Mash ALLAH leo nimewahi safu ya kwanza ALLAH awabarik Ustadh Hassan Ustadh Salim Ustadh Ali kijana wetu also camera man ALLAH awazidishie kheri afya barka na waislamu wote amiin❤❤❤
Assalam aleikum,Allah awazidishie subra,huyu alie kuja na maswali...aina hii ya watu naomba umuulize amekuja na majibu yake mfukoni ama amekuja kujifunza
That guy with red jacket is not even there to learn. Ni kama munateta. Those kind of people you should let sheikh Salim to deal with them. Sarcasm will serve him better.
Assalamu alykum ikhwan. Kumekucha!! Leo chizi fresh yumo kwa comment section. Kesha andika comment yake ya uchochezi akitarajia kama kawaida kuzusha vurumai. Kama ilivyo dasturi mpuzeni maana hiyo ndio dawa ya mpuzi.
Assalam aleikum Wakristo ni funny Wanauliza Muislamu Yesu ni Nani Kwa Biblia !! Badala wao watufunze 🤣. Hawako sure... Ni vile wamekemewaa na kutishwa kanisani... Maskini wengiii hawajui chochote
Mtume Muhammad ni mkweli bila shaka. Yeye ndiye ameerevusha watu wajue kila jambo muhimu kuhusu Dini. Bila yeye hatungemjua Allah wala hatungejua jina la Mtume Isa bin Mariam. Hawa akina Daniel wangeendelea kutuhadaa eti jina lake aitwa YESU....
Huyu Mkamba Daniel ni kama Wambua, both ni Time Wasters, na kichwa zao haziko sawa! Huyu Daniel ame waste 30mins, therefore Ban huyu WaZimu! Na Isaiah 9:6 SIO utabiri.! Na hawa wana tumia hio ku WASTE TIME! Therefore do NOT entertain this Verse from these Time Wasters! Fukuza wao,waki shikilia hio Verse! TabarakAllah Team TabarakAllah Twam
You need to provide evidence. Not just talk . Muslims walk the talk. Just give us one verse that says Christianity is a religion? What prophet was the Bible given? When was it revealed? Who revealed or wrote it In what location? Once you do that we can talk about specifics in the scriptures. Do your homework otherwise if you don’t know just be quiet . Usijiebishe kama hawa
@@dulividuli5237 now that you can’t proof your own religion, you are asking something different. It’s okay bro because not one pastor can answer those basic questions and if you can’t answer those basic questions then you cannot make any commentary or argument for anything . We are in the digital world and the lies you have been told for a very long time is over . That’s why so many people are learning the truth .
Asalam aleykum hassan Hawa wakupoteza time nyingi usiwaruhusu juu wanakuwa na mchezo ili wale wasikilizaji wasijue ukweli. Hassan hawa wanamchezo wakikuona wewe wanajua utawaruhusu mda mwingi ndio wapate kupoteza wakati. Kuwa kama salim juu yupo strictly kwa hao wanapoteza mda juu clip nzima itakuwa sio vyema kuona mtu moja anapoteza mda zaidi ya nusu saa. Na huyo jamaa sio mara ya kwanza kuwa hapo na kupoteza mda.
Masha Allah tabarakallah ALLAH awalipe kila la kheri tunawapenda saana kw ajili ya ALLAH
MashaAllah Islam is perfect
Alhamdulillah kwa neema ya uisilamu
Maashalah mafundisho mazur kabisa .ila kuna wengineo wanakuja kubuy time Tu msiwatolarate watu Kama hao kuna wengi wanahitaj ilmu
Assalam alaykum warahmatullahi wabarakatuhu...mazbut wallah, huyo waa kwitu ako na hasira na jazba,,,mwanakartasi
Wsalaam warahmatullahi ta'ala wabarakaatuh
Mash ALLAH leo nimewahi safu ya kwanza ALLAH awabarik Ustadh Hassan Ustadh Salim Ustadh Ali kijana wetu also camera man ALLAH awazidishie kheri afya barka na waislamu wote amiin❤❤❤
Aameen ameen ameen sote
@@salimdaawah123 ❤️
Keep up with good work team mashaallah👌👌👌
Wakristo na ubishi basi tu Allah awaongoze wajue haki waifuate
Amiin
Wengine wanakwenda hapo kwa ushindani hawaendi kwa ajili ya kujifunza
MashaAllah
This is space is for people to learn from each other. Please don’t give fursa kwa watu kama huyu. They come to disrupt muhadara.
