Mbarikiwa apinga maneno ya Goodluck katika intervie Aliyosema "Mungu kaniambia"

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 5 фев 2025

Комментарии • 221

  • @mosessiame7882
    @mosessiame7882 7 дней назад +8

    Nyie mnaolalamika kuwa mchungaji amekalia kukosowa tu hataki kuhubiri huko kukosowa ndo kuhubiri lakufanya wote tunao chomwa myoyo na haya maneno twendeni tubadilike t Mungu akubariki pastor ❤❤❤👏

    • @NGUVUYAUYOGA
      @NGUVUYAUYOGA 7 дней назад

      Kwa kuwa yeye amekalia kukokosoa tu,basi msaidie wewe kuhubili injili

    • @karugwe
      @karugwe 7 дней назад

      Si vyema katazama kibanzi Kwenye jicho la mwenzako sio vizuri Mungu anakataa

    • @calvinmwabungulu9672
      @calvinmwabungulu9672 День назад

      Kaza Buti mtumishi mi nakuelewaga Sana injili yako imenyooka

  • @bumimwamasage5463
    @bumimwamasage5463 8 дней назад +7

    Jamani Mungu anaongea na wanadamu, Short and clear. Wala maagizo ya Mungu hayabadilishwi na mwanadamu bali Mungu mwenyewe. Kumbuka Ibrahimu alipoagizwa na Mungu amtoe sadaka Isaac, ni yeye mwenyewe aliyebadilisha. Lakini Ibrahim alitii sauti ya Mungu. Kutoa sadaka mtoto sio kitu unaweza kulinganisha gari, linatengenezwa na mwanadamu. Na hakuma mwanadamu aliyejipendekeza kukosoa au kupinga agizo la Mungu kwa Ibrahimu, na wala Ibrahimu hakutafuta ushauri kwa wanadamu. Tuambianee ukweli, hakuna ambaye ndiye perfect kwenye kuijua biblia.

  • @FeristaJafeti
    @FeristaJafeti 5 дней назад +1

    Asante baba yangu maana mi inanikera sana kulitaja jina la Mungu bure huyo kapote tu

  • @Elecovid
    @Elecovid 6 дней назад +3

    Jamaa kuchoma gari kafanya jambo jema sana

  • @GOODLUCKGodwell-bm4br
    @GOODLUCKGodwell-bm4br 8 дней назад +3

    Ila mimi nakupenda mbarikiwa kwa kuwa unajua sana kutambaaa na upepo

  • @JohnNgessi
    @JohnNgessi 8 дней назад +2

    Kuhusu unae mkosoa sijui ila LEO NIMEKUELEWA NA KUVUTIWA SANA NA KAULI MOJA TU MTUMISHI, ni sahihi wenye hatua kubwa hata kimaisha tu kwa asilia kubwa ni wale wanao sema kwa kufikili kwangu nimeona nifanye hivi na vile... kuliko wale wa Mungu kasema, kila jambo. ❤ wanafia kwenye masifa ya kujikweza.

  • @JesusisLord-j4o
    @JesusisLord-j4o 8 дней назад +3

    Eti hudhan kama kuna mahala Yesu ameongea Mungu kaniambia😢.. HAYA SOMA HAPA
    ••Yohana 8:40.
    40. Lakini sasa mnatafuta kuniua mimi, mtu ambaye nimewaambia iliyo kweli, niliyoisikia kwa Mungu. Ibrahimu hakufanya hivyo.
    ■ kwahiyo Yesu alisikia kweli kwa Mungu halafu akawaambia kwahiyo Mungu alimwambia.., sasa wewe mpendwa upo kupinga kila kitu pole 😢

  • @adamernest8226
    @adamernest8226 7 дней назад +2

    😂😂😂😂 jamani hiii hatariii ety Mungu hasemi ebu zama deep katika kumtafuta Mungu yaani yatiishe mambo ya dunia yasiambatane na roho yako uone kama Mungu haongei

  • @JesusisLord-j4o
    @JesusisLord-j4o 8 дней назад +5

    Mungu huongea na watu mpendwa..., Sauli alisikia saut ya Mungu wakat anaenda kuua wakristo kuna maandiko mengi ndani ya Biblia yanaonesha Mungu anaongea na wanadamu..
    -- pia kuna maandiko yamewaonesha watu waliosema wameqmbiwa na Mungu kumbe hawajaambiwa.. sasa nakushangaa ww unaekataa kauli ya Mungu kqniambia..😢😢

  • @IsmailMaberi
    @IsmailMaberi 8 дней назад +9

    KUMBE WEWE UNALIJUA ANDIKO ILA MUNGU MWENYE MAANDIKO HUMJUI NI HATARI SANA ,KAMA MUNGU ASEMI NA WATU EBU SOMENI (MATENDO YA MITUME 8: 29 ) NAMNA FILIPO ALIVYOONGEA NA MUNGU , ALAFU KAMA UNAAMINI MUNGU ASEMI NA WATU SASA MBONA UNAFUNDISHA KUUSU MUNGU USIE MJUA WALA UJAWAI KUMSIKIA KUMBE , NDIO MAANA UNAKUA MKOSOAJI SANA EBU MTAFUTE MUNGU KWA BIDII NA UJINYENYEKESHE KISHA ACHA MASHAMBULIZ ,ATAJIFUNUA

    • @NGUVUYAUYOGA
      @NGUVUYAUYOGA 7 дней назад

      Kwa hiyo wewe hapo haujamkosoa?

