MAKONDA AJIBU MAPIGON ya UWT "Siogopi na Wala Sitishiki" UKIZINGUA NAKUFYATUA HATA UKIWA MWANAMKE,.🙌

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 26 май 2024

Комментарии • 225

  • @SimbaNaali-fw3zz
    @SimbaNaali-fw3zz 21 день назад +54

    Team makonda oyeeee piga kazi kamanda

    • @GodfreyOsward
      @GodfreyOsward 21 день назад

      Hakuna team hapa, ili tuendelee raia tushangilie magoli.

  • @samwelnevele7796
    @samwelnevele7796 21 день назад +27

    Nilichukia sana mwanamke mshezi yule aliyetaka kumupunguza makali kijana wetu makonda piga kazi makonda

  • @rubenmsimbe934
    @rubenmsimbe934 21 день назад +6

    Tofauti yako makonda ww hufanyi kwa uchawa,umedhamiria kumsaidia Rais kweli kweli,baadhi ya watu wanadhani kwa kuwa Rais ni mama hvyo wanaweza kupitia jinsia kumpelekea majungu,nampenda Rais Samia kwa utulivu anaouonesha,hashawishiwi na majungu bali anafanya kinachostahili, PIGENI KAZI VIONGOZI WAZALENDO..❤❤❤❤❤

    • @williammakali1759
      @williammakali1759 21 день назад +1

      Kwakweli watu wasijifiche kwenye kivuli cha jinsia. Hapa ni kazi tuu, piga kazi Makonda. Elisha akamwambia Gehazi, walioupande wetu ni wengi kuliko waliokinyume nasi. Halafu kale kalugha alikokatumia kakusema, mnaowateua, siyo kazuli Sana, maana anadharau muhimili wa ...? Wateuzi

  • @vendelinmassawe1795
    @vendelinmassawe1795 21 день назад +10

    Nilisubiri sana haya majibu. Miongoni mwa mambo yanayoturudisha nyuma kimaendeleo na kuziba watu midomo ni hizi/hivi vitasisi vinavyojita haki za binadamu au mama na watoto,Yaani kwamba mwanamke asikosolewe au Akikosolewa aeleswe kwa kubembelezwa. Ijulikane umechagua kufanya kazi fanya kazi ukiboronga utasemwa Madamu hakumtusi Kazi iendelee

  • @EmmanuelRazalo-qz5cr
    @EmmanuelRazalo-qz5cr 21 день назад +8

    Najikuta mnyonge Sana nabadhi ya maswali magumu Sana najiuliza ivi kweli makonda utaishi mda mlefu ila kazi yangu ni kukuombea mungu wakati wote

  • @samuelmwaikambo5691
    @samuelmwaikambo5691 21 день назад +11

    Stay strong and your strong! Leadership always God fear not human! Nakuunga mkono 100%.

  • @sakibumakoke9197
    @sakibumakoke9197 21 день назад +32

    Nimefurahi Sana waambie hakuna Cha jinsia hapa watu wafanye kazi ubarikiwe makonda

  • @sambulugu9988
    @sambulugu9988 21 день назад +15

    Asanteh sana Makonda! Mungu ni mwema siku zote!

    • @ben.tz9
      @ben.tz9 19 дней назад

      Koromije ilitoa namba haisomeki

  • @mercyzakariah
    @mercyzakariah 21 день назад +20

    Wewe ni rais ujae kama vile ulivyo mtabilia mama samia kua makamu wa rais, wakwanza mwamke, hatamie nakutabilia uje uwe rais wetu kijana shupavu,, tunajua ccm imejawa na mafisadi tu

  • @mercyzakariah
    @mercyzakariah 21 день назад +14

    Ccm wakija kuku wekea kiwingu.. wa tz milioni 68 tuko nyumayako tutakuchagua uwe rais wetu tz, tutakuchagua kwacha chochote, ccm wakikuwekea kiwingu..samia oeeee

  • @gasperaroni5751
    @gasperaroni5751 21 день назад +24

    Makonda mimi nakukubali sana usiogope hao wasema hovvo wezi wanalindana

  • @jackmabirangacharles9398
    @jackmabirangacharles9398 21 день назад +7

    Asante Baba chapa Kazi nimekuelewa vyema Mkuu piga kazi

  • @felixkamkala3303
    @felixkamkala3303 21 день назад +9

    All the best kijana mwenzangu ninakwambia Ivi sisi tulio zaliwa kuanzia miaka ya 1980 atuyumbishwagi kizembe kizembe

