Waziri Aweso katika Mawaziri wote wewe ni Waziri wa pekee huna Majungu wewe ni kazi tu nakuombea kwa Mungu uendelee na Weledi huo huo huna neno la ukabila wala udini nikuchapa kazi tu ingekuwa mimi ndiyo nisingekutoa kwenye Uwaziri wa Maji
Mungu awasaidie shetanj asiingilie maana ndoa Bwana bila Mungu kuiendesha yaan sijui huwa inakuaje.yaan ni Mungu tu katika yt kuomba sana.pika pakua Fanya usafi style zote ila ndoa shetani anazioiga sana.Ni Mungu tu kuomba kusali saana na kuiombea muda wt bila hivyo hutoboi
Swahiba wako mke wa mtu.Huyu waziri vipi tena kijana kuwa makini huyo ndiye atakayekuchuklia mke kwaajili ya cheo chake hao watu hatari sana shauri yako ipo siku atakutuma mbali kikazi ili apate nafasi ya kula bata na mkeo kaa chonjo😂😂😂
Waziri Aweso anapenda wafanyakazi wake na anaheshimu taaluma ya kila mmoja! Mungu ambariki
Umeongea vizuri sana nimependa
Aweso wewe ni kiongozi bora ever.
Waziri Aweso katika Mawaziri wote wewe ni Waziri wa pekee huna Majungu wewe ni kazi tu nakuombea kwa Mungu uendelee na Weledi huo huo huna neno la ukabila wala udini nikuchapa kazi tu ingekuwa mimi ndiyo nisingekutoa kwenye Uwaziri wa Maji
Mungu awasaidie shetanj asiingilie maana ndoa Bwana bila Mungu kuiendesha yaan sijui huwa inakuaje.yaan ni Mungu tu katika yt kuomba sana.pika pakua Fanya usafi style zote ila ndoa shetani anazioiga sana.Ni Mungu tu kuomba kusali saana na kuiombea muda wt bila hivyo hutoboi
wanamruhusu akel maisha maji hayatoki huku 😂😂😂😂, Bro Aweso kanena sahihi kabisa.
Sahau mtambo wa Ruvu chini, then akashika Ruvu Chini 🤦🏽
Ngoja akupigie mkeo huyo na alivyo mzuri hivyo
Hatari
😂😂😂😂Aweso umeua😂
❤❤❤❤❤
Jmn mpaka nafurahi
Milion 10 hiyo mwamba.
Unajua maisha ni nini
Mtambo wa ruvu chini 😂.
Swahiba wako mke wa mtu.Huyu waziri vipi tena kijana kuwa makini huyo ndiye atakayekuchuklia mke kwaajili ya cheo chake hao watu hatari sana shauri yako ipo siku atakutuma mbali kikazi ili apate nafasi ya kula bata na mkeo kaa chonjo😂😂😂
Mnafiki 😂
Acha uboya