Unajua sisi tunaishi dunia moja ila kila mtu yupo kwenye ulimwengu wake na kuna vitu anapitia ambavyo akikuelezea unaweza kujua haishi katika dunia hii
Huyu dada anaweza kuongea kitu cha kueleweka anajua anachoelezea, ila mhh jamani humu duniani kuna mambo ya ajabu sana, sijui hizi dunia zipo ngapi ambazo tunaishi, yaani mtu kafa na bado anaishi tena, mhh. 29.01.22.
@@hassanmaulid2166 namshangaa sana huyu mr DM..na ndio maana alinyang'anywa mchumba kirahisi vile na kijana mdogo..yaani aliimbiwa mzigo kisha mwishowe akapokonywa

Hi ndo story sasa! Tena hi ni ya kweli kabisa! Achana na mastry yakutunga!
Kwa sababu Haina udini au sio 😃😃😃
dunian kuna mamb mengi sna jmn msione wat wanatembea ,tuzdi kumwomba sana mungu
Maombi yana nguvu tusiache kuomba na kuwaombea ndugu zetu 🙏🙏🙏
Very interesting story...Dunia ina mambo...!
Davistar unatupa mambo mazito na makubwa bigup sana kwa kazi yako
🇧🇬🇧🇬🇧🇬🇧🇬 Mr fact huna show mbovu ##mtu makini
wakurya ndo tamadunj zao ataa mimi kuna rafiki yangu alifariki 2010 akaolewa mke mpka leo yupo
Wakurya hao! Nikawaida sana na ndo maana mzazi ni wajibu kuimiza vijana kuoa mapema!
jamani duniaaaa hiii..mm xixemiiii🙏🙏🙏🙏
Huyo Kijana nadhani alikufa kimiujiza akachukuliwa either kutokana na maagano ya familia yake
Story nimeipenda sana
Asante Davista🇰🇪🇰🇪🇰🇪 mrudishe tena Hassan
Dada upo juu sana kwa kujieleza safi sana
Davista niitie huyo anayerudisha laini zilizopotea
daaaaah jamn tusali sana kumbe dunia hii kuna ulimwengu wa giza tuombe sana
Together Mr everything 🔥
Part 4 please 🙏 true story 🥰🥰🥰
Pandisha hii sehem ya 4
Mbona unatuchelewesha kutuwekea kipande kingine
Duu mungu wangu inatisha
Dunia hii
Dah nimewahi
Nihatar inatisha
Hiz ndo story sasa sema story za maana unazchelewesha yale yaajabuajabu ndo unayaleta haraka afu marefuu
Weee funika bakuli lako😀
Watu hawakoment sikuhiz nn mbn sielew
Huyu DM mwenyewe ana ujinga ya kuingilia Dini za watu
@@karimreldalaal1387 aaah kumbe ndio sababu hamkoment
@@credo7837 ehee..ujinga wa kucompare dini hatutaki..kila mtu akae na imani yake
@@hassanmaulid2166 namshangaa sana huyu mr DM..na ndio maana alinyang'anywa mchumba kirahisi vile na kijana mdogo..yaani aliimbiwa mzigo kisha mwishowe akapokonywa
@@karimreldalaal1387 🤣🤣🤣poleee