Davistar kazi nzuri unayo ifanya .... nakupata vizuri kutoka 🇰🇪.... nadhani mimi ndio mmoja ya wale Mungu alikusudia kuwaokoa kupitia huyu Mama.... nimeskiza shuhuda nyingi Sana za mbinguni na kuzimu lakini hii ya Leo imenigusa mbaka mifupa ..... imenibadilisha kwa maana ya vile huyu mama anatoa Ushuhuda Yuko innocent Sana.... nasubiri part 2... Mungu abariki kazi Yako.. kwenye sehemu ya pili tafadhali naomba ueke mpangilio wa Number ya Mpesa ambayo nitatoa kulingana na moyo wangu kusupport kazi hii ya Mungu ...
Hii nilisikia na mchungaji mmoja kuwa ukitoa sadaka ya kujenga nyumba ya Mungu unaweka tofali ya kwako huko mbinguni ukienda utakuta huko kiwango cha kutoa tofali zinapanda juu
Huyu mama alionyeshwa maono ya kweli kabisa, kwa walio na roho wa mungu mungu atawathibitishia, wale munao mpiga mungu awesamehe bure, mungu atusaindie watu wa mungu tuzidi kujitakasa siku zimebaki chache muno, kila mtu ashike ticket yake mukononi, kwa ajiri ya unyakuo, yesu yuko tayari kuja ,
@@benjathekingofficialshows samahani kaka usitukane hakuna mtu katukana kuhusu ukristo na yesu usiseme majini na allah kitu kimoja hilo ni kosa samahani tusikilize tu tusiingilie imani zawatu
Duh....kunaye kigoma lakini sio huyu nilisikia story yake.....alikufa lakini aliona kabisa akizikwa lakini baadaye akarudi...lakini huyo hajui kiswahili vizuri so sie huyu.
Ramadan Gona unamguzia mwanamke aliyehojiwa na mchungaji Jacktan Msafiri wa Promover TV ambaye ni mamaye mwanadamu Kwa jina Loveness. Ni kweli aliadhirika Kwa kutoweka kuongea Kiswahili. Kama ni huyu basi amepona. Lakini kulingana na simulizi, sidhani kama ndiye.
@@chriscao9828 kweli wajinga ndio wanaamini ukiwaambia wanakua wabishi story za kutunga kala kaota anadanganya watu kaongea namungu kamasiuongo nini hadithi za vitabu zimwi na siafu
Hizi ni ndoto tu zakawaida zinaongezwa chumvi..masimulizi kama haya niya uongo moja kwa moja...huyu dada pia anaonekana aidha hajapona akili vizuri ama anaona majini na mapepo ambaye yanamhadaa
Ndoto unaota mwili ukiwa Kanisani huku watu wanapiga maombi Kwa sauti wewe unaendelea tu kuota? Acha hizo wewe au unataka mpaka yakitokee wewe? Acha ubinafsi huo

Ameni tuliyo hata mimi pia nimebarikiwa na shuhuda huu . Unajieleza vinzuri sana
Hii nilisikia na mchungaji mmoja kuwa ukitoa sadaka ya kujenga nyumba ya Mungu unaweka tofali ya kwako huko mbinguni ukienda utakuta huko kiwango cha kutoa tofali zinapanda juu
Nimeipenda.
Huyu mama alionyeshwa maono ya kweli kabisa, kwa walio na roho wa mungu mungu atawathibitishia, wale munao mpiga mungu awesamehe bure, mungu atusaindie watu wa mungu tuzidi kujitakasa siku zimebaki chache muno, kila mtu ashike ticket yake mukononi, kwa ajiri ya unyakuo, yesu yuko tayari kuja ,
Ameni
Amen Amen ubarikiwe sana dav kwa kutuletea huyu mama Asante mama
haiyaaa, Gatundu ipo kenya pia😃😃Gatundu
Town in Kenya
🤔😄😄
Subhanaallah kuna mambo mengi duniani jamani
God👍👍 davistar mata mtu makin
Wow this is exactly how the Bible says, the narrow way,the woman , about the 12 sits Sijui.
Asante mr davistar mata 😊 sema davistar uko na mood 😅😅lazm story itakuwa 🔥 sana😊
Niko ndani
Pamoja saana mr everything 💪🙏
Ushuhuda mzuri sana, huyu mama anajieleza vizuri, yaani anaongea vizuri, ni kama kweli ana maono.
Ushuhuda wa uongo...😀😀😀dada huyu bado akili zake hazikurudi sawa
@@chriscao9828 kweli ee, mhh Mungu tunusuru kwa watu wanaoshudia uongo,
davixter mtafutee yule mdafa aliyezaa na kakakee mar ya meixho alimuona alivaa begii vp wameshampta au
I’m enjoying watching your videos bro but the background sounds you need to take off
watching now
Kwakwer mungu nimwema
watching from ugaanda, i like your stories.
