Asante Sana kwa darasa na hongera Sana ! Kupata makeup kit yaan set nzima sh ngap nikitak kujifunz practically nafanyaje! Mimije ni mgen kweny Darasa napenda san kujifunz kupitia
Dada ubarikiwe sana nimejifunza vitu vingi sana kwako nauwa nakufwatilia sana mungu akubariki sana huna baya huna choyo nimtu watofauti sana ubarikiwe sana tena sana
Hongera sana madam faa make up nzuri nimependa
Asante Sana kwa darasa na hongera Sana ! Kupata makeup kit yaan set nzima sh ngap nikitak kujifunz practically nafanyaje! Mimije ni mgen kweny Darasa napenda san kujifunz kupitia
Hongera dada pia Asante tunajifunza vitu vingi kupitia wewe asant san
Naipenda sana kaz yako madam..hiyo bei ya foundation zinakuw ngap
❤️❤️❤️ nimependa na nimeelewa
mungu abariki kaz ya mikono yako nitatoka na kitu niko njian mwanafunz wako full course
jaman napenda sana kujua ❤
Mashallah ❤️ la online je
Nzuri sans nimeipenda na nimejifunza pia
Napenda kujinza mungu akuzidishie afya tele
Napendaz Sana ihi fani
Dada ubarikiwe sana nimejifunza vitu vingi sana kwako nauwa nakufwatilia sana mungu akubariki sana huna baya huna choyo nimtu watofauti sana ubarikiwe sana tena sana
Amiina Nashukuru snaa
Napenda San ishaallah
Good job
Napendaa kazi zako naendelea kujifunzaa
Mungu akubariki Sana dada na mm natamani nijue Kama ww ipo kwenye damu
Vifaa ful beign
Nice dada
Mashaallah
nahitaj kua model jamani❤
Nakukubali sana mumy naomba niwe modo wako
Mimi napenda sana hii kaza
❤ upo vzr dear
Napenda sana niwe kama ww
Asante kwakutufundisha dada
hongera upo vzr
Make up nzur my dear
Upo vizuri sanaaa
Napenda sana nijue naendelea kujifunza
Looking gd
Najifunza
Kweli kabisa fondeeeshen zenu ninzur
❤ so nice
Kapendeza
Asante dada kwa darasa
Love it from Kenya
Hapo chini ya macho sikuona ukipaka eye liner
Hbr dad faa mm nataka kujifunza kweny group
❤❤ sana madam
Asante dada mungu akubariki Sana
Ameen barikiwa pia
Asante sana kwa musaada Yako dada yengu
Waoooh!!!! Nmependa💞
Waouh ! Make up nzuri ❤
Napenda sana ikazi dada yangu nakufatilia sana kabisa
Waooo naman
Napenda kua modo wako
Kuna tofauti gan kati ya high light na high lighter mana sijaelewa kama unasema eye au high
Mnakazi nzulii sana
Sante snaa
nimezipenda video zaka ninashida nijiunge kwenye madala ya wsp nfanyaje
Cute
Lipstick ya pallete bei gani?
Kwhy hizo setting powder zipo kila rangi...na jee unatumia yyt tu au kila mtu anatumia ya rang yke nipe maelekezo hapo
Make up nzuri
Izo foundition mnauza kwanzia ngap
Dear hiini cmpo makup?
Napenda kujifunza na darasa lako
Waaooo!! Napenda kujua dada ni ndoto zangu
❤🎉🎉
Nahtaj makeup
Mimi nilinunua vifaa vya makeup kwako
Nimependa darasa lako
Habar natamani kujua kupaka mekap plz
Napenda kujiunga na daresay lako
Nzuri sanaa❤
Jamani ukovizur
Nimependa bure jmn unafundisha vzr
Jmn npenda San tatz Dah ada😢
Asant tunajifunza
madam mbona mala lakimbili...mala lakimbili na ishirin sijakuelewa apo niweke sawa mm nikija nijue nakuja na kiasigan
Nataka foundation
Ukilipaa elf kumi na mbilii ni kwa miezii ngap au kwa muda gan nitalipaa tenaa
Sijawah kujuta kuangalia video zako Dada mpenz
Nimependa jmn nitakuagiza set dada Niko bbt
Napenda kuwa modo wako mamy
Asant dada tunzid kujua vng
Msaada wa namna ya kuziba makovu kwa waloharibika usoni na wenye machunusi
Nimependa tena unaelekeza step by step mm nipo morogoro naitaji kuja dar kujifunza kusuka na mekap
Karb sanaa❤️❤️
Nataka hatua kwa hatua ili nielewe
Nimevutiwa na kazi zenu ntakuwa mteja soon
Niunge na group la whatsap napenda jamani
Sogeza shule karibu Kama kinondoni ili na sisi wa mjini tupate kuja maana tunafanya biashara kwa hiyo ikiwa karibu tunaweza kuchepuka
Napenda urembo wako jaman
Jamani mm nahitaji kuwa modal
❤❤
Dada hy 12 nikwamda gani
Huo mstari unaaunganisha nyusi moja na nyingine unatakiwa kubaki hivyo hivyo
Hapana 🥰
Nahitaji kujifunza makeup
Nafatilia jmn
Iyo bez nikinunua makeup.sikuti kwa gharama ya makeup natakiwa kutoa 25 tena
Maan umenivutia unavyo mpaka hyo dada hapo meka up
Nataka kusoma nahi congo
Napenda dada ila bdo sn ujuzi mkubwa
Me nataka uniunge kwenye ilo group lko sw
Napenda Sana kujinfuza Lakin uko mbali nilipo
Je madam hiyo 12000 wa whasp wafundishwa kwa muda gan
Halipo tena
@@faridaothman kwahiyo hufundishi
Anti ss iyoo nyeupee pia ni pda au
na mim nataman kuwa modo
Kama unadhilingi 50000 nataka vifaavya mekapu ndapata Mana Sina atakimoja ila napemdasana mekapu
dad Naomb uniung na group lak la whatspp
Napenda Sana
❤
Namba ya watsup
0657292650
Shida ya make-up yako MTU anakuwa na rangi mbili
Sa na wewe unaangalia ya nini dear?
Ni shingapi mecapu