Dada anayejiita Nabii adai Ibrahim a.s alizini kivumbi cha tokea leo mpaka akahepa a must watch

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 22 дек 2024

Комментарии • 70

  • @andallaathman3856
    @andallaathman3856 Год назад +9

    Huyu sheikh ali ana pressure kweli wallah twaomba awe na subra na hapa naona sheikh salim ndio anaweza vizuri sana mpaka unaelewa bila fujo wallah mungu amuongezee elimu na afya na masheikh nyote mungu awape nguvu

  • @Adm9464
    @Adm9464 Год назад +6

    Sheikh Ali be patient. Kuwa mpole. This people don’t know much. You have to be gentle with them

  • @Hi_20206
    @Hi_20206 Год назад +8

    Wanawake kama huyu ndio walifanya tuambiwe tunyamaze kanisani..sasa ninaelewa kabisaaa..amechanganyikiwa

  • @wadimtwana7286
    @wadimtwana7286 Год назад +2

    Maashaallah ustadh salim unatowa darsa safi Allah akulipeni mema

  • @kishubuti
    @kishubuti Год назад +2

    Sheikh, kuwa mtaratibu kwa msomaji unampeleka mbio mbio sana ingawaji mnakwenda na wakati. Kazi yenu ni nzuri sana nawashukuru mno الله atawalipeni.

  • @hanifatanzania7258
    @hanifatanzania7258 Год назад +1

    Maashaallah tabarakallah mashee zetu

  • @fatimahrashid2356
    @fatimahrashid2356 Год назад +1

    Waaleykum ssalamu nmefurah sana Mm uwa napenda kusikiza maandiko

  • @fatimahrashid2356
    @fatimahrashid2356 Год назад +2

    Allahu akibar uslamu umekamilika kweli najivuniya kuwa muislamu

  • @azzahrau
    @azzahrau Год назад +4

    WaLLAHI hii biblia imewapoteza sana hawa walioiandika walieka machafu humo kusudi ili watu wafanye machafu subhana LLAH

  • @hamisijm8437
    @hamisijm8437 Год назад +2

    Masha allahy Allahy Atujaliekwenye .muongozo huu huu .wadini ya Kisilmu ameen

  • @MohaMmed-hb6zt
    @MohaMmed-hb6zt Год назад +1

    Mashallah abaraq rakhamani halaa

  • @shabamuhidin634
    @shabamuhidin634 Год назад +1

    ata uku nje wakristo wengi wanasema Ibrahim alifanya zinaa,subhanaAllah Nabii wa Mungu wanamsingizia ubaya,Ibrahim hjufanya ilo wanayoyadai

    • @mwawekomiuda9779
      @mwawekomiuda9779 Год назад

      Si wamelaaniwa Ibrahim (a.s) khalilullah aweza akafanya machafu kweli? Hawa makafiri wote wamelaaniwa. Anaembariki Ibrahim na yy anabarikiwa anaemlaani Nabii Ibrahim na yy kalaaniwa iko wazi

  • @umazimwambezi8092
    @umazimwambezi8092 Год назад +2

    Subhana Allah huyu mdada amevuka mpaka kwakumtukana baba waimani astakafirulah

  • @zainababdulrahmankarisa6273
    @zainababdulrahmankarisa6273 Год назад +1

    waaaaaaaaaah hyu nabiii ana wazimu majnoon mwenyewe

  • @saidbakari2408
    @saidbakari2408 Год назад +1

    AllahAkbar AllahAkbar AllahAkbar Allah awalipe pepo mashekhe wetu mwafanya kazi kuubwa sana kwaajili ya Allah nawapata nikiwa 255 🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @zainababdulrahmankarisa6273
    @zainababdulrahmankarisa6273 Год назад +1

    mashaallah ALLAH awalipe nyote

  • @nakundwamkubwe7823
    @nakundwamkubwe7823 Год назад +1

    Hawa watu wanazidi kuchizika uyu nae ni nani jamani anae jiita Nabii huku ni mwanamke 😢😢 Yarabi tustiri .

  • @faudhiasaidi3669
    @faudhiasaidi3669 Год назад +1

    Jazaakallah khayrii ❤❤

  • @Sal.0
    @Sal.0 Год назад +3

    Huyu Mama ame tumwa ku waste precious time ya Dawah!
    Last time pia ali kuja na Story zake za Ibrahim!
    Jatelo pia anakuja ku waste time.
    Well done Team. Ustad Ali ana kaa kama Professor sasa! 😁
    Kanisa ya Kwanza Duniani ni ya ST PETERS kule ROMA.
    ST Peters CHURCH ili jengwa in 1506AD, baada ya PAUL ku rudi ROMA na ku anzisha 'ukristo'!