  • @reginamarwa8636
    @reginamarwa8636 7 дней назад +2

    Sauti ya Mungu kwa mtu hua haijadiliwi jamaniii.tuwe makini Mungu atusamehe.muacheni mtu alie sikia sauti ya Mungu na Mungu wake.......Mungu tusamehe

  • @mwaminimwangaza
    @mwaminimwangaza 5 дней назад +1

    Agano la kale Mungu aliongea na watu ndotoni, mafunuo, pia kwa njia ya sauti yake,Yusufu, Danieli, Samueli, Abraham baba yetu wa imani, Eliya, Musa na wengine

  • @JesusisLord-j4o
    @JesusisLord-j4o 7 дней назад +3

    Eti hudhania kama Yesu alisema amesikia kwa Mungu.HAYA SOMA hapa
    ■ Yohana 8:40.
    40. Lakini sasa mnatafuta kuniua mimi, mtu ambaye nimewaambia iliyo kweli, niliyoisikia kwa Mungu. Ibrahimu hakufanya hivyo.
    • Kwahiyo Yesu anasema anayowaambia alisikia kwa Mungu; kwahiyo Mungu alimwambia..sasa ndugu amekaa kupinga kila kitu😢. Acha hiyo tabia

    • @wannaproducts
      @wannaproducts 7 дней назад

      Sasa dimensions za Yesu au Musa ndio umfananishe na huyu Good luck?
      Mungu hakumuambia asiende alikoenda kupewa gari na chakula?
      Kuna uongo mwingi Kwa huyo jamaa wa kuambiwa na Mungu

    • @JesusisLord-j4o
      @JesusisLord-j4o 3 дня назад

      @@wannaproducts kwahiyo kabla ya Makosa ndio Mungu husema ila Mtu akishakosea ndio Mungu hawez kusema naye; Tatizo ni wewe unayempangia Mungu aseme wakati upi 😐.. shida mko bize kupinga kila kitu 🤔

  • @SarafinaPeter-bk5oq
    @SarafinaPeter-bk5oq 6 дней назад +3

    Jamani kwani mungu hawezi kusema na gudrcki na kumpa maelekezo kumbe hilo gari wengi limewauma nilikuwa napita tu jamani

  • @SarafinaPeter-bk5oq
    @SarafinaPeter-bk5oq 6 дней назад +1

    Ni bora uendelee kuwaombea hao watumishi na sio kuwasema hivyo unawasaidiaje kama wew ni mtumishi wa mungu

  • @desolz3809
    @desolz3809 8 дней назад +3

    Kila mtu anasema au anasemeshwa na Mungu kwa namna yake... to me "kama ni kweli Mungu kasema na huyo kijana basi yupo sahihi kabisa" hakuna cha matusi wala nini kikubwa ni kuonyana na kufundishana ili mwili wa Kristo ujengwe

  • @mwaminimwangaza
    @mwaminimwangaza 5 дней назад +1

    Agano jipya mitume walinena kwa lugha mbalimbali wakati Roho mtakatifu alipo washukia walipata mafunuo soma matendo ya mitume utaona Petro alipata mafunuo kabla ya kuenda kwa Kornelio, Paulo alikuwa napata mafunuo mara nyingine wakati wa ziara zake za injili, malaika alimujia Yusufu ndotoni ili ku mu save Yesu wakati anazaliwa kwa ajili ya hasira ya Herode

  • @ellyitete938
    @ellyitete938 8 дней назад +4

    Kwenye swala la kuongea na Mungu ni mtu binafimsi Sion sababu ya kuchangua kile mtu kaongea personal na Mungu

  • @vaikaayagadiel520
    @vaikaayagadiel520 8 дней назад +2

    Mungu ni Baba, inakuwaje kama huongeagi wala Babako haongei na wewe, utakuwa mwanaharamu wewe Jehova si babako

    • @NGUVUYAUYOGA
      @NGUVUYAUYOGA 7 дней назад

      Kwa hiyo zile hela Mungu alisahau kumwambia achome?

  • @SimbaMuamuzi-c4f
    @SimbaMuamuzi-c4f 8 дней назад +3

    Mbarikiwa kumbe humjui mungu namatendo yake kuanzia reo siwezi kukuskiriza acha wivu na imani za wenzio kama imani huna kaivoivo

    • @NGUVUYAUYOGA
      @NGUVUYAUYOGA 7 дней назад

      Kwani mpaka sasa unamsikiliza alikuomba au ni kujipendekeza kwako?

    • @edwardmagongo1251
      @edwardmagongo1251 7 дней назад

      Hata umjuw mungu pia Acha shobo

    • @NGUVUYAUYOGA
      @NGUVUYAUYOGA 7 дней назад

      @edwardmagongo1251 Siachi ng'oooooo!!!!!

  • @deborahkihangaofficial1135
    @deborahkihangaofficial1135 8 дней назад +2

    BARIKIWA SANA UKOSAHIHI KWA MARA YA KWANZA KUKU KUBALI🎉

  • @JacklineShaban-x9c
    @JacklineShaban-x9c 4 дня назад +1

    Mtumishi was MUNGU,unahitaji utulivu ili kumsikia MUNGU au kuongozwa na Roho Mtakatifu.kwa maana wote wanaoongozwa na Roho wa MUNGU hao ndio Wana wa MUNGU.Usipokuwa mtulivu kwa namna ulivyo no ngumu kumsikia MUNGU. Unahitaji hesabu gani ya kawaida kwa maneno ambayo Yesu alimwambia msamalia mpaka yule msamalia akasema naona u nabii yapo Mambo mengi kwenye biblia yasiyohitaji hesabu unazosema wakati mwingine Tunahitaji kumsikia MUNGU anasemaje juu ya Mambo yetu.Sikatai kuwa mtu anaweza kutumia hiyo njia Kama silaha ya kufanikisha Mambo yake lkn inaezekana ni kweli MUNGU anaweza kumwambia.Na Kama kweli MUNGU alimwambia huyu Gozibeti Basi MUNGU atamfanikisha kuliko kawaida nami ninamuombea Kama kweli MUNGU alimwambia amfanikishe zaidi ili azidi kumwamini na kumtumikia zaidi...

