EXCLUSIVE: ZAMARADI AFUNGUKA KWANINI KAMUWEKA MUME KWENYE BANGO "SABABU ZA MIMI KUMPENDA NI HIZI?"

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 27 янв 2025

Комментарии • 488

  • @oliviermoses4041
    @oliviermoses4041 2 года назад +31

    Aiseeee da Zamaradi uko poa kwenye kuchanganua maswali na kuyajibu vizuri, hongera Mungu awape maisha marefu😍😘 NAWAPENDA

  • @cheupestefano5424
    @cheupestefano5424 2 года назад +61

    Millard ayo you are the best at interviewing you ask intelligent respectful questions very very calm and mindful of avoiding embarrassing questions

  • @glorygakii7929
    @glorygakii7929 2 года назад +56

    Woooi,for the first time tunaweza kusema tanzania has an icon,majibu yameenda shule,hamna kuropoka,majibu sio ya social media,this girl lives a real life and she is making the rest of us outside see ukweli uliopo kwa kila Relationship.these are the interviews to listen coz you can learn something that is real.thank you zamaradi.if you know you know.

  • @hamidafundi-pw1gw
    @hamidafundi-pw1gw Год назад +1

    Zamaradi juu, juu, juu zaidi. MWENYEZIMUNGU akufanyie wepesi Inshallah.

  • @abdhulihassan8501
    @abdhulihassan8501 2 года назад +17

    She has just made me shed tears. Wanawake wenye kuwa appreciate waume zao namna hii sijui wako nchi gani siku hizi. Mola aibariki ndoa yenu.

  • @aldyhasty6156
    @aldyhasty6156 2 года назад +7

    Zamaradi always on point and millard is also on point with the questions...now thats what a good interview is 🔥🔥🔥🔥

  • @fahimuali1154
    @fahimuali1154 Год назад +1

    Leo mara ya 10 nairejea hii interview Wallah Naipendam.Good

  • @yussufissa7854
    @yussufissa7854 2 года назад +32

    This lady's confidence is on another level.shes one in a million continue loving ur husband

  • @ItsHusna528
    @ItsHusna528 2 года назад +26

    I just love Zamaradi saana she’s smart and wise

  • @saramwakasaka8021
    @saramwakasaka8021 2 года назад +2

    Nakukubali sana Zamaradi u r so special woman. Wewe ni Super woman. Ukipendwa pendeka naamini na mumeo anakupenda sn ndo maana unaonyesha hisia ht nje watu tuone. Nakupenda sn na lyf style yako na mumeo. Mungu azid kuwatunza💖💖

  • @generosennko8343
    @generosennko8343 Год назад

    A very calm and composed woman. Beautiful outside and inside. Loving and carying. I have learned alot from this interview. You have inspired and revived many marriages. Be blessed and keep the good work.

  • @mupinimulila1762
    @mupinimulila1762 2 года назад +2

    This is a matured , educatif
    interview with much wisdom !!!

  • @jasminealmas2973
    @jasminealmas2973 2 года назад +2

    Mafundi wawili wamekutana noma sana,😍😍🔥🔥🔥🔥

  • @mohamedmzee8598
    @mohamedmzee8598 2 года назад +13

    Ur very smart Sister in general, God bless u and marriage plus your family

  • @saidypilly1803
    @saidypilly1803 2 года назад +5

    BEST INTEVIEW IN 2022 IN THE WORD ZAMALAD UNAUTIMAMU SANAAAA👊👊👊👊

  • @AishaAisha-rh1fc
    @AishaAisha-rh1fc 2 года назад +3

    Zamaradimketema ni 1 tu yaani umeongea nondo za maana 👏👏👏❤❤❤dah

  • @vickykapama8386
    @vickykapama8386 2 года назад +15

    Asante Zamaradi umejuwa kuonyesha jinsi unavyoidhamini FAMILIA YAKO. Mungu azidi kuwalinda💗💗💞