We will rectify that
Assalam aleikum,Allah awazidishie subra,huyu alie kuja na maswali...aina hii ya watu naomba umuulize amekuja na majibu yake mfukoni ama amekuja kujifunza
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh inn shaa Allah
Walaikum salam warhmatillah wabarakat
mashaallhu
That guy with red jacket is not even there to learn. Ni kama munateta. Those kind of people you should let sheikh Salim to deal with them. Sarcasm will serve him better.
Allah amuongeze nguvu amulide ampe afya dawa iendelee Allahamdhullah barikiweni sana sana kwa mafundisho yenye utaratibu yani mawaidha ya Koran
Wengine wanakuja kuuliza maswali kwa masihara na jazba tu lkn wanapewa elimu bure na walimu wetu na Allah ni shahidi kwa hayo..
ماشاءالله...بارك الله فيكم
Back in action dr salim ngugis team
Mpaka kieleweke inn shaa Allah
MashaAllah walimu wetu mumerudi tena viwanjani baada ya siku mob
Yeah we are back alhamdulillah
Subuhallah huyu wa kwanza Yuko hivyo hata kwa nyumba yake bb yake Yuko kwa shida sana😂
Hii ndio Shida ya wagalatia wanauliza maswali wakijibiwa wanakimbia tuendelee
Uyu red cot anasema Mungu amezaliwa . Kwan Mungu anazaliwa?hiyo sifa si ya Mungu katu.hazai wala hajazaliwa subhana Llah
Hawa hawajui na hawajui kama hawajui
Huyo alo vaa red ame kuja na maswali ili apate kujuwa lakini akielezewa hujifanya yeye ajuwa sana kuliko mwalimu
Ubishi bila maandiko ,,time waster. Huyu hana lolote
Huyu kodi jekundu alisema yesu ndio mungu na sasa anasema yesu ana mungu hawa makafiri wakikristo wamepotezwa kweli akili zao.
Wewe kijana wa kwanza ulovaa kikoti chekundu next time ukija kuwauliza walimu zetu maswali uje na heshima ...
Tena sana
Allah ampe afya elimu na hekma ili watu wajua ukweli na kuufwata
Aameen ameen ameen
Alhamdulillah ❤❤❤
Allahu Akbar
Masha Allah
With due respect brp Salim & coy tafuteni msomaji mwingine huyo dogo does not fit for the job
Atakua sawa InshaAllah
Uyo n mwanafunzi atakua sawa in Sha Allah
Hassan kiboko 😂😂😂😂 mungu anaweza abudu
Mpaka kieleweke inn shaa Allah
Hawa watu wengine wanakuja kupoteza mda tu😢😢
Huyo wa red jacket next time atakaa bench inshallah
Huyo wa kwanza anataka tu ku waste time yenu sio kuelewa
Yeah tumeligundua hilo
Wakristo wengi wana pepo wamezoea kelele kanisani hawana usitarubu wengi weshalaniwa na Mungu ndiyo sababu hqwaelewi
Assalamu alykum ikhwan. Kumekucha!! Leo chizi fresh yumo kwa comment section. Kesha andika comment yake ya uchochezi akitarajia kama kawaida kuzusha vurumai. Kama ilivyo dasturi mpuzeni maana hiyo ndio dawa ya mpuzi.
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh kabisa
Huyu ameandikiwa hizo maswali na pastor yake who doesn’t want to the muhadara. He is asking who God is. Ajabu.
Huwa wanatumwa
Asalam aleikum warahmatulah wabarakatuh
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh
Allah u Akbar
Mungu n muumba wa kila kitu hazai wala hazaliwi yeye ametakasika na upugufu wowote
Kabisa wataelewa tu inn shaa Allah
Assalam aleikum
Wakristo ni funny Wanauliza Muislamu Yesu ni Nani Kwa Biblia !! Badala wao watufunze 🤣. Hawako sure... Ni vile wamekemewaa na kutishwa kanisani... Maskini wengiii hawajui chochote
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh kabisa ila hawajui na hawajui kama hawajui
We Daniel wi mukamba wa va ? Ni kyau kiutuma utaelewa uvoo wa Allah na ni wo mulungalu....?
