Wakristo wastuka kuona Yesu akiwakataa wanao fanya miujiza kwa jina lake na kutoa pepo kimeumana

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 22 дек 2024

Комментарии • 105

  • @abdirizakali6223
    @abdirizakali6223 Год назад +6

    Ma Sha Allah sheik sikuhzii ako tu pke yake lkn ameweza ma Sha Allah

  • @mohamedhozi8110
    @mohamedhozi8110 Год назад +4

    Maashaallah wakristo ni ushindani tu ila hawana hoja na huyu jatelo haya maswali yake hayuko mbali tutamfikisha ukutani asilimu inshaallah

  • @sadickkagoma5297
    @sadickkagoma5297 Год назад +8

    Masha Allah,mungu awape afya masheikh zetu,kwa jitihada mnazofanya

  • @hassangaucho4084
    @hassangaucho4084 Год назад +2

    Kiukweli hi kaz ni ngumu na inataka hekima kubwa sana, MWENYEZI MUNGU awajalie kila la kheri na awapesishie pale ambapo kuna uzito wa hali na mali INSHAALLAH .

  • @moanamohammed1406
    @moanamohammed1406 Год назад +2

    Masha Allah masheikhe wetu Allah awahifadh Inshaallah mafunzo mazur sana

  • @Sal.0
    @Sal.0 Год назад +10

    Ai, huyu Mjaluo ana UWONGO mwingi sana!
    Kila aki tolewa andiko, yeye atao nyingine kui pinga verse iki sema yesu ame tumwa kwa WaYAHuDI wenzake, peke yao.!
    Tena ana waste TIME pia na ma arguments zake za kitotto!
    Well done Ustad.
    Very intelligent control from.Ustad Salim
    TabarakAllah Team nzima!

  • @Leo-xc1nh
    @Leo-xc1nh Год назад +2

    Mashallah mafunzo mazuri kbx ❤❤❤

  • @aishaally6602
    @aishaally6602 Год назад +2

    Mm na enjoy sana kukusikiliza ustadh salim ALLAH awazidishie

  • @HishamBinMohamad-b8k
    @HishamBinMohamad-b8k Год назад +3

    Mashallah wewe Salim upo vizur sana yani upo peke ako lakin kazi inaenda.. na unawajibu uzur tu mashallah

  • @mkambasalehomar7436
    @mkambasalehomar7436 Год назад +10

    Mwalimu Ngungi wengine hao ni viziwi hata ukona wanakusikiliza wana roho mtakaubishani

  • @moureenkamau8697
    @moureenkamau8697 Год назад +2

    Mungu akulipe brother

  • @fatimahrashid2356
    @fatimahrashid2356 Год назад +2

    Masha ALLAH pole kwakazi ngumu nauko pekeyako koo inakauka itabidi ukifika upate maziwa

  • @djhassim_254
    @djhassim_254 10 месяцев назад +1

    mashaallah . Ustadhi Salim umefunza vizuri sana , mwanaume akienda haja ndogo ni ukweli
    inasemekana No matter how many times you shake, the last DROPS is always for PANT. You better wash

  • @hassanmpemba5747
    @hassanmpemba5747 Год назад +1

    Masha Allah sheikh salim dawa inaendelea ishallah

  • @rizikiali328
    @rizikiali328 Год назад +3

    Mashallah masheikh Allah awalipe dunia na akhira kweli hapa hawa ndugu wakristo Kwa hii warumi 1/18yawatosha kusilimu wote "masheikh wetu wasisitizeni wajisomee wenyewe hiyo kitabu ya bibilia

  • @moanamohammed1406
    @moanamohammed1406 Год назад +1

    Sheikh wetu upo vizr Masha Allah

  • @kadiriosmam
    @kadiriosmam Год назад +4

    Asalam aleikum warakhmatullah may Allah keep the dawah going.

