HATUA SABA ZA UHURU WA KIFEDHA - DR. AMINA ABDUL

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 8 фев 2025
  • Jifunze juu ya hatua 7 Za Uhuru wa Kipato kama zilivyofundishwa na Dr. Amina Abdul kwenye Event ya Let's Talk Finance iliyofanyika kwenye Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.
    Kwa videos zingine kutoka kwenye events zilizopita click kwenye link hapa chini;
    JATU: • Video
    HISA: • TENGENEZA UTAJIRI KUPI...
    HATIFUNGANI: • WEKEZA KWENYE HATI FUN...
    UTT: • UWEKEZAJI WA PAMOJA - ...
    UHURU WA FEDHA: • UHURU WA KIFEDHA Na Ed...
    Kama umependa mafunzo haya basi tukukaribishe kwenye event yetu ijayo ambayo itafanyika tarehe 14/10/2021. Kupata taarifa kwa urahisi tufollow kwenye Instagram;
    Edmund Munyagi: / ekmunyagi
    Let's Talk Finance: / letstalkfinancetz

Комментарии • 25

  • @Hungrydonkey9345
    @Hungrydonkey9345 Год назад +2

    Asante sana kwa mafundisho

  • @esterfrank318
    @esterfrank318 2 года назад +2

    May you start these events mikoani

  • @hindukupela9029
    @hindukupela9029 2 года назад +2

    Asante Sana kwa elimu

  • @mohammedrashid2906
    @mohammedrashid2906 3 года назад +2

    Tafadhali ni lini seminar
    Shukran

  • @Cyper255
    @Cyper255 2 года назад +2

    Hongereni sana kwa elimu hii

  • @kelvinmugini6793
    @kelvinmugini6793 2 года назад +1

    i wish iwe zaidi

  • @queenhuu2852
    @queenhuu2852 3 года назад +2

    Ahsant Sana my dada mungu akulipe Kila la kher kw elimu yko kwakweli umenijenga ss ntanz kujitasmini na kuchukua hatua ,,napia hongera Sana kw kuwajeng wtt kielimu

  • @pilichuli4449
    @pilichuli4449 3 года назад +2

    Nimekukubali dada

  • @kalengashoppingcenter1108
    @kalengashoppingcenter1108 8 месяцев назад +1

    Maua yako mama🎉❤

  • @selemanmateja4607
    @selemanmateja4607 18 дней назад

    Naomba mfike namikowani

  • @rogathekombe7427
    @rogathekombe7427 3 месяца назад

    Asante sana dada mafunzo ni mazuri nimejifunza kitu

  • @riphatijumanne3903
    @riphatijumanne3903 3 года назад +2

    I like it

  • @ParisAlvin
    @ParisAlvin Месяц назад

    Thank you👏🏾

  • @KagombaEnock
    @KagombaEnock 5 месяцев назад

    Asante sana Dr Amina

  • @mohammedrashid2906
    @mohammedrashid2906 3 года назад +1

    Shukran sana

  • @frankkashner
    @frankkashner 3 года назад +2

    Thank you brother

  • @jumamaabad5430
    @jumamaabad5430 6 месяцев назад

    Naomba hizo notes au kitabu

  • @Charisma1994
    @Charisma1994 3 года назад +2

    Am a new subscriber

  • @juliusmantago4511
    @juliusmantago4511 3 года назад

    Toeni no za cm kwa Msaada zaidi.

  • @manish-fp1fb
    @manish-fp1fb 2 года назад +2

    Hivi mnatuonyesha washiriki so what??

  • @veronicamassala562
    @veronicamassala562 7 месяцев назад

    Mwenye anajua Ig yake plz

  • @FasihiTanzania
    @FasihiTanzania 8 месяцев назад

    Nashauri vipindi hivi vihaririwe na kuwe kunaonyeshwa masuala muhimu ya presentation. Mfano wakati anauliza hii picha inafundisha nini, mhariri alipaswa kutuonyesha picha hiyo. Vivyo hivyo kwa dots muhimu za mwezeshaji.

  • @judamsaki5609
    @judamsaki5609 5 месяцев назад

    good topic madam , but you talk alot about your personal matters ....reduce it talk about the core content pls.....focus