Waliounlike hii video hawajui kupika keki hata ya nusu😏😏😏 hongera mkubwa wangu ma sha Allah,ma sha Allah..may Allah bless you Kwa kutufunza my love ❣️❣️❣️
Hongera kazi nzur napenda sana ila mi sijuw nakosea wapi nikioka Huwa katikati haiiv haraka na inanisumbua kuiva naomba unisaidie hata Kwa kunielewesha
@@mziwandabakers8297 samahani naona hujanielewa swali langu mimi ndio najifunza ku bake sasa mimi nimezoea kwamba unga nusu utatumia magarine nusu, mayai 6,sukari nusu au utapunguza kidogo sababu sukari haina madhara kwenye vipimo ila nimeangalia hii video nimeona unga wa kilo moja na nusu umetumia margarine 800gm na mayai zaidi ndio nikawa sielewi.
Waliounlike hii video hawajui kupika keki hata ya nusu😏😏😏 hongera mkubwa wangu ma sha Allah,ma sha Allah..may Allah bless you Kwa kutufunza my love ❣️❣️❣️
Huenda wanamatashi Yao dear, thank you dear
Naomba namba zako nahitaji mafunzo mpenzi namba zangu mimi 0762292987
@@mziwandabakers8297 blue and umeweka kiasi gani dear?
@@ummuhaula1848 nnfefeffnrnnnnrfn rfnenefenfnnnrnrbnnbrrbbefrefmrrrbrdgerbbfrcrrrbrrefbnrbn nn job x99
Asalam aleikum Oven yako wap umenunua inaitwaje samahan plz
Asante mpendwa unafundisha vzr barikia
Kazi nzuri dada,,,
Hongera 😍
Shukran dear
Asante dear barikiwa sana
Ahsante sana had raha
Good,, thanks much
Mashaalah Allah akuzidishie dear asante saana kwa kushare Only Allah atakulipa
Amiin Yaa Rabb 😘😘
Asante kwa Somo zuri tunajaribu
Pambe my mashaallah nmependa mm pia ntaanza hiyo biashara
Habari yk nashukuru sana kwa darasa napenda kukufatilia kl sk
Asante mziwanda. Be blessed 🙏
Nimependa sana keki hiyo, nami nitajitahidi kufanya hivyo ninaamini itanitoa.Mungu akubariki,kazi yako ni njema
Mashaa Allah Mungu akuzidishie kipenz ❤️😋
Asante kwa somo 🙏
Thanks ❤❤
🎉🎉🎉 nawakubali sana
hongera kipnz naomba kujua kama unadarasa online nijifunze zaid
Shukran aunt napenda sana
Asante mno my ,Allah akulipe
Amiin
Asante kwa Mafunzo
Hongera nakuja mnapatikana wp nahitaji Namb nijibu
Kaz nzur der🙏🏾🙏🏾🙏🏾
Asante sana my dear
Hongera safiiiiiiiiiiiii Sana
Asante unafundisha vizuri nimependa 😅
Hahahahaha
Dada big up uko vizuri
😘🙏
Ubarikiwe sana mpenzi kwa kushare ujuzi, nakufatilia mwalimu
🙏🙏
Naomba no zako za simu dear.kazi yako nzr
@@mziwandabakers8297naomba no za simu my.
Nimeipenda dada endelea kutudufundisha sisi ambayo hatujui
Hongeren mpo vzur
Shukraan sana izo tin za aluminum tazipataje
Hongera nimependa
Asante sana
Nimesha jaribu kupamba weeeeee ❤asante my dr🎉
Nakukubali mwalimu
Assalam aleikum warahmatullah wabarakatuh ramadhan Mubarak saum mabrouk inshallah ameen mashaAllah mabrouk cakes bomba
Alayka salaam warhmatullah wabarakatuh....Amiin Yaarabb Amiin
💗🎉 8:51
Expecting more. Good job
🙏
Hongera kazi nzur napenda sana ila mi sijuw nakosea wapi nikioka Huwa katikati haiiv haraka na inanisumbua kuiva naomba unisaidie hata Kwa kunielewesha
Naomba no yako dada, mimi ni mwanafunzi nipo kigoma ndo najifunza kupika keki
Good
Real like it... blessed mom
❤
Allahu barik
Oooh asante sana ccy
Karibu dear
@@mziwandabakers8297 asante sanaa cc
Nimependa
Nimeipenda uko vizuri natamani nami kufikia hapo ndo kwanza naanza
Maziwa kiasi gn my dear
Kikombe na nusu dear
@@mziwandabakers8297 dada kikombe cha mls ngap umetumia?
