Mimi nafikiri Mh. Msigwa ulipaswa tu kusema"nimeamua kuhama chama na kujiunga na CCM". Lakini all in all, hayo ni maamuzi yako wala hakuna anayeweza kukupinga.
Mchezaji wa daraja la juu akitoka kwenye timu yake kwa sababu yoyote ile atakwenda kwenye timu ya daraja la juu zaidi na sio kurudi daraja la chini. CCM ndio kimbilio kwa mtu kama Msigwa.
Nimesema mara nyingi kuwa shida yetu sio katiba bali ni watu wa kuisimamia katiba hiyo na Msigwa ni shahidi kuwa Ubora wa katiba unategemea sana ubora wa wasimamizi. Chadema ina katiba nzuri sana lakini ina viongozi wabinafsi na madikteta. Walio hama chama hicho ni wengi tu na malalamiko na hoja zao ni zilezile. Katiba mpya ni kama gari mpya ambalo maisha yake yanategemea ubora wa dereva.
Wewe ni mtumishi wa Mungu lakini mbona muongo? Hakika unachekesha pamoja na undumila kuwili,hueleweki kabisa acha uroho ndo maana hata maneno yanakupotea
Nafikiri CDM ndio maana walimfanyia mzengwe kwenye ule uchaguzi wa kanda. Walimjua haaminiki kwa sababu ni miaka mingi amekuwa akituhumiwa kwenda CCM. Hayo yote hakuyaona miaka ishirini aliyokuwa chadema kama kiongozi na mbunge.
Kwanini hukuyasema hayo kabla hujaondoka unakosea leo wakati pia uliisema vibaya CCM angalia clip zako za nyuma na weka akiba ya maneno brother. Daah ama kweli yangoswe mwachie ngoswe.
Wwe Ni tapeli wa siasa tyu, unajiita mchungaji kwahiyo ulipokuwa chadema ulikuwa unaongepea watu na Sasa upo ccm utaongea ukweli??? Acha kujidhalilisha msigwa
Unachokiongea ni kweli chadema bado sana sanaa wanakula tu pesa za wananchi na ubaguzi mie nimewatoa thamani kusema mzanzibar ubaguzi wa waz chama kesho utasikia wale wapare wale wazaramu achanni na hicho chadema
Chadema msiumie namjua msigwa kule amekwenda kwa kazi maalum akisha timiza kazi aliyo tumwa atarudi soon hivyo ccm kama mlidhani mmelamba dume basi na wahikikisu subirini time will talk ccm kwa ujuma imekula kweni
Mie namvulia kofia mama samia sluu hassan sifikirii kama kuna mwanasiasa nguli kwa Katanzania ukamkosa mama samia ye wala hapigani na kelele ye anajua vya kupiga na baada ya mika 5 ijayo upinzani hamna Tanzania
kwahyo we mzee unatwambia umekaa zaidi ya miaka 20, hiyo ya demokrasia kukosekana chadema hukuwahi kuiona ndo umetambua baada ya kupgwa chini kwenye uchaguzi?
Msigwa as a Pastor... CCM hakuna Haki, wewe unapigania Haki. Kurudi CCM you are lost, lost for ever. Your Character is questionable. A man of Principles couldn't do what you did Buddy. This is for your own down fall no led no more.
Ngoja nimjibie. Kuhama kwake. Kaamua kumia golini. Ukiwa kiongozi wa chama cha upinzani, kawaida kuna udambu dambu unaopatikana kutoka kwa chama tawala. Sasa ukiwa upizani na hauna cheo chochote inakubidi usubiri viongozi wako mpaka wa kukumbuke. Sijui umenipata?
Ivi huyu ni msigwa aliye sema kua walioko ccm hawana upeo na yeye leo amekua mmoja wa wale ambaye awana upeo, NIME MKUBALI MH. LISU ANAONA MBAMBALI ARUFU YA PESA CHAFU LEO TUMEKUBALI MSIGWA NDIO WALIOPEWA KUJA KUARIBU UCHAGUZI WA KANDA.
Wewe Msigwa mnatufanya wananchi tujuwe mpo kwa maslahi yenu binafsi tu mambo mnayofanya hata aibu hamuoni, kuliko kwenda CCM ungekwenda upinzani ungeeleweka !!!!! Au ungeacha siasa utulie kimya kwanza, mmesema sana CCM haifai unakwendaje hapo hapo tena !??? Mnadhani WaTanzania hawafikiriii !!!!?