  • @dorahmushi-we6ts
    @dorahmushi-we6ts 21 день назад +5

    Kweliiii
    T. M . U
    Mungu azidi kuwatangulia ktk kila mnachokifanya, hata viongozi wa chini kama ktk kata nk wameanza kupambana na wanyonge tunajipanga kupata haki zetu nk.
    Niendelee kumsihi kila anayemuelewa Makonda na kundi lake, tuendelee kuwa ktk maombi,k tuwaombee kuanzia raisi, waziri mkuu na wote wenye mapenzi mema kwetu.
    TEAM MAKONDA UKOMBOZI wananchi tunawaelewa.

  • @Gelenya-ne2ip
    @Gelenya-ne2ip 21 день назад +10

    Rais alibaguliwa! Hawakujitokeza kumsemea! Leo kunani!

  • @simongwandu7392
    @simongwandu7392 21 день назад +10

    Big up Mkuu piga span tuko nawe mbona hawasemi haki ya wananchi

  • @golebenson4597
    @golebenson4597 21 день назад +5

    Ulikuwa makonda mbona kama umechelewa ARUSHAAAAAA INANYOOOKAAAA

  • @britonkanumba6828
    @britonkanumba6828 21 день назад +5

    Na coment kwa furaha sana machozi ya furaha yakinitoka wanyooshe hao wazembe

  • @SuzieAllen-xg2zb
    @SuzieAllen-xg2zb 21 день назад +3

    Kweli baba fanya kazi wazembe wengi nakukubali sana muheshimiwa Mungu amekuleta ututete wanyonge

  • @gamap2023
    @gamap2023 21 день назад +7

    Kuna nguvu ya ziada ipo ndani yako, nakuombea sana

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 21 день назад +4

    Makonda unasema kweli Mwanangu ❤❤❤❤ Mtani hoyooooo ❤❤❤

  • @davidmickidad6842
    @davidmickidad6842 21 день назад +5

    Tunakupenda sana Magufuri wetu....

  • @labshabani3601
    @labshabani3601 21 день назад +4

    Uko vizuri MH makonda wote wanaopiga kelele ni wala rush

  • @geofreytimothy5858
    @geofreytimothy5858 21 день назад +15

    Big up Mhe. Makonda. Piga kazi.

  • @EvarineMdaki
    @EvarineMdaki 21 день назад +3

    Makonda. Be blessed.

  • @rajaburajabu3963
    @rajaburajabu3963 21 день назад +5

    Safiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii....... this is the best one

  • @halimamasai2234
    @halimamasai2234 21 день назад +3

    Makonda haogopi chochote mtajisumbua tu Makonda yupo juuuuuuu❤❤❤

  • @kennedyjohn8900
    @kennedyjohn8900 21 день назад +6

    Mwambie achague Moja kama anataka kazi afanye kazi inavyotakiwa kama anataka jinsia awafate hao wamama wenzie

  • @piusngasa4201
    @piusngasa4201 21 день назад +14

    Safi Sana makonda ,wanyooshe sawasawa,

  • @Ommybabaa47
    @Ommybabaa47 21 день назад +1

    Alhamdulillah Piga spana kamanda makonda hakuna kutabasam kaz kaz tuu kutabasam ni kwa mungu huko tena waku vumile wakuvumilieee mollah akupe afya njema sisi kodi zetu ziliwe alafu eti eti eti etinini piga kazi 🤲

  • @adrianswai2784
    @adrianswai2784 21 день назад +4

    Pigaa kazi mkuu Mwenyezi Mungu akulinde kwa Kila jema

  • @GibsonNtamamilo
    @GibsonNtamamilo 21 день назад +1

    The Best Regional Commissioner ever seen. Big up Makonda

  • @abednego3876
    @abednego3876 21 день назад +6

    Salam izi ziwafikie Chadema na Waseng* wote.Safi sana Makonda

  • @mercyzakariah
    @mercyzakariah 21 день назад +8

    Jembe letu piga kazi,, hao wanaosema jinsia hao ni wapigaji na wala rushwa.. hao niwazembe.. rais wetu samia alidhalilishwa. Sana tena sana hakuna mwanamke yeyote . Ali simama kumtetea rais wetu, nyie ni washenzi majizi tu. Maonda chapakazi,, samia oeeeeeee