  • @isaa_ogutu
    @isaa_ogutu 9 месяцев назад +1

    Huyo mwenye alimwaga nje mungu alimuuwa kwa sababu hakuendeleza uzaa wa ndugu wake...na hio ndo sababu kubwa...Huyo nabii asome vitabu na aelewe😂😂😂

  • @akbarazimkhan7701
    @akbarazimkhan7701 Год назад +1

    Jamaa hayo sasa ni makubwa Mpaka Yesu kuitwa mtoto wa zinaa Ibrahimu mzinifu Huyu Mama KIDOGO sio mzima.Kichaa kimempanda kichwani.

  • @halimahbwelele694
    @halimahbwelele694 Год назад +1

    MashaAllah

  • @jumakumala1337
    @jumakumala1337 Год назад +1

    Hajielewi huyu mama , amekunywa vitu nini , yeye anajiita nabii na ht ajielewi , wakristo wenzio pia wanakucheka ht aibu huoni ww

  • @Adm9464
    @Adm9464 Год назад +2

    Now she is getting it . She has seen the truth

  • @musanike3079
    @musanike3079 10 месяцев назад +1

    Subhanah Propaganda mingi Sana.. Elimu ndio ndio itakuweka huru..

  • @husha6372
    @husha6372 Год назад +4

    Jamaa hayo sasa ni makubwa Mpaka Yesu kuitwa mtoto wa zinaa Ibrahimu mzinifu Huyu Mama KIDOGO sio mzima

    • @andallaathman3856
      @andallaathman3856 Год назад +1

      Mama Yuko kulingana na kitabu Chao yote yapo ndio tukawambia watoke huko wane KWa dini ya kislam ndio dini ya haki ya ALLAH na ndio Kwa Qur'an mwenyezimungu alimfanya Issa As kuongea utotoni kumtolea mamake ushahidi asiambiwe amezini na hapo hapo mayahudi wengi hawakuamini bado but KWa bibilia hakuna miujiza huo so wawache waje Kwa usilamu tuu

    • @Sal.0
      @Sal.0 Год назад +3

      Biblia ni STORY BOOK tuu ya WaZungu!
      That is why ime jaa INCEST, PORN, Umalaya, UZINIFU, na kila Ma OVU za Dunuani!
      Na mimi na SHANGAA, wakati WaFrika, wanai ita Biblia, "TAKATIFU" na eti "Neno la Mungu"!
      How Mjinga can you be?

  • @jumamsembe1213
    @jumamsembe1213 Год назад +2

    Mama amekorogeka vibaya sana...haelewi maandiko

    • @Sal.0
      @Sal.0 Год назад +1

      Mama ana penda mambo ya UZINIFU, ambao ume jaa, katika Biblia!
      Na hata sijui WaFrika wana fikiri vipi kitabu ambacho ume jaa ZINA, ni kitabu cha 'Mungu'!???

  • @zakiaanwar677
    @zakiaanwar677 Год назад +4

    Assallam aleikum mashekhe wetu natumai mu wazima nyote Allah awahifadhi na muendelee kupeleka dawaa mbele kwanza wakati huu wa hijja Allah atufanyie wepesi atusamehe makosa zetu atuweke. Pamoja na wacha Mungu Na atustiri na mabaya yote waislamu wote duniani Allah apokee dua zetu atutie kwenye pepo yake aliowaahidi waja wake inshaAllah kazi nzuri❤❤

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  Год назад +1

      Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh aamiin amiin amiin sote

    • @kawtharalbarwani1337
      @kawtharalbarwani1337 Год назад +1

      Amiin

    • @akbarazimkhan7701
      @akbarazimkhan7701 Год назад +1

      Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh aamiin amiin amiin sote

    • @akbarazimkhan7701
      @akbarazimkhan7701 Год назад

      Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh aamiin amiin amiin sote

    • @akbarazimkhan7701
      @akbarazimkhan7701 Год назад

      Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh aamiin amiin amiin sote

  • @wajermajiibceeb
    @wajermajiibceeb Год назад +1

    As-saalamu aleykum wa-rahmatullahi wabaarakatu sheikh you should put the channel in numbers

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  Год назад +1

      Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh inn shaa Allah

    • @frankjuma1854
      @frankjuma1854 Год назад

      Asalaam aleikum warahmatullah sheikh Salim kindly kwa niaba ya watu wote tuleteeni vipindi kwa parts please...part 1,2,3 not.