Kama kweli unaamini hivyo na kwa maneno yako maana yake CCM pia haipo vzr na ili kutuaminisha kuwa sio njaa iliyokuhamisha ungeanzisha chama chako. Watanzania pia tuna akili. Tunajua vzr
Inawezekana unayosema! Ulikuwaje ukashuhudia hayo kwa miaka yote bila kuongea ila baada ya kuukosa uwenyekiti wa kanda (maslai) ndo unasema. Usije kuleta unafiki wako huku CCM hautavumiliwa ulimsigina sana JPM
Uchaguzi wa mwaka 2020 alizulumiwa kw amadai yake ya mwanzo na ni haohao aliojiunga nao ndo walimkosesha haki. je hko kuna jipi jipya ambalo unaona ni zuri au ni uroho tu \
Msigwa umefuata chakula,sio haki,kwanini baada ya kukosa uwenyekiti umehama,miaka yote ulipokuwa kiongozi hukusema hayo,ila ulipokosa uongozi, CCM wamekununua ili wakutumie kwenye kampeni,wakutumie kufifisha udhalimu wa chama Chao,tuna akili zetu,na tumeshakuwa wazoefu na mbinu za CCM.
Hata makamu mwenyekniti Zito Kabwe aliondoka chama hakijafa,miaka 20 leo baada ya kukuosa uenyekiti kanda ndo unagundua huo ubaya?hata chekechea wa karne hii itamshangaza
Acha utani wako kusema wamshukuru Mwenyezi Mungu. Huna Mungu ww. Ungevumilia yaliyokusibu hadi ufie CHADEMA. Hakuna cha sacos wewe ni mfia mlo. Huna aibu. Mimi nilitaka kujiunga na CHADEMA lakini umeharibu sasa najipima tena kuna nini kinachowqsibu zaidi.ya matumbo? Msigwa shame on you. Sasa nikushauri, kaa kimya bila kunyea kambi, hiyo.SACOS niwewe unayedhania.
Yaani ylitaka uendelee na kanda uliposhindwa na Sugu ndio unakuja hoja dhaifu namna hiyo?sasa namuomba Mungu 2025 hao ccm wakuteue ugombee hapo iringa halafu uone utakavyo pata Aibu...fyoooooo
Karibu Kamanda nyumbani kumenogaa
Hongera ur wellcome comrades👌
Chadema imekuwa saccos ya mtu mmoja 😂😂😂
Tunamtuumu msigwa tu lakini Madai yake yanaweza kuwa na mashiko na nguvu hivyo Chadema ni vyema kujitafakari
Kahogwa ache unafiki
@@BashiruShabani-w5j huenda kweli kahongwa ila chadema pia kunashida mbowe inatakiwa kunawakati aachie wenzie uwenyekiti wa chama Kila cku yy tu
Msigwa anatueleza ukiona haki haitendeki sehemu fulani, ungana na wasio haki kutenda uovu.
Mpuuzi tu
Mimi nikiona mpinzani anaungana na CCM ,siyo sawa pamoja na hoja zake nooo
Welcome Msigwa , CCM is every thing Sasa utaona maana ya uongozi
Njoo msigwa tukijenge chama chetu Cha mapinduzi
Bora ungepiga kimya ukaachana na siasa za vyama.
Mimi nafikiri Mh. Msigwa ulipaswa tu kusema"nimeamua kuhama chama na kujiunga na CCM". Lakini all in all, hayo ni maamuzi yako wala hakuna anayeweza kukupinga.
Ndo ukwel kamanda
Msigwa umetukosea sana. Bora ungeenda CUF au ACT basi tujue bado upo upinzani. CCM mh😔
Mchezaji wa daraja la juu akitoka kwenye timu yake kwa sababu yoyote ile atakwenda kwenye timu ya daraja la juu zaidi na sio kurudi daraja la chini. CCM ndio kimbilio kwa mtu kama Msigwa.
