Asante mtaalamu mimi jtatu yangu huwa inahatibiwa na kiongozi wangu ni kama anaona umepoteza muda siku ambayo haikuwa ya kazi atakutafuta mf jpili kwa simu na kukusemesha maneno.makali na kukata simu huku hujui kitakachoendelea. Basi unalala na stress na hujui jtatu mtaianzaje kwa kweli ni Shida kubwa naomba ushauri
Asante san my brother nimejifunza vitu vingi sana kutoka kwako na nimeanza kufanyia kazi sasa maisha yangu naona yanabadilika sana kupitia video zako Asante san
My wife is a banker,Huwa namwona anapata shida sana inapoonza J3 toka anaamka hadi anafunga kazi.. Naamini hii elimu itamsaidia sana ku enjoy from monday to monday.. Thankx Sir
Ni kweli siku ya j3 watu wengi wanachelewa kazini kwasababu walikuwa weekend nzuri, lakini pia Kama weekend ikiwa mbaya watu wengine uwahi kazini ili wakapotezee na sio kuwahi kwa maana halisi ya kufanikisha kazi. Pia wasimamizi wa kazi wasipokuwa strict inaweza kuchangia Tabia za kuchelewa kwa visingizio ulivyoeleza.
Mimi kwa kweli nimejiwekea ratiba iwe jpili au jmosi zote naamka mapema maana napenda kuamka mda wa mapema zaidi ni mshukuru Mungu kwa kusali tena ni hukua mda wa nusu saa kusali, ndio nifanye mengine hiyo imenizaidia kuamka mapema kila Siku na hata kama nimechelewa Kulala ikifikia ule mda ninaonza kusali naamka natural.
Nashukuru sana kwa kuzidi kutukumbusha kiukweli video hii imebadilisha sana wiki yangu hii katika utendaji wangu wa kazi Swala gumu kwangu lilikuwa ni kuamka asubuhi
jumatatu me huwa naamka SAA moja nanusu najiandaa andaa mpaka SAA mbili nawahi treni nafika kariakoo SAA tatu nafungua kazi (machinga)kisha nawasubiri wateja ukiona siku nasinzia mchana ujue sikuhiyo haina ela wateja hamna najikuta nakaa mda mrefu usingizi unaniji najitahidi kuchati chati yah ivyo tu
Kutokuandaa ratiba kunacost sana siku ya j3 kuianza hasa ratiba za watt shule asubuh dah!! Pia kufanya kaz usiyoipenda napo ni changamoto kubwa kwangu kwa kweli nkiwaza kuamka nawaza kazini tu😫😫😫😫😫😫😫😫
Mimi kwa kweli nimejiwekea ratiba iwe jpili au jmosi zote naamka mapema maana napenda kuamka mda wa mapema zaidi ni mshukuru Mungu kwa kusali tena ni hukua mda wa nusu saa kusali, ndio nifanye mengine hiyo imenizaidia kuamka mapema kila Siku na hata kama nimechelewa Kulala ikifikia ule mda ninaonza kusali naamka natural.
Noted!Nitafanyia kazi hasa kushare vitu vibaya.Ahsante sana / somo zuri.
Ahsante MUNGU kwa kutuletea Kaka Joel mwalimu mzuri anae eleweka kila ambacho anatufundisha MUNGU akubaliki kaka
ahsante nabarikiwa sana na mafundisho yako
Nakukubali sana BLAZA Joel
Asante sana kaka kwa somo lako mungu akubariki
Safi sana mwalimu wangu
Nice bro hii nmeielewa san
Asante mtaalamu mimi jtatu yangu huwa inahatibiwa na kiongozi wangu ni kama anaona umepoteza muda siku ambayo haikuwa ya kazi atakutafuta mf jpili kwa simu na kukusemesha maneno.makali na kukata simu huku hujui kitakachoendelea. Basi unalala na stress na hujui jtatu mtaianzaje kwa kweli ni Shida kubwa naomba ushauri
Asante san my brother nimejifunza vitu vingi sana kutoka kwako na nimeanza kufanyia kazi sasa maisha yangu naona yanabadilika sana kupitia video zako Asante san
Asanteee sana brother Joel .. umenifungua macho . ubarikiwe sasa wacha nianze ukurasa mpya na Mungu atanisaidia
More appreciative broo
Asante sana Sir Joel Nanauka Iam changed kutoamka mapema haitaniharibia jumaa tatu yangu
Very powerful that is my frog
Thanks, unajua bro
Hili la kuamka mapema muhimu sana kulifanyia kazi hasa kwa watu wote ni kweli mambo huaribika asbh na sio mchana nimekuelewa sana Mkuu
Always nawahi kuamka bt najikuta nachelewa kufika sehem husika kwa muda muafakq
Shukran sana natamani ningekuwa kwetu Tz ningekuwa mbali sana kwa kufuata Elimu yako. Mungu akubariki sana kwa kuelimisha jamii.