  • @Amosmakuba-r2k
    @Amosmakuba-r2k 6 дней назад +1

    kwa aseme ni wewe umemwambia kwa hio Mungu hasemi nawatu wewe pia so wakukuamini kwa Kila neno. Ninachojua Mungu husema na watu

  • @WemaOmary-z3t
    @WemaOmary-z3t 8 дней назад +6

    Huy mbarikiwa na casian badilikeni acheni kupotosha watu

    • @NGUVUYAUYOGA
      @NGUVUYAUYOGA 7 дней назад

      Wewe
      Usiepotosha mbona umejificha ila tu kukomenti kwa wanaopotosha?

  • @BarikielSaktay
    @BarikielSaktay 7 дней назад +3

    Hii siyo sawa hivi unajuaje kama Mungu amesema naye au hakusema naye je kama kweli Mungu kasema naye wewe mtumishi Mbarikiwa si utakuwa umesema uwongo kwani we huu uhakika wa siri ya mioyo ya watu unautoa wapi

    • @NGUVUYAUYOGA
      @NGUVUYAUYOGA 7 дней назад

      Mungu amamtuma kuchoma gari tu ila zile milioni 02 alizopewa pale pale asizichome?

    • @BarikielSaktay
      @BarikielSaktay 7 дней назад

      @@NGUVUYAUYOGA tumia tu hata akili ya kuzaliwa unafananisha pesa na chombo pesa si kitu kinatumika haraka na kuisha

    • @NGUVUYAUYOGA
      @NGUVUYAUYOGA 7 дней назад

      @BarikielSaktay Ahahaaaaaa
      Kumbe huyo Mungu ni mwoga sana

  • @JesusisLord-j4o
    @JesusisLord-j4o 8 дней назад +3

    ■ Ayubu 33:14.,15.
    14. Kwa kuwa Mungu hunena mara moja,
    Naam, hata mara ya pili, ajapokuwa mtu hajali. 15. Katika ndoto, katika maono ya usiku,
    Usingizi mzito uwajiliapo watu,
    Katika usingizi kitandani;

  • @LuciaMwambingu
    @LuciaMwambingu 8 дней назад +3

    Mungu akubariki nimekuelewa sana

  • @StellaMwamaluka
    @StellaMwamaluka 8 дней назад +3

    Mbarikiwe acha kikosoa wenzio baba

    • @NGUVUYAUYOGA
      @NGUVUYAUYOGA 7 дней назад

      Acha wewe kwanza kumkosoa kwa komenti

  • @IsmailMaberi
    @IsmailMaberi 8 дней назад +6

    NA IMANI YA WATU WALIOKOKA WANAAMIN MUNGU HUSEMA NA WATU , WEWE TAFUTA MOYO MNYOOFU UTAONA MUNGU ATASEMA NA WEWE

    • @NGUVUYAUYOGA
      @NGUVUYAUYOGA 7 дней назад

      Mungu anasema nao ila hawakemei na kuwaonya tabia zao mbaya?

    • @NGUVUYAUYOGA
      @NGUVUYAUYOGA 7 дней назад

      Mungu alimwambia achome gari sio kunyoa denge na ndevu?

  • @Revocatusfeli
    @Revocatusfeli 7 дней назад +1

    Mbarikiwa mambo ya rohoni ya upana mukubwa Sana, wewe ubili watu waende mbinguni, lakini kusema unajua yote itakusumbua.

  • @daimonmwasakifwa689
    @daimonmwasakifwa689 7 дней назад +1

    Ww mtumishi wa Mungu mm ni mmoja wa watu nilikua nakufuatilia sana
    Na ulikua unanibariki sana lakini toka upatwe na matatizo yalio kupata yaani nakuaona kama umeamua kuacha kazi ya mwanzo ya baraka sasa umekua ni mtu wa kukosoa tu mitandaoni
    Sijakuona hata siku moja unatoa hahubili watu wamjue Mungu ww umekazana na kosoaji tu
    Mchunaji ww ni chombo au ww ni nyavu itumikayo kuvua watu waludi kwa Mungu
    Ww sio mtakatifu sana kuliko wengine Embu ludi kua mwakipesile yule wa injili Baba
    Sijui kama yesu yy alikua mkosoaji kama ww
    Mm ninavyo jua kusudi la Mungu kwako halikua hilo kwako la kukosoa tu mitandaoni
    Yaani ww mahubili yako sas ni kusoa tu mitandaoni
    Tumia huo muda kuhubili injili watu wamjue Mungu
    Ni ushaur tu mtumishi wa Mungu
    Mungu akubariki sana

    • @NGUVUYAUYOGA
      @NGUVUYAUYOGA 7 дней назад

      Hahahaaaaaaa
      Ameacha kazi ya Mungu lakini bado unamsikiliza

    • @MuunganoChrisanth
      @MuunganoChrisanth 7 дней назад

      Ivi nyie kama hamjui injili si muache au mnatafta ushabiki kwahiyo mnataka wakemee mbuzi na ng'ombe? kama sio sisi watenda maovu? naona wapinga kristo ni ninyi hapo soma 1Timotheo5:20 soma Tito2:11-15 soma 2Timotheo 4:1-5 endeleeni kuwa watu wa rohoni mpotee kwa upumbavu wenu 1Timotheo4:1-2kama huelewi uliza ufundishwe si kucoment vitu usivyo vijua bola kukaa kimyaa huyo Goodlack anataka kuanzisha kanisa lake aanze kupiga hela na atazikusanya kweli sisi wa rohoni huwa hatumbishwi na miujiza tunaelwa kweli Mungu anazungumza na watu kwa njia ya ndoto na maono ila tunaupima kwenye maandiko fata mambo ya rohoni afu uache sheria za Mungu na amri zake sasa tuone kama utadum.