  • @hawamatuta1905
    @hawamatuta1905 2 года назад +1

    Zamaradi thx alot acha nkae ntulie thx alot millard kwa ths interview appreciate

  • @mbonijabu1164
    @mbonijabu1164 2 года назад +12

    Nakupenda sana zamaradi Allah awape maisha marefu ww pmja na mume wako 😋😘

  • @aloycesimon2028
    @aloycesimon2028 2 года назад +8

    Huyu dada anafanana kweli na mtoto wake mmoja hv🙌🙌🙌

  • @irenefaustine2579
    @irenefaustine2579 2 года назад +1

    A Brilliant Lady

  • @tausijarufu
    @tausijarufu 2 года назад +8

    Sauti inasikika vizuri sana Hongera sana vifaa vizuri 👏

  • @priscambwambo1030
    @priscambwambo1030 2 года назад +4

    Very good siri ya mtungi anaijua Kata. Zamaradi .i love you . Una Akili nyingi sana

  • @milliamwega3069
    @milliamwega3069 2 года назад +30

    Jamani zama ni mzuri halaf mstarabu pia anahekima sana Mungu awalinde na family yako

  • @charlesmugisha6529
    @charlesmugisha6529 2 года назад +3

    Mama samia uyu dada naona umjari yuko vizuri kwakweli.mpangie sehemu nzuri nakuomba Sana🙏🙏🙏 ana uelewa mkubwa.

  • @pst.obbybm2280
    @pst.obbybm2280 2 года назад +7

    Kifupi natambua kuwa hakuna mwandamu aliye kamilika taswira ya mapenzi yao yanaonyesha kuwa zamaradi your the best lady anayejua thamani ya mme..

  • @luganostewart8320
    @luganostewart8320 2 года назад

    One of the best interview for my self, I real enjoy it. Millard kwa hakika wewe ni Legend kwelikweli kwenye tasnia hyo ya hbr na unaitendea haki ipasavyo, maswali yako yana mpangilio mzuri sana na yamebeba dhana halisi ya uhitaji wa hadhira, Zamaradi pia ametoa majibu yaliyo beba skills kubwa sana inayo ambatana na umakini mkubwa.
    Millard & Zamaradi you deserve the best

  • @robinsonmwakyambiki9650
    @robinsonmwakyambiki9650 2 года назад +2

    Ni interview nzuri sana na yenye funzo ndani yake... kwa maswali na majibu haya JAMAA ndo alitakiwa umuweke BANGO Ms. Zamaradi

  • @munira-og
    @munira-og 2 года назад +10

    Zamaradi is one smart lady 👏🏽👏🏽 wooow! Just wooow!!

  • @swaumumustapha4926
    @swaumumustapha4926 2 года назад +6

    Acheni zama ajidai na mumewe kwanza tendo la mume kukuta na watoto wa 2 na kuwalea km wanae swala la kumshukuru mungu kwa kweli big up zama

  • @EK-kp2np
    @EK-kp2np 2 года назад +9

    Zamaradi the Brain power girl 💥

  • @hishammohamed6694
    @hishammohamed6694 2 года назад

    Kabisaa Dada Zama...I love u for da sake of Allah..Big Up Big Sister...❤️❤️

  • @judithntupwa1548
    @judithntupwa1548 2 года назад +13

    Nimekukubali Zamaradi hakika anastahili tuzo kwa jinsi ulivyoitendea haki interview yako. Mungu akujaalie hekma zaidi na zaidi katika maisha yako. Mpende zaidi mumeo ndo ubavu ambao Mungu alikutoa kwake. Be blessed dear. Watajifunza tu kutokana na hii interview watake wasitake.🥰

  • @nickodemsimchimba594
    @nickodemsimchimba594 2 года назад

    Duuu Kuna wanawake ni wazuri jamani 😥😥😥😥😥wale mbwa koko wa kupaka mkorogo na kujichubua mmeona uzuri wa asili black beauty 😍😋😍😍😍😍zamarad you're so beautiful ❤️

  • @saidahj2543
    @saidahj2543 2 года назад +6

    Thxs Zama...nimejifunza mengi sana kwa hii interview..ila millard was very keen najua amejifunza kitu

