PISI MBUZI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 27 дек 2024

Комментарии • 708

  • @josephkanyogoto3787
    @josephkanyogoto3787 2 года назад +246

    ...jaman kama ni timu Jot like kwa wing🤣🤣🤣

    • @AfricaQueen
      @AfricaQueen 2 года назад

      Forever ❤❤❤❤❤Jotiiiiiiiiiii

    • @sarahwaziri7940
      @sarahwaziri7940 2 года назад +1

      Joti n moja tyu😃😀😀😀

  • @magaritanzania6540
    @magaritanzania6540 2 года назад +116

    Kwa bongo joti n mfalme wa comedi mashabiki wa joti tujuane apa kwa like

  • @richardmmassy5857
    @richardmmassy5857 2 года назад +47

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Lucas ni mjinga sana toka utotoni.... na ulipokutana na Seki akakuharibu kabisa. Hongera sana kaka.... Huna mpinzani, YOU ARE THE BEST

  • @mlewa_official
    @mlewa_official 2 года назад +23

    Mashabiki zetu wa joti tv tunawapenda sana 💥💥💥💥💥

  • @shakirashakira5556
    @shakirashakira5556 2 года назад +53

    Ivi ni mm tu au kuna mm nisie weza kuangalia bila kuchungulia comment kama tuko pamoja gonga 👍 twende sawa 🤝

  • @emanueledwin5685
    @emanueledwin5685 2 года назад +370

    Sijawahi hata kupata like 10,team joti tujuanee

  • @anneakimana4987
    @anneakimana4987 2 года назад +10

    Joti ukasababisha nikalala inje kwajili ya gucheka Sanaa usiku jamani😂😂😂😂😂🇧🇮🇧🇮

  • @lemeboyofficial
    @lemeboyofficial 2 года назад +54

    Kama waona kila clip ya Joti na unaenjoy gonga like

  • @marthinethomas3020
    @marthinethomas3020 2 года назад +16

    Wingi na umoja unakwenda tunakwenda kama umesikia hivyo mpe joti like zake 🔥🔥

  • @adamumbise4584
    @adamumbise4584 2 года назад +93

    Watano leo wapi like za joti 🤣🤣🤣🤣

  • @habarikiganjanitz
    @habarikiganjanitz 2 года назад +3

    Mme wako.?! 😡, mpeleke kwenye nyumba za ibada 😂, ingia kwenye mtumbwi wa vibwengo tukananii tukale mkopo wa sukari 🤣 tulioisikia hii like hapa ili twende sawa 🤚

  • @prenciaiqram9382
    @prenciaiqram9382 2 года назад +62

    Jamani wapenzi wa joti nipeni like👇😁😁😁😁😁😁

  • @anuarysuleymani2728
    @anuarysuleymani2728 2 года назад +2

    Dah leo nimechelewaa snaaa kuchekaa na team fisii

  • @egidiusjack5591
    @egidiusjack5591 Год назад +6

    Tunaotazama 2023 here we go 🔥🔥🔥

  • @lilianalmas5911
    @lilianalmas5911 2 года назад +30

    🤣🤣🤣🤣🤣 Jotiii nakubali Sana Bro. Eeeeeeh mbuzi mbuzi bro😂😂😂😂🙌🏼. Baby sikuachi nipo na wewe🤣🤣🤣

