JINSI YA KUJIFANYIA MAKEUP MWENYEWE / NJIA RAHISI / REVIEW YA ZIKEL PRODUCTS FROM NIGERIA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 29 дек 2024
  • ХоббиХобби

Комментарии • 53

  • @MariamAlly-b6h
    @MariamAlly-b6h 4 месяца назад +1

    ShuKraan sana tiffa storee 😘 watu wa chache sanaaa.. kam ww wenye moyo msafii wa kutoa ujuzii❤ but cogratulation also i belief tukija kujifunza utakuwahvy hvyo kutupa elim zaidi🥰 thanks so muchh😘🥰

  • @AishaBakari-f4e
    @AishaBakari-f4e 11 месяцев назад

    Waoo amaizing nimependa Kwa kweli full mecup inauzwa bei gan

  • @babymunah8293
    @babymunah8293 11 месяцев назад

    Mwanafunzi wako mpya mpaka niweze😊❤
    Nmekuelewa mnooo

  • @lilianchalse3266
    @lilianchalse3266 Год назад

    Wooh katika video zote nimewah kujifunza makeup hii ni hot yaan hot tena big up kipenzi

  • @UmmySuleiman
    @UmmySuleiman 2 месяца назад

    Mashaaaallah,nakuelewa vizuuri dada

  • @husnandumbala5214
    @husnandumbala5214 9 месяцев назад

    Asante dada kwa somo zuri, ila mm changamoto yangu ni sijui kuchagua meke up kulingana na rangi yangu.

  • @sophia-uv9si
    @sophia-uv9si 11 месяцев назад

    Uko vizuri mashaalah

  • @AbduliShabani-wy3lj
    @AbduliShabani-wy3lj 5 месяцев назад

    Mashaallah na m2 akitaka kujifuza nd inakuaje

  • @ELIZABETH-uz6dv
    @ELIZABETH-uz6dv 5 месяцев назад +1

    Ada ikoje❤❤

  • @KanyinyiSaid
    @KanyinyiSaid 6 месяцев назад

    nimekupenda my🎉🎉🎉🎉

  • @teedullah5708
    @teedullah5708 Год назад

    Mashallah uko powa

  • @lucykandie1109
    @lucykandie1109 Год назад

    Napenda kazi yako sana

  • @nabilaomary6978
    @nabilaomary6978 Год назад

    Kazi nzuri asnte

  • @MayaShomary
    @MayaShomary Год назад

    Unauzaje full package nataka kujifunza kupaka na watu

  • @hedayaabdulah
    @hedayaabdulah Год назад

    sh ngap vifaa dear

  • @khadijarashid5533
    @khadijarashid5533 5 месяцев назад

    Masha allah❤❤

  • @tatuadam4935
    @tatuadam4935 Год назад

    God job, Allah bless you ❤

  • @neemajonas3891
    @neemajonas3891 Год назад +7

    Jamani kipenzi Tunaomba Bei ya full makeup package ya ezel cosmetic

  • @SarikhaSarikha-d2y
    @SarikhaSarikha-d2y 4 месяца назад

    Mm nipo zanzibar sasa nikitaka ivo vifaa vya urembo nitavipataje na bei yake ipoje

  • @SaumuSimba
    @SaumuSimba 4 месяца назад

    Vifaa full vya makeup ni sh ngapi? Na nikinunua kunafunzo ambayo unatoa kwa ajili ya maelekezo au hamna

  • @SajmahKhairu
    @SajmahKhairu 10 дней назад

    Mm nataka nijifunze hio Kaz napenda saaan ,,nipe bei ya hvo vifaaa nijiunge nawe 😢

  • @Fatma-to6rq
    @Fatma-to6rq Год назад +1

    ❤❤❤❤sisi tulio kenya tutapata vp izo makeups

    • @tiffanystore_tz
      @tiffanystore_tz  Год назад

      Tunatumaaa

    • @nasrachimamy
      @nasrachimamy 8 месяцев назад

      ​@@tiffanystore_tzdada sorry ofisi ya ako ipo wap

    • @nasrachimamy
      @nasrachimamy 8 месяцев назад

      Me napend kujifunz ninaaidia kidg jpo si San ila napend San natk nikirud nije jujifunza now nipo mbali

  • @RestutaKashura
    @RestutaKashura 4 месяца назад

    Kwa vitu vizuri tu dukani mmebarikiwa isee ni vizuri

  • @MayaShomary
    @MayaShomary Год назад

    Bei gani full package

  • @SalmaSaidi-c5k
    @SalmaSaidi-c5k 11 месяцев назад

    Full makeup sh ngapi dada

  • @PatriciaLutindi
    @PatriciaLutindi 5 месяцев назад

    Waoo❤

  • @SophiaDavid-eu8wl
    @SophiaDavid-eu8wl 16 дней назад

    Mnapatikana wapi

  • @Fatima-v9k6f
    @Fatima-v9k6f Месяц назад

    Mimi nikipata makeup napauka tatizo nini dad

  • @MwajeyOmmy
    @MwajeyOmmy Год назад

    Nice

  • @zakiasimba6712
    @zakiasimba6712 8 месяцев назад

    D nahitaj hiyo set ni sh ngap?

  • @ShadyaSaid-sg8cd
    @ShadyaSaid-sg8cd Год назад

    Derrevery mundfnya zanzibar

  • @dorothylyimo5378
    @dorothylyimo5378 6 месяцев назад

    Mimi nahitaji foundition na makeup

  • @hedayaabdulah
    @hedayaabdulah Год назад

    good

  • @LasieSolomon
    @LasieSolomon 2 месяца назад

    Kujifunza ni bei gani

  • @christinamsegu
    @christinamsegu Год назад

    Will visit your shop maa

  • @oliveryolam8309
    @oliveryolam8309 Год назад

    full set shingap

  • @MwanamisiSalim-n4j
    @MwanamisiSalim-n4j Год назад

    Very mwaaaaaaah❤❤

  • @REHEMAMAHAWA
    @REHEMAMAHAWA 3 месяца назад

    Dada angu me natka vifaa hivyo

  • @dinabilemanga1703
    @dinabilemanga1703 11 месяцев назад

    Mim nahitaji hivyo vifaa nitavipataje

  • @AminaShaibu-n9i
    @AminaShaibu-n9i 11 месяцев назад

    Bei ya vitu vyote ivyo ninip

  • @MamaSylvia-d8t
    @MamaSylvia-d8t 6 месяцев назад

    Shoga angu mi naomba unigundishe wasap ,maskio yangu mabovu

  • @yolandakyara5847
    @yolandakyara5847 11 месяцев назад

    Yolanda

  • @SaadaKiyungi-uz6jn
    @SaadaKiyungi-uz6jn Год назад

    Dodoma mnapatikana wapi jamani ?

  • @RukiaLiku
    @RukiaLiku 7 месяцев назад

  • @abdullahalkindi6641
    @abdullahalkindi6641 4 месяца назад