SNAKE BOY | ep 36 | SEASON TWO

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 31 дек 2024

Комментарии • 2,3 тыс.

  • @RashidOmary-c4g
    @RashidOmary-c4g 3 месяца назад +1052

    Kila anaeangalia hii muvi mungu amjalie amalize huu mwaka akiwa anaafia njema kila jambo lake likatimie

  • @kagegejr
    @kagegejr 3 месяца назад +413

    Snake boy naona kwangu inaenda kunifanya kuumalza mwaka ikiwa ni move yangu pedwa 2024 Kama na wewe Mungu akikupa afya njema itakuwa move yako pedwa ya kumalza mwaka vyema gonga like tujuane

    • @ibrahjokes5055
      @ibrahjokes5055 3 месяца назад +6

      Washenz Hawa walisema huu mwaka wanatoa na big boss ila sijui kama watafanikiw

    • @Khatib-xp6fp
      @Khatib-xp6fp 3 месяца назад +6

      Ni kweli ila iko vizur ingawa inachelewa from 🇲🇫

    • @Iamjaysimple
      @Iamjaysimple 3 месяца назад

      ruclips.net/video/hYYuf9Wddd8/видео.htmlsi=pZxw7c8ztj7YdiTf

    • @philipmutua6643
      @philipmutua6643 3 месяца назад

      ​@@ibrahjokes5055unaita watu washenzi ilhali wewe huna la maana!

    • @PatriceUshundi
      @PatriceUshundi 3 месяца назад +4

      santé

  • @njelutz4890
    @njelutz4890 3 месяца назад +187

    Mungu atubariki sote tumalize salama huu mwaka na mungu atuepushe na magonjwa

  • @abokeasukulusucre3430
    @abokeasukulusucre3430 3 месяца назад +63

    Namkubali sana tanu Kama wewe unaona tanu atashinda kwenye usaliti wake basi naomba like tano tu .

  • @isayamwanjoka3958
    @isayamwanjoka3958 3 месяца назад +38

    Snake boy super movie in Africa.... Kama unaamini clam vevo ndio msanii bora namba 1 Afrika mashariki gonga like

  • @villa499
    @villa499 3 месяца назад +71

    Tangu marehemu kanumba sijawai pata mtu wa kukuza bongo movie Ila kwako nimetilia kazi zako zote...nakupa taji la best Tanzanian actor

  • @tabithamutisya6664
    @tabithamutisya6664 3 месяца назад +41

    Tanu my best actor kwa usaliti penda wewe buree

  • @mathiaslyamunda2526
    @mathiaslyamunda2526 3 месяца назад +56

    Uwezo wa utunzi wa Clam ni mkubwa sana, ni vifaa tu anakosa, hii ni Hollywood move story kabisa. 🔥🔥🔥

  • @JuxKamaghe
    @JuxKamaghe 3 месяца назад +16

    Waoo nimeflahi kumuona "BAILAM"

  • @JustonMarquiolaAntonio-g1x
    @JustonMarquiolaAntonio-g1x 3 месяца назад +24

    Kila anaesoma comment hii mungu akujalye, snake boy ni mzuri sana.

  • @mamaikram7573
    @mamaikram7573 3 месяца назад +112

    wote mliopo humu mwenyezi mungu awape maisha marefu na hawaepushe na mabaya insha allah

  • @roseafrael75
    @roseafrael75 3 месяца назад +114

    Kazi nzuri sana mnaitendea haki snake boy,likes nyingi kwa wahusika wote.

  • @mr_mkey_artist
    @mr_mkey_artist 3 месяца назад +25

    Kazi nzuri clam respect sana wanao angaliya snake boy tujuwane hapa

  • @merinazyd0532
    @merinazyd0532 3 месяца назад +62

    MUNGU ATUJALIE WOTE KWA PAMOJA HUMU NDANI NA KUTUFIKISHA MWAKA MWINGINE TENA AMEN

  • @JulioCocio
    @JulioCocio 3 месяца назад +15

    Tanu Mr plan nakukubali sana ushakuwa my favorite actor
    Yani kila sehemu upo unapanga tu mipango ya kumpinduwa chifu wako hadi kwa bhailam ushafika 😂😂😂
    Respect master plan tanu 🎉