    • @nelootz9322
      @nelootz9322 2 года назад

      ruclips.net/video/CYoOjeSUuiA/видео.html

  • @mrbigibigi9829
    @mrbigibigi9829 2 года назад +10

    😂😂😂 Nimecheka sana

  • @johnnabie5445
    @johnnabie5445 2 года назад +5

    "Mungu akitaka kukuletea jambo hawezi kukwandikia barua. "😂😂😂😂🔥🔥🔥🔥

  • @stevewanga957
    @stevewanga957 2 года назад +10

    mtungi wa kibwengo akalambe sukari😂...much love from🇶🇦🇶🇦

  • @mary2615
    @mary2615 2 года назад +75

    Another great episode 👋🏻💖👋🏻

  • @yahyajuma8830
    @yahyajuma8830 2 года назад +25

    Wa kwanza kuangalia joti gonga like

  • @emmanuelmtonyole9958
    @emmanuelmtonyole9958 2 года назад +81

    Wangapi tunaenjoy kwenye comedy za JOTI

  • @azizsaleh9402
    @azizsaleh9402 2 года назад +31

    Waliopenda chombo ya Nishai gonga like 😂

  • @jumannesospeter9604
    @jumannesospeter9604 2 года назад +8

    kaka asante sana kwa kunifanya niwe happy leo hakika unakipaji ❤️

  • @maxwellkongoman781
    @maxwellkongoman781 2 года назад +108

    Jotti never disappoint👌😂😂😂

  • @yusufmwangichannel6692
    @yusufmwangichannel6692 2 года назад +8

    😂😂😂Kali sana, napenda uki-act kama Nishai

  • @halidshedafa7310
    @halidshedafa7310 2 года назад +1

    Nimeipenda Sana tujifinze ustaarabu tuache kuvamia tusivyo vielewa

  • @salehsuleiman1218
    @salehsuleiman1218 2 года назад +2

    Hahahah aisee uyu jamaa hatar joti yan

  • @mrkilunga9444
    @mrkilunga9444 2 года назад +1

    Jamaniii mbuziiiii eeeeh😆😆😆😆😆🤪🤪🤪 Kaka mungu akupe umr mrefu 👊👊👊

  • @japhetlust5050
    @japhetlust5050 2 года назад +1

    Ingia kwenye mtumbwi wa vibwengo tukalambe kopo la sukari🙌🙌🙌🔥🔥🤣🤣

  • @BenMtweve-d1b
    @BenMtweve-d1b 2 года назад +1

    Hapo kwenye bebi sikuachi nipo na ww🤣🤣🤣🤣🤣

  • @kekiplus1andonly
    @kekiplus1andonly 2 года назад

    Hehehehe mbona pisi mbuzi

  • @cloudmnofu2218
    @cloudmnofu2218 2 года назад +3

    😄😄😄joti noma

  • @stinaismail846
    @stinaismail846 2 года назад +10

    Nimecheka kifala na asubuhi hii 🤣🤣

  • @Conshamusic
    @Conshamusic 2 года назад +2

    Comedian mwenyew sàsa ambae aliumbwa Ili aje achekeshe like kwa Wingi hapa kama unamkubali joti

  • @خسنموس
    @خسنموس 2 года назад +32

    Wa 72 leo... Joti never disappoint 🤣🤣🤣

    • @nelootz9322
      @nelootz9322 2 года назад

      ruclips.net/video/CYoOjeSUuiA/видео.html

  • @chichiereyh
    @chichiereyh 2 года назад +2

    Daaaaah nimecheka leo🤣🤣🤣🤣🤣na hiyo sutii yake🤣😀🤣

  • @Dulla_kite
    @Dulla_kite 2 года назад +30

    Jotihimself you're always the best bro📸🙌🏾💝

  • @wiltonexon6003
    @wiltonexon6003 4 месяца назад

    😂😆🤣nimecheka sana, joti bn

  • @wilsonsilva3718
    @wilsonsilva3718 2 года назад +2

    Nichai umenikamata kwele ndugo yangu,apa kucheka tu kikikikiki😃

  • @agnesbasistian9248
    @agnesbasistian9248 2 года назад +1

    Hahaha uwii mbavu zangu mie 🤣🤣🤣 umepatikana leo liwe fundisho kwa wengine wapenda totozi

  • @hamzanurdini6789
    @hamzanurdini6789 Год назад

    Eti thmekutana woteee tulioachika nimechekaaaaaaa😂😂😂😂😂😂

  • @Eddo-es7zs
    @Eddo-es7zs 2 года назад +1

    Anachanganya wingi na umoja, mimi namwambia upo yeye anajibu tupo

  • @diegokalziz3269
    @diegokalziz3269 2 года назад

    Joti hapo itakutoka pesa kwa mbuzi huyo mpaka utauza gari ndio atakuacha🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @maryammwinyi932
    @maryammwinyi932 2 года назад