  • @ambarnelly6071
    @ambarnelly6071 Год назад +8

    Asalama alafu walimu wangu kazi iyendelee kwa ajili ya Mungu insha allah

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  Год назад +1

      Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh inn shaa Allah

  • @mangeraalbert7982
    @mangeraalbert7982 Год назад +1

    Hapo huyo kijana amechemka, jina la mungu wake, ameshangaaa hajui, muislamu ni mtu wa haqi ❤❤❤❤

  • @zakiaanwar677
    @zakiaanwar677 Год назад +4

    Assallam aleikum mashekhe wetu leo kidogo nimechelewa na shuhuli lakini inshaAllah sijachelewa kwa ajili ya Allah nimewahi ili nisikie maneno ya Allah na mawaidha mema inshaAllah tuko pamoja

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  Год назад +1

      Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh karibu sana

    • @zakiaanwar677
      @zakiaanwar677 Год назад

      @@salimdaawah123 Assallam aleikum mashekhe wetu vipi leo mbona kimya wallahi nawapenda kwa ajili ya Allah shukran

  • @abduljoshi38
    @abduljoshi38 2 месяца назад +1

    Ni ajabu sana hawa watu wanakataa maandiko yao wenyewe ila kazi unayo sheikh Salim Allah akufanyie wepesi kuwaelewesha waliopotea

  • @shabamuhidin634
    @shabamuhidin634 Год назад +1

    inshaAllah kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu wataelewa tut

  • @mohamedimohamedi8933
    @mohamedimohamedi8933 Год назад +4

    May Allah bless u brother Salim

  • @halimahbwelele694
    @halimahbwelele694 Год назад +3

    Mwalimu Salim wafanya Kaz ngumu sana kwa maana maandiko Yako wazi lakin hawasikii wala hawaoni,Allah akuongoze Ammen 🤲

  • @saumbliz8983
    @saumbliz8983 Год назад +1

    MashaAllah Allah awafanyie wepesi

  • @hassangaucho4084
    @hassangaucho4084 Год назад +2

    A alaykum warahmatullah.....
    MASHALLAH shekh wangu salim ALLAH akujalie afya njema ala kulli hali wew pamoja na mashekh wenzako muendelee kuifanya kaz hi kubwa ya daawa kuutangaz uislamu ( Amiin .

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  Год назад

      Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh ameen ameen ameen

  • @menejakabaysa7843
    @menejakabaysa7843 Год назад +1

    Barakallahu fiikum 11:27

  • @ahmedbashiirsalat1300
    @ahmedbashiirsalat1300 Год назад +1

    Keep going bro

  • @aminaabdallah7702
    @aminaabdallah7702 Год назад +2

    Ustadhi Salim ?? ubarikiwe.leo débat ina bashasha raha kweli mgu yawaokowe ishallah

  • @oopsm3574
    @oopsm3574 Год назад +2

    Ma Pasta wao hawafundishi kitu, wanakusanya sadaka tu.

  • @Adm9464
    @Adm9464 Год назад +3

    Wacha wa ende library, every of them has to go and research even the basics which they supposed to to be taught by their pastors.

  • @mangeraalbert7982
    @mangeraalbert7982 Год назад +2

    Kijana ameshangaaa umati Muhammad salalahu alehiwasalamu, chuo tukufu ❤❤❤❤

  • @Aladeide
    @Aladeide Год назад +1

    😂😂😂😂hapa facts zinaserviwa zikiwa moto

  • @aliomar5954
    @aliomar5954 Год назад +2

    Asalaamualaikum shekh Salim sauti ndio hakuna kabisaa shekh

  • @ilyasadhan3914
    @ilyasadhan3914 Год назад +3

    Asc sheiqh salim sauti hakuna

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  Год назад +1

      Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh iko sawa sasa inn shaa Allah

  • @fardoshnassor7847
    @fardoshnassor7847 Год назад +3

    Mashalla Allah ❤❤❤

  • @ambarnelly6071
    @ambarnelly6071 Год назад +2

    Asalama alaikum mwalimu wangu naomba iyo vers mana imenipotea iyo ya waizrail walio tiwa muhuri

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  Год назад +1

      Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh 7:4 ufunuo wa yohana

    • @ambarnelly6071
      @ambarnelly6071 Год назад +2

      @@salimdaawah123 shukran Mungu akubari insha allah

  • @rizikiali328
    @rizikiali328 Год назад +2

    Someni wenyewe sio kusomewa na wachungaji

  • @mtataever255
    @mtataever255 Год назад +1

    Ma Asha Allah

  • @ambarnelly6071
    @ambarnelly6071 Год назад +4

    Hii ndo dini pekee inayo tetea tajiri kupewa sadaka kuliko maskini 😢

    • @Sal.0
      @Sal.0 Год назад +2

      Ni huyu Omera waku changakiwa akili!

