@@jesuspower2390 nauhakika sumry nikabila kwamaana ni mwarabu wa omani kwamfano umeona jina langu saleema dhiyab hiyo dhiyab ni baba yangu na al khatri nikabila langu na huyo sumry mabasi yake yameandikwa sumry nikabila lake huku omani anayo mabasi kibao yanayo chukua wafanyakazi wa jangwani kuchimba petroli
Ndiyo yeye sumry kweli huyo Mzee alikua na mabasi sana na mashamba ya maindi makubwa na mabasi na amishafariki sasa hivi anatumikia kuzimu uko kwa ushetani wake
davista uuliza baso je walipokaa hapo kanisani na wazazi wake ni habari zipi au stori zipi alikuwa akiwapa je walimuuliza alikuwa wapi na nani alisababisha yeye akafa na akachukuliwa
Mungu Uabudiwe na kutukuzwa Daima
Acheni Mungu aitwe Mungu
Simulizi nzuri kweli 🔥🔥🔥🙏
Du! Hii story Ni 🔥🔥🔥🔥Nakumbuka Kuhusu mafuta na Rwanda magere aliongelea Hilo swala
Jaman mungu atusaidie
Naomba namba yake ya sim mtangazaji ,
Andama na uyo mtu ady kwao tuone io kaburi na ao watu wao ndio tuamini
Mulize iyoo wakati wote anafanya ivoo hakumbuki nyumbani
Mambo magumu duh hapo kwenye siag kumenipa utata🤔
MUULIZE PIA JE KAMA ILISHWAHI KUTOKEA AKAPITA MAHALI HALAFU IKATOKEA KUNA MTU TU WA KAWAIDA AKAWAONA AU AKAMUONA ?
Wakiwa masitendi ya mabasi watu wenye nguvu ya mungu uwa Awawapi matatizo???
Mmhh!
okay okey utaitikia mala ngapi
😂😂ww
Huyo jamaa ni mwarabu Sumry
Ni mwarabu na hiyo sumry ni kabila
@@jesuspower2390 nauhakika sumry nikabila kwamaana ni mwarabu wa omani kwamfano umeona jina langu saleema dhiyab hiyo dhiyab ni baba yangu na al khatri nikabila langu na huyo sumry mabasi yake yameandikwa sumry nikabila lake huku omani anayo mabasi kibao yanayo chukua wafanyakazi wa jangwani kuchimba petroli
Ndiyo yeye sumry kweli huyo Mzee alikua na mabasi sana na mashamba ya maindi makubwa na mabasi na amishafariki sasa hivi anatumikia kuzimu uko kwa ushetani wake
Very bad behavior kwa mwandishi kupiga muayo ni kuonyesha yuko bored
🤣🤣🤣🤣
davista uuliza baso je walipokaa hapo kanisani na wazazi wake ni habari zipi au stori zipi alikuwa akiwapa je walimuuliza alikuwa wapi na nani alisababisha yeye akafa na akachukuliwa
anza mwanzo
stendi ni wapi ama ni nini?
Stendi bus stop
Stage yaani