Farida Mkesso hongera sana unaweza kuendelea kuangalia kupitia hapa ukirudi tutaonana
Joel Nanauka Asante sana. Mungu atupe uzima tu nikija nakutafuta . Pia kwa kuwa nimeona Email address yako nitawasiliana nawe . Good day
Kuchelewa kuamka kunanigharimu sana,asante Mwalim Joel
Nashukur Sana brother Kwa somo zuri.
Simon Fredy karibu Simon
My wife is a banker,Huwa namwona anapata shida sana inapoonza J3 toka anaamka hadi anafunga kazi.. Naamini hii elimu itamsaidia sana ku enjoy from monday to monday.. Thankx Sir
Kwa tunaosoma je
You're on my time table,, l must listen and read your video posts and facebook page,,,,
Sadick- FOUNDER TIEDF thanks sana help me to share the message to others,thank you
Thanks very much Hon. Nanauka. Let god lead you in everywhere you are.
Namba 1.
#Kuepuka kuchelewa Kuamka.
Nitahakikisha naifanyia kazi hii kwanza hadi niifanikishe.
Ahsante sana Kaka yangu Joel.
Daah bro umenibarki xna, cuz ulyoyaongea n ukwel mtupu, Kwan Kat y cku ya j3 nlyowah kuamka ni leo na nmewah pia kufka job n kaz had sasa naifurahia
Kazi nzuri hongera
Ni kweli siku ya j3 watu wengi wanachelewa kazini kwasababu walikuwa weekend nzuri, lakini pia Kama weekend ikiwa mbaya watu wengine uwahi kazini ili wakapotezee na sio kuwahi kwa maana halisi ya kufanikisha kazi. Pia wasimamizi wa kazi wasipokuwa strict inaweza kuchangia Tabia za kuchelewa kwa visingizio ulivyoeleza.
Thank you bro
Asante kwa mambo mazuri,yani ni kweli usipoiweka siku yako vizuru unahisi kila kitu kinavurugika.
Asantee brother Joel kwa ujumbe mzuri, God bless you abundantly
Sadick- FOUNDER TIEDF Ameen
Ubarikiwe sna bro Joel
Asante xana kaka Joel 🙏🙏
kuamka mapema mm kwangu ni tatzo sana dah
Asante nimekuelewa
Mimi kwa kweli nimejiwekea ratiba iwe jpili au jmosi zote naamka mapema maana napenda kuamka mda wa mapema zaidi ni mshukuru Mungu kwa kusali tena ni hukua mda wa nusu saa kusali, ndio nifanye mengine hiyo imenizaidia kuamka mapema kila Siku na hata kama nimechelewa Kulala ikifikia ule mda ninaonza kusali naamka natural.
nimekuelewa Mr nanauka
hua nakufuatilia sna ... ugovi au kugombezwa huwa inanitokea sna jumatatu
Gift Briton naamini umeshajua namna ya kukabiliana nayo
Joel Nanauka i think if unasehem unafundisha either group what'sapp ningepata link ingekuwa poa
naam
thank you J
Blessed broo..nimekupataa
Olais Mosses karibu sana
asante brother stay blessed much in Jesus name. .
David Andrew Marius Ameen thanks so Much
Asante somo zuri
Ni kweli kbs, jtatu ni shida hasa kwa walimu na waanafunzi.
asante sana kaka Mimi huwa ninaipenda siku ya juma tatu maana nilizaliwa siku ya juma tatu.ujumbe mzuri
fredy asante wow hongera sana Fred
Joel Nanauka asante sana kaka Joel.have a nice day
fredy asante ...wajiina nmii piiia kma wew
Thanks much brother Joel, me huwa nafeli sana kwenye kuamka mapema
Asante Ndosi itabidi uanze wiki hii😅😅
Joel Nanauka sawa kaka. Ntajitahidi sana mkuu
Asante Ndosi b
Kaka joel napenda mafundisho yako yamenibadilisha kwa kiasi kikubwa sana
Asante.. Br early conflicts
Gildas nyaki ahsante sana inabidi upambane na hii hali
Asante kakaetu
Mimi yani hua nakuwa taabani kabisa ,nitafanya mabadiliko aisee
Nmekuelewa Mr Joel
Asande sana jomba nime jifunza kitu.
Salome Mukani karibu sana Salome,karibu sana
Daa namshukuru sana but
Jumatatu nakuwa very disorganise
apa nimejifunza hahahahahaaaaaa sijawahi Waza hiliii....
