Green card lottery ni nzuri japo inamapungufu yake, hizo gharama zote zingekuja baada ya kushinda.mfano medical expenses zifanyike kwa alieshinda, unnecessary cost ni nyingi.. Bwana Ernest nashauri ututetee watanzania kwa kuondoa hizo gharama za medical. After all tupo stage ya kutafta maisha sasa hapa nawaza hizo gharama..Bwana Ernest iwasilishe hoja hii, tho ntaapply the sjui ntatoa wapi hela
tuma mfano wa form ili watu wajue hili wakija huko kwenye kujaza wajue nn vitatakiwa kwenye kujaza pi anguo za picha wa mama nywele zipi wawe nazo wanaowajazia nini waelewe watakaao wajazia waende wamejiandaa
Lazima uwe na address ya apartment au nyumba utakayofikia na kuishi. Sasa kama unatafuta mtu au utapanga in advance wakati wa kujaza viza form hapo ni wewe tu. Ila bila address huwezi kukamilisha form
Kama ninafamilia hii dola 330 naripa mala familia niliyo nayo ama Natoa dola 330 tu na nikifanikiwa kupata visa ndio niilipie na hii familia niliyo nayo
Jambo EBM. Asante kwa kazi nzuri unaoifanya kwa ushauri wako mwema. Wenye wako kwa ndoa, Mume anaweza kujaza green card kama principal applicant then dependants na pia mke ajaze yake kama principal applicant then dependants? Ama mitambo ya kuchagua washindi will disqulify your applications? Can that be double submission? Kindly Advise if it is allowed to apply separately as couples.
Sasa kwahyo ukiwa na million Kumi na Tano ndio safari upambanie na pesa hapo hapo ipo yakuanzia maisha,sasa ukiomba na unamtoto ukichagukuwa peke ako mtoto unarusiwa kuondoka nae au hapo ikoje
kiongozi kwamfano mimi nidereva wa maroly nataka nije kusomea maroly na kutafuta kazi huko inakuwaje mpaka mimi napata kazi sina mwenyeji nimimi nahitaji sana congo nimechoka
Hi bro swali nikonalo ni hili unaweza kuwa mshindi wa DV lottery na ukanyimwa visa? Lingine ni hili mtu amekuwa winner wa DV lottery unaweza kaanayo ka myaka 2 au3 bila kusafiri na ikaendelea kutumika?
Nimekulewa Ahsante sana EBM
Wazee mnaonaje tunao taka hii ishu tuunde group LA WhatsApp ?, ili tusaidiane ushauri AF tumualike ebm kwa kutueditia picha mnaonaje???
Umeshaunda group mzee baba??
kabisa mzeebb una group
Idea nzuri
Tuanzeni bro
niekeni na mimi jamani kwenye group pls
Big love from Nairobi Kenya 🇰🇪 huku tunakutambua👏👏👏
Sawa mwanangu tunakusikia barikiwa
Broo na kukubali wewe much love from Tanzania zanzbar
Brother makulilo your blessed🙏🙏🙏🙏
Nashukuru sana kwa maelezo.
Hapo nakuja kwanza mwenyewe familia itanifata nikiwa nimeshajipanga
Nimekuta nikishire video zako kwa watu wengi wanapenda
Hongera Sana bro kwa Elimu kubwa ya upendo.
Mkuu ishi sana umekuwa msaada sana 🙏
Apa unatusaidia kabisa__tungetapeliwa sisi wamoja
Kaka nashukuru sana mana mdogo wangu ameomba green card lottery hivyo ni sawa kujiandaa
EBM,Mungu aendelee kukutunza na kutupa elimu ya kuja Marekani
Safi sana, unasaidia kufungua ufahamu watu wengi.
Nimependa sana shukurani sana kwa maelezo
Waaah,hiyo gharama ni mingi,na sasa shida ni ukishafanya interview na ulipe pesa ya visa, medical na unyimwe naye baadaye
Hunyimwi ukifanya Medical na Visa ukapewa
Mim nawaombea mshinde mtangulie nasi mtatumiaga Ata mwaliko tukuje huko USA 😂😂😂😂😂😂😂
Duuh gharama ni kubwa sanaa ila ningekuwa na hiyo ela daaah marekani ningewnda2
Be blessed EBM
Dollar 2000 sio padogo!! Halafu hahati mbaya unyimwe viza! Mh
Asante🙏🙏
asante sana kwa kutujuza M/Mungu akubariki
Hujamaa mweu kweli yani jinsi anavyoongea kama rahisi vile kwasababu mm Ninavyojua ni bahati na sibu harafu imelenga wenye kipato
Acha ufala
Kumbe USA inawanyonya mataifa machanga maana kumbe sio bure ni uchumi kwa govt Yao. Tz nasi tuanzishe mfumo wa green card zetu kwa mataifa ya nje.
nani aje kuishi bongo cc tunawahutaji wao kuliko wao wanavyotuhitaji sisi.
