire7927 26 дней назад +9

    Wa kwanza kutoka kenya tulike hapa

  • @g-zoman1081
    @g-zoman1081 25 дней назад +17

    Uyu Chinga noma sna kbx kawagusia wote wakubwa wake😂 Nafunga Mwaka🎉🎉🎉🎉

  • @guyogobu
    @guyogobu 26 дней назад +3

    Chinga km chinga......we fundi bwna🗣

  • @IBALMO___JR
    @IBALMO___JR 26 дней назад +9

    Ngoma kali

  • @teresiatowegale2712
    @teresiatowegale2712 25 дней назад +3

    Huyu arudishwe mirembe tu atatuua na hit 🎉🎉

  • @RomanMwinyi
    @RomanMwinyi 26 дней назад +22

    Wanangu wa gang gang

  • @MuyoBoy-j7d
    @MuyoBoy-j7d 25 дней назад +6

    Unyama Sana naomb lak jaman

  • @Kanesh77_
    @Kanesh77_ 24 дня назад

    Ila we mseng.... Utakuja utuuwe🙌🙌📢📢

  • @AbdulJuma817
    @AbdulJuma817 25 дней назад +3

    Mbona kama goma kali 🔥🔥🔥
    Huyu chizi anataka kuleta Grammy nn🙌😊

  • @AbasiGérardprince
    @AbasiGérardprince 26 дней назад +2

    Mmmh kutaja tu ya zuchu na mondi iyi imekuwa tayari hit ngoma ❤

  • @salumukatani03-u8b
    @salumukatani03-u8b 24 дня назад +1

    Oya unajua sana oya ibraah 😅

  • @kristahahamfalme
    @kristahahamfalme 25 дней назад +4

    ❤❤ from kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @fiany2575
    @fiany2575 25 дней назад +4

    Team Ibraah from buja 🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @RegineCk89
    @RegineCk89 26 дней назад +5

    Konde gang tuzo ya gram niyetu kweli ibraah salut likee wakonde

  • @MichanoOneMan254
    @MichanoOneMan254 25 дней назад +5

    Wenye wanaamin chinga akipiga collabo ndio inahit..wake likes hpa

  • @FestusJuvinary
    @FestusJuvinary 25 дней назад +1

    MWAKA TUNAUFUNGA VIMA IBRA KONDE BOU ni 💥💥💥💥💥🇹🇿 tumewashindwa

  • @MeshackGwaliki
    @MeshackGwaliki 25 дней назад +2

    Chinga kama nimetoloka milembe ❤

  • @harmitboy
    @harmitboy 26 дней назад +1

    Oya oya 💯🔥

  • @WambuaDavid-u6z
    @WambuaDavid-u6z 25 дней назад +1

    Kali Sana ibura konde gung forever walae

  • @5bulletsofficial
    @5bulletsofficial 24 дня назад

    Huu mwaka ibraah namvulia kofia❤❤

  • @mavoejr3072
    @mavoejr3072 24 дня назад

    Kaz nzur oyaaaaaaa weeeeeee chiiiinga

  • @WambuaDavid-u6z
    @WambuaDavid-u6z 24 дня назад

    Kali Sana uyu kijana walae noma Sana sikiza wimbo wacha izo takataka eti komasava

  • @MwarongaSaid
    @MwarongaSaid 25 дней назад

    Chinga kama umetoroka milembe👑👑👑👑

  • @AdlerAlly-s2s
    @AdlerAlly-s2s 25 дней назад +1

    Noma kubwa chali wa mirembe 🎉 kichaaa

  • @PilatoTz-d1g
    @PilatoTz-d1g 23 дня назад +1

    Je naww unaamni ibraah han mpinzani na hili goma n Kali weka like hap tufunge mwaka n chinga

  • @nurdinsaid901
    @nurdinsaid901 26 дней назад +5

    Fanya kweli tunasubitria kazi

  • @chenge3223
    @chenge3223 25 дней назад +2

    Sikutegemea ungeachia ngoma mbovu namna mi nilijua unaachia zile vionjo za amapiano umezingua asee

  • @asiwatasi
    @asiwatasi 26 дней назад +2

    Tuko wangapi tutoka congo 🇨🇩❤ tujuwane kutoka kondegang chinga ❤🎉

  • @blesmedia689
    @blesmedia689 22 дня назад

    Jeshiiii ontop of the world 🎉🎉🎉🎉🎉

  • @bahatisaimon6019
    @bahatisaimon6019 25 дней назад +5

    Saivi ni mda wako dogo walikuchulia poa sana🎉

  • @jonesdangote501
    @jonesdangote501 25 дней назад +3

    We mack haujui😂🎉

  • @FILSAGAIN
    @FILSAGAIN 25 дней назад +1

    Ibraah wewe ninoma sana 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @SaidiRashid-yc3rc
    @SaidiRashid-yc3rc 25 дней назад +3

    Kazii inajielezaaaaaaaaaaaaaaaa ibra

  • @ByamunguEthienne-g5k
    @ByamunguEthienne-g5k 24 дня назад +1

    Mmmmh! Kama nimetoroka milembe awe

  • @FabianiEzekielmailaneMagamboTz
    @FabianiEzekielmailaneMagamboTz 24 дня назад +1

    Kaka unajua sana uko saw❤❤❤

  • @ASENDEKONDEBOY
    @ASENDEKONDEBOY 23 дня назад

    ❤❤❤❤ kazinzuri kk naikubali bou curage

  • @Gequearmando
    @Gequearmando 26 дней назад +4

    Unyama sana mwamba i'm from Moz 🇲🇿🇲🇿 manda vir LIKE moz 🇲🇿🇲🇿

  • @Basaclassic1
    @Basaclassic1 25 дней назад +10

    Nafunga mwaka oya ganggang

  • @Abrahmankachingwe24
    @Abrahmankachingwe24 26 дней назад +1

    Funga mwaka kibabe kama nimetoroka mirembeee ❤

  • @mrmoneyofficials.
    @mrmoneyofficials. 25 дней назад +1

    Waambie mwenye acha skiza hii mie niliskia mwaka wa 2024 najua kuna wenye wataskiza kama mpya 2035 😢😢

  • @mrsinia3064
    @mrsinia3064 24 дня назад

    Siku hizi ibraa kabarikiwa hit kwer tumpe tu mauwa yake 🎉🎉🎉🎉

  • @RayblessRaybless
    @RayblessRaybless 25 дней назад +4

    Kaka umeumiza akili Sana....hii ni mawe sana

  • @KwaremaTV254
    @KwaremaTV254 24 дня назад

    Kubwa love from kenya Nairobi 254🎉