AJALI YAUA WATU 14 NA KUJERUHI 8 MIKESE MOROGORO

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 15 янв 2025

Комментарии • 13

  • @VeronicaPaul-l8m
    @VeronicaPaul-l8m 28 дней назад +1

    Mbele yao nyuma yetu wapumzike kwa amani.
    Jamani ajali hizi mwisho wa mwaka, tuombe tu Mungu atuepushe

  • @neemaraphael7083
    @neemaraphael7083 29 дней назад

    John Mungu akupe pumziko jema😢😢 poleni ndugu zetu

  • @Najimasaidysaidy
    @Najimasaidysaidy 28 дней назад

    John😭😭😭😭 wetu

  • @MpondaMartin
    @MpondaMartin 28 дней назад

    Ajali imeenda na dadaangu daaaah

  • @kabujeasukile5462
    @kabujeasukile5462 29 дней назад

    Poleni sana ndugu ya jamaa wote wa marehemu 😭😭😭😭

  • @husnamadai7052
    @husnamadai7052 29 дней назад +2

    Inalillah wainaillah rajiun

  • @MwajumaMrisho-n4d
    @MwajumaMrisho-n4d 29 дней назад +1

    Kama ningekuwa nauwezo nikatoa tamko ukifika mwezi 12watu wasisafili poleni sana family nataifa kwajumra

  • @MakegoMakengo
    @MakegoMakengo 27 дней назад

    Sina house moyon maana najua ni muda kit ambo tu john tutaonana ile asbuh njema

  • @MathewSeveline
    @MathewSeveline 29 дней назад

    Duuuh aiseee polen sana

  • @sebastianjoseph9457
    @sebastianjoseph9457 28 дней назад

    Swali langu Kwa Nini majeruhi mnawatoza pesa ya matibabu pasi kuwatoza kampuni husika.

  • @sulemanikimazi
    @sulemanikimazi 14 дней назад

    Polen

  • @QuenMarandu
    @QuenMarandu 28 дней назад

    Poleni

  • @japhariabasi01-i3k
    @japhariabasi01-i3k 29 дней назад

    Rest in piece john MATONDO kaka umetuavhia simanzi