🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤ZANIKUMBUSHA NYUMBANI DRCONGO KINSHASA 🇨🇩... BAADA YA KUPONYWA UKIMWI, NILIZIIMBA SANA SANA MPAKA LEO...KITABU NINACHO HUKU KENYA 🇰🇪 😢😢😢😢😢NOSTALGIA !❤❤❤❤
Yooo izi nyimbo njo zenye zili tukomalisha kiroho katika kanisa yetu ya CEPAC apo kitambala kichwani akuna kuvala bikuku wala malinga ya ovyo kanisa barikiwa ndungu David barikiwa na sikiya ku jazwa sana nasema amen kwa sahuti kubwa 🔥🔥🔥🔥🔥
❤MAMISHONARI WALIIMBA KWELI... AUJOURD'HUI MISSIONNAIRE VOLONTAIRE PAR LA GRÂCE INEFFABLE DE DIEU CRÉATEUR EN CHRIST JÉSUS NOTRE SAUVEUR.... CELUI QUI M'A GUÉRI DE VAINE MALADIE DE SIDA 1986. ETANT CONGOLAIS ANCIEN JOUEUR DE TP.MAZEMBE CHAMPION D'AFRIQUE DE 1980.
UBARIKIWE SAAAAAANA KAKA YANGU DAVID IMANI KWA NYIMBO HIZI UNAZO ZIIMBA ZA UWAMUSHO WA ROHO MTAKATIFU. MUNGU AKUPE MAISHA MAREFU SANA.UNAKUWAKA NANIBARIKI SANA KUPITIA NYIMBO HIZI.ENDELEYA NA KAZI YA BWANA.
My father my God I come before you,,😭😭 forgive my sin forgive my family forgive my church forgive my country Kenya,,,,I need you in my life God,, you are highly lifted up Jesus,,,the song touched my heart 😭😭😭😭God be with me be with my family,,,Huu mwaka Mungu be with Kenyan,,tuko wakati ngumu Sana 😭😭I bless your name Jesus
David Imani kamwe usichezee iyi huduma Yako,maana inatubariki sana,na watu kama ww siku izi niwachache sana,barikiwa sana pia nakupenda sana ndugu yang
Maua yote anayavika na ndege wote wa angani wanapokea chakula Chao pasipo shamba na ghala.... Hakika Mungu anajizua hitaji zangu zote... Haleluyaaaa baba ananitunza Mimi.(◍•ᴗ•◍)❤
MUNGU WA MBINGUNI AKUBARIKI SAANA KAKA DAVID KWA NYIMBO HIZI .KWELI UNA UPAKO WA ROHO MTAKATIFU.UENDEYE KU HIMBA NYIMBO ZA KIROHO.PESA ZISIKUPOTOSHE UANZE KU CHANGANYA VITU VYA KIROHO NA VYA KIMWILI KAMA VILE TULIONA WENGI WALIANZA VIZURI WAKA MALIZA VIBAYA.TUMIA HEKIMA SANA.!!!!!!!! HERI MWISHO KULIKO MWANZO!!!!! UBARIKIWE!!!!!
David mwenyezi MUNGU akubariki na jamaa lako lote❤❤❤❤❤❤❤
🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤ZANIKUMBUSHA NYUMBANI DRCONGO KINSHASA 🇨🇩...
BAADA YA KUPONYWA UKIMWI, NILIZIIMBA SANA SANA MPAKA LEO...KITABU NINACHO HUKU KENYA 🇰🇪 😢😢😢😢😢NOSTALGIA !❤❤❤❤
😅😅
Mungu akubariki saaana ndugu témoigner uwezo wa mungu na baraka zake kwako
nakufatilia kila mara mbele ya kuamuka nyimbo zako waga zina ningiza katika neema za subui wakati niamukapo
Amen
Yooo izi nyimbo njo zenye zili tukomalisha kiroho katika kanisa yetu ya CEPAC apo kitambala kichwani akuna kuvala bikuku wala malinga ya ovyo kanisa barikiwa ndungu David barikiwa na sikiya ku jazwa sana nasema amen kwa sahuti kubwa 🔥🔥🔥🔥🔥
Amen
Asante Mungu!!
Imana Ibahe Umugisha kandi Izabahe Iherezo ryiza Ijuru muririmba Muzaritahe
Mungu awe nanyi
Mungu nakupenda sana milele nitabaki na wewe Mungu wangu ❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Nimetafut hii nyimb kwa mda mref km miak mitatu hv nakuj kuipat leo
❤MAMISHONARI WALIIMBA KWELI...
AUJOURD'HUI MISSIONNAIRE VOLONTAIRE PAR LA GRÂCE INEFFABLE DE DIEU CRÉATEUR EN CHRIST JÉSUS NOTRE SAUVEUR....
CELUI QUI M'A GUÉRI DE VAINE MALADIE DE SIDA 1986.
ETANT CONGOLAIS ANCIEN JOUEUR DE TP.MAZEMBE CHAMPION D'AFRIQUE DE 1980.
Haleluya ,haleluya Amen amen amen.