Mchaga na siasa wapi na wapi mboye ni mwizi tuu
SAFI..... SANAAAA. MSIGWA KUAMIA ...CHAMA TAWALA
Huyu nae tenaa 🤣🤣🤣🤣🤣,, mbwa ninyi wanasiasa
Duh Tanzania yetu
Katiba sio ya chadema ni ya wananchi msigwa. Nenda salama
Nimesema mara nyingi kuwa shida yetu sio katiba bali ni watu wa kuisimamia katiba hiyo na Msigwa ni shahidi kuwa Ubora wa katiba unategemea sana ubora wa wasimamizi. Chadema ina katiba nzuri sana lakini ina viongozi wabinafsi na madikteta. Walio hama chama hicho ni wengi tu na malalamiko na hoja zao ni zilezile. Katiba mpya ni kama gari mpya ambalo maisha yake yanategemea ubora wa dereva.
Njaa zinamsumbua huyu Mzee msigwa kishapewa asali kishaambiwa atapewa kitengo kaona masilahi hapa hamna mchungaji ni unafiki juzi juzi alikua anapondea hakuna maendeleo saivi anasema Serikali inafanya vzr huo sini unafiki Sasa aisee 😢😢😢😢😢
CCM Kila kitu
Wewe ni mtumishi wa Mungu lakini mbona muongo? Hakika unachekesha pamoja na undumila kuwili,hueleweki kabisa acha uroho ndo maana hata maneno yanakupotea
Acha ale maisha nani asiyependa kuitumikia CCM hata we ukiitwa ni chapu
Katika interview hii msigwa hayupo sawa amelishwa maneno.Yeye ni mpinzani aendelee kuwa mpinzani .
hiii dunia bhana
Binasfi nimejiskia vibaya kwa maamuzi yakooo 😢😢😢
Karibu sana tz...hongera kwa ueledi wakutambuwa sehem salama na tulivu, jenga uimara kwenye pambana na song mbele
I knew this is going to happen Nafikiri ukombozi wa Tanzania bado sana yaani sungu kuwa m/kiti jamaa nogwa huyo CCM
Siasa za hivo tulishazichoka soon utapotea boss
Dahh 😂😂😂 ccm walimpeleka lowasa chadema leo chadema msigwa aenda ccm
Tujiulize angelishinda haya yangelikuwepo? Answer is big No.
chadomo chama cha wachaga, umefanya vizuri Peter Msigwa
mbowe ni mwenyekiti wa kudumu wa chadomo
Msigwa kaa kinywa we are not stupid
Chadema jimbo la iringa kulipata tena labda 2035
ila Mzee Mungu anakuona hivi kweli ni Mchungaji huyu? 🤣🤣
Kesho anakuwa mbunge kwa tiketi ya ccm Iringa
Huyu amefuata mlo😂
kukosa uwenyekiti wa kanda ya nyasa ndiyo imekua nongwa kumbe wewe ni decteta
Nafikiri CDM ndio maana walimfanyia mzengwe kwenye ule uchaguzi wa kanda. Walimjua haaminiki kwa sababu ni miaka mingi amekuwa akituhumiwa kwenda CCM. Hayo yote hakuyaona miaka ishirini aliyokuwa chadema kama kiongozi na mbunge.
njaa tu
Kwanini hukuyasema hayo kabla hujaondoka unakosea leo wakati pia uliisema vibaya CCM angalia clip zako za nyuma na weka akiba ya maneno brother.
Daah ama kweli yangoswe mwachie ngoswe.
hapo uliposema chama chetu kimekosa agenda kuwa makini hii clip itakatwa itatumika vibaya
Mhhhh hizi njaa zinatutesa kweli amekua mbunge misimu miwili lakin leo anasema chama kimekosa agenda dhuuuu Mungu tusaidie
Heee amekuwaje leo huyu! Nenda salama CHADEMA haina njaa ya watu. Kuondoka kwako kutaleta mamia ya watu .
Njaaaaaa
Tena njaa mbaya Sana ndugu yangu😂, hana lolote zaidi yakutaka maokoto tu hapo anajua atapata chochote kitu cha ziada😂.
