Размер видео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показать панель управления
Автовоспроизведение
Автоповтор
Kazi nzuri
Hooh ume fanya vizuri sana
Nakmba kuuliza je kope nzuri ni zipi
Kwaiyo mpak upate mazara
Mazara ni nini?
Nice video dear
Thanks dear
Saf dada
Mimi hujaribu lkn sijui nakwama wapi wallai
Endelea kujaribu kadri unavyojaribu ndo unazoe kufanya kitu mwisho unaweza kabisa
Mambo??
Hongera kazi nzuri hivi twiza mnanunua wapi
Asanter dear. Twiza unapata kariakoo maduka ya urembo wanazo
Naomba namba zako plz nahitaji kujifunza zaid
Karibu sana... nicheki instagram @simply_zacky
Sorry dear hv unabandika juu ya nyama hapo juu ya jicho au unabandika juu ya huo mstar wa eye line msaada pls dada
Unabandika kwenye eyeliner dear. Ukibandika juu sana kutaweka uwazi kati ya kope yako na uliyobandika na kuharibu muonekano wako so hakikisha kope ya bandi iko sambamba na yako
@@simplyzacky Shukrn kipnz chng barikiw mno 😗😗