Hahahahaa ume nichekesha sana aty mtoe Green card yenu
Sisi Africa tulishaacha malango wazi ili mgeni asigonge sana😂😂
Una maajabu gani mtu aje kuzamia bongo huku labda muethiopia na msomali
Dah,si mchezo asee
Barikiwa sana bro
Iko poa sana nitakutembele skumoja
Qatar Airways 🇶🇦.....itakuwa tumesafiri ndege moja japo mda tofauti😅😅🥰
Duuh aiseee hizi gharama kibongo bongo mbona hatutoboi yaan 10M inafikaa kabisaaa ,hiii inafaaa kwa wakishua tu
Tunakushukuru. Sana
I , I 'll do it with EBM so that I can't lose my time or anything
Kama hujapata host inakuwajee
Shukraan kwa hii information kk tungeomba utupe na maelezo kwa kiswahili ya mistake zinazo fanya ukose kumshinda Green card lotto. Plz
Many thanks boss
Kushinda kwanza hela zinatafutwa
Sasa nin maana y green card n tayali unalipa izo garama zote afazal mgeach kusema bahati nasibu iyo sio bahati n garama z mtu
Hamna ishue mahela kibao kwenda kupiga boxi
Nijaribu hii i hope nitashinda
Green card lottery ni nzuri japo inamapungufu yake, hizo gharama zote zingekuja baada ya kushinda.mfano medical expenses zifanyike kwa alieshinda, unnecessary cost ni nyingi.. Bwana Ernest nashauri ututetee watanzania kwa kuondoa hizo gharama za medical. After all tupo stage ya kutafta maisha sasa hapa nawaza hizo gharama..Bwana Ernest iwasilishe hoja hii, tho ntaapply the sjui ntatoa wapi hela
🤣🤣🤣🤣🤣
Hii ni biashara ndo mana kuna kushinda na kukosa maana usipofanya malipo kabla ya majibu yako ina maana haina faida hii ni kama kubet tu
🤣🤣😂😂
Asante sana kwa elimu nzuri sana muha wetu. Mungu akubariki sana kwa ufafanuzi mzuri
Duh gharama kubwa sana, nilijua mtu akishinda Green card atalipiwa kila kitu na gvt ya uko
😅😅😂
Nakushukuru EBM kwa kutupa data zaidi nikifanikiwa kushinda naomba unifanyie interview kwenye channel yako live
😂 😂 😂 😂 😂 😂
Ooh huyu bd hajaelewa fuatilia maelekezo ya video mwanzo interview ni ubalozi tuu,baada ya kushinda
sasa hapo tufanye jumla gharama zote ni dolla 4500 na upo bongo oyaaa nyieee humu 😂😂
tuma mfano wa form ili watu wajue hili wakija huko kwenye kujaza wajue nn vitatakiwa kwenye kujaza pi anguo za picha wa mama nywele zipi wawe nazo wanaowajazia nini waelewe watakaao wajazia waende wamejiandaa
Niungeni kwenye group lake plz
This l like it.l,ll do it through contact from you EBM...
kitaalam kwa tuliopo bongo ujiandae na kama 12M iv so kizembe zembe hii kitu 😢😅😅
Thank you so much
Niko na passport nataka kuja USA nipe mchongo
Asante sana kaka
Asante kaka tuombee tufanikiwe
Kwa jina naitwa ussama ninaitaji kuuliza swali mbona jina langu ni la adui wa marecani je nitaweza ku win
Heeee ina mana hupewi nyumba ya kuishi ukiingia
Hiyo kutorudisha pesa zangu ndio tuu pameni boa, hata nimekata tamaa, kumbe hivyo ndivyo walivyo
Ni lazima uwe na host
Vp kwa nnae kuja individual sina yoyote
Lazima uwe na address ya apartment au nyumba utakayofikia na kuishi. Sasa kama unatafuta mtu au utapanga in advance wakati wa kujaza viza form hapo ni wewe tu. Ila bila address huwezi kukamilisha form
@@EBMSWAHILI Tuwekee web ya serikali tuijuee bro tuijue
@@EBMSWAHILI nikijua ticket wanakupa wao na visa na mahali pakuishi na kazi unapewa
Kaka kama mtu una mke inaruhusiwa mume akatangulia kisha nikamwagiza mke baada ya mambo kukaa sawa?
Kaka nashukuru nimejifunza kitu
Na je.., sababu za kunyimwa visa ni zipi
Naile dollar 400 ya medical unaweza kuripa kwa Hera ambayo siyo dollar???
Kuna video kuhusu host nampataje? Na host anatakiwi awe na vigezo gani?
Kama ninafamilia hii dola 330 naripa mala familia niliyo nayo ama Natoa dola 330 tu na nikifanikiwa kupata visa ndio niilipie na hii familia niliyo nayo
Sasa host unampataje mfano mimi sina ndugu
Asante
Tunaomba wa dhamani watuone jmn hizi garam a tukifika huko tutazilipa hapa bongo hiyo pesa daaaah ni ndefu kwakweli
Wanangu pesa sio ya kitoto wewe n winga unalaza 50 had 100 tulia tu mzee mwenzangu huko ni kwa wakishua amin nawaambia
😂😂😂😂 noma mazeee
Mr Kuna asilimia kubwa ya mtu kukosa visa!?😅
Asante sanaaa
Kaka naomba unikutanishe na Kaka shabani ramadhani mpambe
ukiongea taratibu inafaa ila unafanya kama mahubiriiii
Haaaaaaaaaaa
Bro mbona gharama za green card sawa tu.na za kuanza biashara mdogo bongo hapa na kuanza maisha?
