Kidene Fighter Feat. Meja Kunta - Mungu Abless (Official Lyric Video)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 23 янв 2025

Комментарии • 216

  • @victormarino7449
    @victormarino7449 3 месяца назад +11

    Big up sana mabrother mmeupga mwingi sana🔥🔥

  • @noshafurniture6630
    @noshafurniture6630 3 месяца назад +11

    Kidene unajua sana kaka mungu abless nipo pamoja na wew blood noshafurniture

  • @Nimozz5
    @Nimozz5 Месяц назад +4

    Noma Sana kaka 🙌💯

  • @VanessaMohamed-v9z
    @VanessaMohamed-v9z 4 дня назад

    Ngoma cal cana❤❤

  • @RamadhanSindeni-m6n
    @RamadhanSindeni-m6n Месяц назад

    Ngoma Kali sana mdogo wangu kidene

  • @sidegofu8176
    @sidegofu8176 Месяц назад +1

    kidene miziki yako sio yanchi hii braza...🔥🔥

  • @Mimahmtam
    @Mimahmtam 3 месяца назад +1

    Goooooo StageKiller @kidene🙌

  • @aleone_tz
    @aleone_tz 21 день назад

    Kidene 👑👑

  • @GeraldSwai-ty1hr
    @GeraldSwai-ty1hr 3 месяца назад +3

    Hongera kwa music mzuri safi sana

  • @SwalehBakthir
    @SwalehBakthir 22 дня назад +1

    Pamoja broo ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @BigirimanaJoseph-cx2ws
    @BigirimanaJoseph-cx2ws Месяц назад +3

    nakukubari mwanetu

  • @Zuuh-q5f
    @Zuuh-q5f 3 месяца назад +1

    Ngoma kali siwez lala bila kuiskiliza hii ngomaa ❤❤❤❤

  • @osmanasif4007
    @osmanasif4007 2 месяца назад +1

    Much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @PiliIrunde
    @PiliIrunde Месяц назад

    Ngoma kali xana ❤

  • @IbrahimKirua
    @IbrahimKirua 2 месяца назад

    Nakubali familya 🎉🎉🎉 respect chama la wana

  • @ematalenttz
    @ematalenttz 3 месяца назад +1

    Jah abless my broda mziki. Wetu ufike mbali zaidi ya apa ulipo kuwa sasa naimn mungu yu p1 nasi na anatuongoza katika kila jambo

  • @jaymapepefatma5936
    @jaymapepefatma5936 3 месяца назад +3

    This is first love From Mozambique 🇲🇿❤💞

  • @ShadrackLolela
    @ShadrackLolela 2 месяца назад +2

    Umeandika poa imekubali mungu akuweke

  • @NeemaMselemo
    @NeemaMselemo Месяц назад +1

    Nimeipenda Sana 😘😘😘😘

  • @mzeewajambo8293
    @mzeewajambo8293 Месяц назад +1

    Sema goma tamu sana hili

  • @AmFootball-bm5nm
    @AmFootball-bm5nm Месяц назад +2

    mmewataja wote hila tito ii biti kauwaaaaaaaaa

  • @FrotunatusJohn
    @FrotunatusJohn 2 месяца назад +2

    Oy umetisha sana kibabe

  • @FardeenGadafy
    @FardeenGadafy Месяц назад +1

    Bless kidene utalogwa ukiendelea hivi

  • @hajimandisatz
    @hajimandisatz 3 месяца назад +1

    Ngoma Kali ila meja mi naona kama kazingua kidog ila p 🎉🎉🎉

  • @dulambwali
    @dulambwali 3 месяца назад +1

    Nomaa mzee ❤❤❤

  • @relaxstarman
    @relaxstarman 3 месяца назад +4

    Da hii kali sana hongereni wanangu kazi kubwa sana🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @nkwabisportshq3585
    @nkwabisportshq3585 3 месяца назад +1

    Nikakubalika na wahuniii 🔥

  • @LatifaMkwewa
    @LatifaMkwewa Месяц назад

    0:35 yaani hili biti sio poa 🔥🔥🔥🔥
    ❤❤❤

  • @meddybrand
    @meddybrand 3 месяца назад +5

    Niko apa nakukubali sana brother
    Mwenyezi mungu akuongoze vyema kwenye kila atu ya utaftaji wako inshallah nikuombeee uzimaaa 🙌🙌🙌

