Mungu awajalie maisha mema marefu yajae uzima na furaha..mzidi kumtumikia mungu wetu hadi siku ya mwisho....nabarikiwa sana na nyimbo zenu mungu awabariki mpaka mshangae❤
Thank you so much for this wonderful songs, umenikumbusha mengi tangu nilipo mpokea Kristo Yesu kama Bwana na Mwokozi wa maisha yangu hizi nyimbo zilituhimiza na zinaendelea kutuhimiza, ila ushauri wangu ndio huu, kwa title za nyumbo jaribu kuandika jina la Mungu kwa herufi kubwa mfano number 4,9. Ni hilo tu ndugu yangu Mungu ni tofauti na mungu.❤
Mwenyezi Mungu apewe sifa sana, sana na tena sana. Nashukuru sana kwa ajili ya izi nyimbo zinazo upako tele. Ndugu Papi Clever na mama Dorcas, mubarikiwe kabisa.
I was fasting for my final breakthrough and ended on this collection ya nyimbo za wokovu I cried out while worshiping by believing I'd received what I was praying for🙌all glory and power belongs to Jesus Christ my Lord and savior 🙌🙌🙌💯
Dalvis kyalo Frome kenya ....blessed all the way good praising songs...every Album is ever my favourite...be blessed as you move forward ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
May God bless Rev Ben he has made me listen to your songs they are powerful... working while listening to these songs is amazing team strong 💪 Les gather here🎉
I thank you so much to the best songs this song it in all languages around the world it was sing long time since then this song it for christianity it so powerful no one can bit what God put among us people continue my brother may the good Lord Jesus Christ bless you and the sister from zambia 🇿🇲🇿🇲🇿🇲👍💯
Asante Bwana Yesu kwa Wokovu ambao umetupa kwa bure na ukatu haidi ya kwamba utakuwa nasii paka mwisho wa daari , asante kwa Neema juu ya Neema 🙏🙏🙏🥰🥰🥰🥰💃💃💃💃
ruclips.net/video/dKRp_VaS2D8/видео.htmlsi=FYw48ZJZy9GQOxAJ
NEW SONG - NIMEKUONA
❤
0😊qqqqqqqqqqqqqq
@@lydianjeri45501111❤
❤❤
Naitaji kupata namba zenu za WhatsApp
Wow safi saaanaaa powerful msg
Mbarikiwe kwa kazi nzuri ya mwenyezi mungu ......nabarikiwa pia kwa nyimbo zenyu nikiwa Qatar
Omg hizi nyimbo unitarian sana kwanza hii ameniweka uhuru kweli
Murabantu bumumaro cyane, we love you so much♥
From Kenya tumebalikiwa sana na Nyimbo hizi
Amazing
From Burundi nabalikia sana
Nnimejuwa. Jana. Kijana. Wangu aliabbia kumuuhshi
Mungu azidi kuwabaliki nimeridhika rohoyangu ika turiya tanks fir your good work ❤
Thanks!
Naahukulu sana kuskia hvyo hata mie nabalikiwa San🙏🙏🙏🙏🙏
Mumefanya nitafute hio kitabù cha nyimbo za wòkovu na nimefahuru kweri God bless you
Mbarikiwe sana 🙏 Natiwa Moyo sana ❤❤
Niko TZ Rungwe kwa kweli nabarikiwa sana na uimbaji huu.Yesu awawezeshe watumisi wa Bwana Yesu.Amina
Papy and Dorcas Yesu awabariki Sana 🤝🙏🙏🙏
Napenda sana nyimbo hizi zinanifariji
Oh !Fanyia mungu kazi...ah! Clever...God bless your Group and protect us.😂😂😂😂
Ooooh nice song nimefika kwa Yesu pia nakaribia Kwake niw mfariji wangu sitalia kamwe roho yangu inaimba💃💃
Wimbo mzuri sana
Nashukuru kwa kazi yenu nzuri sana MUNGU awabariki sanaa❤❤❤❤❤🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Xxxçvbnnnnķķp865fgss GG hjgfdrt❤😮😅😊😂🎉😢
BWANA YESU KRISTO ASIFIWE SANA NAOMBA KUTOA USHAURI, KWASABABU NYIMBO HIZI NI ZAWOKOVU TUBADILISHIE PICHA YA FAMILIA YA KIBAADA.
Amina
Hao ni mke na mume nafikiri tuwaache wa enjoy ndoa yao nzuri wakimuabudu Mungu.
Kweli. Maana ya picha hapo nnini ?
Wanamtimikia mungu wakiwa na upendo wa mume na mke.Picha iko sawa,na tunawapenda hivyo.
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Kwani waliokoka hawapaswi kukumbatiana ikiwa ni mke na mume?
Hiyo picha ni nzuri sana na inapaswa wanandoa wawe na upendo nakuonyesha mfano Kama hawa.