  • @johnhezron9018
    @johnhezron9018 8 дней назад +1

    Hakika kabisa baba hawa watu wamezidi sana kusingizia Mungu eti Mungu kasema.

  • @calvinmwabungulu9672
    @calvinmwabungulu9672 День назад

    Saaafi sana mtumishi

  • @DorahPoul
    @DorahPoul 8 дней назад +1

    Huwa nakuelewa Sana mtumishi mana mungu akiwa kivuli Kwa watu ili kuaminika kwenye hoja zao

  • @deborakamaze
    @deborakamaze 8 дней назад +3

    Ivi watumishi mmeitiwa kukosoa ninyi kwa nyinyi hubirini mambo ya iman na kumjua Mungu muda mwingi mnawaza kuingia mtandaon tu

  • @israelmwasota
    @israelmwasota 7 дней назад +1

    Nadhani jifunze sio kila kitu unaona kukosoa watu tunachoka, ila chagua vile vya msingi zaidi ndo ukosoe.
    Yank hapo unakuwa kama mjuaji yani ndo unavyoonekana, punguza kukosoa kila kitu.
    I wish ungeona ile picha unaonekana ila basi tu.

  • @naumimwaihojo8959
    @naumimwaihojo8959 7 дней назад +1

    Unyamazifu ni kiroho pia hata kama unaelewa sana nyamaza acha mengine yapite kama hujayaona sio Kila kitu ujibie mengine ni kuingia kwenye maombi na kumwambia Mungu mapenzi Yako yatimizwe na kutupa macho ya rohoni Ili WATANZANIA tumuone Mungu wa kweli

  • @IsayaMteule
    @IsayaMteule 6 дней назад +1

    Kinajifanyaga kinajua kila kitu hiki yaan ww ndo umekaa na Mungu pemben kila kitu unajua ww, wew unavo hubirigi kuwa roho mtakatifu kakwambia inamaana Roho mtakatifu anakwambia ww tu wengine hapana acha kujikuta ww

  • @mwaminimwangaza
    @mwaminimwangaza 5 дней назад +1

    Maandiko yanatuambia tuzijaribu roho kwa sababu shetani pia anamuiga Mungu ili kupotosha watu, lakini Mungu anangea kwa ndoto mafunuo kupitia kunena kwa lugha na tafsiri yake kasome biblia vizuri usisome nusu usipotoshe watu Mungu atakuuliza kwa ajili yaku pindisha maandiko

  • @LawrenceGingo
    @LawrenceGingo 5 дней назад +1

    Huyumbalikiwa anazingua kilakituanajifanya anajuayeye wew umemwonachiz huyo mpaka achomegal unapoteza cevii ACHA usenge

  • @arnoldvictor8763
    @arnoldvictor8763 6 дней назад +1

    Mbarikiwa, ingawa nina baadhi ya approach zako ambazo sikubaliani nazo, lakini nakiri kwamba wewe si mnafiki wala mwoga, na kwa hili la huyu kijana umesema kweli...! Tatizo tulilo nalo kuokoka kumepotoshwa sana kiasi ambacho siku hizi hata Shetani anajitangaza ameokoka!

  • @HekimaSalama
    @HekimaSalama 7 дней назад +2

    Mbarikiwa upo sahihi 300%

  • @nathanmateow9455
    @nathanmateow9455 8 дней назад +2

    Siku zote napinga maongezi Yako ila leo umenyoka uko sahihi,hongera.

  • @PatriciaSidi-c4w
    @PatriciaSidi-c4w 7 дней назад +1

    Pastor mungu anaongea kwa mionyo ya watu, pia mm Mungu hua ananiambia usiongee uongo mm ananiambia vitu vingi sana, na nikisema sifanyi hicho kitu ambacho Mungu anasema hua ananipa adabu tena kubwa sana mm ni shahidi ya kuonywa kiroho, Uliye choma gari ulifanya jambo sahihi sana, na kila mtu anavyo tokewa na Mungu, Mm nko shahidi ya kuongea ama kusemewa na roho wa mungu na nikipinga kufanya anacho taka nifanye hua kunajambo atalifanya Mungu ili nijue kua aliniambia kitu na sikufanya, Huyo aliye choma gari alichoma mali za shetani, mahali palitoka gari hapako sahihi mbele za mungu, chomeni vitu vya shetani acheni kubebeleza vitu vya kupotosha watu

  • @IreneEdna-in7op
    @IreneEdna-in7op 5 дней назад

    Mtafuten Mungu achen mungu adili nae ndie alie anzisha ataimaliza

  • @JojiPhilemon-ge6gc
    @JojiPhilemon-ge6gc 7 дней назад +3

    Neno la Mungu linasema "njooni tusemezane eleza haja zako uweze kupewa mahitaji yako" huwezi kusemezana na mtu ambaye hasemi nawe.

    • @NGUVUYAUYOGA
      @NGUVUYAUYOGA 7 дней назад

      Mungu alisahau kumwambia achome hela?