  • @AdamSoldier1999
    @AdamSoldier1999 3 месяца назад +34

    nakukubali broo kaz yako mzuri natamani uje uniajiri katika kufanya kazi yako By ADAM MAKAWA APA MKUU
    FROM cHAKE cHAKE pEMBA

  • @fundiseif1096
    @fundiseif1096 3 месяца назад +62

    Snake boy 🐍 inazidi kua balaa sana umetisha kinoma clam vevo 🔥🔥🔥💪

  • @Rodmovies
    @Rodmovies 3 месяца назад +70

    Tano namkubali sana Pia yafaa nifanye uchunguzi kwasjili ya hii snake 🐍 boy nijuwe wametowa mawazo wapi maana inaakili mingisana ❤❤❤❤🇨🇦🇨🇦🇨🇦🇨🇦🇨🇦

  • @PerciPatbul
    @PerciPatbul 3 месяца назад +4

    clam clam vevo, tupo tuna kufwata saaaana kila mara unazidi kutu furahisha. mwakatobe anafanya vizuri tuna miss hiyo luga lingala ya kwetu 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @aminahaule1806
    @aminahaule1806 3 месяца назад +41

    Wangapi wamefurahi kumuona bhailam sanake boy ikoso hot hongreni kwa kaz nzuri

  • @EliaNgilangwa
    @EliaNgilangwa 3 месяца назад +40

    Nakubali sana mzee kazinzuri mungu akuzidishie ufikembali broh

  • @SamwelMsingwa
    @SamwelMsingwa 3 месяца назад +104

    Leo wakwanza mm baba ako 😁😁😜😜

    • @HasnaSawaid
      @HasnaSawaid 3 месяца назад

      Nawapeda 🇦🇪

    • @King-brown999
      @King-brown999 3 месяца назад

      youtube.com/@peter-comedy?si=QpAFST50Z5aAMhZe

    • @Zedysaid
      @Zedysaid 3 месяца назад

      Namm mama yao😂

  • @KhizirSuleiman
    @KhizirSuleiman 3 месяца назад +19

    Uyu tanuu nomaa sana mpaka mdabiri ndoto kashamtukuwa yeye 😅😅😅😅

  • @liz77941
    @liz77941 3 месяца назад +12

    Bailam is back 👏👏👏 clam kweli roho mzuri unayo no wonder kazi yako inang'aa

  • @husnamkama6093
    @husnamkama6093 3 месяца назад +29

    Wooow nimeisubir Kwa hamu mungu awabariki

  • @modex_0376
    @modex_0376 3 месяца назад +333

    YOYOTE AKISOMA HII SMS NA KULIKE IN SHAA ALLAH MUNGU AMJALIE UMRI MREFU N MAISHA BORA AMLINDE NA WATU WABAYA🤲🤲🤲🤲

  • @ashuu7972
    @ashuu7972 3 месяца назад +24

    Clam vevo wallah nacheka kila jambo Tanu kaingia kati kishabadili mambo ya chif

  • @shamte9musicofficial126
    @shamte9musicofficial126 3 месяца назад +11

    Nilichojifunza humu wasaliti ni watu wenye mbinu na akili nyingi sana ,na vilevile viongozi wetu wamezungukwa na machakubimbi sana ,hili ni funzo kubwa kwa viongozi wetu kuwa makini sana na watu wao wa karibu .

  • @KibweOnlineTv
    @KibweOnlineTv 3 месяца назад +14

    Daah, leo nimechelewa sana jamani ila naamini tupo pamoja, Team Clam Vevo tupo hapa.. 🎉🎉❤❤

  • @johnrogeo2161
    @johnrogeo2161 3 месяца назад +24

    Tanu the King of plans 😂😂nawapenda nyinyi wote kazi nzuri sana 🔥🔥

  • @ibrahjokes5055
    @ibrahjokes5055 3 месяца назад +428

    Tunaomkubal Tanu kwa mikakati yake ya usaliti tunaweka like hapa guys 😂😂😅

  • @DorcasKadama
    @DorcasKadama 3 месяца назад +134

    Weweeeee wenye tumefurahia mtanzi kupata nguvu zake tena hawayuni❤❤❤

  • @Naema-x7p
    @Naema-x7p 3 месяца назад +5

    Uyu mgaya mbona amefanana na msanii dudubaya 😂😂😂😂ila muve tamu balaaaa❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @hamzaIlunga
    @hamzaIlunga 3 месяца назад +5