    Dah joti bwan ety wanapend kuchangany wingi n umoja😅😅😅😅😅😅😅😅😅

  • @MudyMessa-hi4mq
    @MudyMessa-hi4mq 6 месяцев назад

    Daaah noma Sana machomach wangine awaoni mbuz

  • @HamisiMadindima-xy1yl
    @HamisiMadindima-xy1yl Год назад

    🤣🤣🤣🤣🤣SI unaona amegauka binadamu....#joti wewe mkali and your team🤣🤣🤣

  • @maulisyaraphael8560
    @maulisyaraphael8560 2 года назад

    Ingia kwenye mtungwi wa kibwengo tukale mkopo wa sukari 😂😂😂🤣🤣🤣🙌

  • @kitunganolw
    @kitunganolw 2 года назад +4

    Eti anachanganya umoja na uwingi 😂
    Namwambia “Uko” kaniambia “Tupo”😩🤓

  • @Nuva902
    @Nuva902 2 года назад +5

    Katka Comedy Zote za Jotii Hii Sichoki Kutazama ina Visa Sanaa 😂😂😂

  • @priscajonas7805
    @priscajonas7805 2 года назад

    😂😂😂😂😂😂😂joti unajua mbaka unajua Tena 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @saidmo9250
    @saidmo9250 2 года назад +9

    Talented Tanzanian comed president 🙌

  • @khadijashabaninimba7890
    @khadijashabaninimba7890 2 года назад +10

    King of comedy ❤️❤️JOTI 🤴

  • @eddababy9734
    @eddababy9734 2 года назад +2

    Ngoja nicoment kwanza😂😂😂

  • @realzeflin6433
    @realzeflin6433 2 года назад +2

    Ingia kwenye mtumbwi wa vibwengo tukale vitu vasukari , not napendagasana kuwatching this comedy 🤣🤣

  • @jamesthadeo3091
    @jamesthadeo3091 2 года назад +2

    Nilizan nitakuw w kwanz kumb w Tano Duuh iv huw hamlalag Eeh, ila jot 😄😄😄

  • @Samyoungmusic
    @Samyoungmusic 2 года назад +2

    Nishai walai ww n moto

  • @sultanmsoloni8635
    @sultanmsoloni8635 2 года назад +1

    Joti embu watoleee comedy hawa wanaosemaga wa Kwanza sijui wa pili kuangalia naomba like embu watungie episode yao

  • @geofreylucas1877
    @geofreylucas1877 2 года назад +2

    Eeeeee!!!! Mbuzi jamani mbuzi !!!
    Hahahaha!!!!

  • @mwatunijackson2649
    @mwatunijackson2649 2 года назад

    Nawapata loud and clear from namanga Kenya .... Ila wapi kipande na sopa papa

  • @abdulgeuka3985
    @abdulgeuka3985 2 года назад +2

    Bwana wako ajanunua chombo hadi leo😂😂😂😂

  • @njokinduati9038
    @njokinduati9038 2 года назад +1

    Vipi wewe unachanganya umoja kwa wingi 😂😂😂😂😂😂

  • @siamnyone8403
    @siamnyone8403 2 года назад +1

    Kigambonii one♥️♥️♥️😏

  • @noutally3871
    @noutally3871 2 года назад +4

    😂😂😂Ivii mnakuwa mnalala hum hum🙈

  • @wardamarungu2478
    @wardamarungu2478 2 года назад

    Na mm sitaki mazoea na Mbuzi 😂😂😂😂😂

  • @johnkideule625
    @johnkideule625 2 года назад +6

    Legend of comedian

  • @sautikaliitz934
    @sautikaliitz934 2 года назад +6

    hahaha baby sikuachi Niko na weweeeee 🤣🤣🤣🤣🤣

  • @Mariam-fm8vq
    @Mariam-fm8vq 2 года назад +2

    🤣🤣🤣 wakati mwengine tuhurumie mbavu zetu joti🤣🤣🤣

  • @VALENTINEKALEMELA
    @VALENTINEKALEMELA 3 месяца назад

    noma sana Joti bonge la idea

  • @45amanson62
    @45amanson62 2 года назад +14

    Nishai mtombangile kitwangu best comedy of Africa 👍

  • @rosemaryjoseph2346
    @rosemaryjoseph2346 2 года назад

    Eti mmeo mmeo mpeleke nyumba za ibada🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @filberthabashi2870
    @filberthabashi2870 2 года назад +1

    Mwenye anajua icho ka kinanda hapo,,, anapomuuliza umeolewa?? Anambie ni wimbo gan pls