Thanks
🙏
Hii ni kweli,nakumbuka jumatatu ilikuwa ni siku mbaya sana kwangu nilipokua A-level kwa sababu hizo zote zinanihusu
Nashukuru sana kwa kuzidi kutukumbusha kiukweli video hii imebadilisha sana wiki yangu hii katika utendaji wangu wa kazi
Swala gumu kwangu lilikuwa ni kuamka asubuhi
Kak nikwel mim jumaatat nakuwa na izarau san
ahsante bro
Halawa Malimi karibu sana
I like it
We mjamaa una akili sana. Wish nikutane na wewe one day. Hope will enjoy the moment.
David Njau thanks David nami naamini tutakutana nitafurahi sana kukuona
Iko poa sana
ubarikiwe
kaka Joel mm kila jumatatu Mara nying huwa nachelew kuamka, nashukuru sana kwa somo zuri ntajitahdi kubadilika
Emmanuel Yusuph Ahsante sana Emmanuel,naamini itakusaidia sana
jamani, asante
J,3 nayo bana inaboa
kweli kabisa kaka ila mm naona ni vema ukaamka mapema kila ck hata kiakili unakuwa poa zaidi
Lynus Jacob kabisa Lynus
Shukran kaka
Nataman KUPATA mawasiliano yako.... Maana
thanks joel guys click the like botton kaongea vya maana afu videos zake hazichoshi
Urembo Asili Ahsante sana kwa kushare video
absolutely,.!,.you're correctly.,!,.
Kwahiyo hiyo ya pili inamaana kujipangilia ratiba ya juma tatu mapema
Mara nyingi hats nikiwahi kuamka yaani nitajuzungusha mpaka nachelewa lakini Leo nimewahi
Thanks bro.
Kuamka Kaka
thanks broo
ni kweli Joel nanauka
jumatatu me huwa naamka SAA moja nanusu najiandaa andaa mpaka SAA mbili nawahi treni nafika kariakoo SAA tatu nafungua kazi (machinga)kisha nawasubiri wateja ukiona siku nasinzia mchana ujue sikuhiyo haina ela wateja hamna najikuta nakaa mda mrefu usingizi unaniji najitahidi kuchati chati yah ivyo tu
Asante
4
mimi ninatatizo nikiwa napesa nashindwa kitu chakufanya zikiisha mawazo na mipango mingi inaibuka kichwani
Nipe namba yako ya simu please
Kaka muda mzuri wa kuamka na kulala ni upi na nivitugani nifanye ili niweze kuzingatia muda pia nashida na vitabu vyako navipataje
Huwa nachelewa kuamka
munah haji ndo uwahi mamyyy
Lynus Jacob yeah inabidi niwah mana mda ni mali mpndwa
munah haji kabisa alf unakuwa poa ck mzimaa ukichelewa unakuwa km mgonjwa
Kiukweli ni kama nasaha unanipa...akili inatulia sana ninapokuskiliza
Kutokuandaa ratiba kunacost sana siku ya j3 kuianza hasa ratiba za watt shule asubuh dah!!
Pia kufanya kaz usiyoipenda napo ni changamoto kubwa kwangu kwa kweli nkiwaza kuamka nawaza kazini tu😫😫😫😫😫😫😫😫
Kaka kuna mda unajikuta boss Anakuharibia J3 yako unajikuta huna jinsi ya kukwepa
Kuamka da
its maya vipi ni changamoto yako pia
yep kuamka ni changamoto kwang sana
Nnaweza kupata wap vitabu vyako mm npo mwanza
Kwa upande wangu npo dis organize na hii hali nashindwa kuiweka sawa kadri niwezavyo
Mashauli yako mazuli
Kaka naomba unipe email address yako kuna jambo nahtaji unishauli private
Haji Jumanne karibu haji jnanauka@gmail.com
Joel Nanauka asante sana kaka nitakucheki
Mungu akupe maisha marefu mwalim Masada wako ni mkubwa
Haji Jumanne hata Mimi nikonamatatizo
Joel Nanauka ndugu nitapataje namba zako
Ni kweli kbs, jtatu ni shida hasa kwa walimu na waanafunzi.
Carolina Mushi ni kweli kabisa
Namba 1.
#Kuepuka kuchelewa Kuamka.
Nitahakikisha naifanyia kazi hii kwanza hadi niifanikishe.
Ahsante sana Kaka yangu Joel.
Mimi kwa kweli nimejiwekea ratiba iwe jpili au jmosi zote naamka mapema maana napenda kuamka mda wa mapema zaidi ni mshukuru Mungu kwa kusali tena ni hukua mda wa nusu saa kusali, ndio nifanye mengine hiyo imenizaidia kuamka mapema kila Siku na hata kama nimechelewa Kulala ikifikia ule mda ninaonza kusali naamka natural.
Carolina Mushi hongera sana Carolina