MAGOMENI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 5 фев 2025
  • Unaona ni bora kuthamini mademu kuliko washikaji kisa chombo, kweli? Wewe unakwenda Magomeni na washikaji wanakwenda lakini unawapeleka mademu Magomeni. Acha hizo!

Комментарии • 497

  • @isackmarijani3557
    @isackmarijani3557 4 года назад +3

    joti we n mchekeshaj wang no1 aiseeh nakukubali munoooo;!!!!

  • @usainoselu6711
    @usainoselu6711 4 года назад +19

    Love it from Kenya

    • @IlhaamMarshed
      @IlhaamMarshed 4 года назад

      cakesoap oselu Mapishi ya biriani ya samaki ruclips.net/video/eCCUYuWdY2M/видео.html naomba subscribe tafadhali

  • @kevinkimani6409
    @kevinkimani6409 4 года назад +9

    Eti gari so kama makalio sio kila mtu anaweza kua nalo :D
    Mombasa love

  • @eunicejohn5520
    @eunicejohn5520 4 года назад +10

    Walau Leo nimewah wah😂😂😂😂😂😂

  • @omariamiri5556
    @omariamiri5556 4 года назад +1

    Oyyyyyy ijumaa a hyo tupunguze stress na hii korona na tukumbuke kumuomba mungu atuondoshee hili janga la korona na pia tuchukue tahadhari

  • @abdallahndombwindo8424
    @abdallahndombwindo8424 4 года назад

    Nakubali kaka joti namuona dada yangu samia kutoka muleba kagera hongereni sana

  • @mdeeboy846
    @mdeeboy846 4 года назад +17

    Ntakuvuta na tambi lako😂😂😂👍

    • @IlhaamMarshed
      @IlhaamMarshed 4 года назад

      MDEE BOY Mapishi ya biriani ya samaki ruclips.net/video/eCCUYuWdY2M/видео.html naomba subscribe tafadhali

  • @abuubakarameir9952
    @abuubakarameir9952 4 года назад

    Poleni sana wafiwa wote wa rais wet ambae hakujali kit wa ukabila wwt

  • @elizabethobege1789
    @elizabethobege1789 3 года назад +1

    Mashaa-Alaah Kihoga hunifurahisha kwa vituko vyake, mimi ni Shabik wako

  • @noelmarapachi1808
    @noelmarapachi1808 4 года назад +17

    Laana ya Masela, laana ya Wana🤣🤣

  • @elimarmemberofjesus4254
    @elimarmemberofjesus4254 4 года назад +1

    Nikajua ntakuwa nimewai et but nishai analalaga na bundi sio kwa nuski hizo hahaha hahahaha hah😂😂😂😂😂😂😂😂😂mademu noma

  • @mikapmwalimu4555
    @mikapmwalimu4555 4 года назад +2

    Hahahaha nishai Kaona mademu Eti mmenijuaje hahaha

  • @thobiasgervasius4931
    @thobiasgervasius4931 4 года назад

    Namkubali sana huyu mpiga picha ...jamaa anajua.....keep it up men

  • @aromakaphmocha6071
    @aromakaphmocha6071 4 года назад +1

    Sawa kaka unatufunza vingi asante

  • @jameskyando178
    @jameskyando178 4 года назад

    Joti bnaaaa daaah unajua sana mze adi unakelaaa

  • @jumabuckary7698
    @jumabuckary7698 3 года назад

    Mnatisha joti na wanao wakina kipande hapo saluti zote mnajua team joti

  • @vocalshed_tz9253
    @vocalshed_tz9253 4 года назад +4

    😂😂😂😂😂😂 wale wana wako wapi 😂😂😂😂

  • @rizikichitanda925
    @rizikichitanda925 4 года назад +1

    safi sana mzee wa magomeni

    • @IlhaamMarshed
      @IlhaamMarshed 4 года назад

      Riziki Chitanda Mapishi ya biriani ya samaki ruclips.net/video/eCCUYuWdY2M/видео.html naomba subscribe tafadhali