Kama umesoma unakumbuka zilitumika ngap wewe mpk kumaliza ?
Mbona haukuzianzishia biashara?
Dollar 330 ni pesa ngapi za kenya
Ukishinda Green card , mtu mmoja kama una spouse, kuna uwezekano na yeye (your spouse) akapata visa kwa ajili ya kuja US?
Ok Kaka je ukilipia huku hio usd 220,je watakuprintia hukuhuku?
Naomba namba yako ebm nataka unieditie picha
Kwa Wale wanaohitaji huduma yako juu ya mchakato wa masomo master tunakupata wap
Nauliza je mtu kuja kama kusalimia ndugu inawezekana akafka na akafanya kaz
😊🙏🙏
Namba yako ya simu uncle
Ahsanta
Mda ukifika nitaomba
Sasa ukisha shinda wakati wewe una shida za kimaisha pesa yote hiyo itatoka wapi?pili hio interview ni ya nini tena?
Kaka nimekuelewa lkn tafadhali fafanua inakuaje ninyime visa Hali yakuwa nimesha shinda nivigezo gani vitanifanya kunyimwa plz naomba kueleweswa
Mfano uulizwe maswali ushindwe kujibu ama kujieleza ipasavyo. Mfano uulizwe kwa nini unaonelea tukupatie visa wewe na sio mtu mwingine
Group limeshafunguliwa
Ninayo shida binafsi nataka kuongea na wewe.Je,unaweza kunipa namba yako ya WhatsApp nikupigie online? Ahsante EBM .
Kumbe uwezi pokeya mtu mzee
Hee kumbe Kuna kunyimwa visa hata kama umeshinda Green card lottery? Duuuuu
Sasa ukipita lotto unawezekana kuku nyuma viza
Sasa kujua kamauneshinga unajuaje sas
Asante sana EBM Sasa sababu gani zinaweza sababisha ukose Visa na uli Winnie Green card?
Swali la muhimu sanaaa
Anaelewesha vizuri ila ukimtumia pesa hakujibu mesej😢
wewe ni zuzu kumbe umeshaambiwa hakuna sehemu y kutuma pesa 😂😂
sasa unaingia bongo Tanzania yangu nachingwea yangu 😅😅😅
Pole dear umemtumia yann
Kaka nataka kujua kwenye interview baada ya kushinda ni lugha gani inatotumika?
Utachagua kiswahili au kingereza
Jambo EBM. Asante kwa kazi nzuri unaoifanya kwa ushauri wako mwema. Wenye wako kwa ndoa, Mume anaweza kujaza green card kama principal applicant then dependants na pia mke ajaze yake kama principal applicant then dependants? Ama mitambo ya kuchagua washindi will disqulify your applications? Can that be double submission? Kindly Advise if it is allowed to apply separately as couples.
Mnaweza kucheza wote haina shida
Utaratibu wa green rotary ukoje nisaidie
Sasa kwahyo ukiwa na million Kumi na Tano ndio safari upambanie na pesa hapo hapo ipo yakuanzia maisha,sasa ukiomba na unamtoto ukichagukuwa peke ako mtoto unarusiwa kuondoka nae au hapo ikoje
Hii nikwa ss wenye mtoto huku
Unaenda nae na mkeo wote
Ahsnte Anko Green card pia unaweza kunyimwa visa
kiongozi kwamfano mimi nidereva wa maroly nataka nije kusomea maroly na kutafuta kazi huko inakuwaje mpaka mimi napata kazi sina mwenyeji nimimi nahitaji sana congo nimechoka
garama nikubwa mno nahapo unacheza bahati nasibu unatoa garama zote hizo naunafeli 😭😭
Ukishinda ndo gharama zitaitajika
Hi bro swali nikonalo ni hili unaweza kuwa mshindi wa DV lottery na ukanyimwa visa? Lingine ni hili mtu amekuwa winner wa DV lottery unaweza kaanayo ka myaka 2 au3 bila kusafiri na ikaendelea kutumika?
Hi Mr fursa ya kufundisha kiswahili nchini Marekani application link aipatikani iliyopo nikwa walioko Marekani
Namimi ndo swali langu ilo kama unaweza shinda green card afu uka kaa ata mwaka mmjo bila kusafiri kama aujajipanga vizuri ki feza
Kiiongozii jee kupata kazii y driving huko marekani mpaka hutumie taratibu zipii
Safibsana wewe kazana kuweka kikoba kwa hazia sasa
HICHO NDICHO KINACHOKATISHA WATU KUCHEZA GREEN CARD
Kwa kweli