  • @obadiakimaro6375
    @obadiakimaro6375 21 день назад +5

    Upo sawa mkuu, kazi iendelee

  • @user-de2rg9kk7u
    @user-de2rg9kk7u 21 день назад +4

    KIONGOZI MAKONDA YUPO KAMA MIMI KABISA 💪

  • @MusaOgwoko
    @MusaOgwoko 21 день назад +7

    Huyu ndiye kiongozi jisia ndio nini Wala rushwa wengi Sina TZ

  • @hassanmwallimu5767
    @hassanmwallimu5767 21 день назад +4

    Upo sahihi kabisa Mhe Makonda

  • @JemaSanga-xf6tj
    @JemaSanga-xf6tj 21 день назад +5

    Safi sana Makonda nakuamini kitambo

  • @JulitaMakundi
    @JulitaMakundi 21 день назад +1

    Makonda mungu wa mbinguni akutunze na damu ya yesu ikukumbatie adui asikupate, chapa kazi kakaa

  • @LusajoKabuka
    @LusajoKabuka 21 день назад +5

    Endelea kutetea wanyonge baba nawe mtetezi wako yu hai maadui wako ni hao hao wanaccm wenzako walala hoi wananchi wa kawaida maelfu kwa milioni tunakuombea kwa mungu akulinde asiyelala Wala kusinzia habari ndo hiyo

  • @MichaelKingazi-wm7xj
    @MichaelKingazi-wm7xj 21 день назад +1

    Piga kazi,Piga kazi,sindano inauma sana,sanasana, tuweni kitu kimoja,let us all ccm members talks 1⃣ language,we have good arrangements to solve any problems. Amen

  • @JeremiahMwalukosya-eh5nf
    @JeremiahMwalukosya-eh5nf 21 день назад +4

    Shida ya ccm waovu tena waovyo sana niwengi sana wamemvaa shetani kama alivyo niwezi watu makonda Yuko tafauti na Wana ccm wengi

    • @Kalunirashidi
      @Kalunirashidi 21 день назад

      sasa kwasababu ya maofu ndio yaachiliwe Ayo maovu

  • @lengojustin4664
    @lengojustin4664 21 день назад +3

    Safiii wala rushwa wamezidi arusha komaa nao kamanda tunakuombea mungu

  • @allymasasi909
    @allymasasi909 21 день назад +1

    Hongera sana makonda chapa kazi mungu akutangulie

  • @gladnessmichael2459
    @gladnessmichael2459 20 дней назад

    Mh Makonda nakupenda Sana Kwa jinsi unavofany kz najua hata hivyo Kuna wigo wa Kaz unataman ufikie lkn ndo Ivo ila nakutabiria ww ni sawa na yusufu una mambo makubw Sana ndani Yako hakika wkt ukfk utakuw mtu fulan amen

  • @user-jr9iq2ig3z
    @user-jr9iq2ig3z 20 дней назад

    Wapelekee mto kamanda mungu Iko nawe na sisi tuko nawe kwahiyo wanyanyasa wanchi Wala rushwa👍🙏

  • @aliali-ji9ym
    @aliali-ji9ym 19 дней назад

    Mungu ukuzidishie nguvu katika utendaji wako, kiongozi kama huyu inapendeza sana

  • @zakarialuhemeja444
    @zakarialuhemeja444 20 дней назад

    Hongera mhe piga kazi. Kazi za serikali hazina cha jinsia. Kutetea wazembe ni ulimbukeni wa ubinafsi

  • @piusmaduka
    @piusmaduka 21 день назад +7

    haahaaa! Mr. President wa baadae unafurahisha. una majibu konki na sijui wanajisikiaje tu Hadi aibu kwao. wivu umewatawala kama kwamba wao hawana wajibu wa kuwahudumia wananchi kama unavyofanya Mr. President wa 2030

  • @lodnessEnterprises779
    @lodnessEnterprises779 21 день назад +7

    Hahahaha safi sana Makonda

  • @dignakanje4508
    @dignakanje4508 21 день назад +3

    Piga kzi kaka.Wasukuma oyeeeee.Utu ukarimu huruma ukweli wako,Kutetea wanyonge ,mungu atakulinda tu kaka.Achana nawasaliti watanzania ytu.

