Afya yangu imeteteleka, kiasi cha kuwa na huzuni nyingi na mashaka, ila Nikihesabu mibaraka yako kwangu, mema ni mengi mno uliyonibariki bado utabaki kuwa Mungu milele🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
1. Ukichukuliwa na mashaka yako na kuona hofu kwamba utakwama, uhesabu mibaraka yake Mungu, na utashangaa kwa rehema yake. Uhesabu mibaraka yote Mungu aliyoyakubariki! Ukumbuke mambo yote pia, na utashangaa kwa rehema yake! 2. Na ukiudhiwa na huzuni nyingi, ukiona msalaba ni mzito, uhesabu mibaraka kuchwa pia, na kwa moyo wote utasifu Mungu. 3. Wengi watamani mali ya dunia; utajiri wako ni Mwenyezi Mungu. Uhesabu mibaraka na kumbuka: Mali haiwezi kufungua mbingu. 4. Na katika mambo yote huku chini ukumbuke pendo kubwa la Mwokozi! Na ujumlishe mibaraka yote, tena mwisho atakuchukua kwake! Mungu awabariki wapendwa 🙏
Woow nice song nimetafuta hii so g for so pong bt ckuwa najua jina ya artist... Usiku wa jana tune imeimba kwa my mind nd nkaamka nikaingia youtube thn nkatype ukichikuliwa na mashaka yako thn i got it ...praise be to God
,😢😢😢nashangaa kwa rehema zako Yesu
Afya yangu imeteteleka, kiasi cha kuwa na huzuni nyingi na mashaka, ila Nikihesabu mibaraka yako kwangu, mema ni mengi mno uliyonibariki bado utabaki kuwa Mungu milele🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
2023 this song still blesses me ❤❤ nikikumbuka nilipotoka na hapa nilipo😢😢 Asante Mungu kwa Neema na Baraka zako kwangu🙏🙏🇹🇿
Be blessed dear🙏
1. Ukichukuliwa na mashaka yako na kuona hofu kwamba utakwama, uhesabu mibaraka yake Mungu, na utashangaa kwa rehema yake.
Uhesabu mibaraka yote Mungu aliyoyakubariki! Ukumbuke mambo yote pia, na utashangaa kwa rehema yake!
2. Na ukiudhiwa na huzuni nyingi, ukiona msalaba ni mzito, uhesabu mibaraka kuchwa pia, na kwa moyo wote utasifu Mungu.
3. Wengi watamani mali ya dunia; utajiri wako ni Mwenyezi Mungu. Uhesabu mibaraka na kumbuka: Mali haiwezi kufungua mbingu.
4. Na katika mambo yote huku chini ukumbuke pendo kubwa la Mwokozi! Na ujumlishe mibaraka yote, tena mwisho atakuchukua kwake! Mungu awabariki wapendwa 🙏
Number ngapi dada
Number 140
Merci ma sœur
Amen Eeeeh Yesu wangu👩👦👩👦👩👦🙋♀️🙋♀️🙋♀️🙋♀️niko hapa baba niguse Mungu wangu bariki kazi zangu watoto wangu Mme wangu
Nina tulizwa moyoni mwangu n'apo sikiya nyimbo aksante 🙏 sana n'a mwenyezi Mungu aendelee kuku Linda🥰💪🔥😘
Oh my God I feel blessed
Nabarikiwa
Please translate lyrics to English 🙏
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@@silviarose1122❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Asante sana Yesu❤❤❤❤❤
Asante saana kwa nyimbo hiyi, inakuwa baraka saana kwangu. Utukufu umurudi Mungu
May thé son of God Jesus bless you , ilove this song, utajiri wetu nimwezi mungu
Pppp
Lc:a1î
Mali haziwezi kufungua Mbingu.....
wengi watamani mali ya dunia
Utajiri wetu ni mwenyezi Mungu
Amen, 🙏David mungu akupe upeo mwingine zaidi na zaidi we still listening to this song,, unatuliza mioyo❤
Ilove this song,imenifanya nikapiga magoti kumsujudu mungu,
Me too. I just knelt down and went back to the word of God.
Me too. I just knelt down and went back to the word of God.
Beautiful song beautiful video
Mungu akubariki Mtumishi wa bwana endelea na huduma tuko hapa ku support
Powerful bro keep it up
From tiktok to RUclips it's a blessing
Barikiwa frère David😘🥰🥰🥰
thi is nice may God bless you brother Imani david
I'm here 2022 😭😭😭na bado song is still have a strong message 😢😢
Ee Mungu wangu, Unikowe.😢
Amen barikiwa ndugu
This song 🎵 makes me cry when I listen thank you am blessed
Wau wanderful song
Amina. Ubarikiwe mtumishi wa Mungu. Mimi huguswa sana na wimbo huu.
I do like this song ❤️🥰 may God bless you brother and go deeper kabisa 🙏
Keep anointing
nabarikiwa sana
Napenda nyimbo zako be Blessed my brother.