    • @KideneFighter
      @KideneFighter  3 месяца назад

      Shukrani sana Meddy 🙏🙏 inshaallah 🎉

  • @JamesNgogo
    @JamesNgogo 3 месяца назад +6

    Kidene unajua san yaan mungu ableess tu

  • @MashakaChugulo
    @MashakaChugulo 3 месяца назад +3

    Mungu yu nasi bless zake zitasimama nawe

  • @HassaniNankala
    @HassaniNankala Месяц назад +2

    Imempa umaalufu sana

  • @MwanaidiKopa
    @MwanaidiKopa Месяц назад

    Naikubali sana ❤

  • @nathanielkamanga9929
    @nathanielkamanga9929 3 месяца назад +1

    oya ngoma kali sana wanangu 🔥🔥🔥

  • @Kaikomagic
    @Kaikomagic 3 месяца назад +1

    Ngoma kali bro

  • @MariamSalimu-z2g
    @MariamSalimu-z2g 2 месяца назад

    Punguza mwili bro bwana

  • @MikajoseNankola
    @MikajoseNankola 3 месяца назад +3

    Kidene anajua Sana a🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @kishuliyusuph4178
    @kishuliyusuph4178 3 месяца назад

    Singeli inapanda bai ❤

  • @HayfatKombo
    @HayfatKombo 3 месяца назад +1

    Kila hatua dua kaka ❤❤❤❤

  • @sloveomar8667
    @sloveomar8667 3 месяца назад +3

    Song hit maker🔥🔥

  • @magrethkawesa
    @magrethkawesa 3 месяца назад +1

    Nyimbo kali sana mmeuwa wote penda sana meja kuntu

  • @AmaniKimaro
    @AmaniKimaro 3 месяца назад

    Meja power 💯

  • @AsminiMasud-jh7uq
    @AsminiMasud-jh7uq 2 месяца назад

    ngoma kali sana wanajua kwel kabisa ukipata wanakutafut

  • @KalisioMavika
    @KalisioMavika 2 месяца назад

    Nakukbali brother

  • @MellowBoytz-tc9er
    @MellowBoytz-tc9er 2 месяца назад +1

    Nakubali sana 🎉

  • @PantaBizzy
    @PantaBizzy 3 месяца назад +1

    Ongera mnapaswaaa kupewah ngoma imrkubalika mjin unajua Ft

  • @MawimbiJr-j4x
    @MawimbiJr-j4x 2 месяца назад

    Kidene Anza kupiga tzi upunguze mwili man!!

  • @nestoromanus7904
    @nestoromanus7904 3 месяца назад +1

    nilipotoka mtiti walinikazia mziki walinibania riziki mbono na hela, sahivi sishikiki kila ngoma zina hit, kila nikiweka mshipi noma sanaaa.

  • @tevaclasssic
    @tevaclasssic 3 месяца назад +2

    Ngoma kali my G

  • @amoskyule4785
    @amoskyule4785 2 месяца назад

    Kidenee ❤uko juuu ndugu❤ huezi pinga maskani 🎉zimekutoa chini 🎉

  • @FireForce-ps8hr
    @FireForce-ps8hr 3 месяца назад +1

    Moto wakubwa zangu 💥🔥

  • @AnithaJohn-i2x
    @AnithaJohn-i2x 2 месяца назад

    🔥🔥🔥🔥 bonge la nyimbo

  • @Meusiitii
    @Meusiitii 3 месяца назад +2

    Ngoma sana Wanang🔥

  • @AshaSaidy-r1k
    @AshaSaidy-r1k 3 месяца назад

    Kidene umeukosha moyo wangu mauwayaKo ❤❤❤❤❤❤ ilameja kazinguwa

  • @mariammatano9694
    @mariammatano9694 3 месяца назад +1

    Nakupenda sana meja❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @ZamdatAli
    @ZamdatAli 3 месяца назад

    umetisha sana

  • @LazaroTajir
    @LazaroTajir 3 месяца назад +1

    Haya post post daaah kweli mungu abless

  • @billkillmusic
    @billkillmusic 3 месяца назад +2

    Kali yakufunga mwaka

  • @AllyMosoz
    @AllyMosoz 3 месяца назад +1

    Namba ngapi kidene au hauna namba

  • @IvonShirima
    @IvonShirima 3 месяца назад +1

    Kongole sana kidene na mejjaaaa🎉

  • @dullahneymar5408
    @dullahneymar5408 3 месяца назад

    BONGEE LA GOMAA JIHADII💥💥💥

  • @christinagodfrey7637
    @christinagodfrey7637 2 месяца назад

    Hii ndoman kali sana meja

  • @saimadoBrand-nr5nf
    @saimadoBrand-nr5nf Месяц назад

    Man ote siwaping muniambie nyinyi

  • @ChrissJoel-t1c
    @ChrissJoel-t1c 3 месяца назад +1

    Huyu *Kidene* anaimba sana sana asee nivile tu watu wanamchukulia poa poa

  • @AlexSamweli-jj9tt
    @AlexSamweli-jj9tt 2 месяца назад

    Akapika yoyo kidene faita

  • @RamadhanAsanga
    @RamadhanAsanga 2 месяца назад

    Nimekubali

  • @omaryfadhili3786
    @omaryfadhili3786 2 месяца назад

    Ngoma kali sana

  • @GUDAHOFFICIAL
    @GUDAHOFFICIAL 3 месяца назад

    Mesikiliza ngom mpak mwisho imuh kaua japo anazinguwa sem broo moga Le Sina shake nawe

  • @AbdulaminAbdallah
    @AbdulaminAbdallah 3 месяца назад +3

    hii singeli imetisha sana naomba coment💯🫶🇹🇿🇹🇿

  • @managergoa6798
    @managergoa6798 3 месяца назад +1

    Noumaaa noumaaa sana

  • @badmanno.1650
    @badmanno.1650 3 месяца назад +1

    Bonge la beat, Titooo.