    From zambia lusaka 🇿🇲🇿🇲 unajuwa kazi Kaka mkubwa tupia like zangu apo atakama nimechelewa kidogo team vevo

  • @husseinhemedi9314
    @husseinhemedi9314 3 месяца назад +94

    Ivi mnajua ifikapo 2099 wote humu tutakua tumekufa tujitahidi kufanya ibada KIFO KINAKUJA 😭😭

    • @SelinaDorcas
      @SelinaDorcas 3 месяца назад

      Inamana unajua Siri ya mungu

    • @khurlainashly5686
      @khurlainashly5686 3 месяца назад

      Apo caca😅​@@SelinaDorcas

    • @BushiriRashid
      @BushiriRashid 3 месяца назад

      Wewe kama umelijua iro inatosha Fanya mwenyewe kira mmoja na Kabuli rake

    • @Mwanaidimadudu
      @Mwanaidimadudu 3 месяца назад

      Kweli kbsa ❤❤

    • @VeroJohn-mz7hu
      @VeroJohn-mz7hu 3 месяца назад

      Uyo atakua anauso wakufa kesho maan

  • @BothainaBothaina-k6c
    @BothainaBothaina-k6c 3 месяца назад +16

    Fauma mko vizuri sana hongereni Kwa kazi nzuri next plz 🎉🎉🎉❤

  • @byancebukuyu5814
    @byancebukuyu5814 3 месяца назад +19

    Yani naipenda sana iyi movie naikubali Sana tena sana,ila natamani tanzi nguvu Yake yarudi ile ndiyo tamaniyo Yangu ila unajuwa Kazi Yako sana sehemu ifatayo samahani isigawiye jamani Clam Vevo

  • @yobotz1902
    @yobotz1902 3 месяца назад +4

    Mkitaka ii move iwe mbaya tanu afe tanu kabeba muvi dakika za jioni kabisa uyo jamaa ana barahaaa

  • @danvannyzawad6452
    @danvannyzawad6452 3 месяца назад +12

    Kama unaamini mpaka mwaka huu unaisha Utatimiza malengo yako kwa uweza wa m/mungu sema Amen.
    AMEN🙏🙏🙏

  • @officiallatesttv7709
    @officiallatesttv7709 3 месяца назад +39

    Atarii wa 11 kuna mabedui humu ya kuwah😂😂😂

  • @VenanceKizee
    @VenanceKizee 3 месяца назад +41

    Waoooh mapema kabisaaa

  • @ZakiaAlRamadani
    @ZakiaAlRamadani 3 месяца назад +19

    Ila kipala anautani wa ngumi na tanu eti jamaa mwenye madera😂😂😂

  • @_Wayiva_mukuta_jean
    @_Wayiva_mukuta_jean 3 месяца назад +8

    Toka Congo 🇨🇩 na wapenda sana dungu yangu wa Tanzania 🇹🇿 kupitia wasani bora Kama clam na team yake yote ❤❤❤❤

  • @emmykadenyi7977
    @emmykadenyi7977 3 месяца назад +4

    Tumkaribishe Mr Simba bharam Kwa snake boy Kwa mafoki 👏👏 👏👏

  • @judithpendo9985
    @judithpendo9985 3 месяца назад +30

    Cha uzuri nmechelewa ila sasa msinipite n like jmn nawapenda nikiwa Riyadh 🇰🇪🇸🇦♥️♥️

  • @PoleenNjeru
    @PoleenNjeru 3 месяца назад +16

    Hivi kwani mnalalanga huku😅😅 just minutes na hakuna pakukanyaga😅😅 much 💚 from 🇰🇪.ila kazi 🔥 kweli

  • @EvodiaDominic
    @EvodiaDominic 3 месяца назад +13

    Vevo nikutahadharishe tu kuwa,, jitahid kuhakikisha unaimaliza vizuri ngoma hii siyo unavyomalizaga kimtindo😂😂😂

  • @baruaninombo291
    @baruaninombo291 3 месяца назад +2

    Kwakweli TANU umetisha sana kwa mikakati. Hujawahi shindwa.
    Ingia tu kwenye Siasa maana unaziweza vizuri

  • @justinog3105
    @justinog3105 3 месяца назад +8

    Nafurahishwa na hakiri ya TANU hakosangi majibu😅😅😅❤❤❤🇧🇮🇧🇮🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @SalumuMohamedi-q6g
    @SalumuMohamedi-q6g 3 месяца назад +24