    • @queenhuu2852
      @queenhuu2852 2 года назад

      Ila millard ayo una macho mazr ,,halaf pia munafanana na Zama sura km mapacha

  • @heriethkusigwa3996
    @heriethkusigwa3996 2 года назад +1

    Nikiwa Mkubwa nataka kuwa kama wew 🥰Lovely ❣

  • @josephlorri431
    @josephlorri431 8 месяцев назад +1

    Fikra ziko tofauti..kuna tatizo kwa maisha ya ndoa ya zamaradi... kuna jambo haliko sawa

  • @salhaabdulrahman6323
    @salhaabdulrahman6323 2 года назад +3

    Awww nampenda huyu dada... big brain 👏🏻👏🏻

  • @marymakwega1366
    @marymakwega1366 2 года назад +7

    Well spoken mtoto wa kwetu I'm proud of you.

  • @DavdMakope
    @DavdMakope Год назад

    Daaaaaaaaaaaa! Kaongea point sana mungu awalinde sana na mumeo

  • @sarahburetta8547
    @sarahburetta8547 2 года назад +2

    Beutiful lady with good spirit good soul all the best

  • @zumovesso4853
    @zumovesso4853 Год назад

    Young Lady you look Beautiful today, you look cool & composed!

  • @G.S985
    @G.S985 2 года назад +10

    Da Zama ni dada mstaraabu na mwenye hekima nakupenda Zamaradi.

  • @makokamakoka341
    @makokamakoka341 2 года назад +1

    Zamaradi ww ni mdada wa kipekeee sana unakila za kuzaliwa nazo nakuombea tuuuuuu uzidi kupanda thaman AMEEN

  • @Emmy22655
    @Emmy22655 2 года назад +1

    I love u so much zamaradi💕💕love u from south africa🥀💐🍾🥂🥀🥀🍾🥂💐🥀🍾🥂💐🥀💐🍾🥂🥀💐🍾🥂🍾

  • @janethngowi1058
    @janethngowi1058 2 года назад +13

    Dah! Zama nimependa sana unavyomuelezea mumeo!

  • @elizabethwasha7527
    @elizabethwasha7527 2 года назад +2

    So smart , and lovely 😍 amazing enterview

  • @marthajohn9120
    @marthajohn9120 2 года назад

    Big my sister, Mwenyezi Mungu akubariki kwa moyo wa upendo kwa mume wako

  • @neemamajwala8211
    @neemamajwala8211 2 года назад +2

    Zam unaweza fundisha wanawake,eneo ili ,big up dear

  • @deboraadolfu4011
    @deboraadolfu4011 2 года назад +13

    Najifunza sana kwako nakupenda sana nakuombea kwa Allah uwe na ndoa yenye baraka amani siku zote za maisha yako Inshallah

  • @Noah-se3ni
    @Noah-se3ni 2 года назад +4

    Interview zuri Kabisa umeongea vizuri.

  • @salimlila810
    @salimlila810 2 года назад +2

    Zama napenda Sana imani yako mbele ya mungu mungu akuzidishie na akujaalie mwisho mwema

  • @nathanielshauri5135
    @nathanielshauri5135 2 года назад +2

    THE BEST INTERVIEW IN RELATIONSHIP

  • @brendachibura6040
    @brendachibura6040 2 года назад +4

    Kuna these three women are very smart kuna Zamaradi,Faidha ally na Irene(wa jua Kali) ndugu these women🙌🙌 so smart kwa akili

  • @franciskajessy4468
    @franciskajessy4468 2 года назад +4

    Woow umenifundisha kitu Zamaradi,unajibu vizuri sana,mwenyezi Mungu alinde ndoa yenu🙏

  • @vivianoforo4760
    @vivianoforo4760 2 года назад +1

    This woman is very smart inside out I love the way she talks Yaani unajisikia tu raha kumsikiliza akiongea.

  • @fatmamubaraka4093
    @fatmamubaraka4093 2 года назад +2

    Mashallha dada hangu umeongeya mpweti sana mana mm yalinikuta hayo yah ukeweza

  • @angiewamuchomba8106
    @angiewamuchomba8106 2 года назад

    This gal!!!!!!Bold Brilliant and Beautiful Wow.......