  • @martinlubunga
    @martinlubunga 4 года назад +15

    Magomeni ime mpoza 😂😂😂😂

  • @elijahm.muthini
    @elijahm.muthini 4 года назад +1

    Huyu mjomba mshezi kweli😅😅😅

  • @lucasmaro4172
    @lucasmaro4172 Год назад

    Joti mkali wao😂😂😅🔥🔥

  • @emanuelnyaki
    @emanuelnyaki Год назад

    Awesome broh

  • @saudahamad7481
    @saudahamad7481 4 года назад +1

    @@@@@@@......
    😂😂😂😂........ Nmezarau wana 😂😂😂😂😂😂😂

  • @EmanuelNicholaus-of1qg
    @EmanuelNicholaus-of1qg 2 месяца назад +1

    Joti 😂 una wakataa wana

  • @goodwingeorge4430
    @goodwingeorge4430 3 года назад

    Nawakubalii sanaaa wanangu

  • @tausihasheem5051
    @tausihasheem5051 4 года назад +1

    Cjui wanakimav gar imezima mara 3😂😂😂🙌🙌🙌

  • @ephraimisaya5027
    @ephraimisaya5027 4 года назад

    Manz mweusi mzur sana

  • @migeyochieftz7871
    @migeyochieftz7871 4 года назад +5

    😁😁😁.. TOTOZ ZIMEKUPONZA MZEE BABA... UMEWADHARAU WANAAAA....

  • @ferouzmasoud4741
    @ferouzmasoud4741 4 года назад +4

    Milikii chombo umelkii mademu 😆😆😆😆😆

  • @nurustephan7873
    @nurustephan7873 4 года назад +4

    Hahaha ety eeeh nimedhalau wana...love u joty

  • @aminatanzanya7475
    @aminatanzanya7475 8 месяцев назад

    😂😂😂 Kweli usizarau wana

  • @lovenessrubbenrubben9572
    @lovenessrubbenrubben9572 4 года назад +1

    😂😂😂😂ila joti daaah... Wanakuona kama mwokoz mjomba nishai 😊😊

  • @godfreybenedicto3577
    @godfreybenedicto3577 4 года назад +18

    "Dah kuna watu mnalala kwa mitandaoooo😂😁😀😁

  • @quarantine325
    @quarantine325 4 года назад

    😂 😂 😂 ety mmenijuaje

  • @gowithmesafaris
    @gowithmesafaris 4 года назад +7

    😂😂😂magomeni ya mbezi kimara

  • @jonathanicrisatijonathanic6708
    @jonathanicrisatijonathanic6708 4 года назад

    Wanimaliza kaka

  • @hassaniddi1933
    @hassaniddi1933 4 года назад

    Tuko pamoja we si fundi😁😂😂😂😂😂

  • @cladiusdaniel1922
    @cladiusdaniel1922 4 года назад

    Nomaaaah xanah mkuuuh

  • @manuelnkya5968
    @manuelnkya5968 4 года назад

    Daaaaah mnatisha

  • @vumidebora9747
    @vumidebora9747 4 года назад +21

    Alway proud of you guys 💕💕 eti mtu mweye pesa zake mjini lol😭😭😭😭😫😂😂😂

    • @IlhaamMarshed
      @IlhaamMarshed 4 года назад +1

      Princess Nicole Mapishi ya biriani ya samaki ruclips.net/video/eCCUYuWdY2M/видео.html naomba subscribe tafadhali

    • @mbcgrams5415
      @mbcgrams5415 4 года назад

      ruclips.net/video/vi-rokF1EGk/видео.html
      👆👆MAKABILA HAYA WASICHANA WAKE WAREMBO SANA😍

  • @elizabethnorbet9339
    @elizabethnorbet9339 4 года назад +2

    Mwanangu ww snich😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @sulleysabri9126
    @sulleysabri9126 4 года назад +29

    Khaaaa nimekua wa sita😭😭😭😭nipeni like zng team popo kabla cjawafuata huko mlipo,🤣😂😂😂

    • @frediricknandonde1690
      @frediricknandonde1690 4 года назад +1

      sulley sabri hahahahaah

    • @IlhaamMarshed
      @IlhaamMarshed 4 года назад +1

      sulley sabri Mapishi ya biriani ya samaki ruclips.net/video/eCCUYuWdY2M/видео.html naomba subscribe tafadhali

    • @sulleysabri9126
      @sulleysabri9126 4 года назад

      @@IlhaamMarshed nimesha subscribe mamii tuko pamoja

  • @danlinetz2959
    @danlinetz2959 4 года назад +1

    Nawakubar team nzima ya joti

  • @sasita-12
    @sasita-12 4 года назад +1

    No one from Kenya wapi likes sa kipande

  • @yusufukelele4639
    @yusufukelele4639 2 года назад

    Kk ww noma

  • @vumidebora9747
    @vumidebora9747 4 года назад +5

    😂😂😂😂 fav one Joti

  • @danielmarthias2340
    @danielmarthias2340 4 года назад +21

    Miliki chombo umiliki watoto🤣🤣

    • @IlhaamMarshed
      @IlhaamMarshed 4 года назад

      Daniel Marthias Mapishi ya biriani ya samaki ruclips.net/video/eCCUYuWdY2M/видео.html naomba subscribe tafadhali