    Mm ndio wakwanza kutoka tanzania lik zèni wadau🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @SamuelMasele14
    @SamuelMasele14 3 месяца назад +36

    Dah huyu jamaa mwenye madevu anaupiga mwingi🙌🙌

  • @salumuwembo-fo5rr365
    @salumuwembo-fo5rr365 3 месяца назад +65

    Tutaangalia hadi mwisho Clam-vevo mwigizaji ninayempenda tangu Nchini Kongo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🙏🙏🙏Nasepelaka mingi monsieur oyo alobaka na lingala 😂❤❤❤

    • @Iamjaysimple
      @Iamjaysimple 3 месяца назад

      ruclips.net/video/hYYuf9Wddd8/видео.htmlsi=pZxw7c8ztj7YdiTf

    • @deborahmidiburo3541
      @deborahmidiburo3541 3 месяца назад

      🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @HappyNicholas-be2yn
    @HappyNicholas-be2yn 3 месяца назад +11

    Yaan hapa kabla sijaangalia hii movie nilazima nianze ku comment juu watu wamewahi yaani ukichelewa kidogo tu hvi shogangu wakwanza wengi mm si sawa kwanza ila naomba like wapenzi wa vevo na musisahau baki miezi 3 tumalize mwaka nawakumbusha tuzidi kuonba mungu juu yeye ndo mumeza nawapenda sana wapenzi wa vevo❤❤❤

  • @anniesylivester4100
    @anniesylivester4100 3 месяца назад +20

    Tanu 😂😂🙌🔥bonge la traitor

  • @nyandichearts
    @nyandichearts 3 месяца назад +23

    Clamu hili dude every day linazidi kuwa kaliiiii sio powa pia ntanziii mumrudishe hata kwa mazingaombwe kutokea msitu wa kongo oyooooooh🙌🙌🙌🙌🇹🇿📢🏆✊🧐🧐🧐am waiting🤔

  • @divaimiguelnakeuti8722
    @divaimiguelnakeuti8722 3 месяца назад +45

    Anae amini kama, Clam vevo,ni 👑 weka like Yako, Mozambique

  • @InnocentTresor
    @InnocentTresor 3 месяца назад +12

    ❤❤❤vizuli kabisa heshima zako Vevo🇨🇩🇨🇩🇨🇩🙏

  • @RaymondAthanas-xr7pz
    @RaymondAthanas-xr7pz 3 месяца назад +5

    Kipara Hana Muda wa Kutafuta Demu kabisa na Wala hata Hafikirii😅😅

  • @رحمهرحمه-ظ4ع
    @رحمهرحمه-ظ4ع 3 месяца назад +12

    ❤❤❤❤penda sana bwana TANU..yaan kila mahal ww ndo umemzungukq chifu w nyoka..aa ww atari wali 😂😂😂😂❤❤

  • @Zena-n2y1y
    @Zena-n2y1y 3 месяца назад +10

    Zinga yupo vizuri akilenga haachishi

  • @YonaCharlz
    @YonaCharlz 3 месяца назад +50

    Nimekuwa wakwanza siku ya leo😂
    Naombeni mauwa yangu

  • @HamenyimanaJeanmarie
    @HamenyimanaJeanmarie 3 месяца назад +23

    Kwa watu wako Burundi mi ndo wakwanza nipe like zangu 🇧🇮🇧🇮

  • @Elizakilisipinilikolika1996
    @Elizakilisipinilikolika1996 3 месяца назад +3

    Tanu nakupenda sana mana umeupiga mwingi sana nanipo na ww adi chifu atoeke kabisa ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ pia nimefurahi sana kumuona bairam jaman nakupenda sana bairam jaman ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ira kipara umezidi umbea jaman

  • @Stecy-r7s
    @Stecy-r7s 3 месяца назад +3

    Bhailam kuingia kiwanjani movie inaendelea kuwa moto,much love from Kenya ❤

  • @LeahDzimba
    @LeahDzimba 3 месяца назад +8

    🎉kaz nzuri kabsa mungu awaziditishie hcho kipaj

  • @MakonoJr
    @MakonoJr 3 месяца назад +17

    Leo wakwanza jamana daah kama zali 😂😂😂😂 dondosha bashi mshikaji wangu🎉🎉🎉🎉🎉😮😮😮

  • @ChristopherKayombo-o5m
    @ChristopherKayombo-o5m 3 месяца назад +16

    Tanu kwelii anajua au ndo chama kilichoipa uhuru tanzani😂😂😂

  • @NiyogushimaAmidou-ov7rm
    @NiyogushimaAmidou-ov7rm 3 месяца назад +1

    Mnatufurahisha sana kwa move nzuli yenye mafunzo bola kwa kila mfuatiliaji.