Wwe Ni tapeli wa siasa tyu, unajiita mchungaji kwahiyo ulipokuwa chadema ulikuwa unaongepea watu na Sasa upo ccm utaongea ukweli??? Acha kujidhalilisha msigwa
Unachokiongea ni kweli chadema bado sana sanaa wanakula tu pesa za wananchi na ubaguzi mie nimewatoa thamani kusema mzanzibar ubaguzi wa waz chama kesho utasikia wale wapare wale wazaramu achanni na hicho chadema
Wananchi wa wapi? Kwani kinakusamya kodi? Ama kweli hili taifa Lina mambulula
daaah what a shame
MFUMO WA CHADEMA NAMNA ULIVYOKAA NI WA KUFUMUA WOTE,KWANI UMEKAA KAMA TAASISI BINAFSI ISIYOJALI DEMOCRACY,NA MTU MMOJA ANA MAAMUZI NA KURA YA VETO
Sahihi
Hakika
Je mbowe ndiye alipiga kura huko uliposhindwa? hauwezi kutudanganya
Ndoo maana ninasema hawa wachungaji hamna kituu
Ni njaa tu, maslahi na kuhangaikia tumbo.
Kwahiy ww unadhan chadem wale hawapat kitu au
Chadema msiumie namjua msigwa kule amekwenda kwa kazi maalum akisha timiza kazi aliyo tumwa atarudi soon hivyo ccm kama mlidhani mmelamba dume basi na wahikikisu subirini time will talk ccm kwa ujuma imekula kweni
Swali ni moja tu!Je ungeshinda kwenye uchaguzi wa Chadema ungeendelea na Chadema?au umehama kisa umeshindwa uchaguzi?
Wanasiasa hatari, ukikosa cheo unahama chama😂
Ccm mpeni udc huyu vinginevyo atawakimbia huyu😂
Mama hakuna anaemkubali nenda kaongeze nguvu walau apate hata asilimia tano.
Mie namvulia kofia mama samia sluu hassan sifikirii kama kuna mwanasiasa nguli kwa Katanzania ukamkosa mama samia ye wala hapigani na kelele ye anajua vya kupiga na baada ya mika 5 ijayo upinzani hamna Tanzania
trending ya mpina kwishney 😂😂
Kikubwa maokoto😂
Nenda kafe huko bna
Yaaaan kitu ambacho katika maisha yangu sikiamin nimwanasiasa yaaan Msigwa leo hii ndo wewe unaongia hivi??????
kwer usaliti upo huku clatous chama huku msigwa😂😂😂
hamna mtu hapa
kwahyo we mzee unatwambia umekaa zaidi ya miaka 20, hiyo ya demokrasia kukosekana chadema hukuwahi kuiona ndo umetambua baada ya kupgwa chini kwenye uchaguzi?
Mpwa kama mpwaa karb SANA
Porojo za Msigwa
Msigwa as a Pastor...
CCM hakuna Haki, wewe unapigania Haki. Kurudi CCM you are lost, lost for ever. Your Character is questionable. A man of Principles couldn't do what you did Buddy.
This is for your own down fall no led no more.
Ameisha huyo
Msigwa is hungry man
Tumbo la watu lina shida kweli jamani
Kwann umehama mara tu baada ya kushindwa uenyekiti wa kanda ya Nyasa mheshimiwa mchungaji?
Ngoja nimjibie. Kuhama kwake. Kaamua kumia golini. Ukiwa kiongozi wa chama cha upinzani, kawaida kuna udambu dambu unaopatikana kutoka kwa chama tawala. Sasa ukiwa upizani na hauna cheo chochote inakubidi usubiri viongozi wako mpaka wa kukumbuke. Sijui umenipata?
Mchungaji tapeli sijui kanisank lako ni i lile la mashoga nini kwenda huko tapeli mkubwa wewe utatuambia nini wewe mchungaji unakula jaxa mwenyewe
Ivi huyu ni msigwa aliye sema kua walioko ccm hawana upeo na yeye leo amekua mmoja wa wale ambaye awana upeo, NIME MKUBALI MH. LISU ANAONA MBAMBALI ARUFU YA PESA CHAFU LEO TUMEKUBALI MSIGWA NDIO WALIOPEWA KUJA KUARIBU UCHAGUZI WA KANDA.
Hawa ndio wachungaji tulio nao mungu atakupiga muda si mrefu
Hawa ni wanadamu halisi. Si wachumgaji. Yesu alipokele Jerusalem Kwa nyimbo hosena mwana wa daudi, siku chache hao wakasema msulubishe.
Wewe Msigwa mnatufanya wananchi tujuwe mpo kwa maslahi yenu binafsi tu mambo mnayofanya hata aibu hamuoni, kuliko kwenda CCM ungekwenda upinzani ungeeleweka !!!!! Au ungeacha siasa utulie kimya kwanza, mmesema sana CCM haifai unakwendaje hapo hapo tena !??? Mnadhani WaTanzania hawafikiriii !!!!?