  • @lukasanga685
    @lukasanga685 2 года назад +2

    Mwanamke jasir...mwanamke wa ukwel hongera sana zamarad kwa upendo kwa mmeo

  • @azizamvungi6409
    @azizamvungi6409 2 года назад +2

    very good madam zamaradi nakupendaga sana

  • @valenakomba7686
    @valenakomba7686 2 года назад +22

    I LIKE THIS LADY VERY MUCH . SHE KNOWS HOW TO PUT HERSELF LIKE A IT SURPOSE TO BE.

  • @saumusalimuhassan2499
    @saumusalimuhassan2499 2 года назад +5

    *Zamaradi* kiukweli ulivyoongea uyu ni mimi kabisa niko hivyo ila sijampata wakunipenda nikaweka mapenzi yangu kama wewe, ila kiukweli mimi ni wewe kabisa nikipenda napenda kweli kweli ❤️

    • @paschalkatto4995
      @paschalkatto4995 2 года назад +1

      Vizuri kama uko hivo muombe Mungu azidi kukufanyia wepesi ila utampata inshallah!!!

    • @harmonizefans3783
      @harmonizefans3783 2 года назад

      Mungu atakupa chaguo lako

    • @spreadlove5300
      @spreadlove5300 2 года назад

      Weuweee saum kweli 😍🥰🥰🤗

  • @emmanuelmuya3658
    @emmanuelmuya3658 2 года назад

    Wow amazing interview

  • @kitonekantasha1687
    @kitonekantasha1687 2 года назад +3

    Nilitaka aulizee swala la faiza ila naona zama kam swichOff millard asiulize maswali ya Faiza au shamsa. She is smart and I love her🌹❤⚘

  • @rahmamwemnjudi7656
    @rahmamwemnjudi7656 2 года назад +7

    Kiukweli zama mpk umenona kwa kupendwa. MAASHALLAH.

  • @lovenoor988
    @lovenoor988 2 года назад

    Nakupenda dada Zamaradi una jielewa sana 🌺🌺

  • @rithamarrow5716
    @rithamarrow5716 2 года назад

    Hii ndio unterview amaizing. Haina kiki wala majigambo. Xo nice

  • @aishambise6529
    @aishambise6529 2 года назад

    Akili Kama zote Nakupendea hpo unaogea point my ❤

  • @halimakimonga9098
    @halimakimonga9098 2 года назад +1

    Dada uko vizuri Mwenyezi Mungu azidi kuwabariki

  • @witnessmchwampaka9013
    @witnessmchwampaka9013 2 года назад +5

    I like the interviewer and the interviewee,you are all smart

  • @نجمةموبيبي
    @نجمةموبيبي 2 года назад +3

    Da Zama nakupenda, umeongea vzr sana

  • @rosemofuga8101
    @rosemofuga8101 2 года назад +3

    Nice my sister Zamaradi

  • @ramadhantahila9131
    @ramadhantahila9131 2 года назад +2

    subhanaAllah tujitahidii kufunika kichwaa

  • @jeremiahmassawe9042
    @jeremiahmassawe9042 2 года назад +4

    Bro Millard Ayo una mbinu nyingi na nzuri sana za kuhoji mtu nimependa hii na nomejifunza vyema namna ya kuishi na mpendwa wangu Ahsante sana bro 🙏

  • @zuhuranadahhinda1366
    @zuhuranadahhinda1366 2 года назад +4

    Mashallah🥰 jomoon Allah akuwekee kuzeeka pamoja yaaani so wanaume wote wabaya 😍😍😍😍nakupenda zamaradi

  • @pierrebigirindavyi4378
    @pierrebigirindavyi4378 2 года назад +22

    When two wise people meet

  • @gloryenock9473
    @gloryenock9473 2 года назад +2

    Hongera sana zama

  • @zaharanakim289
    @zaharanakim289 2 года назад

    Uko vizuri Sana dada mungu akujaalie wewe pamoja na mmeo

  • @zackrichard3617
    @zackrichard3617 Год назад

    Huyu ni moja ya wanawake wachache wanaojielewa.👏👏

  • @winniewairimu3822
    @winniewairimu3822 2 года назад +3

    Hongera Dada yangu kwa ukweli wengi wanakuwaga waongo hasa kwenye umri jamani,alafu unakaa katoto miaka na muonekano vitu viwili tofauti, umejitunza vizuri MUNGU azidi kukutunza