  • @AugustinhoManyangaunitedboetz3
    @AugustinhoManyangaunitedboetz3 3 месяца назад +3

    Bailam in the battle field walioinjoy kumwona bahilam ndan kama Mimi wagonge like hapa good job

  • @TigerGabrielsaint
    @TigerGabrielsaint 3 месяца назад +8

    Nigeomba msaama kuchelewa kufatiliya movie zetu bwana 😂😂😂 ebwane kumbe bonge yupo huuuu

  • @mahramarswad6041
    @mahramarswad6041 3 месяца назад +31

    CLAM CLAM CLAM nakwita tena 🙌🏻we kiboka tunskupenda from UK 🇬🇧 we ninoma na utafiks Mbali Allah akusinamie

    • @mohammedkidody5618
      @mohammedkidody5618 3 месяца назад

      Na mm nipo uk pande za Coventry ww uko pande zipi

  • @fatmamohammed8346
    @fatmamohammed8346 3 месяца назад +4

    shikamoo tanu weww snepa wa maaaana kabisaaaaaaaaa,,,,,uko good sana tanu unakioaji alafu piya unakipawa congratulations 👏👏👏👏👏 unajuwa kuuupiga mwingi😂😂😂

  • @Chweartyriffah
    @Chweartyriffah 3 месяца назад +2

    Mfaume huna chako kweny himaya lako jina tu ila himaya ya tanu😂😂😂😂😂😂

  • @MengiNdahani-p7q
    @MengiNdahani-p7q 3 месяца назад +2

    Hahahah kipara mwamba professional wa umbea

  • @SÙAREZMAHANGOBYAOMBE
    @SÙAREZMAHANGOBYAOMBE 3 месяца назад +9

    Kazi nzuri sana hii nikama chakula kimepikwa nakinalika vema sana ❤❤❤❤❤❤❤

  • @KILESHOJNR.001
    @KILESHOJNR.001 3 месяца назад +12

    Huyu Zinga mkojo wake una nn yaan atakaye lala nae n mimba, n kazi kamwe

  • @josephmmary9020
    @josephmmary9020 3 месяца назад +11

    😂😂😂😂😂 bailam hajawai kuwa na akil huyo

  • @pillynaya
    @pillynaya 3 месяца назад +3

    Ila tanu anaakili mingi mnooo😂😂daah huyo jamaa anastahiki tuzo kwenye hii snake boy wallah yani anacheza uhalisia kabisa yani duuh

  • @Joramkatana
    @Joramkatana 3 месяца назад +1

    Aiseeee ....Tanu....nakupea salute Sana ...Usaliti wako nimeupenda..... Usaliti wako uko na manufaaa...Lengo kuokoa Wana himaya...Butangi itasimama tena....utawala ubaya wa mauaji mikononi mwa Faume....udzalilishaji wa WANAWAKE.... mauaji ya halaiki.....Tanu...muokoe Ntanzi....

  • @okwomacomedy
    @okwomacomedy 3 месяца назад +18

    Wakwanza kutoka KENYA 🇰🇪🇰🇪. Nipe subscriber mi ni comedian 🔥 finya picha asante wrote MUNGU AKUBARIKI

  • @HUMPHREYMBAYI-eo7lw
    @HUMPHREYMBAYI-eo7lw 3 месяца назад +8

    Am a young boy from Kenya and I really love your content clam vevo keep it up may God showers more blessings and more to you 🙏🙏🙏🙏🙏

  • @Mmenga_junior
    @Mmenga_junior 3 месяца назад +19

    Mkimaliza kuangalia muende mkaangalie wimbo wa kipara jaivah NIMEJIPANGA🎉

  • @KautharIbrahim-o4b
    @KautharIbrahim-o4b 3 месяца назад +1

    Namkubali sana clam jamani move yke kiboko hainipiti .Na tanu kiboko ya usaliti hongera zako