  • @constanciapeter2497
    @constanciapeter2497 21 день назад +4

    Makonda una maono sana Baba

  • @hellenngwilla550
    @hellenngwilla550 20 дней назад

    Ubarikiwe sana Makonda piga kaziiii

  • @user-jf1sq7lk4g
    @user-jf1sq7lk4g 21 день назад +9

    Hahahahaha😂😂😂 😂 safi sana mh. Makonda piga kazi songa mbelee Mungu yupo pamoja naww

    • @marcokaroje8980
      @marcokaroje8980 19 дней назад

      Nyiye machawa wa huyu jamaa mnamfanya apotee😮ee akiharibu hamtamsaidia akiwa kama Sabaya nae alikuwa hivhivi

  • @mtemilowasa
    @mtemilowasa 21 день назад +2

    Powerful speech 👍

  • @user-hu3bz3lv7s
    @user-hu3bz3lv7s 21 день назад +5

    Mtoto yatima hadeki ! Noted .

  • @MazikuSaid
    @MazikuSaid 21 день назад +5

    Halafu yule mama hapaswi kuwepo kwenye Ile nafasi ni wale wale

  • @johnkapesula122
    @johnkapesula122 20 дней назад

    safi sana mkuu piga kazi tuko nyuma yako.

  • @hamidaawadh9024
    @hamidaawadh9024 21 день назад +1

    Piga kazi muheshimiwa Mungu Atakusimamia

  • @ntezealoyce7043
    @ntezealoyce7043 21 день назад +4

    Wewe piga KAZI tu broo,ni sawa na tone LA maji ndani ya bahari

  • @francismadirisha3511
    @francismadirisha3511 21 день назад +3

    Safi Sana makonda piga kazi

  • @HenryHabeli-iy5dv
    @HenryHabeli-iy5dv 19 дней назад

    Hongela makonda kwa kupigania haki za wanyonge

  • @vendelinmassawe1795
    @vendelinmassawe1795 21 день назад +1

    Ikitokea simu Mungu. Ametufungua macho,Tukabafikisha Katiba Yetu miongoni Mwa Vitu vya kuvifuta/kuvipunguza au Kuviondoa Kabisa ni hivyo Vitasisi Vya haki kwani havina Tija katika jamii yetu Zaidi ya kutuchelewesha Kufikia malengo ya maendeleo kwa Haraka zaidi

  • @SuleAmber-lw2tx
    @SuleAmber-lw2tx 21 день назад +3

    Saf sana mkuu wa mkoa wa Arusha Mh Makonda piga kazi ndio wanazidi kukupa morali
    Wanaokuchukia ni 30% na tunaukukubali ni 70% hvo bado hawakuwezi

  • @maimunamisana4293
    @maimunamisana4293 21 день назад +1

    Hana jipya huyo Mama London kibanzi kwenye UWT ndo aangalie Boriti kwenye jicho la Makonda.

  • @severianchebile8688
    @severianchebile8688 20 дней назад

    Mungu akulinde kila uendako

  • @barakabusima
    @barakabusima 21 день назад

    I i like your spirit....

  • @saiditasher8362
    @saiditasher8362 21 день назад

    Makonda ongela sana yule dada kazi anyo ijuwa nikwampalange tu🤟

  • @anordiobadia.nycsong8123
    @anordiobadia.nycsong8123 21 день назад

    Makonda big up sana wa Tz tunakuelewa 100%

  • @SakagodoInnocent
    @SakagodoInnocent 21 день назад +1

    Viongozi kama huyu ni wachache saana hongera sana mh makonda umejibu kikomavu

  • @user-hu3bz3lv7s
    @user-hu3bz3lv7s 21 день назад +5

    Piga kazi !

  • @constanciapeter2497
    @constanciapeter2497 21 день назад +3

    HALAFU KWELI.. MAMA ALITUKANWA HAPA,,, WALIKAA KIIMYA..MPAKA HAO HAKI ZA BINADMU WALIKAA KIIMYAAA... AISEEE...piga kazi baba

  • @TitoRufizi-xb2ub
    @TitoRufizi-xb2ub 21 день назад +2

    Makonda we ndo kiongozi,viongozi wengi saaaana ni mizigo hawana msaada kwa Rais,lakini mbona mama hawatumbui ndo maana wafanye sawa wasifanye sawa kwasababu hawana hofu yoyote

  • @TitoSangeti-ft4pi
    @TitoSangeti-ft4pi 21 день назад +2

    Pambana tupo nyuma yako na mungu wako anakulinda

  • @lukumanisharifu
    @lukumanisharifu 21 день назад

    Makonda karibu kwetu mtwara ww unaweza big up

  • @Naju645
    @Naju645 19 дней назад

    Nausitishike tupo pamoja nawewe paka uwe rais❤

  • @johnjoel5012
    @johnjoel5012 21 день назад +1

    Mhe Makonda hao wanataka wakufanye ufanye kazi kwa hofu . Na hofu ni dhambi.