  • @mangwelamashaka4444
    @mangwelamashaka4444 2 года назад +5

    Best comedian of all time

  • @dawayao2837
    @dawayao2837 2 года назад +7

    😂😂😂😂 Hatari sana

  • @davidoscooper237
    @davidoscooper237 2 года назад +1

    Tisha saan

  • @Haleem_07
    @Haleem_07 2 года назад +2

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 et baby sikuachi nipo na weeeweee🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @danielythomas
    @danielythomas 2 года назад +1

    Tatizo anachanganya wingi na umoja😆😆

  • @Mimy_keys
    @Mimy_keys 2 года назад +1

    Tembea na mm staki mazowea na Mbuzi 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @abbykashuba4332
    @abbykashuba4332 Месяц назад

    Yan Dunua ilivyo alibiwa usipo beba jini kutoa lift utachukuwa wezi bola tupite tu kimya kimya na vyombo vyetu barabaran😂

  • @malikimkwambe9650
    @malikimkwambe9650 2 года назад +10

    First to watch first to comment 😁😁🤗

  • @rashdiyange7758
    @rashdiyange7758 2 года назад

    jot jakosea ih kitu baba litokea mm tenanilluka kwenye gali mamaeeee🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @siamnyone8403
      @siamnyone8403 2 года назад

      Acha umbeaa utasutwaaa🤣🤣🤣🤣

  • @mrboogie255-dr2kh
    @mrboogie255-dr2kh 2 года назад +7

    U make ma day glow 🤣😂🤣😂🤣😂🤣😂🤣😂

  • @AbdulmahfoudhJuma
    @AbdulmahfoudhJuma Год назад

    ww fundi 😂 nakubali kaz

  • @idrissultan2557
    @idrissultan2557 2 года назад

    Mbavuu zinniumaaa jot falaa snaaa

  • @jacklinebrightness4513
    @jacklinebrightness4513 2 года назад +1

    🤣🤣🤣🤣nimecheka mpka machozi🤣🤣🤣

  • @hidayamgendwa8835
    @hidayamgendwa8835 2 года назад +1

    Namkubali sana joti

  • @ISDORYMWALONGO
    @ISDORYMWALONGO Год назад

    Nimecheka kinomaaa😅😅😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 big up umenifanya ni da loading

  • @StimaOfficial
    @StimaOfficial 2 года назад +4

    Joti alianza mipapaso😂😂😂😂

  • @fatemafatema8581
    @fatemafatema8581 2 года назад

    Kilaga kom pis mbuz kwl et mung anisaidie nifike salam joti umepatikan🤣🤣🤣

  • @kytv8780
    @kytv8780 2 года назад +2

    Joti hauna mpinzani..🙌🏾🙌🏾

  • @RekhaRekha-es8br
    @RekhaRekha-es8br 2 года назад +1

    Joti wewe mwisho😅😂😂🤣🤣

  • @Seifbrown
    @Seifbrown 2 года назад +1

    Bro we ni mkali 😂mno like apa 😊😅

  • @mohammedkidody5618
    @mohammedkidody5618 2 года назад +1

    😂😂😂faida ya kuchagua abiria iyo

  • @sandrauwase9521
    @sandrauwase9521 2 года назад +1

    Joti unajuwa unajuwa ❤ love from belguim

  • @frankkisimbo5612
    @frankkisimbo5612 2 года назад

    Jmn mm sitak like nyingi angalau 2 tuu, ilaa joti unajua kunimalizia bundle!

  • @mossesmatechi9022
    @mossesmatechi9022 2 года назад +3

    Mbuziiii 😂😂😂😂😂

  • @iddimngazija1957
    @iddimngazija1957 2 года назад +5

    Baba mwenye chombo😂😂

  • @k.o.n.g8925
    @k.o.n.g8925 2 года назад

    Ubunifu wahali ya juu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @LizzyGodfrey-g3e
    @LizzyGodfrey-g3e 10 дней назад

    Jamn jot unanikoshaaaa wallaah

  • @alimkumbukwa8363
    @alimkumbukwa8363 2 года назад +1

    Unataja nakuliza unajibujbu kwa wing 😁😁😁😁😁😁

  • @gideon219
    @gideon219 2 года назад +1

    Nishai yeye ni harakati za madem tu🤣🤣🤣🤣