Namupenda mungu sanaa nakuombeya mungu akulinda Saana 🙏🙏🙏 amina
Mungu Akubaliki nakutakia maisha mema asante Yesu
Ameeeeeena ❤❤❤ my favorite song 😭😭😭😭😭😭
English Please🙏
Ubarikiwe Sana Mtumishi nyimbo zako zinanibariki sana
Iam heartbreaken today but God amenikumbuka leo😭😭😭😭😭
Naupenda wimbo huu sanna mungu akubariki
Nabarikiwa sana na huu wimbo, mungu akubariki kwa wimbo mzuri
Woow nice song nimetafuta hii so g for so pong bt ckuwa najua jina ya artist... Usiku wa jana tune imeimba kwa my mind nd nkaamka nikaingia youtube thn nkatype ukichikuliwa na mashaka yako thn i got it ...praise be to God
David 😭😭😭😭🙏🙏🙏🙏
Amen ubarikiwe bro wimbo mzuri sana wenye kutia moyo na kusimama kiimani
Thanks so much dear David. My God bless you forever
Nimefarijika sanaaa aiseee nimesioia Tik tok Ubarikiwe 🙏
Bro are you the one the one that sang this song? Am blessed.
YES I AM.
@@davidimaniproductions where are you David we are missing your songs aii
Unanibariki sana kaka yangu, bado nakukumbuka ukimusifumMungu na mupendwa shabani
Let count our blessings and see what the Lord has done.Free oxygen am greatful my Lord
Unanifikisha mbiguni baba .urumuhanga cyane. Mungu akuzidishiye
I feel blessed by your ministry my brother. This is a sign of a man who seeks the depths of Christ's dimensions. More annointing man of God
This song contains alot of glory be blessed man of God
Ee mungu nivushe kwenye maisha haya
Asante Mungu wangu kwa kazi ya msalaba. Nina ishi na ku pona kwa damu yako. Neema yako ya tosha.
Amen utajiri wetu ni mungu,😭
Que Dieu vous bénisse 😢 pour cette inspiration mon papa
Eeeeh Mungu usitusahau na mibaraka yote unapo bariki wengine
Yes!! Count the goodness of God and then will be able to forget all your sorrows👏👏 thank you Lord Jesus Christ🙏🙏
Ameen nikisikia hii nyimbo yanigusa sana😂😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣 barikiwa sana
Amen this song touching be blessed bro David may God open way forward ⏩⏩⏩
Que L'Eternel se souvient de vous qu'il vous bénisse richement
Nyimbo za wokovu, souviens toi de tous les bienfaits de notre DIEU.
Amene 🙌🙌🙌🙌❤️❤️❤️❤️ ubarikiwe mutumishi wamungu 😭😭🙌
Mayisha marefu baba
Asante sana, niko naesabu mibaraka Mungu arinibariki! Mubarakiwe namwe piya!
These are the few unknown songs in the world that worth more than the mere grammys
Barikiwa napenda io wimbo sana
Amen sana 🙏🙏🙏🙏😇😇😇😢😢😢😢
Amen ilove this one so much it always make my day ever
Alléluia alléluia hosanne gloire à l'agneau immolé soyez richement béni mon frère David ubarikiwe kua jina la mokonzi wetu yesu christo
This voice is out of this world
Nimebarikiwa sn Mungu aidi kuwabariki
Safi sana
Am so blessed with this song from tiktok more Grace Man of God
Nyimbo nzuri sana ubarikiwe
Amen amen🙏🙏🙏🙏🙏🙏🤷
Ukivuuta saana utamu unapotea
🎉🎉👏👏🙏🙏Amen Asante yesu
Iye ni baraka
Nice song hallelujah hallelujah hallelujah Amen 🙌🙌🙏🙏
Amen
Amena 🙏 🙏 🙏 🙏 🙏 🙏 🙏 🙏
Amen ubarika sana ❤️❤️❤️
Nakumbuka baba
Be blessed man of God. We all high blessed with your songs. 👍
Haleluya mibaraka yake mungu kwangu yapita fahamu zangu Amina yesu .nimebarikiwa
Amen amen 😭😭😭
Siwezi sikiliza na nkose kuongea pia nko kwa situation fulani and when i hear this i cry silently
Barikiwaaaaa ,ndugu katika christu
Huu wimbo hunibariki sana
Nikisikiatu ewimbo machozi yanitiririka
I like this song, be blessed mr David Imani.
You have cool bro
I get blessed with this Song, I feel like I am in heaven. Be blessed 🙌
Me too! Such good singing. Heaven must be proud of this humble servant
Ubarikiwe ndugu ndani ya yesu
I heard this song from tiktok ❤️❤️
Wimbo mzur sana
May God bless you .
God bless you Sir
This song blesses me deeply within my soul!!! Thank you Asante sana kweli! God bless you!!!
Love this song
Amena
Barikiwa ndugu!
Am really bless by this song
Nyimbo. Zenu. Zinanijenga
this song's shall never get old to me😢
thanks brother david for the nice song, you realy touch my heart.
Oui oui je compterais toujours ces bontés