  • @jahimjr3065
    @jahimjr3065 3 месяца назад +10

    bd nina vingi vya kujifuza kutoka kwa Tanu uyu mtuu kwenye hii move ndie alie upiga mwingi na bando anaubondaaa sanaaa ❤❤❤

  • @Christine-ho5us
    @Christine-ho5us 3 месяца назад +34

    Nimewai leo term strong🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 naomeni like mmoja kazi nzuri Clam vevo 🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤

  • @SophieMakaranga
    @SophieMakaranga 3 месяца назад +23

    Clam vevo uko vzr sana honger nakufatilia sana pia nahtaj kuigza naomb support yako plze😢😢

  • @adinanzacharia409
    @adinanzacharia409 3 месяца назад +30

    Tanu ni mfitinishaji wa kidunia yani ukimpa hii dunia aigombanishe sekunde tuu kamaliza kazi

  • @mistahkeytvkenya4211
    @mistahkeytvkenya4211 3 месяца назад +1

    Wooooooow congratulations bahilam Kwa snake boy genius bahilam Badoo kicheche twamuitaji hapa na vay

  • @AlienceAmosiali
    @AlienceAmosiali 3 месяца назад

    Tunaipenda sana .
    Mimi naitwa ALSONLEPOPULAIRE Natokea Congo Drc 🇨🇩 Bukavu Sud Kivu Bunyakiri Big saluti #CLAM CRIS

  • @mohammedkidody5618
    @mohammedkidody5618 3 месяца назад +102

    Movie zangu pendwa 2024
    1. Snake boy
    2. Wrong house
    3. Mkoba wa mama
    4. Mission impossible
    5. Pete
    Bongo movie sasa ipo mikono salama❤🎉🫡

  • @halemasuliman-js8ug
    @halemasuliman-js8ug 3 месяца назад +14

    Kazi mzurii sana clam hadi mwamba bhailam yupo mambo ni moto

  • @adamginwey9519
    @adamginwey9519 3 месяца назад +29

    mimi nipo na Tanu mpaka tuuawe ...dadeekiii mwamba ana mahesabu makali kinyama

  • @REPOUSODt
    @REPOUSODt 3 месяца назад +20

    🇲🇿 Tanu umetisha sana , yani mipangoyako vinanyohka vizuli sana , yani katika hii Snake boy uko vizuli sana kwenye ubora wako aunambamba....

  • @PeterMhando-d6d
    @PeterMhando-d6d 3 месяца назад +1

    Ni muvi nzuri sn Kwa kwl ila tunaomba msichelewe sana kuitoa. Nakubali sn

  • @Justin_Nano
    @Justin_Nano 3 месяца назад +15

    Tuna mtaka kijana nyoka😮😮😮vp na wewe 🎉🎉

  • @mikemelodytz
    @mikemelodytz 3 месяца назад +102

    HAYA LEO MIMI WA KWANZA NAOMBENI LIKES 100 TU❤😅🙏

  • @LuandanBwoy254-nv9dm
    @LuandanBwoy254-nv9dm 3 месяца назад +44

    From Kenya Nipeeni Likes Jamani nyie wa tz ambieni fido vato bado mtoto mchanga sana hawezi bishana na Khaligraph Jones

    • @DeogratiusSMkeah
      @DeogratiusSMkeah 3 месяца назад

      wakenya kazi yenu kuomba like like kila muda sjui mkoje

    • @AugustinhoManyangaunitedboetz3
      @AugustinhoManyangaunitedboetz3 3 месяца назад

      We Kwan huyo Fido na khaligraf wanaingiaje kwenye movie yetu wa come t KUHUSU Kaz ma x kucoment mambo ambayo ayahusian na movie yetu bro

  • @RehemaMbaula
    @RehemaMbaula 3 месяца назад +1

    Daaah move aichoshi kuitazama move Bora ya mwaka 👍

  • @Mzeempoto
    @Mzeempoto 3 месяца назад +2

    Mbalikiwe nipo mapema hapa ira nan anajua mkongo anazaliwa upyaaa

  • @Kadesablack
    @Kadesablack 3 месяца назад +9

    Nimefurahi sana kuona Bilam😂😂😂 Snake Boy is my favorite movie/series toka 2023🔥🔥🔥🔥🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

    • @ArafatAbdallah-f3b
      @ArafatAbdallah-f3b 3 месяца назад

      Ata mie bhailam ni mtu na nusu yani bhailam simba