Alisema yesu n Mungu mara n mwana confused aki inasikitisha
Ndio kawaida ya wakristo
Huyukaka.Eti.kwamujibu.wa.kura..Anamaanisha.Qruan.🤣🤣
Waacheni waulize mwaswali yoyote ya dini
Et Biblia ya Waislamu imprimanto😂😂wakristo wanakataa vitabu vyao sas😂😂😅
Wanachekeza hawa wakristo
Sasa ukiulizwa yule anayesema hajui siku ya Kiama itakuwa lini utasema ni Yesu kisha wewe wewe utasema Yesu ni Mwenyezi Mungu..?????
Mtume Muhammad ni mkweli bila shaka. Yeye ndiye ameerevusha watu wajue kila jambo muhimu kuhusu Dini. Bila yeye hatungemjua Allah wala hatungejua jina la Mtume Isa bin Mariam. Hawa akina Daniel wangeendelea kutuhadaa eti jina lake aitwa YESU....
Miss u jamani mashekhe
Alhamdulillah we are back
Sauti hakuna
Hopo.sasa.funguaSafiKabisaMashaAllah
Mahali hawa watu wanawapotezea wakati ni kuuliza swali kisha kutaka kujibu wenyewe, you should not allow that
Inn shaa Allah
Huyu Mkamba Daniel ni kama Wambua, both ni Time Wasters, na kichwa zao haziko sawa!
Huyu Daniel ame waste 30mins, therefore Ban huyu WaZimu!
Na Isaiah 9:6 SIO utabiri.!
Na hawa wana tumia hio ku WASTE TIME!
Therefore do NOT entertain this Verse from these Time Wasters!
Fukuza wao,waki shikilia hio Verse!
TabarakAllah Team
TabarakAllah Twam
Inn shaa Allah hilo tutarekebisha inn shaa Allah
Ss wakirisito atusome Bible sukuran Kwa mafunzo nimeanza kuelewa Bible
Karibu sana
@@salimdaawah123 shukurani
I hate the first man with all my heart anakujanga tu kutafuta makosa sio kuelewa
Allah amuongoze aione haki na aifuate
Shida ya wakristo wengi hawaijui bibilia na hawaisomi na chengine nimeona ni Kiswahili pia kina wapiga chenga ..Wana tafsiri bibilia sivyo
Kabisa ila wataelewa tu inn shaa Allah
Adam aliumbwa ijumaa? Siku ya kiyama itakua ijumaa.Without lies Islam dies
You need to provide evidence. Not just talk . Muslims walk the talk. Just give us one verse that says Christianity is a religion? What prophet was the Bible given? When was it revealed? Who revealed or wrote it In what location? Once you do that we can talk about specifics in the scriptures. Do your homework otherwise if you don’t know just be quiet . Usijiebishe kama hawa
Twambie ww basi Adam aliumbwa lini na Kiyama kitakuwa lini?
@@dulividuli5237mwacheni huyo nathan hiyo ndio kazi yake
@@dulividuli5237achaneni nae huyo nathan ndio kazi yake
@@dulividuli5237 now that you can’t proof your own religion, you are asking something different. It’s okay bro because not one pastor can answer those basic questions and if you can’t answer those basic questions then you cannot make any commentary or argument for anything . We are in the digital world and the lies you have been told for a very long time is over . That’s why so many people are learning the truth .
Asalam aleykum hassan Hawa wakupoteza time nyingi usiwaruhusu juu wanakuwa na mchezo ili wale wasikilizaji wasijue ukweli. Hassan hawa wanamchezo wakikuona wewe wanajua utawaruhusu mda mwingi ndio wapate kupoteza wakati. Kuwa kama salim juu yupo strictly kwa hao wanapoteza mda juu clip nzima itakuwa sio vyema kuona mtu moja anapoteza mda zaidi ya nusu saa. Na huyo jamaa sio mara ya kwanza kuwa hapo na kupoteza mda.
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh hilo tutarekebisha inn shaa Allah