  • @vitusanthony7494
    @vitusanthony7494 20 дней назад

    Uko sawa kabisa mkuu piga kazi, ww ni jpm no 2

  • @samwelnevele7796
    @samwelnevele7796 21 день назад +4

    Piga kazi kaka na usiogope

  • @alainwalterrwota9687
    @alainwalterrwota9687 21 день назад

    We need the man like in Burundi and Africa

  • @user-of8gi7uz4o
    @user-of8gi7uz4o 21 день назад +2

    Hapo chachacha kaz kaz

  • @PetrolMwakyokola
    @PetrolMwakyokola 19 дней назад +1

    Kwa ninavyo amini amna kiongozi ambaye hajawai kula rushwa wote wamekula

  • @friendsofpeopleorg1157
    @friendsofpeopleorg1157 21 день назад +7

    Sisi ndo walipa Kodi tunaumia. Wamezoea wizi. Unachokifanya hawataki wanataka kulindana.
    ATI jinsia, ndo ule pesa zetu za Kodi na uonevu! Wapige spans Makonda usiogope maneno.
    Ktk wakuu was mikoa wote we ndo unapiga KAZI.

  • @glorymungure7740
    @glorymungure7740 21 день назад

    Uko vizuri sana mkuu wangu wa mkoa

  • @user-gp2ue2ny6n
    @user-gp2ue2ny6n 21 день назад

    Makonda ni kiongozi makini sana 🎉🎉🎉

  • @ramadhanishamtandulo1510
    @ramadhanishamtandulo1510 21 день назад +2

    Msemo wa Putin....msamaha wa ni kazi ya Mungu lakini yeye kazi yake ni kukupeleka huko ukaombe msamaha

  • @allyhashim7935
    @allyhashim7935 21 день назад +4

    Piga kazi mtumishi wa mungu wewe nakwelewa mno

  • @makoyelwango6048
    @makoyelwango6048 21 день назад

    Kukosea,Kupo lakini pia unapofanya vizuri,Unapo fanya vibaya ukosolewe.( Hao wanasheria wafanye kwa haki bila upendekeo)

  • @omaryabedi5158
    @omaryabedi5158 21 день назад +4

    Jembe langu piga kazi kaka

  • @zebedayokatamaduni9676
    @zebedayokatamaduni9676 21 день назад

    Watumishi wengi wa umma ni wabadhilifu piga kazi Makonda

  • @user-de2rg9kk7u
    @user-de2rg9kk7u 21 день назад

    SAFIII SANAA 💪 KIONGOZI MAKONDA YUPO KAMA MIMI KABISA!! ✍️ TUNALIPWA KUTOKANA na MATOKEO ✍️

  • @lizzykoyo9307
    @lizzykoyo9307 21 день назад +2

    Endelea kutetea wanyonge Makonda mtetezi wako yu hai maadui wako kila mahara

  • @subirajohn728
    @subirajohn728 21 день назад

    Fanya kazi Kaka❤️❤️❤️❤️

  • @user-oo5ps3hh1u
    @user-oo5ps3hh1u 21 день назад +1

    Huyu mwamba ni noma aiseee

  • @godfreybigeyo4356
    @godfreybigeyo4356 21 день назад +1

    Napenda viongozi wenye akili na udhubutu kama huu

  • @charlesmakuri792
    @charlesmakuri792 21 день назад

    Ndioo hawa watu utasikia haki sawa ukiwakusa wanalalamika umezalilishwa,kazii uendelee

  • @kasimuswalehenkungu7205
    @kasimuswalehenkungu7205 21 день назад

    Wanyoosheee Mzee mwenzangu

  • @user-gn2gb5ve2b
    @user-gn2gb5ve2b 21 день назад

    Safi sana Makonda piga kazi

  • @melkizedck
    @melkizedck 21 день назад

    Tunajua ulivomtetea Mama yetu na Rais wetu. Makonda we ni mtu wa tofauti, mkarim, busara, hupendi mtu aonewe. Na hiyo ndo tabia na sifa ya mama Yetu na Rais wetu mpendwa.