  • @AlhajiSaidi-uo8zl
    @AlhajiSaidi-uo8zl 10 месяцев назад +1

    Allhu akibar

  • @andallaathman3856
    @andallaathman3856 Год назад +3

    Vp sheikh Ali vp amefaulu kuenda hosii

  • @rizikiali328
    @rizikiali328 Год назад +3

    Yesu wa tongareni ndio wao

  • @aminaabdallah7702
    @aminaabdallah7702 Год назад +3

    Lamda hajui kua wa Éthiopia walio Rudi israili hawakubaliki yakua wowo niwaahudi kama Benjamin na Perez wanawatengua .

  • @aishahazary4097
    @aishahazary4097 Год назад +2

    Tupo online shehe Salim lakini sauti hakuna kabisa.Tunakosa raha ya daa,wa

  • @Sal.0
    @Sal.0 Год назад +6

    Sauti ipo, jameni. Omera talking 😅.

  • @chiefmkalikibz1503
    @chiefmkalikibz1503 8 месяцев назад +1

    Almost 20 years ago, the idea of the Khilafah was vehemently opposed by some here in America. I remember having debates with people even on the term Khilafah. Many did not know about the term or simply opposed it because it was associated with Hizb ut-Tahrir. As soon as the term Khilafah was used in any convo, one would be labeled as HT and in many cases shunned for being extremist. And then with 9/11 and WOT, terms like Shraria, Jihad, Caliphate/Khilafah, Ummah became politicized and used as markers for extremist thought, fundamentalism and radicalism.
    “The fundamentalists put forth an aggressive, expansionist version of Islam…they want to gain political power and then to impose strict public observance of Islam … their unit of reference is not the nation-state or the ethnic group, but the Muslim community, the ummah; gaining control of particular Islamic countries can be a step on this path but is not the main goal. Hizb ut-Tahrir, … belong[s] to this category. Fundamentalism as a whole is incompatible with the values of civil society and the Western vision of civilization, political order, and society.” (Civil Democratic Islam - Rand Corporation)
    “The most hazardous is “umma-itis,” the growing tendency for younger Muslims to believe they are part of an embattled supranational community - the umma - while deriding more local affiliations. This impulse has, in turn, reinforced Western doubts about the willingness of Muslims living in the West to integrate and respect Western values.” (Unavoidable Clash of Islam and the West? - Rand Corporation)
    Alhumdulillah, things have changed. The struggles we used to face in conveying the correct understanding of these terms, especially about the Khilafah has dramatically decreased. The idea of the Khilafah is now common knowledge and has become part of the public opinion. Even among khateebs/imams who used to shy way from this idea and/or opposed it, now use the term “Khalifah Abu Bakr, Khalifah Umar” and are obliged to speak about it because it is part of public discourse.
    The West continues to malign this idea by using ISIS and certain scholars that have aligned themselves with the West or the despotic regimes in the Muslim lands to maintain their stranglehold over the Ummah. Despite their efforts, the Ummah continues on a positive trajectory towards a true revival.
    Alhumdulillah, it is good to see average people and some scholars speak about the Khilafah. It is an obligation upon all of us to establish it and it requires a collective effort. HT have been at the forefront of this effort and credit needs to be given to it for uplifting the discourse in the Muslim mind to the objective of establishing the Khilafah.
    Even its harshest critic, Zeyno Baran had to concede this point.
    "Hizb ut-Tahrir’s greatest achievement to date is that it has shifted the terms of debate within the Muslim world. Until a few years ago, most Islamic groups considered the notion of establishing a new Caliphate a utopian goal. Now, an increasing number of people consider it a serious objective. And after decades of stressing the existence and unity of a global Islamic community (ummah), Hizb ut-Tahrir can take pride in the growing feeling among Muslims that their primary identity stems from and their primary loyalty is owed to their religion, rather than their race, ethnicity, or nationality.” (Fighting the War of Ideas - Zeyno Baran)
    The Ummah has lived without the Law of Allah (swt) for 100 Hijri years since the abolishment of the Khilafah, suffering humiliation, oppression, occupation, corruption, wars, disunity, colonization and sheer brutality against its body.
    The re-establishment of the Khilafah is “an idea whose time has come.”
    “Islam survived two centuries of defeats and humiliations of the Ottoman Empire and Ataturk’s abolition of the caliphate. It endured generations of Western rule. It outlasted the pro-Western monarchs in Egypt, Iraq, Libya, Ethiopia and Iran. Islam easily fended off communism, survived the rout of Nasserism in 1967, and has proven more enduring than the nationalism of Arafat or Saddam. Now, it is resisting the world’s last superpower. If Islamic rule is an idea taking hold among the Islamic masses, how does even the best army on earth stop it?” (An idea whose time has come - Patrick Buchanan)
    The Khilafah is among the fundamentals of Islam. It is not “extremist” rather it is part of normative Islam. The re-establishment of the Khilafah is an obligation/fard upon us all. Whether you join the effort or be a spectator or oppose it, one must realize the Ummah's trajectory is moving towards this objective and by the will of Allah (swt) it will be established.
    The questions is where are you on this path?
    وَمَا لَكُمْ أَلَّا تُنفِقُوا۟ فِى سَبِيلِ ٱللَّهِ وَلِلَّهِ مِيرَٰثُ ٱلسَّمَـٰوَٰتِ وَٱلْأَرْضِ ۚ لَا يَسْتَوِى مِنكُم مَّنْ أَنفَقَ مِن قَبْلِ ٱلْفَتْحِ وَقَـٰتَلَ ۚ أُو۟لَـٰٓئِكَ أَعْظَمُ دَرَجَةًۭ مِّنَ ٱلَّذِينَ أَنفَقُوا۟ مِنۢ بَعْدُ وَقَـٰتَلُوا۟ ۚ وَكُلًّۭا وَعَدَ ٱللَّهُ ٱلْحُسْنَىٰ ۚ وَٱللَّهُ بِمَا تَعْمَلُونَ خَبِيرٌۭ
    And why do you not spend in the cause of Allah while to Allah belongs the inheritance of the heavens and the earth? Those who spent their wealth and took part in fighting before the Victory cannot be equated (with those who spent their wealth and took part in fighting afterwards). They are higher in rank than those who spent and fought afterwards. But to each Allah has promised a good reward. Allah is well aware of all that you do. (Hadid: 10)
    *Abdur Rafay*