Safi sanaaa......
Dav usisahau maswali kuuliza
Mama Yuko very innocent ktk simulizi yake
Masikini alikuwa hajitambui kama alikuwa ujinini
Jerusalem ya kigoma daah
Waha kweli ni wabishi
Jina la bwana libarikiwe milele na milele
Amen 🙏🏽
Dah huko kigoma yaonekana ni hataree manake wengi wanaokuja hapa utasikia nimetokea kigoma
🙂 tuendelee kwanza
Huyo hakuwa Mungu.. Labda malaika tu
Anae juwa ukweli ni Mungu pekee sisi kazi ni kusikia ushuhuda
Heee mungu
Nionavyo mm hao ni majini maruhani sio mungu wala malaika
Mama alikuaa anapiga stori na mungu huyo 😃😃😃
@@benjathekingofficialshows 🤢🤢🤢🤮🤮🤮🤮😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@@benjathekingofficialshows 😂😂😂😂😂😃💪🏻
Vipi viti ni kumi na mbili? Ufunuo ina sema,viti ishirini na nne.
Huyu muongo
Kasome tena Bible yako kuna kabila kumi nambili
Nisaidie
Asema alikua amefungwa akili lakini anaombea watu mtu aliefungwa akili anaweza kuombea watu?🤣🤣🤣🤣
Kwan ukilogwa Ina maana hujitambui japo unaishi
Wa kigoma 😂
Huyu mama anatuthibitishia kuwa ukristo ni imani potofu
Hivi uko timamu kweli ndugu yanguu???
Balaa
Ushuda mzur
Dada alipelekwa ujinini😁
😃😀🤣🤣🤣aliendi kuzimuuuu uyuuu
@@benjathekingofficialshows samahani kaka usitukane hakuna mtu katukana kuhusu ukristo na yesu usiseme majini na allah kitu kimoja hilo ni kosa samahani tusikilize tu tusiingilie imani zawatu
Duh....kunaye kigoma lakini sio huyu nilisikia story yake.....alikufa lakini aliona kabisa akizikwa lakini baadaye akarudi...lakini huyo hajui kiswahili vizuri so sie huyu.
Sio huyo
Ramadan Gona unamguzia mwanamke aliyehojiwa na mchungaji Jacktan Msafiri wa Promover TV ambaye ni mamaye mwanadamu Kwa jina Loveness. Ni kweli aliadhirika Kwa kutoweka kuongea Kiswahili. Kama ni huyu basi amepona. Lakini kulingana na simulizi, sidhani kama ndiye.
Indian Shirt. Dunia ina mambo.
😂😂😂😂
Bimkubwa na yeye anatupanga na story yake yakubuni 🤣
😁😁😁😁wajinga ndio watamwamini
Wapumbavu kama nyie ndo hamuwez kuamin
@@lispamagu5810 mtu mzima unakubali kudanganywa...😁😁😁kweli mjinga ni mjinga tu
😄😄
@@chriscao9828 kweli wajinga ndio wanaamini ukiwaambia wanakua wabishi story za kutunga kala kaota anadanganya watu kaongea namungu kamasiuongo nini hadithi za vitabu zimwi na siafu
🤣🤣🤣🤣🙏
sasa huyu Dada anamaono ya kweli kabisaa ambayo kila mtakatifu atayaona na mie nimewahi kuyaona na kuyasikia..kwa watu pia
Acha uongo kayaona vip we umeshaona .Manini
@@husseingabo5497 wewe kamuone na kumsalimia muhhamad aliekufa Aliekuumba wewe huwezi kumuona
Amina
Hizi ni ndoto tu zakawaida zinaongezwa chumvi..masimulizi kama haya niya uongo moja kwa moja...huyu dada pia anaonekana aidha hajapona akili vizuri ama anaona majini na mapepo ambaye yanamhadaa
Kama ni ndoto kaote na wewe ya hivi uje utusimulie
Ndoto unaota mwili ukiwa Kanisani huku watu wanapiga maombi Kwa sauti wewe unaendelea tu kuota? Acha hizo wewe au unataka mpaka yakitokee wewe? Acha ubinafsi huo
@@mazonaone7708mko rahisi sanaa kudanganyika...poleni sanaa
@@wazomyakinifu2301mungu hapendi wajinga..usiwe rahisi kudanganywa..
Anatupanga anataka kutufanya kama mabundi dah bimkubwa muongo kweli 🤣🤣🤣