  • @muddyaforeal1145
    @muddyaforeal1145 4 года назад +3

    Gari yenyewe na A lakini mbwembwe kibaao daaa🤣🤣🤣

  • @saraSara-hi8mo
    @saraSara-hi8mo 4 года назад

    Da nawakubali sana

  • @jeftakayange3044
    @jeftakayange3044 3 года назад

    Nimeipenda hio

  • @devybernardlaizer7713
    @devybernardlaizer7713 4 года назад

    Hahahaaa watu wamiliki makalio daah mmmh ,haya liambie kalio lisukume gariii

  • @sudimuhunzi7530
    @sudimuhunzi7530 2 года назад

    Nishai ..... Nomaaa

  • @zahiribrahim8319
    @zahiribrahim8319 Год назад

    Nampenda Joti anajitahidi sio mbaya ila kwa mimi tangu mdogo nampenda Rip Charlie Chaplin wa 🇬🇧

  • @seciliarenatus3596
    @seciliarenatus3596 4 года назад

    😂😁😀😀😀jisukume mwenyew

  • @salumally3128
    @salumally3128 4 года назад +25

    Komedi ya leo nimeikubali zaidi, inafundisha....

  • @jaliaseif653
    @jaliaseif653 4 года назад

    Ntakuvutaa na tambi lakoo 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🙌🏼🙌🏼🙌🏼

  • @Jordan-pm2uj
    @Jordan-pm2uj 4 года назад +3

    Kweli usidharau wana 🙆🏿‍♂️🙆🏿‍♂️

  • @feyzalyusuph14
    @feyzalyusuph14 4 года назад +3

    Leo we mshenzi umenichekesha😁😁😁

  • @mulindwaabdul785
    @mulindwaabdul785 3 года назад

    Tume miss hami jay

  • @nusuratihamisi6524
    @nusuratihamisi6524 4 года назад

    Nakubali san

  • @adilkher8871
    @adilkher8871 4 года назад

    Brother ww noma

  • @heyumi2340
    @heyumi2340 3 года назад

    mliwa huliwaaaaa 🤣🤣🤣🤣🤣🤸🤸🤸

  • @zuriatybakaryzuriatybakary9806
    @zuriatybakaryzuriatybakary9806 4 года назад +1

    Sopa handsome jamani 🥰🥰🥰

  • @infinitemixentertainment53
    @infinitemixentertainment53 3 года назад

    2:15 hahaha haha waenda wapi mjomba unahangaika kweli kweli 😂😂😂😂😂😂

  • @zenaycechanzinho6702
    @zenaycechanzinho6702 4 года назад +3

    Duuh nimeu measure muhogo wa Kipande dadeki unaonekana uko vzur mnene hatareeee😋🙈🙈

  • @kitabukitabu3083
    @kitabukitabu3083 4 года назад +33

    jot mshenz mmesikia msi miliki makalio kila mtu anayo ( kama kuna mtu kasikia gonga like

  • @harrymakongwa1147
    @harrymakongwa1147 4 года назад +25

    Somo ..usijemdharau mwanaume mwenzio kisa wanawake,hawana msaada zaidi ya kukurudisha nyuma ,wanaume ndio watafanyika msaada katika maisha yako.

    • @missdija4959
      @missdija4959 4 года назад +5

      Sio wanawake wote mbona mnaishi kwa kukariri vijana😂 mwingine anaweza kukuinua ulipo kaka

    • @ayshasalim6118
      @ayshasalim6118 4 года назад

      @@missdija4959mwambie uyo

    • @harrymakongwa1147
      @harrymakongwa1147 4 года назад +2

      @@missdija4959Ukweli ndio huo dada,unaweza saidia mwanaume na mwanamke lakini mwanaume hawezi kusahai wala kukudharau ila sio wanawake ..kwanza mwanamke akikusaidia mtaa mzima lazima wajue

  • @abdillahialiy9511
    @abdillahialiy9511 4 года назад

    wanawke jamni Hamuna fadhila aysee

  • @wa-mbeyaTv4725
    @wa-mbeyaTv4725 4 года назад

    Aaaah fresh 😀😀😀

  • @bartholomeweshiwani246
    @bartholomeweshiwani246 2 года назад

    Shabiki sugu wa Samia!!! anafahamu kujigeuza kulingana na nafasi amepewa kuigiza!!

