@@khizralghawy9489 hizi fikra ndo zinatufanya tunatawaliwa kiuchumi sisi waislam...Allah anasema tuitafute pepo kama tunakufa kesho na tutafute mali kama tunaishi milele..ukiwa maskini utafanya uchafu mwingi sana na utashindwa kuinua jamii yako ndo maana ikawekwa zaka kwa matajiri sasa jiulize kama hakuna utajiri zaka itatolewa vipi?
Je *1. Unasumbuliwa na Presha ya kupanda (B.P) ?* *2. Unateseka na Vidonda vya tumbo (Ulcers) ?* 3. Una U.T.I sugu ? 4. Umepungukiwa na Damu mwilini ? 5. Una Kisukari (Diabetes) ? 6. Umepungukiwa na Kinga ya mwili ? 7. Una tatizo la Homoni (Hormonal Imbalance) ? 8. Unashida ya kupata maziwa ya mtoto kwa mama anaenyonyesha ? 9. Una shida ya mifupa ? 10. Una aleji (Allergy) ? 11. Una matatizo ya macho ? 12. Una mafuta mengi mwilini / lehemu (Cholestrol) ? 13. Una shida kwenye mmeng'enyo wa chakula tumboni (constipation) ? 14. Una tatizo la nguvu za kiume ? 15. Je, mayai ya uzazi hayapevuki kwa wanawake? 16. Huwezi kupata mtoto kwa shahawa kutoka ikiwa nyepesi mno kwa wanaume (low sperm count) ? Piga0629280027 WhatsApp+255629395655
Kicheko cha Sopa aki-act as mtu mwenye pesa uhakika sana, jamaa hakosei
Big up SOPA
Big up sana joti!!!!!!!!joti baba lao%%%%%%%%%%
Kama unakubali sisi wa Kongo🇨🇩 pia tunamkubali sana joti, tupe like jamani😁👍🏾
Wakongo bolingo! 🤓
Hahaha vizuri
Nakubari sana jot
Good brother
@@kingbashar4293 ⁰
Hahaha joti hiyo nguo balaaa
Mama dame Kenya tunakupenda tembea
254...
Love from Burundi 🇧🇮 🙌🏾🙌🏾🙌🏾 #runtowndjs
Wajinga ma DJ wote wa Burundi, wasiopenda vya kwao, pumbavu zenu😏😏
"Kila Mbuzi anakula kwa urefu wa kamba lake." 😂😂😂😂😂😂
Mambo ya takrima hayo,et ikionekana n rushwa ila icpoonekana ni takrima,kunawatu wanatambaa kabsa😂😂🤣🤣🤣🤣🤣
yani sopa umeuwa baba nakupenda buree chukuwa hilo 💋💋
From Kenya likes za kuchelewa ufike
"Kukuangusha inatokana na uzito ";🤣🤣🤣 jamani joti hufai.
Dah leo nmewah kwa best comedian in east africa
Napenda mbunge anavyocheka😁
Mm ni mkenya ndio maana sipati likes kwa kila comment
Chukua hyo
Pole ndoukubwa Uwo Mtanzania mbaka Akukubali utafanya kazi kubwa sana Baby😂😂
Thanks
Pole
Ckukua hyo
😂😂😂😂😂😂😂😂😂eti tupo tumechakaa kama hivi😂😂😂😂😂😂
Na Mimi kanifanyia hv hv 😂😂 inuka Baba kawa mpole 🤣🤣🤣
Uzuri wajumbe na wao wakafanya kweli🤣🤣😂😂😂😂
My dream Car InshaAllah may Allah make my dreams come true
😂😂😂😂😂 fanya mema uende peponii hizoo ni zakupita
Wakati unaliwaza hili gari, usisahau kuliwaza na kaburi,,,
@@khizralghawy9489 hizi fikra ndo zinatufanya tunatawaliwa kiuchumi sisi waislam...Allah anasema tuitafute pepo kama tunakufa kesho na tutafute mali kama tunaishi milele..ukiwa maskini utafanya uchafu mwingi sana na utashindwa kuinua jamii yako ndo maana ikawekwa zaka kwa matajiri sasa jiulize kama hakuna utajiri zaka itatolewa vipi?
Bro pambana na Allah atatimiza hitaji la moyo wako pia hakikisha una mshukuru kwa kila kitu kufanya hivyo utakua umetoka kwenye kundi la wanaokufuru.