@@mziwandabakers8297 dada kikombe cha mls ngap umetumia?
ASANTE
Nimependaa😍😍
Best nimependa unavotengeneza my,ila mie nikitengeneza haichambuki plz nilikuwa naomba ushaur
Mko vizuri sana Mimi nataka sufuria tapataje
Mashallah😊
Napenda Sana nijue my
Ahsante nimejifunza na nitaipika nione
Nice job.
Ina ladha nzuri sana
Kazi nzuri
You are doing fine
Napenda kujifunza kupik keki unafundisha kupika na bites
Najuwa lakini sio sana nahitaji kujifunza zaidiii hasante mom
Well explained thanks
You are welcome
Nimeipeleka sana hiyo keki kipenz kinacho nikwamisha msingi tu
asantee my teacher
❤
Dada nimelipenda darasa lako,hongera
Asante naomba kuulize which kipimo kina patikana wapi?
Tnx
Nakupenda mno 😍
😘
Hellow nimependa mafundisho yako nikiitaji zaidi nakupataje
Ongera
SoMo zuri .oven hiyo inauzwaje na ni Lita ngapi
Nakupenda sana kwa sababu upo kibiashara zaidi unawakwamua wengi ningeomba utufanyie fruit ya biashara nakuomba dada
Keki fruit ama ipi dear,karibu sana
Dada habari yako, naomba namba nikutafute kwa upishi zaidi.
Naomba kuuliza mbona ratio ya unga na margarine haziendani na mayai ni sahihi?
Ratio yake huwa ipoje, tafadhali
@@mziwandabakers8297 samahani naona hujanielewa swali langu mimi ndio najifunza ku bake sasa mimi nimezoea kwamba unga nusu utatumia magarine nusu, mayai 6,sukari nusu au utapunguza kidogo sababu sukari haina madhara kwenye vipimo ila nimeangalia hii video nimeona unga wa kilo moja na nusu umetumia margarine 800gm na mayai zaidi ndio nikawa sielewi.
Jamani nami naitaji kujifunza
Nice
Hongera Sana. Naomba kujua vyombo vyako vya kupikia cake hizo ni bei gani kwa pamoja?
Naomba kufahamu gharama ya vyombo vyote vinavyo hitajika
Maziwa kiasi gn
Dada kwanz Asante but kam huo mchanganyko wa kilo na nusu natak kuipk kweny sufuria mbil tyu nitatumia ya inch ngapi ili utosh vzr
Nifundishe mamy
Upo wao
Nashukuru nimejifunza, nifanyeje ili keki iwe nyeupe ndani isiwe na iyo njano ndani
Mchawi sukari dear
Tumia sukari nyeupe
Nahitaji kujifunza 0:53
M.a
Unapatikana wapi ni nzuri sana
Naomba namba ya CM dada angu
Naomba unitumie namba wasapu
Je nikitumia unga kilo Moja taweka mayai mangapi
Me sjui kabisa kupika keki ndo najitunza
Asante Sana Kwa somo zuri.
Mimi ni fan wa recipe zako . Naomba kujua darasa live ni wapi. ?
Kwanini Mimi kila nikipika inapasuka San juu
Naomba kuuliza je ninaweza nikaoka keki na kuipamba halafu nasafirisha kwa muda wa siku mbili bila kuharibika? Please nisaidie majibu
I'm new here
Karibu
Masha Allah
Napata wapi mizani km izo za kupimia. Nipo Zanzibar
Barikiwa mno
Amiin love
Aslam alykum nauliza sali mbona me nikipka keki zinafanya kama kurudi inafinyaa
Keki nzuri
😘
Naomba namba zako dada
nakufatilia sana dear je unaweza kutusaidia kujua kazi za improver?
Inaumua cake bby inaifanya inazid kua kubwa .....nzr kwa business purpose😊
Safi sana
🙏🏻🙏🏻