Assalam Alaikum, kazi nzuri mashekhe wetu, Allah awalipe mema duniani na akhera. Tafadhali muwaeleze na muwafanyie da'awa kwa upole. Hawa watu wamelelewa kwa ukristo na sio rahisi kwao kufahamu na kukubali uisilamu. Da'awa inahitaji subra kubwa sana. Allah awape subra. ❤❤❤
@@NathanielNathan-m4oEzekiel 18.20. You will be held responsible for your sins. Plus if you repent and stays away from which is evil, you surely be forgiven. And God will not remind you of your sin. God never died for you stop lying to yourself
Yule wa pikpki ame cheka shidha ya wakiristo. Wana sema hawana ushahidi na bible ni. Bubu. Hawezi kuwa sameya religion without proof is only Christianity
MashAllah leo dawaah inabamba Allah awalinde na shari na awazidishie umri masheikh wetu 🤲🤲🤲
Ustadh you are doing a wonderful job
Kazi mzuri nimejifunza mengi kutoka kwenu
Assalam Alaikum, kazi nzuri mashekhe wetu, Allah awalipe mema duniani na akhera.
Tafadhali muwaeleze na muwafanyie da'awa kwa upole. Hawa watu wamelelewa kwa ukristo na sio rahisi kwao kufahamu na kukubali uisilamu. Da'awa inahitaji subra kubwa sana. Allah awape subra. ❤❤❤
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh Allah awaongoze waione haki na waifuate
@@salimdaawah123 Ameen yaa Raab
keep going sheikh
Assallam aleikum mashekhe wetu furaha kuwaona tena ingawa nimechelewa lakini tuko pamoja Allah azidi kuwahifadhi na kazi njema inshaAllah
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh karibu sana
Rahaa sana, Maa Shaa Allah
MashaAllah Tabaraka Rahman.
Mafunzo bora kabisa kwa waliopotea na wasiojua kitu.
Nmejifunza mengi barikiweni
Masha Allah brothers. Always fun to watch the dawah videos.
Maashaallah baarakallah
In Shaa Allah natamani kutembea na mashehe wetu siku moja....Ustadh salim wasemaje??
Uko area gani nafasi iko karibu sana
raha si raha jamani
Mpokonyeni huyo mic
Ajabu it’s difficult even to say Mary’s prayer mpaka Waislamu wanafunza
Maryam ni muislam , kbsa na babayake anaitwa Imran na mlezi wake ni Zakariya .
Mashaallah n'a kazi mnaoifayna msikiti hajui nini
ALLAH awalipe malipo mazur hapa dunian na kesho Akhera
Asalamu alekumu warahama tulahi wabarakatu mashala she sati hakunasati
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh angalia tena iko sawa
The Jews used to observe Saturday as the sabbath in the Torah
.....and is coming will be a sign of the hour. (Quran)
......and all his followers Will believe in him....
mashaallah ALLAH akuongoze kakangu kwa kusilimu
Allah Barik fiq
Leo kuna Omwami ustadh salim jamani wafurahisha 😂😂😂😂
Musipague masheQ woote tunawapenda
Sauti hamna
Iko sawa fungua tena
Allahu akbar Allahu akbar Allahu akbar la illaha illa Allah
Mash Allah
Ma sha Allah
MashaAllah.
Sheikh Ali punguza moto 😅😅
MashaAllah ❤️
mashaallah
55mins pekee😢😢😢😢
Ma Shaa Allah, musisahau kuwambia kuwa wanaposilimu madhambi yao yote yaliolyopita yameshafutika
Inn shaa Allah tutakuwa tukiwaeleza
Without the blood,no remission of sin my brothers
@@NathanielNathan-m4owats the purpose of blood.....
@@NathanielNathan-m4oEzekiel 18.20.
You will be held responsible for your sins. Plus if you repent and stays away from which is evil, you surely be forgiven. And God will not remind you of your sin.
God never died for you stop lying to yourself
Huyu amemusudia kupoteza muda kuweka nocharu ni fharura
Nina swali yesu alihubiria spirit waliokufa kwa islam
Yule wa pikpki ame cheka shidha ya wakiristo. Wana sema hawana ushahidi na bible ni. Bubu. Hawezi kuwa sameya religion without proof is only Christianity
Ndio hivyo wataelewa tu inn shaa Allah