Aamin
Daa sopaa ""eeh nmeshangaaa zaman ulikuwa na magagaa mwili wotee dahh😂😂
Joti baba lao la comedy tza naomba like za kutosha tuuuuuuuuuuuuu🤣
Ila Joti anavovaagaaa 😁😁😁😁😁😁. Dah!
Dah Sopa ni bonge moja la supporting act. Anajua sanaaaa 😂
Kwel yuki poa sna et wananchi wamekufaaa
Omary Rashid Ni bonge la comedian mshkaji.. soo natural !
Safi sana umegusa home Ulanga MALINYI yetuuu
Wewe ndiyo unanifanya niwe Furaha 😂😂😂
Hahahaa Kama unavyotuona mmoja mmoja km matone ya mvua😂😂
Mda wote naikubali hii clip😂😂😂
Kumbe joti ni mnafiki yupo kimaslahi!!!km umenielewa gonga like
Kwahyo ukificha ni takrima ila ukitoa waziwazi ndio rushwaa..😂😂😁😁😁 uhuwiii 🙌
Leo nimechelewa ila sio mbya joti n best comedian in east africa 😂 😂
and his team too
Mama Damme umetisha upo kwenye ndoa ya Nane hiyo.....Hahahahahahahaha
Mkovizuli sana kk zangu endeeni ivoivo munguata wabaliki
Hivi hizo likes mnapata Vp mbona me sipati au nakosea wap jamen😢😢
Wenzio wakubwa umeelewa maana yake
,pambna mwanang
Nishai the Great one💚
Big up Jot unafanya kukumbuxha jamii wachague viongoz wanao faaa
Kuku angusha inategemeyana na uzitoo🤣🤣🤣🤣🤣
Washabiki wa joti tujuane hapa🤣🤣
😂 😂 😂 😂 Kweli trh 28
Mwendo WA kujiajiri tu
Kwani izo like mnazo ziomba mnazipeleka wapi Maana atuwaelewi mmecharuka kuomba like
Sopa 😂😂😂😂😂eti watakua wamekufa au wapo🤣🤣🤣🤣
😁😁😁😁
KAMA YA GEITA 🤣🤣🤣🤣🤣 KATOMA MTUSAHAU!! DAA NANI ATAISEMEA JAMANI!
Umeona
hii nzuri aisee ujumbe umefika
Hyu n dereva ake hyu n dereva ake...joti kanichekesha wallah🤣🤣🤣
We
Joti wewe mukali big up sanaaa
Hahaaa..wee unakuja na kushikashika miguu kuna watu wanatambaa kama kenge 🤣🤣🤣 wapi like ya joti kama unamkubali..
Kukuangusha inategemea na uzito🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 joti hatariiiii
Zidisha kutupa raha kaka😁😁
Mzuri sana nimeipenda hii Safi joti😀😀😀😀🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿.
Leo ndo wametoa kitu poa kabxaaa like twende sawa
Joty bhan umetisha Sana'a na sopa.ila kipande simuoni hapo daaah ela yakeeeeee.
Kazi nzuri big up wote
Malinyi uranga ahahahahaha😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃nyumban uko ifakara mbele ukooo