    • @JojiPhilemon-ge6gc
      @JojiPhilemon-ge6gc 7 дней назад

      @@NGUVUYAUYOGA uchome hela hadharani uone. fedha inatakiwa kulindwa hata kama atachoma lakini sio hadharani

    • @NGUVUYAUYOGA
      @NGUVUYAUYOGA 7 дней назад

      @JojiPhilemon-ge6gc Mhhhhhhhh
      Basi Mungu hakumtuma

    • @JojiPhilemon-ge6gc
      @JojiPhilemon-ge6gc 7 дней назад

      @@NGUVUYAUYOGA Hatujui mimi na wewe. ila kwenye biblia kuna mtu aliambiwa amtoe sadaka mtoto wake wa pekee amchinje na kumteketeza kwa moto. Mungu alitaka kupima utii na kiwango cha kumcha Mungu sasa atashindwaje kusema choma gari?

    • @NGUVUYAUYOGA
      @NGUVUYAUYOGA 7 дней назад

      @JojiPhilemon-ge6gc Ila akasahau kuwa na hela alizopewa na GOEDAVIE???

  • @alinanuswekalinga2955
    @alinanuswekalinga2955 4 дня назад +1

    Kwani Mungu haongei na watu?

  • @TwahayusufuMaziku
    @TwahayusufuMaziku 6 дней назад

    Wanaosema kweli hua hawakunaliko wala haweleweki kiurahisi mbarikiwa ni mkweli kwa mungu wake mungu akuongoze kwenye haki mbarikiwa

  • @PriscaShaban
    @PriscaShaban 6 дней назад

    Mungu akiwa upande wako anakuongoza kwa kila kitu, atakuonyesha kitu kibaya naamn aliambiwa kiroho

  • @nenolauzima5281
    @nenolauzima5281 5 дней назад

    Haswaa...

  • @amanigilberth1259
    @amanigilberth1259 6 дней назад

    Mi nakuelewa sana

  • @hellaskarras1567
    @hellaskarras1567 8 дней назад +2

    Mbarikiwa umezidi sana huna jema huna mwema umezidi so wewe huna Mungu?
    Hujui kuongea na Mungu
    Au sio mtumishi wa Mungu wewe

    • @NGUVUYAUYOGA
      @NGUVUYAUYOGA 7 дней назад

      Amezidi lakini unamsikiliza??

  • @luckymsomba4818
    @luckymsomba4818 3 дня назад +1

    Hapo hapana huwa unakuwa na point lakin hii hapana. sio kwamba wazungu wanatumia akili ya kawaida tu wana miungu yao mashetan ambayo inawapa nguvu na ufahamu.Inamaana hujui kuwa maisha n matokeo ya rohon.Halafu kila mtu ana njia ya kuongea na Mungu wake, kama ww unatumia akili zako wenzako wako viwango vingine. na kuongea na Mungu n neema

  • @IreneEdna-in7op
    @IreneEdna-in7op 5 дней назад

    Naijulikane kuwa kumsikia Mungu ni siri yamtu nayeye aliesemeshwa itoshe muachen aish Mungu atamtengeneza

  • @alberiusgerase9167
    @alberiusgerase9167 7 дней назад +1

    Tatizo unakosoa Sana mpaka hatukuelewi tumetumwa na Mungu kufanya nn hapa duniani

  • @EriyaRichard
    @EriyaRichard 8 дней назад +1

    Nasikiliza2 mastory yenu huku mtandao wala sitoi neno lolote ila naweza kuwa upande wa yule Nabii sababu siamini goodlack kusema nyota ime chikuliwa na yule Nabii miaka3 unakuja kusema Leo aiko sawa pia Yesu kristo hawezi kuzidiwa nguvu na mtu wa giza mm nimepitia vitu vingi sana wote nime washinda.

  • @Elecovid
    @Elecovid 6 дней назад +1

    WW MBARIKIWA UNAWIVU TAFUTA KIKI NYINGINE

  • @theresiamanyanda1125
    @theresiamanyanda1125 8 дней назад +8

    Wewe ndo utakua wa Kwanza kuangukia pua muda si mrefu mana hujui kazi ya Roho mtakatifu.
    .

  • @HellenLemilya
    @HellenLemilya 7 дней назад +2

    Ww pia mbarikiwa unampinga huyu kijana kisa hakukuunga mkono,usimlazimishe kusema utakavyo ww , kijana wa watu alitaka kuongea bila kutengeneza magomvi na watu,tunaombea hilo jambo lipate kibali kwa Mungu maana atatengeneza magomvi na watu wengi

    • @NGUVUYAUYOGA
      @NGUVUYAUYOGA 7 дней назад

      Wewe ndo mgomvi
      Kama kuomba kunatosha mbona unamalia na likomenti lako?

  • @FrankHaji
    @FrankHaji 7 дней назад

    Uko sawa Sana mtumishi

  • @kalebphilip3426
    @kalebphilip3426 8 дней назад +1

    Ni kwel kabsa yaan watu weng Sana imekuwa rahsi kuongea na Mungu Kama wanavyoongea na ndugu zao

  • @mwaminimwangaza
    @mwaminimwangaza 5 дней назад

    Sio kila kutukanwa au kupigwa mawe inamaanisha wewe ni innocent apana jichunguze pia, soma biblia vizuri omba Roho mtakatifu akupe mafunuo unaposoma ili usijipotoshe na kuwapotosha watu, Mungu atakuuliza hao watu siku moja tena inakuja

  • @Mwasame_Official1
    @Mwasame_Official1 3 дня назад

    Mchungaji mwakipesile hakika una roho wa mungu akufunuliaye mambo makumbwa,, baada ya kusikiliza nyimbo ambazo huyu good luck ameimba hivi majuzi Alison rudi mitandaono , hakika hakuna cha mungu hapo ukimzikiliza vizuri huyu kijana ni chuki tuu iliyo mjaa Moroni!!! Hakuna kinacho fanana na alocho kisema.

