Размер видео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показать панель управления
Автовоспроизведение
Автоповтор
ushauri wa bure. kabla ya kukata hakikisha unapima size ya jicho lako ndipo utambu unatakiwa ukate kiasi gani. kazi nzuri dada. nimependa wimbo pia
Swahili 101 nimeipenda dear
Swahili 101
safi xn dada
Nakubaliiii
nashukuru Dada kupitia wwe nimevijua vingi,love it
Uliyotumia kushikia kope inaitwaje?
Nimeikubali kazi yako dada hongera sna
dada Leila mungu akubariki jamaanii yaan nafatilia video zakoo unajua kuelekezaa,,barikiwa mpendwa😍😍😘😘
Wow manshaallah 😘😘
hongera sana
Hapo poa mamy nimekuelewa kabisa Yani na huo wimbo Yani dah full burudaani mwaaaaaa
Wimb unanikosha mie napenda kazi yako uko vizur
asante.... tunaongeza ujuzi mwaya
Nashukuru mpnz
Anti ilikua naomba namba ya sim
nimeipenda sana
shukran dada
nywele ulzosuka znaitwaje
Nimependa iko poa
Iv unabandika juu ya kope
Nkpenda bure
huwa sichoki kuangalia video zako, napenda jinsi unavyofundisha naakuelewa
Asante dear, usikuose kuangalia na video zangu zingine
ivo vya blue ulivopaka n vitugan
Eye liner
Umenikosha dadangu kwa huo Wimbo tuu Wimbo huo roho yangu lo
Hhahaha nashukuru mie mwenyewe shabiki namba moja wa Esha mashauzi
Hello....jinsi ya kubandika kope za mkanda unatumia gundi ipi
dada umetumia gundi gan
Grace Kimaro no
gundi inaitwaje
Rebecca M ntakutumia jina
Duo
Jina ya gundi inaitwaje