  • @mwanamtotosaid702
    @mwanamtotosaid702 Год назад +1

    Masha Allah 🥰

  • @yousupjabri7304
    @yousupjabri7304 Год назад +2

    Sauti wapi

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  Год назад +3

      Angalia tena iko sawa sasa inn shaa Allah

    • @Sai.Mo69
      @Sai.Mo69 Год назад +1

      Sauti iko on 4 diffetent devices of mine.

  • @jumakumala1337
    @jumakumala1337 Год назад +1

    Assalam alykum warahmatullaih wabaraakatuh, sheikh Salim nakuomba sn plz utupe habari ya shaikh Ali anaendeleaje lkn Assalam alykum warahmatullaih wabaraakatuh

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  Год назад

      Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh ameen ameen alhamdulillah Ali anaendelea salama na matibabu

    • @jumakumala1337
      @jumakumala1337 Год назад +1

      @@salimdaawah123 Allhamdhullillaih rabbin allamini, ni jambo la kheir , ALLAH amjalie shifaa na afueni ya haraka , ili aweze kurudi kiwanjani kutangaza Dini ya ALLAH

  • @mkambasalehomar7436
    @mkambasalehomar7436 Год назад +3

    Wahubiri kwa usalama kabisa muwe namaji ya kunywa mnapohubiri ili kulinda afya zenu vifuani

  • @rahmasoliman489
    @rahmasoliman489 Год назад +2

    Akuna sauti shhekhe

  • @wakitaakabisaa8602
    @wakitaakabisaa8602 11 месяцев назад +1

    Kwanza wanafaa wajue Musa a.s ndio mtume aliyetajwa zaidi katika Qur'an.

  • @ahmedali279
    @ahmedali279 Год назад +1

    assalam alaykum.. vp sheikh,, kitambo hatujakuona daawa,mzee Ali anaendeleaje?

