JINSI YAKUFANYA FULL MAKEUP STEP BY STEP / VIJUE VIFAA VILIVYOTUMIKA
HTML-код
- Опубликовано: 1 янв 2025
- TIFFANY STORE ni Chaneli inayojihusisha na Maswala ya Urembo. Make up Tutorials, Make up Classes, Make Up Products, Ushauri wa Maswala yote yanayohusiana na Urembo.
Usisahau kuSUBSCRIBE na Kuweka Notification ON Kwa Video Nyingi Zijazo🙌🏾.
Unaweza Kutufatilia katika Mitandao ya Kijamii Kwa Kubonyeza LINK Zifuatazo.
INSTAGRAM @tiffany_store_tz
LINK: ...
TIKTOK @tiffany_store_tz
LINK: vm.tiktok.com/...
Kwa Mahitaji yote yanayohusiana na Masuala ya Urembo Unaweza Kuwasiliana nasi kama ifuatavyo.
CALL/WHATSAPP
+255783840811
LOCATION : Sinza Kamanyola , Shekilango Road
GOOGLE MAP : Tiffany Store , Shekilango Road
Nimependa unavyopaka conciller kwny wnja mashaallh
Mnajua kuelimisha na kasauti kazuri nimependa afu mrembo mwenyewe ni karembo kweli kweli yani kazuri MashaaAllah from Burundi nawapenda
Mashallah makeup pmbe ❤️❤️❤️anti Mimi nataka vifaa nipo Zanzibar vinaweza kunifika
Ndio, unapiga simu upate huduma na maelekezo
Mashaa Allah kapendeza unapokea wanafunzi
Nimependa said Sana huduma yako nzur
MashaAlla nimependa sana
Waooooooh nimeipendaa mnafundisha vizuri
Gooood
Mashaallah amependeza sana
nimewapenda bure nitakutafuta unitumie hiyo seti mimi niko Arusha
Hongera and I will be their soon
Brashi tu mnauza bei gan
Mambo daa mimi nimngeni hapa nanimependa masomo yako ila ikiwa inawezekana unitumie majina ya vitu vyote vya makeup nami nataka uwa mrembo asante Mungu akubariki
Love u cc
Maashaallahh ❤️❤️😘
Madhallah
Hiyo set ni pamoja na box lake?
Ninavyotulia hapa kuangalia
Mimi nipo pemba vip nitaweza kupat vifaa vy mak up
Hiyo lipstick ipo kwenye set ya makeup?
Mambo vip nimepata bag yangu kutoka kwako nilitaka kujua hatua za kufanya make up kwa mtu mweusi
Mashallah
Yaan hatua Kwa hatua
Mbn umepka high light mwanzo nawkt niyamwisho
❤❤❤
Rejareja ipo?
Da Tiffa ile makeup na begi lake bei gani?
👍👍😘💞
Kwani c ilikua laki 2 set bila bagi?
Saf
Iyo 250000 nipamoja name bag lake ?
Unapokea wanafunzi
Hv huyu dad anaitwa mage??
Nipo mwanza napataje?mna branch mwanza?
kuna mawakala, kama unachohitaji hakipo kwa wakala unalipia mzigo na Kutumiwa mzigo wako.
kapendeza mnoo natamani niwe mtaalamu kama wewe ngoja nijitahidi kukufatilia
So 250000 ni pamoja na box make up
Hakuna yachini ya 125,000