    • @jacksonmathayo6510
      @jacksonmathayo6510 2 года назад +2

      Kabisa na ndiyo maana hata wanadumu kwenye mapenzi yao

    • @winniewairimu3822
      @winniewairimu3822 2 года назад +1

      @@jacksonmathayo6510 hayo ndiyo maisha yanayohitajika ktk ndoa/ mahusiano mazuri

    • @jacksonmathayo6510
      @jacksonmathayo6510 2 года назад

      @@winniewairimu3822 kweli Dada

  • @aminahhuawei1133
    @aminahhuawei1133 2 года назад +3

    Nakupenda sana dd zamarad llove you so much😘😘😘❤️❤️❤️🙏

  • @mligokulwa612
    @mligokulwa612 2 года назад +13

    I love the phrase"kuogopa huzuni ya kesho ambayo hata huijui"

  • @amosmwanga4027
    @amosmwanga4027 2 года назад

    Interview number one kwa mwaka 2022......uchoki wala hutamani iishe

  • @salomesemvua6771
    @salomesemvua6771 2 года назад

    Zamaradi uko muwazi sana nimekupenda umeendashule hakika nakupenda kipenzi

  • @rosemarymusanga9575
    @rosemarymusanga9575 2 года назад +14

    From Germany
    I love this lady
    The First Tanzanian Lafy speaking fluent English
    Na mwenye Heshima kamili

    • @shamomar629
      @shamomar629 2 года назад

      😀😀😀the first Tanzanian lady?!, that's so narrow

    • @claudia1500
      @claudia1500 2 года назад

      First Tanzanian lady to speak fluently English???like serious?? Are u mad?

  • @evastinamgata1440
    @evastinamgata1440 2 года назад +4

    Your the best for conducting the interview.

  • @umumohamed8032
    @umumohamed8032 2 года назад +2

    Nice interview 😍👌👌

  • @NajmasoudiNajmasoudi
    @NajmasoudiNajmasoudi 2 года назад +2

    Nice ❤️❤️❤️

  • @sistersade9039
    @sistersade9039 2 года назад +7

    Mallard dah si masuala hayo 😄wonderful interview, i enjoyed listening to it.
    Zama is very brave and smart wife. Mungu awazidishie mapenzi na masikilizano ta daima.

  • @neemaloy889
    @neemaloy889 2 года назад +2

    Hongera sana zamaradi uko powa sana umetoa funzo kubwa kwa wanao hukulia ndoa powae

  • @gideongerald2846
    @gideongerald2846 2 года назад +3

    Zamaradi yuko grateful sana wengine ukiwafanyia mema wanakuwa hawaelewi wanaona kawaida

  • @zainabmaulidi9846
    @zainabmaulidi9846 2 года назад +2

    Zamaradi anabusara 🧡😘

  • @julianamartin9491
    @julianamartin9491 2 года назад +3

    Itoshe kusema huyu ndo star ambaye Yuko vizuri kichwani

  • @eben_ezer8853
    @eben_ezer8853 2 года назад +3

    Interview za Zama na Faiza I can't skip these two women are extra intillegence

  • @chrissjacob1231
    @chrissjacob1231 2 года назад +1

    Nice interview 💖💖

  • @personalhealth
    @personalhealth 2 года назад +8

    I rarely watch such interviews but this one i watched from the begining t the end without a twitch. Huyu dada ni mtu ambaye akili yake ipo well engaged in everything she does and say. Logically yupo vizuri. She is an inspiration.

  • @vickyintelligent5888
    @vickyintelligent5888 2 года назад +37

    This lady is so Intelligent i love her since day one

  • @emanuelproty3444
    @emanuelproty3444 2 года назад +11

    Nimeipenda interview inafundisha sana

  • @mamanbinwashadrack2257
    @mamanbinwashadrack2257 2 года назад +2

    Wee Zama weeeeee, yaani sijui kwa nini nimebaki naangalia hii interview alafu kama nataka kulia ivi, hongera sana

  • @grolyqueen5833
    @grolyqueen5833 2 года назад +1

    Okey nawapendaa Mungu awalinde