  • @NjalaleModesta
    @NjalaleModesta 4 года назад

    Love it from india tujuane

  • @mmariherieli2917
    @mmariherieli2917 4 года назад

    Hahahahaa! Nakukubali saana mwana

  • @issankoweboy803
    @issankoweboy803 4 года назад +3

    Kama unamkubali joti gonga like hapa

  • @ismailmajala2802
    @ismailmajala2802 4 года назад +3

    Milikini Makalio yenu 😆😆😆💪🏽

  • @halimanasihu1200
    @halimanasihu1200 4 года назад +1

    Nice joti

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 4 года назад

    Haha Haha zarau haifai

  • @rleo8487
    @rleo8487 4 года назад +5

    Joti is like Lee Soo Geun (S.Korean comedian)😂😂😂

  • @joshuakitosi6516
    @joshuakitosi6516 4 года назад +54

    Tulio angalia leo gonga like hapa twende sawa

  • @ibrahimsleiman4455
    @ibrahimsleiman4455 4 года назад +1

    Safi Sana

  • @angelrichard8211
    @angelrichard8211 4 года назад

    Kaz nzur had raha igiza kama hiz ndugu utaongeza watazamaji

  • @julietbeka7331
    @julietbeka7331 4 года назад +3

    Mla huliwa hahahaha

  • @iddyabbas867
    @iddyabbas867 4 года назад +7

    Wale wana wako wap gonga like kwa Nishai 😂😂😂😂

  • @karlymathew5500
    @karlymathew5500 2 года назад

    U made my day dear😂😂

  • @canonngirwa
    @canonngirwa 4 года назад +2

    jisukume mwenyewe braza.....lol

  • @yxng_juma
    @yxng_juma 8 месяцев назад

    we miss kipande and sopa bring they back please.

  • @lovaelias4224
    @lovaelias4224 3 года назад

    Fuzo kubwa sana

  • @niyongendakosamuel4674
    @niyongendakosamuel4674 4 года назад

    Sema Hao Wana nimewakubali nishai

  • @egnokinunda4539
    @egnokinunda4539 4 года назад

    Ya leo imetisha 😀😀😀😀

  • @kelvinetoo
    @kelvinetoo 4 года назад

    😂😂😂 kule ulitukubali

  • @joyceobed3176
    @joyceobed3176 4 года назад

    😂😂Masnich vpiiii

  • @MariamMohamed-bw8xf
    @MariamMohamed-bw8xf 4 года назад

    🤣🤣🤣🤣hata aibu huna nishai🤣🤣

  • @alirahma8967
    @alirahma8967 4 года назад +1

    🤣🤣🤣wana hawaendi magomeni hiyo hahaha

  • @MariaDaudi
    @MariaDaudi 4 года назад

    Iyo noma kweli joti

  • @davido-scooper9471
    @davido-scooper9471 4 года назад +3

    Kama unakubali kua #joti,_namba1 comedy TZ gonga like yako

  • @azizally5283
    @azizally5283 2 года назад

    Magomeni ya hiviii🤣🤣🤣😂😂😂

  • @SergeVannydj
    @SergeVannydj 4 года назад +15

    Kwaiyo mnanikataa 😂😂

    • @IlhaamMarshed
      @IlhaamMarshed 4 года назад

      Serge Vanny dj Mapishi ya biriani ya samaki ruclips.net/video/eCCUYuWdY2M/видео.html naomba subscribe tafadhali

  • @mustafabakari9465
    @mustafabakari9465 4 года назад +2

    Hahahaha nimedharau wana!

  • @susanahyera7110
    @susanahyera7110 4 года назад +2

    Mla huliwa haaaahaaa

  • @ozil_artvdeo
    @ozil_artvdeo Год назад

    Soppa 🙌🙌🙌😂

  • @josephmasika2870
    @josephmasika2870 4 года назад +5

    Kumbe kimeooo!!!!!🙄🙄😜😜

    • @Fgldesigns
      @Fgldesigns 4 года назад

      Hawachelewi kupondea japo walivyopewa lifti walichekelea