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  Год назад +1

      Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh alhamdulillah anaendelea salama

  • @alimatambwe3402
    @alimatambwe3402 Год назад

    Huyu Juma ni duyuthiiii asiyo julikana anajisia gani.hivi mwanaume wakuenea vizuri can do that,what juma is doing?Innalilahi wa Innalilahi Rajiuuni ☹️☹️☹️☹️☹️

  • @FauzMohamed-d6d
    @FauzMohamed-d6d Год назад +2

    Sauti Iko wpi

  • @MohammedOmar-wt3vg
    @MohammedOmar-wt3vg Год назад +2

    Sauti vp

  • @hassanimouigni6648
    @hassanimouigni6648 Год назад +2

    Sauti hamna

  • @zainababdulrahmankarisa6273
    @zainababdulrahmankarisa6273 Год назад +1

    mashaallah

  • @rogojr712
    @rogojr712 Год назад +2

    Bado hakuna sauti

  • @abubakarhassan2170
    @abubakarhassan2170 Год назад +1

    Tumia karatasi kisha safisha na maji.

  • @alyaqdhan5206
    @alyaqdhan5206 Год назад +1

    Kweli nilichelewa kuangalia clip hii ya Salim Daawah, lakini nimepata bahati kuiona by chance

  • @shabamuhidin634
    @shabamuhidin634 Год назад +1

    kwanini Wakristo wanakataa kupeleka sadaka kwa maskini? mtu anabishana kabsaa,mtu anatembea na V8

  • @bakarbakarali-cw3gc
    @bakarbakarali-cw3gc Год назад +1

    Daimond mbishi

  • @aishahazary4097
    @aishahazary4097 Год назад +2

    Sauti hakuna kabis mashehe wetu

    • @twaine40
      @twaine40 Год назад +1

      Simu Yako Ina matatizo dada ongeza sauti

  • @abcfisheries2865
    @abcfisheries2865 Год назад +4

    Ai, WaRumi1:18, ime 'SUM UP' Upagani, na UWONGO wa biblia, na 'ukristo', ambao ni CULT ya WaZungu!
    Wa Rumi 1:18 ni Hot🔥 🔥 !
    Ai, Jalango ame jaa UWONGO!
    Na tena Ustad aki towa bible verse, O'Mera ana towa nyengine yaku PINGA!
    Sii huu ni ujnga?
    Na yesu HAJA wahi ku batiza WATU.
    Kwa hivyo yesu atawa FUNZA vipi wenzake, kwenda na 'batiza ' katika UTATATU?
    Kwa hivyo hiyo verse ya Mathew28:19, ni UWONGO that was ADDED in 1769 AD wakati biblia ilipo kuwa Edited .

    • @NathanielNathan-m4o
      @NathanielNathan-m4o 11 месяцев назад

      Don't forge Quran 1924 Cairo edition.The original Sanaa manuscript does not contain the name Ahmed in sura As-saff 6

  • @ustadhfarouq7729
    @ustadhfarouq7729 Год назад +1

    Ustadh Salim hawa wanatakiwa kujua kama Israel ni Taifa ama mataifa? Sababu mataifa kwa muujibu wa biblia mataifa ni nyumba ya Israel tu yaani nyumba ya israel ndio Yesu alisema mataifa yote nasio wakenya ama waganga

  • @skwtv8133
    @skwtv8133 11 месяцев назад

    Sura 72 ndani ya Quran inaongea vile majini waliingia Uislamu,,dini ya muhamad

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  11 месяцев назад +1

      Njoo uwanjani swali ndogo hilo

    • @skwtv8133
      @skwtv8133 11 месяцев назад

      @@salimdaawah123 unifahamishe wakati unaenda kufanya daawa nitakujibu pia Mimi hayo maswali madogo unao uliza hao vijana ambao hawana elimu yoyote

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  11 месяцев назад

      @@skwtv8133 kumbe wakristo hawana elimu sikuwa najua wewe mwenye elimu tuambie mbona Paulo anapeleka watu kwa shetani ili wafunzwe na shetani Timothy 1:20

    • @abdulissaahmed7946
      @abdulissaahmed7946 10 месяцев назад

      Na mapepo mabaya yapatikana kanisani kwa Bible 😂😂😂 ask me later I will give you the Vs

    • @skwtv8133
      @skwtv8133 10 месяцев назад

      @@abdulissaahmed7946thank you Mr.Abdul kuskia uko na verses mpya za Biblia ambazo ni za mapepo,ebu nitumie nizione,Kisha nikupeleke mafunzo kiasi kwamba mapepo ni maadui wa binadamu.

  • @menejakabaysa7843
    @menejakabaysa7843 Год назад +1

    Barakallahu fiikum 11:27