Kama kweli unaamini hivyo na kwa maneno yako maana yake CCM pia haipo vzr na ili kutuaminisha kuwa sio njaa iliyokuhamisha ungeanzisha chama chako. Watanzania pia tuna akili. Tunajua vzr
Hata ongea yako tuu imebadilika ulivokuja huku, karibu sana. Huku hatubwati kama ulivokua unabwata kule 😂😂😂😂
Inawezekana unayosema! Ulikuwaje ukashuhudia hayo kwa miaka yote bila kuongea ila baada ya kuukosa uwenyekiti wa kanda (maslai) ndo unasema. Usije kuleta unafiki wako huku CCM hautavumiliwa ulimsigina sana JPM
Uchaguzi wa mwaka 2020 alizulumiwa kw amadai yake ya mwanzo na ni haohao aliojiunga nao ndo walimkosesha haki. je hko kuna jipi jipya ambalo unaona ni zuri au ni uroho tu
\
uezi ona ushoga kama huu kenya
Alitabili magu mda saana
Msaliti wewe huna haja ya kumshukuru mungu laana inakutafuna huna ata sifa ata ya kuitwa mchungaji ""njaa imekukaba umenunuliwa😂😂😂😂""
Kwenye msafara wa mamba,kenge wapo pia!
Sasa hapo unaongea nini kuaribu chama
Njaaa ya kichwa 😂😂😂
Msigwa umefuata chakula,sio haki,kwanini baada ya kukosa uwenyekiti umehama,miaka yote ulipokuwa kiongozi hukusema hayo,ila ulipokosa uongozi, CCM wamekununua ili wakutumie kwenye kampeni,wakutumie kufifisha udhalimu wa chama Chao,tuna akili zetu,na tumeshakuwa wazoefu na mbinu za CCM.
mpak kuongea anaona aibu vile anavopondaga ccm sasa ccm wataelew jinsi ya kuishi na huyu mtu
Uwongee basi kidogo mzee ubakishe jaman.wewe umeisha hama sibas
😅😅😅😅😅 duhhh
Nimekumbuka JPM, HAPA KAZI TU .😅😅
Surayaketu inaonyesha ni yuda Toka anyimwe uwenyekiti
Hata makamu mwenyekniti Zito Kabwe aliondoka chama hakijafa,miaka 20 leo baada ya kukuosa uenyekiti kanda ndo unagundua huo ubaya?hata chekechea wa karne hii itamshangaza
Anauhalali gani kumsema mbowe? Kweli achapakuche tuone mwanga
Never trust a politician. Never ever.
Huna lolote msality wew
Mh hahahaha bora hata niangalie tu sinamaneno 😂😂😂
IPO SIKU UTATWAMBIA CHAMA KIPI KINA HAKI
Acha utani wako kusema wamshukuru Mwenyezi Mungu. Huna Mungu ww. Ungevumilia yaliyokusibu hadi ufie CHADEMA. Hakuna cha sacos wewe ni mfia mlo. Huna aibu. Mimi nilitaka kujiunga na CHADEMA lakini umeharibu sasa najipima tena kuna nini kinachowqsibu zaidi.ya matumbo? Msigwa shame on you. Sasa nikushauri, kaa kimya bila kunyea kambi, hiyo.SACOS niwewe unayedhania.
Hapa chadema na waelewa mko smtika
Kwahio mtumish hata ww ulikuwa unadanganya
Pumbavuuu kweli weee
Msigwa umejinyonga mwenyewe, ningekuelewa kama unheenda chama kingine cha upinzani, jihesabie siku chache utakuwa umezima kama wengine
Binafsi namuelewa Sana zitto
CHADEMA NI CHAMA THABITI HAITIKISIKI
Mwanasiasa Malayamalaya huyu umeyarudia matapishi
Anaandikiwa vya kuongea au?? Kigugumizi kingi. 😅😅😅😅
Ufisi wako ulionekana mapema sana
Yaani ylitaka uendelee na kanda uliposhindwa na Sugu ndio unakuja hoja dhaifu namna hiyo?sasa namuomba Mungu 2025 hao ccm wakuteue ugombee hapo iringa halafu uone utakavyo pata Aibu...fyoooooo
Amepagawa na Pepo