  • @elrachum3866
    @elrachum3866 8 дней назад +3

    MBARIKIWA wewe sio kiwango cha MUNGU kusema vipimo vyako mwenyewe. mwache goodluck mtoto wa Mungu... kama kuungwa mkono mbona wako watu wengi sana wanaoungwa mkono wamekosea wakatbu kwa Mungu wakatengeneza na Mungu wao... sio kwasababu wewe ni unaongea ndio utuaminishe kuwa wewe ndi Judge mkuu unayeweka viwango vya mtu kuongea... YESU hakutaka yule mwanamke aongee jinsi alivyozini alimwambia HATABMIMI SIKUHUKUMU NENDA USITENDE DHAMBI TENA. fulu stop.

    • @NGUVUYAUYOGA
      @NGUVUYAUYOGA 7 дней назад

      Hata aijaielewa komenti yako

  • @SpanaelTV
    @SpanaelTV День назад

    Najua itawauma sana kwasababu ulitaka aseme jo devi ni mbaya sasa ajasema hilo na mlisha tangulia kutafusiri kabla ajatoka kusema ukweli aliyonayo

  • @nichoojr.6747
    @nichoojr.6747 7 дней назад +1

    Sema huyu Jamaa Saingine Aina Haja yakuongelea vitu asivyojua

    • @NGUVUYAUYOGA
      @NGUVUYAUYOGA 7 дней назад

      Lakini unamsikiliza na kukomenti kwa MB zako kama amekuomba

    • @NGUVUYAUYOGA
      @NGUVUYAUYOGA 7 дней назад

      Unaejua wewe uko kimya

  • @JuliethMshiu
    @JuliethMshiu 8 дней назад +7

    Mbarikiwa Mtumishi wa Mungu, Ebu muwe mnajitahidi kuwaombea wale mnaoona wameghafilika kwa namna moja na nyingine, Kukosoa Siyo jibu, na hayupo ambae ni Perfect, Msaidie basi hata kwa kumwona umshauri km unaona hayupo Sawa , Mtumishi hiyo Siyo, Vingine tumueni hekima mnalitukanisha jina la Kristo pasipo kujua,
    Mungu huwa anasema hivyo usione km hajasema naye, Kumbuka Mungu hana upendeleo. Barikiwa

    • @Mbarikiwa_Mwakipesile
      @Mbarikiwa_Mwakipesile  8 дней назад +1

      Kama kuombea ni mbadala wa kukosoa kwa nini wewe haujaombea tuache kukosoa mitandaoni. Na kwa nini wewe hamjamtafuta Mbarikiwa ili uonane naye unaandika mtandaoni?

    • @NGUVUYAUYOGA
      @NGUVUYAUYOGA 7 дней назад

      Anza wewe kama mwalimu na mfano bora,usikomenti ila muombee na ujumbe wako utamfikia

    • @israelmwasota
      @israelmwasota 7 дней назад

      ​​@@Mbarikiwa_Mwakipesileunapopenda kubishana na kukosoa picha yako inaonekana sio mtu mwenye hekima
      Chagua vitu vya msingi ndo ukosoe hapo hutumii akili mana watu watashindwa wachukue Nini waache Nini.
      Tumia akili chagua mambo ya msingi ndo kosoa
      Usibishe Kila unaposhauriwa kukosoa Kila kitu unachanganya watu acha kuwatwisha watu mizigo mingi hivyo.

    • @Mbarikiwa_Mwakipesile
      @Mbarikiwa_Mwakipesile  7 дней назад

      @israelmwasota wewe unahekima kwa kudhani mambo ya msingi ni vile uonavyo wewe. Ungesoma Biblia kwa uelewa wako ungejua kuwa kuhubiri ni kusema kinyume cha makosa mwanzo mwisho
      Isaya 58:1 Piga kelele, usiache, Paza sauti yako kama tarumbeta; UWAHUBIRI WATU WANGU KOSA LAO, Na nyumba ya Yakobo DHAMBI ZAO.

    • @siamuchunguzi
      @siamuchunguzi 7 дней назад

      ​@@Mbarikiwa_MwakipesileKwani wewe ni mkamilifu???

  • @elizabethconstantino6056
    @elizabethconstantino6056 8 дней назад +16

    Achana na kukosoa alichokifanya mwenzio, hujui alichopitia, Mungu yupo karibu sana kuliko unavyodhani na anaongea kweli na watu, hata kama ulifunga na kuomba update ukweli wa jambo Mungu anaweza asikujibu maana wewe si mtu sahihi kujua ukweli wa hilo jambo acha kijiona bora kuliko wengine, hata Goodluck ni Mtumishi wa Mungu kama wewe

    • @GraceLuvanda-g5r
      @GraceLuvanda-g5r 8 дней назад +2

      Kabisa huo ukosoaji umezidi sasa.....ukiwa umekaa vizuri na Mungu hayo ni mambo ya kawaida ....unapomwamini Mungu biblia inasema Mungu baba na mwana na roho wanakuja kukaa ndani yako....sasa kama yupo ndani yako anashindwaje kuongea na wewe.amezidi sana sasa....kuna mengine nakubalianaga nae ila ilo akae kimya.aache sasa kukosoa ahubiri injili aliyoitiwa na Mungu

    • @joshuangonya-jt5dj
      @joshuangonya-jt5dj 8 дней назад

      Ukweli ni kwamba, hatukatai kwa habari ya Mungu kuongea na mtu; lakini hivi huyu Mungu huongea na Kila mtu mwenye tabia zozote, yaani hata akiwa na tabia chafu nae atakuwa anasema nae Kila wakati?