Asante ndugu kwa nyimbo bwana yesu kristo akubari
Hakika nikiskiza nyimbo zako nahisi machozi, najazwa, nafulahia, mungu abaliki kazi zamikono yako ndugu
good job
Eeee good song 🙌🙌Mungu akugashanire🔥🔥
Buana Yesu Christu Asifiwe kua Kila jambo ametulamusha Asifiwe kutukinga kua kila ubaya sifa na chukrani kuake
UBARIKIWE SAAAAAANA KAKA YANGU DAVID IMANI KWA NYIMBO HIZI UNAZO ZIIMBA ZA UWAMUSHO WA ROHO MTAKATIFU. MUNGU AKUPE MAISHA MAREFU SANA.UNAKUWAKA NANIBARIKI SANA KUPITIA NYIMBO HIZI.ENDELEYA NA KAZI YA BWANA.
❤❤❤NI FURAHA YANGU KILA SIKU KUTAFAKARI NYIMBO ZA WOKOVU...NIMETOKA KATANGA KOLWEZI...NAISHI KENYA 🇰🇪 NAIROBI MOMBASA ❤❤❤❤❤
Nilipo pokea okovu naujana wangu wote hadi sasa zinanipa nguvu za kusogeza uduma yangu mbele
Hakika mungu ananena na watu wake hata kwa kutumia nyimbo Asante yesu wangu
Amina sana watumishi
⁰
Frère David soit béni brutalement... J pense à Lubumbashi .😭😭😭😭
Amen 🙏 sana namshukuru Mungu kwa Rehema zake 😢😮
Nabarikiwa sana nahii mix🙏🙏🙏
Zinyimbo zinapandisha mtu ngazi ya maombi mubarikiwe, 🙏🙏🙏🙏
Mungu awabariki waliokamata wakati wao kwa kazi hii ya kukusanya izi tenzi za rohoni kwani zinasaidiya sana kiroho.
Nafurahi kusikiya nyimbo hizi haziishi utamu kilasiku. Zinaleta nguvu ya kiroho na kuburudisha moyo. Nitaweza zipata jee niziweke dani ya PC yangu
My father my God I come before you,,😭😭 forgive my sin forgive my family forgive my church forgive my country Kenya,,,,I need you in my life God,, you are highly lifted up Jesus,,,the song touched my heart 😭😭😭😭God be with me be with my family,,,Huu mwaka Mungu be with Kenyan,,tuko wakati ngumu Sana 😭😭I bless your name Jesus
😢😢😢😢😢😢forgive me o Father Jesus Christ
****37:20** MWOKOZI WETU - Alleluia! Alleluia! Alleluia Amina**
Apewe Sifa Mungu mwema kwetu kila iitwapo leo. Asante kwa nyimbo
asante mungu kwa sauti hizi blessings servants of god
Amen amen and amen, may God take you to another level always 🙏🏼
Amen Amen ubarikiwe Baba
Sifa heshima na utukufu ni vya Yehova Mungu.
Asante MUNGU ❤️❤️🍷❤️❤️
What a mix....feeling like am not in this world may God bless you much
Hallelujah Hallelujah Amen…Barikiwa Kaka David ❤️❤️❤️
Hunituliza moyo wangu, huruma nayo hunitia.,....Haleluya ni pendo kubwa linalotoka moyo wake Mungu.........
Kuna nyimbo ukisikiliza zinakuita zenyewe umludie mungu
🇹🇿🇹🇿 Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu, naskia uwepo wa Mungu. Nabarikiwa sana.
I pray for you !
Ubarikiwe ndg
Les chants qui ont bercer ma jeunesse, que Dieu vous bénisse
Amen 🙏 kweli wewe ni Mungu wa ajabu kwa makuu unayo nitendea na unavyozidi kunionekani sina chakusema zaidi ya Asante
Vraiment ni nyimbo nzuri
Nta mshukuru namna gani kua Mapenzi yake bora . Yesu👑 niko wako
Aksanti kwa bayimbaji pia😔😇💖
Mungu bariki muimbaji timiza ajaa wa moyo wake muongezee mafuta ,upako,karama,zawadi,upendo na furaha zaidi
Akisanti sana . Mungu ni mukubwa asifiwe
Sijuwe niseme Nini mungu wangu
Kwakweli Yesu akikaa moyoni mtu anakuwa na amani na raha ,furaha, aksante Mungu akuzidishiye.
Zinanisaidiya ku tafakari ju ya maisha yangu
Barikiwa sana.tukihitaji tunazipataje.
How I love this song Jameni 😄,..Roho yangu inaimba,Hallelujah
Nina mpenda sana ndugu David. Balikiwa saaana. Mungu aendeleee kukufanya chombo chake kwakuzigeuza nyoyo zawatu
Sitasumbuka kwakuwa Mungu ananitunza daima......
Mwenyezi mungu akubari ndugu yangu, uwa tunafajirika tunaposikia nyimbo izi
Thank you very much my brother David may God bless you unatukumbusha nyumbani kabisa.
