MCHUMBA WA ALI KAMWE AFUNGUKA MAHUSIANO YAKE "NAMPENDA ALI KAMWE MTU MZURI"

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 10 май 2024

Комментарии • 109

  • @jamilahjamilah4157
    @jamilahjamilah4157 28 дней назад +24

    leo mwanangu aliy kamwe umeniangusha nn hicho ulicho mvalisha huyo sijui ni mchumba kabakisha nn aonekane yuko uchi hakuna ndini inaruhusu mwanamke kuvaa hivyo hivyo km umeona toka utokako ungemubadilisha hiyo nguo kwani uzuri ya kujisitiri bei ngani

  • @user-fx7ig1uy6t
    @user-fx7ig1uy6t 21 день назад +5

    Wala hajapendeza ,vazi haliendani na hyo harusi ya kiislamu,katoka mfupa waroho km kaona malakul mawt

  • @upendokweka8381
    @upendokweka8381 21 день назад +5

    Hata hapo bado kamwe haujapata mke, azidi kuomba mungu

  • @DenisMarahu-hc9uh
    @DenisMarahu-hc9uh 28 дней назад +2

    Ali kamwe. Kuwa makini huyo mchumba kama kweli ñi mchumba sijakwelewa nini hicho paja nje? Kweny umati wa watu namna hii

  • @georgesamwelchacha7680
    @georgesamwelchacha7680 21 день назад +11

    Mnao ongelea Kuvaa kwani nyie hua mnavaaje 😂😂😂

  • @emmykassim4132
    @emmykassim4132 28 дней назад +7

    Mtoto WA kiislam Ally KAMWE una sauti wew mwanamme unaeuhusuje avaae hivyo

  • @HappyAmani
    @HappyAmani 21 день назад +3

    jaman mnaosema ni mchumba wa ali kamwe muwe mnaangalia hata vidio msikie maelezo kabla ya kumjaji kamwe kama mnatak kujaji mjajidini huyu Dada lakn pia me sio cha ajabu kwan mbna watu wanavaa vbya zaid ya huyu Dada acheni roho za kwann mnaboaaaaa

  • @annambele789
    @annambele789 21 день назад +2

    Nguo aliovaa binti katuaibisha sana asirudie kuongozana na wewe hivyo.

  • @MonaMbalike
    @MonaMbalike 28 дней назад +8

    Kigodolo kimekaa upande au wenzangu hamuon kama mm

  • @kisinzajohn1805
    @kisinzajohn1805 21 день назад +7

    Huyo binti ndio wa kuoa

  • @jamilahjamilah4157
    @jamilahjamilah4157 28 дней назад +6

    Maa shaa llaa biharusi kajua kujisitiri sio aliy kamwe sijui kaalika kitu ngani kile paja lote liko wazi kabakisha sehem dg tuu chupi ionekana wallaah ss wanawake hatuna aibu

  • @fatmaabdallah7709
    @fatmaabdallah7709 28 дней назад +8

    Zaylisa wa pili tumempata😂😂😂

  • @AdamAdam-xf3gh
    @AdamAdam-xf3gh 28 дней назад +7

    Hilo paja au mkono tu

  • @umikifupa-mi3re
    @umikifupa-mi3re 28 дней назад +3

    So cute❤

  • @adammkisema1524
    @adammkisema1524 21 день назад +3

    HUYU MWANAMKE KAMDHALILISHA MSEMAJI WETU..........anashindwa kuuliza ama kujua dress code ya harusi ya kiislam....kama amepania kuonesha ....

  • @elizabethgeorge2197
    @elizabethgeorge2197 21 день назад +4

    Ila mmeendana jamani ❤❤❤❤

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 28 дней назад +2

    Umaarufu na pesa kweli mtihani dada umekubali kuvishwa utupu ili kupata maokoto na umaarufu subhana llah

  • @NajmaMustafa-hq3vm
    @NajmaMustafa-hq3vm 28 дней назад +4

    Demu mwenyewe mshamba

  • @ericbrunokalonndwa8590
    @ericbrunokalonndwa8590 21 день назад +3

    All good. Mavazi inategemea na event sioni issue amependeza mdada lazima watu wajue dresses na events na sherehe haijafanyika msikitini au kanisani

  • @SaidhassanSuleiman
    @SaidhassanSuleiman 28 дней назад +3

    Twenty four seven duuuu