    • @kabhikachambala3392
      @kabhikachambala3392 8 дней назад

      Kukosoa uovu wowote hio ni kazi sahihi ya Kimungu. Ukiona jambo haliko sawa halafu ukakaa kimya ujue matokeo yote yatokanayo na uovu huo wewe ni mshiriki au kisababishi.
      HIO DHANA YA "USIIJADILI/KUICHAMBUA DINI YA MWENZIO NI DHANA YA KIJINGA SANA NA YA KISHETNI YENYE LENGO LA KUYAACHA MAOVU YAISHI BILA KUKEMEWA AU KUFUNULIWA AU KUABISHWA"...
      LAKINI KWA NINI IWE SAHIHI KUSIFIA DINI YA MWINGINE LAKINI ISIWE SAHIHI KUIKOSOA?
      "KAZI YA KICHWA NI KUFIKIRI ACHA MIGUU ITEMBEE"

    • @MariamuMamu
      @MariamuMamu 8 дней назад

      ​@@joshuangonya-jt5djNani mwenye tabia chafu hapo?

    • @bumimwamasage5463
      @bumimwamasage5463 8 дней назад +2

      Mungu ni wa rehema, sio mwanadamu na wala hafikirii kama wanadamu. Njia zake hazichunguziki. Wanadamu wote ni wake na anaweza kuwasiliana nao wakati wowote. Extent ya uchafu wa mtu anaujua zaidi yeye na hakayazwi na mtu yeyote kuwasiliana na mwanadamu ambaye wanadamu wenzake wanamwita mchafu. Msiwe kama mafarisayo waliompelekahmwanamkake kwa Yesu, Yesu akawaambia anayejiona Jana dhambi awe wa kwanza kumpiga yule mwanamke na jiwe. Wote walijihukumu wenyewe na kuondoka bila kufukuzwa na mtu. Kumnuka Rahabu alikuwa kahaba lakini Mungu alimtumia kuwaficha wapelelezi walioenda kuipeleleza Yeriko. Hkuna mwanadamu anayeweza kumnyooshea mwenzie kidole na kudai Mungu amesingiziwa? Kwani mlikiwepo wakati anawasiliana naye,aau nyie ndio middlemen wa mawasiliano yake na Mungu. Kila mwanadamu anayo haki ya kuwasiliana na Mungu wake, hapo hakuna kiranja.

  • @dorahmwambemba9032
    @dorahmwambemba9032 6 дней назад +1

    Alipopokea gari ulimuwakia, ameichoma unawaka, acha hizo

  • @rodamasanja6601
    @rodamasanja6601 8 дней назад +1

    Watumishi wa Mungu mmekuwa msitari wa mbele kupingana mmesaha 😢 kwamba ninyi ni viongozi sisi mnaotuongoza tuwaeleweje? Kila mmoja amuheshimu mwenzie na kama una neno la kumwambia muone yeye mwenyewe

    • @NGUVUYAUYOGA
      @NGUVUYAUYOGA 7 дней назад

      Mbona wewe umeweka komenti hadharani badala ya kumfuata?

  • @SafiMasemo-x3n
    @SafiMasemo-x3n 8 дней назад +1

    Nikweli baba mungu atawaleta ukumuni hao usiku mungu ameniambia hili na lile

    • @olivermwakyonya5683
      @olivermwakyonya5683 8 дней назад

      Anza na herufi kubwa unapoandika Mungu

    • @happnesskitumbo5713
      @happnesskitumbo5713 6 дней назад

      Kama hujawahi kumsikia lazima useme hayo ila kwa sisi tuliokwisha kumsikia tunamju la na kumwelewa.

  • @DAUDILUGUSI-db9vs
    @DAUDILUGUSI-db9vs 8 дней назад +3

    Mzee unamambo ya kitoto

  • @JacklineJanuary-mo4gd
    @JacklineJanuary-mo4gd 7 дней назад +2

    🤓 natamani ni comment ila acha nipite hakuna alie mkamilifu Mungu yeye huwajua walio wake

    • @NGUVUYAUYOGA
      @NGUVUYAUYOGA 7 дней назад

      Mbona sasa umekomenti badala ya kupita tuu??

  • @malkiarosemuhando3310
    @malkiarosemuhando3310 8 дней назад +2

    Kuna kitu najifunza hapa

  • @Amosmakuba-r2k
    @Amosmakuba-r2k 6 дней назад +1

    samwelii aliitwa Zaid ya Mara 3

  • @simonmdune9066
    @simonmdune9066 8 дней назад +1

    Huyo goodluck nimemskiliza ila nimeona bado anamteteea babaake nabii mkuu okay haya aendelee na yye ndo mbaya wake

  • @theresiamanyanda1125
    @theresiamanyanda1125 8 дней назад +3

    Kwa wewe Mbarikiwa uko upande gani tujue wa Mungu au wa Shetani...?!

  • @JosephLadisilaus
    @JosephLadisilaus 8 дней назад +1

    Uko sawa mchungaj uwezo unao tena mkubwa wa kuchambua mambo kwa ufasaha wa hali ya juu

  • @EstherMahene
    @EstherMahene 6 дней назад +1

    Kila kitu lazima ukosoe

  • @designdesign4426
    @designdesign4426 8 дней назад +1

    Mbarikiwa akika unaakili za utambuzi ila saanyingine unajitoa ufaham yani wewe ulitakiwa uishi kiufaham nasio kivitabu vyakutunga

  • @GOODLUCKGodwell-bm4br
    @GOODLUCKGodwell-bm4br 8 дней назад +1

    Huwa nawaza hivi ni kwanini huyu ndugu kunavitu amabavyo hajui ila amekuwa mjuzi wa kila kitu

  • @ElizabethJohn-j1s
    @ElizabethJohn-j1s 8 дней назад +3

    Sasa kama ww mungu amekuotesha bas na yeye ameambiwa maan kuota na kuambiwa ni vitu vinavyo fanana huenda hujaelewa kiswahili vizr we mzee acha drama unafikir kuchom gar ni rahis kwa maisha haya ya saiz huenda na ww upo pamoja na huyo nabii

  • @nathanmateow9455
    @nathanmateow9455 8 дней назад +1

    Yaani Leo umenifanya nicheke kidogo😅😅😅

  • @IsackNnko-y1t
    @IsackNnko-y1t 6 дней назад

    ❤Gudluck wewe nani alikuambia uende kufanya fiesta? Nani alikuambia ushirikiane na wasanii wa secular music?

