Mashaallah Raisi mwinyi Unaweza na nikienda home nitaitembea Pemba yote kuona haya but kazi Bado iendelee kipo chengine tutakuambia utuletee tena wenyewe kilikuwepo kikaondoshwa mikononi mwetu
Alipora ushindi wa Maalim Seif Sharif Hamad. Mwinyi hakushinda uchaguzi kihalali na ndio sababu anatuondosha njiani tuuu ktk miradi ya maendeleo tazama Bandari za Pemba. Bara bara za Pemba. Airport ya chake Pemba, hadi leo ni hadisi za Albunuwasi na comedian za kachara. Tukutane oktoba 2025 ndio mtajuwa kilicho mfanya mgema tembo kulitia maji.
Tunaomba Mh Rais Mwinyi atuone na sisi wananchi wa Shangafu,Mashuga,na Tondooni Bars bara hatuna ,tunaomba bara bara kupitia mkarafuu mmoja mpaka Minungwini
Musitubabaishe hii nchi ina miaka 60 tangu uhuru sasa kwa nini hamukujenga ? Kul 😅ikua na ukoloni wa tanganyika kuitawala zanzibar kwa kutopewa fungu letu kiukamilifu la muungano ili kuijenga zanzibar. Sasa tanganyika yupo mzanzibari mwenye kupinga uonevu huo kwa kutupatia fungu letu sahihi la muungano ndilo linalompa fursa rais mwinyi kuijenga zanzibar. Lakini njaaa zinanuka majumbani mwetu.
Chani kumpamba Kwa mauwa hakuna jipya tumepa matumaini makubwa barabara sio kujisifia kuwa maendeleo Amani karume amejenga nyingi tu, hakuna kitu, watu wakisema na yy anasema watu wanasema sijafanya kitu, mbala mbla, mpaka leo wanafuzi mashuleni wanasima zaidi ya 60
BASI IANGAlIENI BARABARA YA CHAKE /MKOANI jamani maendeleo yawe kote sio ungujatu tu au pemba kaskazinitu kuna na kipande pia cha mgagadu, msengele mpaka kendwa kiwani kama hamuijui muulizeni Makamo wa pili anaijua hii barabara watu walishakula hela mara nyingi tu tokea utawala wa Salmin hadi leo
Mwinyi raisi wa ccm pamoja na juhudi zako za kututia changa la macho kwa maendeleo madogo madogo unayoyafanya hasa kwa kisiwa cha Unguja ambako ndiko unakoamini kuwa kuna ndugu zako wengi wa damu ,lakini hili kwetu halitokuwa ni kikwazo kwa Wazanzibari wanaojielewa kudai mamlaka kamili ya nchi yao ambayo ndiyo ajenda na siyo kutulazimisha kuwa chini ya ukoloni wa Tanganyika.
Mamlaka kamili pale pale.... lakini maendeleo hayaondoki kuna kitu kafanya Jamaa macho yanaona... na bado anaendelea.... Wangapi wamepita.... zogo jingi.... bila hata haya tunosema madogo..... #Zanzibar ❤
Mashaallah
Raisi mwinyi
Unaweza na nikienda home nitaitembea Pemba yote kuona haya but kazi Bado iendelee kipo chengine tutakuambia utuletee tena wenyewe kilikuwepo kikaondoshwa mikononi mwetu
Ofisi ya rais ikulu mko poa sana mungu awabaarik sana
Alipora ushindi wa Maalim Seif Sharif Hamad. Mwinyi hakushinda uchaguzi kihalali na ndio sababu anatuondosha njiani tuuu ktk miradi ya maendeleo tazama Bandari za Pemba. Bara bara za Pemba. Airport ya chake Pemba, hadi leo ni hadisi za Albunuwasi na comedian za kachara. Tukutane oktoba 2025 ndio mtajuwa kilicho mfanya mgema tembo kulitia maji.
Mwinyi mpeku ata ukiimaliza hio ziara kuzunguka pemba mzm miguu imeshafanya mabojeee hongera sana
Kisiwa cha Pemba na Zanzibar!
Tunaomba Mh Rais Mwinyi atuone na sisi wananchi wa Shangafu,Mashuga,na Tondooni Bars bara hatuna ,tunaomba bara bara kupitia mkarafuu mmoja mpaka Minungwini
Musitubabaishe hii nchi ina miaka 60 tangu uhuru sasa kwa nini hamukujenga ? Kul 😅ikua na ukoloni wa tanganyika kuitawala zanzibar kwa kutopewa fungu letu kiukamilifu la muungano ili kuijenga zanzibar. Sasa tanganyika yupo mzanzibari mwenye kupinga uonevu huo kwa kutupatia fungu letu sahihi la muungano ndilo linalompa fursa rais mwinyi kuijenga zanzibar. Lakini njaaa zinanuka majumbani mwetu.
Piga kazi mh wetu tunakupenda na kujua kuwa nchi inakimbia kwa maendeleo
Wete chake safi sana
Mkoani jee haimo baada ya kujenga barabara muhimu mnajenga mgelema ukhanithi gani huu mie sielewi
Barabara ya mkoani ,chake jamani
Mbona bandari na Barbara ya mkoani chake hamjengi kwann hamuoni Kama naile nimbovu
Mama Kila lakhery
Dokta fadhila akichambua hesabu zake
Safi sana
Mnajenga nyumba za walim kwani humo visiwani hamna walio na fani ya uwalimu mkawaajiri
Chani kumpamba Kwa mauwa hakuna jipya tumepa matumaini makubwa barabara sio kujisifia kuwa maendeleo Amani karume amejenga nyingi tu, hakuna kitu, watu wakisema na yy anasema watu wanasema sijafanya kitu, mbala mbla, mpaka leo wanafuzi mashuleni wanasima zaidi ya 60
Andika vizuri wewe sio bala bala ni bara bara wewe WA wapi? Wewe au porini
BASI IANGAlIENI BARABARA YA CHAKE /MKOANI jamani maendeleo yawe kote sio ungujatu tu au pemba kaskazinitu kuna na kipande pia cha mgagadu, msengele mpaka kendwa kiwani kama hamuijui muulizeni Makamo wa pili anaijua hii barabara watu walishakula hela mara nyingi tu tokea utawala wa Salmin hadi leo
Ushauri wangu miradi igaiwe sawa Kwa sawa unguja na pemba Kwa Nini unguja wanapewa mingi kuliko pemba?
Ni mwendo wa filamu tu
Hakuna mabadiliko yoyot Labda njaa tunakufa njaaa