David Imani kamwe usichezee iyi huduma Yako,maana inatubariki sana,na watu kama ww siku izi niwachache sana,barikiwa sana pia nakupenda sana ndugu yang
Shukrani kwa Mungu,Eee Mungu bariki mtungaji wa nyimbo hizi
Sichoki kusikiliza hii playlist kila siku kila saa
Hallejah!!!! kwakweli nibaraka kwenye moyo, sifu ndugu sifu, Mungu azidi kukuzidishia ,hasua kwenye huduma hii yakipekee.
Amen
Thank you so much !!
Nkwifurije kuzajya mwijuru
Nukuri ntakindi nagusabira kitari ubugingo buhoraho
God bless you I love you
Amen nda fashijwe
Buriya ntabundi buzima gusenga nibwo bumuzima nyakuri mwamvugira ngo Amen
Hi
Amazing!!!
Amina ninaimba Kwa furaha Rojo yangu inaimba kwafuraha Amina amen kaka
Shukran na baraka zaidi
Maua yote anayavika na ndege wote wa angani wanapokea chakula Chao pasipo shamba na ghala....
Hakika Mungu anajizua hitaji zangu zote... Haleluyaaaa baba ananitunza Mimi.(◍•ᴗ•◍)❤
Kwa kweli nimefarijika sana. Mungu wangu akubariki sana
❤😭🙏barikiwa
MUNGU WA MBINGUNI AKUBARIKI SAANA KAKA DAVID KWA NYIMBO HIZI .KWELI UNA UPAKO WA ROHO MTAKATIFU.UENDEYE KU HIMBA NYIMBO ZA KIROHO.PESA ZISIKUPOTOSHE UANZE KU CHANGANYA VITU VYA KIROHO NA VYA KIMWILI KAMA VILE TULIONA WENGI WALIANZA VIZURI WAKA MALIZA VIBAYA.TUMIA HEKIMA SANA.!!!!!!!! HERI MWISHO KULIKO MWANZO!!!!! UBARIKIWE!!!!!
GLOIRE A.DIEU TOUT PUISSANT.GOD.bless You MUNGU ABARIKI NYIMBO ZOTE AKSANTI SANAA
May God bless you dear man of God and singer
We are so blessed by the son and on everything that we chat it to CEPAC🙏🙏🙏🙏🙏
good singing
Merci pour cette belle compilation d'adoration qui nous ramène prêt de Dieu créateur, que Dieu vous bénisse.
Nimebarikiwa sana na hii nyimbo yesu awabariki sana
Allellujah 🙌🏻🙌🏻🙌🏻
Tumebarikiwa sana, sifa ziwe za Mungu
Mungu awabariki ndugu zangu.siku moja tuonane mbinguni.tukiimba na kumsifu Mungu.
Mungu akuogezeye kipaji maana nimbo hii inanibariki sana
Ubarikiwe sana
Nzambe apambola yo ndeko
Vraiment
Balikiwa Bwana apewe sifa.
Nashukru MUNGU, kupata Chanel yako, nimekuwa nikitamani Sana nyimbo zako, nabarikiwa na huduma yako... 👏
Yesuuuu Uwiiiiiii anna mbarikiwe sana sana kwa kweli mmetubeba kwa hili😭😭😭😭😭😭
nyimbo nzuri sana sema kelel nyingi kwenye nyimbo
Asante sana 🙏🙏
Amina sana kwa mungu wetu alie juu mbinguni
Mungu abariki mutu alie weka hizi nyimbo
Unarikiwe sana kwa kazi hii umeifanya
Ila tuna omba tufanyiye ingine ALBOUM za nyimbo za WOKOVU zilizo baki baba
🙏🙏🙏😭 jusus come in my hart please 😭😭
AMEEN AMEEN AMEEN AMEEN AMEEN AMEEN AMEEN AMEEN AMEEN AMEEN AMEEN AMEEN AMEEN
You sing well Amazing and Amen
Can't get enough to listen such blessed songs
Les chants plein d'énergie !
Nabarikiwa sana kwa hizi nyimbo,mbarikiwe sana wote mlioimba nyimbo hizi naona dalili za roho mtakatifu kila naposikiliza nyimbo hizi
Mungu ni mwema ❤❤❤
Asante kumupenda Yesu Kristo munaniongeza nguvu tena zakumupenda
Mungu akubariki from burundi 🇧🇮🤝 2020(nimependa sana )
Nimefunguliwa kweli
Davidimunguakubarikisana nyimbozakozinanifariji
Amina
Ubarikiwe
Mungu azidi kuwabariki Wana wa yesu.
Aleluya kwa bwana Mungu wangu yesu christo muumbaji we tu. Amena
Amen
Merci sana Frere DAvid, nilikuwa na huzuni sana lakini ivi nasikiya joto rohoni
Asante sana, merci beaucoup, thanks
Na barikiwa sana🙏🙏mungu azidi kuku bariki fr David
Mungu ainue kipaji chako.
Ailinde huduma hii. Nimekua mgeni wako.
Nimebalikiwa sana.شكرا لك