  • @HamadiMasudi-q9l
    @HamadiMasudi-q9l 3 месяца назад +1

    Ume Tisha San kidene

  • @miyeyushotv6543
    @miyeyushotv6543 3 месяца назад +1

    Home boy ❤

  • @saidfundikillah7701
    @saidfundikillah7701 2 месяца назад

    hot🤜🤜

  • @fundiseif1096
    @fundiseif1096 3 месяца назад +4

    Mungu Abless by kidene fighter vs meja power 🔥🔥🔥🙌💪

  • @ericanevar4538
    @ericanevar4538 3 месяца назад +1

    Kidene fundi sana

  • @HamisiNalinga
    @HamisiNalinga 13 дней назад

    Kusin kuchele

  • @MikajoseNankola
    @MikajoseNankola 3 месяца назад

    Kusema kweli kidene hii angefanya pekeake

  • @damdiz_talent
    @damdiz_talent 3 месяца назад +1

    NGOMA KALI🔥🔥🔥🔥

  • @brayodeats8845
    @brayodeats8845 3 месяца назад +1

    Nakubali 🔥

  • @musamuhuzary9536
    @musamuhuzary9536 3 месяца назад +5

    Mungu Abless 🙏🙏🎉❤

  • @DogoLaoKhan-e6b
    @DogoLaoKhan-e6b 3 месяца назад

    Mung abless ..mmeua

  • @IssasaidiChala
    @IssasaidiChala 2 месяца назад

    AMETISHA SANA

  • @OfficialBataboy
    @OfficialBataboy 3 месяца назад +1

    Kazi mzuri😂😂😂

  • @AbdoBilahi
    @AbdoBilahi 2 месяца назад

    Yimbo Kali san

  • @YassinIssa-e2y
    @YassinIssa-e2y 3 месяца назад +1

    Noma sana

  • @MaulidiKiseko
    @MaulidiKiseko 3 месяца назад

    Kidene mkali Nyimbo kili meja kaharibu ngoma

  • @stevenhassan269
    @stevenhassan269 9 дней назад

    Safi

  • @abdallahmchange1370
    @abdallahmchange1370 3 месяца назад

    GOMA KALI SANA

  • @francismanda74
    @francismanda74 3 месяца назад

    Fire 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @bushmanrasta
    @bushmanrasta 3 месяца назад +5

    Meja mnoma sana

  • @victormarino7449
    @victormarino7449 2 месяца назад

    I like Jo,I'm from Tanzania 🇹🇿

  • @saidisefu8669
    @saidisefu8669 Месяц назад

    BITI KALI SANAA ILA VESE ZA KUUNGA UNGA SANAA💥💥💥🔥🔥🔥

  • @UwezoMponda
    @UwezoMponda 3 месяца назад +1

    Yan Raha watoto wanabufu Yani meja ubadika hapa Hadi raha

  • @HusseinMoyo-d3w
    @HusseinMoyo-d3w 2 месяца назад

    Bonge langom kidene faita

  • @sosteneselias7764
    @sosteneselias7764 3 месяца назад +1

    Mungu ablesss

  • @Dboydachi
    @Dboydachi 3 месяца назад +1

    Videoo ya mo🔥🔥

  • @ghettoofficemusic
    @ghettoofficemusic 3 месяца назад +11

    moja ya ngoma yangu pendwa sana kila siku naisikiliza zaid yamara 8 video ni kali ila ushua mwingi ilitakiwa muonyeshe hzo haso meja anatembea yamguu kidene uko skani wana wanakukataa kweli singer ifungue mageti viclip vya show mlizoua mmefanya makubwa wazee mlitakiwa muonyeshe kwa hii sio mbaya ila ubunifu zaid uwekezaji singer yetu ipae sio kwa ubaya mfan mond yatapt au zuwena story na video right kabsa konde boy ile nyimbo ya jesh au never give up action znaonekana

  • @leksontegera544
    @leksontegera544 3 месяца назад +1

    Kidene + meja@🔥🔥

  • @OfficialNodiscution
    @OfficialNodiscution 3 месяца назад +2

    Wot wametish san