  • @stefanmhig3045
    @stefanmhig3045 8 дней назад +1

    Huyu pastor anajua, Uendelee ivoivo

  • @lusajoholland7072
    @lusajoholland7072 8 дней назад +1

    Yaani ni Bora asingeongea kabisa ningemuelewa lakini ameharibu baada ya hiyo interview ameongea takataka tupu!

  • @fortunataangelo5575
    @fortunataangelo5575 5 дней назад

    Kwa hiyo nini hamneni kwa lugha ,au Mungu hawasemeshi

  • @GrecePetro-r1m
    @GrecePetro-r1m 5 дней назад +1

    Wewr mbalikiwa unatafutanini kila kitu wajuwa wewe

  • @lenathapatrick388
    @lenathapatrick388 7 дней назад

    Mtumishi wa Mungu jenga ufalme wa Mungu watu waingie mbinguni mambo ya mitandaoni jiengue huko siku yaja...yeye atakuja kama mwivi tusije tukawa watu wa kukataliwa akisema sikujui wewe

    • @YonaMgata
      @YonaMgata 4 дня назад

      Ufalme wa mungu nininiiii na Nini maana ya kujenga au kuhubiri mtandao ninini na wanao tumia mitandao kina nani

  • @FrederickThadeo
    @FrederickThadeo 8 дней назад +4

    na wewe mbalikiwe hivyo ni vitisho angukie pua ana pua gani

  • @bulaasiywez7014
    @bulaasiywez7014 7 дней назад +2

    Hujui chochote we jamaa kwaiyo unaamini Mungu asemi na watu?kwaiyo biblia inavyoesema Roho atatuongoza atatutia katika kwel, kwaiyo ataongozaje watu bila kusema nao?

    • @NGUVUYAUYOGA
      @NGUVUYAUYOGA 7 дней назад

      Roho gani anasema vitu nusu??
      Mbona hakumwambia achome na hela??

  • @maryemanuel5263
    @maryemanuel5263 7 дней назад +2

    Mbarikiwa mbarikiwa mbarikiwa hubiri injili Acha mambo ya wengine kwani hata wewe hauko sawa pambana na mambo yako ya kifamilia , mimi sikuelewagi

  • @InnocentBirdNest-nl4eg
    @InnocentBirdNest-nl4eg 8 дней назад +2

    Kumbe katika dunia hii nimeamin bora nimskileze mungu tu sikutarajia kuwa utakosoa hiki kitu khaaaa! Hivi unahisi akili za mungu ni za mwanadam mbn mnamuwekea mipak mungu wewe unauhakika gan kama kasema uongooo?????’

    • @RaynaWillium
      @RaynaWillium 8 дней назад

      Ni kweli Kila mtu na neema yake,,,naamini Goodluck kasemeshwa na Mungu haijarishi ni mdhambi au la!!!

    • @NGUVUYAUYOGA
      @NGUVUYAUYOGA 7 дней назад

      Mbona alisahau kuchoma na hela?

  • @JustinBahati-x4w
    @JustinBahati-x4w 8 дней назад +1

    Huyo musani ambaye ananuka uchafu mbele ya Mungu, alissikia sauti ya Mungu wapi? Michezo ya nyimbo zake niza kuzimu

  • @Migapogospel678
    @Migapogospel678 3 дня назад

    Uvuvi tu wa kufanyaa kazi ludi kwenu mbeya ukalime maana tayari utumishi umekushinda😔😔

  • @lufthansarosemmary1636
    @lufthansarosemmary1636 8 дней назад +2

    YANI NNACHOSHANGAA KUHUSU HUYU MCHUNGAJI KILA KITU YEYE NI KUONGEAGA TU YANI SJUI MDA WAKUHUBIRI ANAPATAGA WAPI...YEYE KILA SIKU NI KUSEMA WATU NA KUANGALIA MADA ZINAZOTREND MTANDAONI

    • @JustinBahati-x4w
      @JustinBahati-x4w 8 дней назад

      Haya Pia ni mahubiri. Tena matamu. Baababa aramasha, riririri, MUNGU ameniambia, huwo ni ushetani.

    • @lufthansarosemmary1636
      @lufthansarosemmary1636 8 дней назад

      @JustinBahati-x4w mmmmh kazi ipo

    • @NGUVUYAUYOGA
      @NGUVUYAUYOGA 7 дней назад

      Yaani hata mimi nakushangaa kukomenti kwa kujipendekeza!!

  • @mathiasdeuli2655
    @mathiasdeuli2655 8 дней назад +1

    Ninahitaji mawasiliano yako mtumishi please

  • @DevisMabula
    @DevisMabula 4 дня назад

    Ila wewe kikosi kazi Mbona huduma yako imebadilika sana ndugu yangu, au kwa sababu mimi bado ni mtoto mdogo sjui nachoongea, ila duh sjui

  • @AsheryRabani
    @AsheryRabani 6 дней назад

    Pasta sijakuerewa kabisa

  • @augustinemainde
    @augustinemainde 7 дней назад

    Huyu ana ukichaa wa kiroho msaidieni maaskofu jamani atakuja kuwachoma wenzake bure