Tulio wahi Naombeni Likes5 tu.... Zinatosha 🤓🤓🇹🇿🙏
Je
*1. Unasumbuliwa na Presha ya kupanda (B.P) ?*
*2. Unateseka na Vidonda vya tumbo (Ulcers) ?*
3. Una U.T.I sugu ?
4. Umepungukiwa na Damu mwilini ?
5. Una Kisukari (Diabetes) ?
6. Umepungukiwa na Kinga ya mwili ?
7. Una tatizo la Homoni (Hormonal Imbalance) ?
8. Unashida ya kupata maziwa ya mtoto kwa mama anaenyonyesha ?
9. Una shida ya mifupa ?
10. Una aleji (Allergy) ?
11. Una matatizo ya macho ?
12. Una mafuta mengi mwilini / lehemu (Cholestrol) ?
13. Una shida kwenye mmeng'enyo wa chakula tumboni (constipation) ?
14. Una tatizo la nguvu za kiume ?
15. Je, mayai ya uzazi hayapevuki kwa wanawake?
16. Huwezi kupata mtoto kwa shahawa kutoka ikiwa nyepesi mno kwa wanaume (low sperm count) ?
Piga0629280027
WhatsApp+255629395655
Uyu jamaa cheko yake ya kitajili inaniacha hoi kabisaaa 😀😀😀😀
Baba wawili weeee unanifanya nisahau shida zangu zote za mchanaa,suluali hiyoooo baba wawiliiii mie hoi ,mungu azidi.kukupa.ubunifu wako.mzuri mnoooo
Vitu iv nlivipata kwenye ndoa Yang ya 1saiv nandoa 8,😃😃😃
United states apa California nawaona gonga like hujachelewa
Suti ya mbuge imechanika nani kaona 😂😂😂😂😂😂😂😂
koti la mbuge sopa hapo nyuma ya bega 😂😂😂😂
Nan ameckia mama Dame anawakilisha mbele 😁😁😁😁😁😁😁
Man so creative 😂👌🏽🤲🏾🤝🔥
🤣🤣🤣🤣joti bhana
Broooh joti awajamaa zako skuizi umeshawaambukiza ugojwa wa kuvunjambavu jamaa alipoanza apo mwanzo kwa kucheka kanivunja mbavu sanah
Naona kaona koti la mbunge limechanika 😂
Joti ukitoaga kitu kizuri nakosa hata kukomenti. 😂😂😂😂 eti mvua ikinyesha 120 moaka ndani
😁😁😁😁😁😁😁😁😁 ukweliiiiiii kabisaaa nyie watoto aki ya MUNGU walai
Mvua zote zikipiga 120 ndani 😂😂😂
Kuna watu wanatambaa kama kengee😂😂😂
Leo sijasikia mtoto akilia 😂😂
Wapi tangazo letu la giggles
Kazi nzur xana
Mim ni mzung ndoman sipati like
Eti kwani huyo nae anataka kugombea😂😂😂😂
Alie ona koti la Mbunge limechanika kwapa like tujusne🤣🤣😆😆😆😆🤣🤣
Cheki shat la mbunge mwenyewe alivolichomekea Hadi raha 😀😀😀
Nitawakuta wananchi au nitakuta wamekufa 😂😂😂
Kama unamkubal JOTI 100 parcent gonga like hapa!
UK;;;; is;:;;;
Joti hoyeeee
Kuna watu wanatambaaa kama kenge 😂😂😂😂😂
Nani kaleta maendeleo huku😂😂😂😂😂😂😂😂
Wabunge wana mambooh hatar😁😁
Nimelielewa ilo gari tu apo😂😂😂
Lexus hio
Hiyo ni LX570
😂😂😂😂 joti talehe 28 nitalehe ya kuchoma sindano
Qatar tuko ndani 🇶🇦
joti nashindwa niwekeje commert maana hii comedy ya leo kiboko cha wale😂😂😂
Vitu hivi nimevipata ndoa yangu ya 1 maana Sasa hivi nipo ya 8😂😂😂
Mjomba jotiii ukooo juuuu sanaa👍
🙏🏻naomba uchukue muda mchache kubonyeza picha yangu ku subscribe channel yangu kujionea mengi mazuri kwenye uislam nahitaji support yenu🙏🏻🧘♀🙏🙏🏻
Joti wewee Mungu Ana kuona
Kama na wewe leo Joti kakunyoosha, kama mimi hajatanguliza lile tangazo tunalosogezaga mbele, kama mimi like hapa...
haya teyari nime like...
Nanukuu 7:30
``kwani huyo anataka kugombea huyo"
Joti bana..😂😂
Wasiwasi wangu tutawakuta kweli wananchi au tutakuta wamekufa@@@Nimependa hii
Kicheko cha mbunge 😂😂
😁😁😁ifanye fanye iwe takirima nasio rushwa🤣🤣🤣
Unajua haya magari meusi ndo yanatekateka watu😂😂😂😂
Gari la kibabe Sana 🤠
Dah sopa Kama vile Ana hela kweli 🤣🤣🤣🤣🤣
Hilo cheko la sopa
kuna watu wanatamba kama kenge 😅😂😂🤣🤣🤣🤣🤣
zamani ulikuwa namagaga😃😃😃
Joti fala sana etibumekujaje kujaje mana huku kijijini kumekuwa kama mjini😂😂😂
Likes zanguu Kama unamkubali mama dame😅
zulekha upotea wp? Dadaa 🇰🇪
😝😝😝
Wap ulanga-malinyi# Safi san kaka
Umekuja kujaje 😂😂😂
😂😂😂😂😂😂Eti kuna watu wanatambaa kama kenge.
Kwan na huyu anataka kugombea. Hahahaaa
Hatar