  • @josemu870
    @josemu870 10 месяцев назад +1

    Maisha alla

  • @234dultrasoundlad
    @234dultrasoundlad Год назад +2

    Ati yesu..Mungu wa wakristo alitoka kwa uko ya usherati 😅😂

    • @Hi_20206
      @Hi_20206 Год назад

      Maskini ..sijui wataamka lini

  • @josephinechaildofgod5371
    @josephinechaildofgod5371 Год назад +1

    Huyu mama hajielwi

  • @shabamuhidin634
    @shabamuhidin634 Год назад +1

    huyo mama amesema ukweli hapo,Yesu alitoka katika kizazi cha zinaa kulingana na bibilia,Yuda alilala na mama mkwe aliejifanya kahaba akampatia bungle na fimbo akamtia mimba wakazaa mtoto anaitwa Peris na huyu Peris ndie alitoa kizazi cha Yesu

  • @MohaMmed-hb6zt
    @MohaMmed-hb6zt Год назад +1

    Jamaani wakoweni wakenya makanisa yamezidi Kenya kilauchochoro kanisa dah hallah hawape nguvu

  • @andallaathman3856
    @andallaathman3856 Год назад +1

    Mbona munawambia kua sio makafiri ni makafiri wakiristo sababu wao wanapinga mungu sio moja na amezaaa so nimakafiri khalas mbona munawaficha na bibilia yenyewe imewaita UDA 1:4 inawaita hakuna kuwaficha ukweli

  • @jumakumala1337
    @jumakumala1337 Год назад +1

    Hatutaki historiya tunataka maandiko madamu usilete historiya za maji maji ribelioni hapo

  • @MohaMmed-hb6zt
    @MohaMmed-hb6zt Год назад +1

    Ostazi waambie mashonde nimavi makavu .uwomkate ndio umechanganywa nashaili 😂wataachakula you saqarament. Iyobibilia kama hainatafusili yamashonde naomba mtafute ostaz mazinge watz atakupatia bibilia ilio tafusiliwa uwo mkate yani wakisikia tafusiyake watakuwa Hawaii tena

  • @Hi_20206
    @Hi_20206 Год назад +5

    Mafunzo matamu kweli..tumewakaribisha kisumu

    • @Sal.0
      @Sal.0 Год назад +1

      Maber!

    • @Hi_20206
      @Hi_20206 Год назад +1

      ​@@Sal.0kamanooo😂😂😂

    • @Sal.0
      @Sal.0 Год назад +1

      @@Hi_20206
      😁😁

    • @ilyasadhan3914
      @ilyasadhan3914 Год назад +1

      Nango

    • @Hi_20206
      @Hi_20206 Год назад

      @@ilyasadhan3914 ber ahinya osiepa

  • @Sai.Mo69
    @Sai.Mo69 Год назад +5

    Huyu Mama Nabi, amewa chezea GAME na ku ongwa RUBBISH na ku waste 28 minutes of Dawah TIME.!
    Huyu Mama ali jaribu ku waste TIME last time PIA, na the SAME Story ya Ibrahim na RUTH!
    Mume chezewa GAME!
    Watu wengine wame kosa Mafundisho for 28 mins!
    Next time musim ruhusu huyu TIME WASTER kuja kwa MIC!

  • @chiefmkalikibz1503
    @chiefmkalikibz1503 Год назад +3

    😂😂😂😂😂😂Hawa Makafiri kwao kutukana MANABII hats hawaoni uzito ASTAGHFIRULLAH.
    NASHINDWA HUYU MACKENZIE KWANINI ALMUACHA HUYU MAMA WAKATI SHAKAHOLA KUNAMUHUSU

  • @smadon5638
    @smadon5638 5 месяцев назад

    Huyu mwanamke Ana laana

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  5 месяцев назад

      Hawa wengi wao hawajui na hawajui kama hawajui

  • @Adm9464
    @Adm9464 Год назад +2

    Haki Ukristo ni geography. All this nonsense this nabii mwanamke anasema. Ati Yesu ametoka kwa familia mbaya

    • @Sai.Mo69
      @Sai.Mo69 Год назад +1

      According to the Bible, it is true that Judah ali ZINI, na... ukoo wa Judah ni ya WANA haramu.
      Hawa WaZUNGU walio iTUNGA Biblia in 1611, ni kweli wali kuwa wana ongozwa na HOLY SPIRITS, zinao itwa WHISKEY na BRANDY!
      That is a TRUE Fact!

  • @MRHURUMAHuruma
    @MRHURUMAHuruma Год назад

    Achen kuwadanganya watu wasiojua maandiko nyinyi ni waongo waislamu ni din ya kishetan wanaabudu mapepo majin na nata unaruhusiwa kumwoa jini

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  Год назад

      Mdomo bila ushahidi wa maandiko nilingoja utoe Aya inayosema hivyo

    • @MaryamIssa-y7v
      @MaryamIssa-y7v 2 месяца назад

      Without research have no right to speak,leta andiko acha story za vilabu vya pombe

  • @akbarazimkhan7701
    @akbarazimkhan7701 Год назад +1

    Assallam aleikum mashekhe wetu natumai mu wazima nyote Allah awahifadhi na muendelee kupeleka dawaa mbele kwanza wakati huu wa hijja Allah atufanyie wepesi atusamehe makosa zetu atuweke. Pamoja na wacha Mungu Na atustiri na mabaya yote waislamu wote duniani Allah apokee dua zetu atutie kwenye pepo yake aliowaahidi waja wake inshaAllah kazi nzuri❤❤

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  Год назад

      Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh aamiin amiin amiin