Blessings blessings blessings ❤❤❤❤
Muhezagirwe😍😍😍😍
Burundi tuko pamoja papy clever na Dorcas hii famillia imebalikiwa Sana
Nko gulf naskiza izi nyimbo nabarikiwa sana❤❤❤❤❤
Pendo la mungu ❤
❤
My favourite song ..E mungu mwenye Nguvu this song makes me cry 😢from kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪tunawapenda sana
Very nice songs na barikiwa 💞💞💞
Amène Amène mbinguni hatutaona maaduwi zetutena.nzashima Imana ndambuye amaboko noshima Imana mpimbaze umwami Yesu .abarushe imidima kubwurugendo twese nitureme❤ neema haitaisha kamwe😅fulahayetu itabakia ikiwabiote bimetoka❤❤❤❤
Nabarikiwa sx ninasikiza nikiwa saudi Arabia zinaningusa hz nyimbo mbarikiwe sx 😢❤🙏🙏🙌
Mungu wa mbinguni aendelee kuwapigania na kuwainua katika kazi yenu nzuri ya uinjilisti kwa njia ya nyimbo. Nimebarikiwa sana.
Nabarikiwa Sana from Tanzania mungu azidi kuwainua Zaidi na zaidi
Asante pamoja sana.
Wimbo zenye neema kweli... Ni za ku adilisha mtu mienendo na kumkaribia Yesu...mbarikiwe sanaa😊🙏🙏🙏🙏
Aki
🎉 Not only today, but this is the forever albam........
Best Albam, God bless you all...!!!!!!!
I'm from Tz
Jamani niko mwanza na balikiwa Sana tena Sana
Nabarikiwa sana nikiwa Kinshasa Mungu awainuwe couple.
Mbega indirimbo ziryoshe; nigitangaza amajambo na amajwi yanyu, naho umuntu yayarya, ntago nayahaga. 🌈❤🤗💥❤🌈🙏
Muri marayika zi Imana aha muri iyi isi. Imana murema abandindire, abahe kyose mwifuza, kandi mwi ijuru murugo iwe, aho yakoreye umugore numugabo we bakundana neza mukuri gusukuye, namwe murimo mufitemo urugo rwanyu, kuko murakwiriye Imana Ibarimo. Bless you, i LOVE YOU .
❤wimbo NZuri sana
Akika nabarikiwa na sauti zenu mnasifuu Mungu kwa kweli nipo serengeti Harmony camps nabarikiwa uku naendelea na kazi mbarikiwe wapendwa❤
Food to the soul,mbarikiwe sana
Nyimbo izi Zina nipa faraja sana
Nabarikiwa sana na nyimbo hizi nikiwa Kenya
Mutalipwa na Mungu wetu kwa Kazi nzuri sana munayo fanya kupitiya nyimbo
Ndabakundakuizindirimbo
Mubarikiwe sana milele nawapenda sana❤❤❤❤
Je vous aime beaucoup depuis la RDC 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩.
Hallelujah 🙏napata AMANI na utulivu kwa nyimbo hizi, Mungu awabariki sana.🇬🇧🇬🇧🇬🇧🇬🇧🇬🇧
Hallelujah 🙌🙌 ndabakunda cne❤ be blessed 🙏🌟
Mungu amibarihiki.
Hallelujah Hallelujah Hallelujah Hallelujah Hallelujah ayiiiiiiiiii ndafashijwe Imana ibakomereze intambuko zanyu ♥️♥️♥️
Next time your coming to Uganda much love ❤❤❤❤
Nina shukuru kwakupokea iyo nyimbo
Ameen😊
Nime barikiwa Na nyimbo hizi za wokovu!!! Nime kumbuka mwito wangu toka utotoni!🙌🙌🙌😊😊😊🎉🎉🎉👏👏👏👏🙏🙏🙏🇨🇩👌❤❤❤❤❤❤❤
Mungu akubariki n'a ngimbo ya wokovu
Papi na Dorcas, Mungu azidi kukuinueni katika huduma yenu, hakika tunabarikiwa na uimbaji wenu.
Mubarikiwe kwa uinjilisti uliyo tukuka🇹🇿🇹🇿🇹🇿
May God bless you for me❤❤❤❤❤
After listen to your songs i feel like it's time for me to be born again
Plz do. It's now or never
Hurry sweetie.... receive salvation tomorrow might be too late ooh
Yet to all who did receive him, to those who believed in his name, he gave the right to become children of God-
John 1:12 NIV
Amen
What are you waiting for?
Mungu awajalie maisha mema marefu yajae uzima na furaha..mzidi kumtumikia mungu wetu hadi siku ya mwisho....nabarikiwa sana na nyimbo zenu mungu awabariki mpaka mshangae❤
lmana ibampere umugisha couple yanyu
The best songs ever...you guys you're trending on ticktock like never be4😂, glory glory to Jesus!
Imana ibongerere ❤
Eme kwanyimbo nzenu takatifu mumbalikiwe hasante sana
Aksanti kwa Mungu azidi kukubariki
Thank you so much for this wonderful songs, umenikumbusha mengi tangu nilipo mpokea Kristo Yesu kama Bwana na Mwokozi wa maisha yangu hizi nyimbo zilituhimiza na zinaendelea kutuhimiza, ila ushauri wangu ndio huu, kwa title za nyumbo jaribu kuandika jina la Mungu kwa herufi kubwa mfano number 4,9. Ni hilo tu ndugu yangu Mungu ni tofauti na mungu.❤
Asante kaka kwa observation nzuri. Barikiwa sana
Amen, tubarikiwe sote ndugu
Zahlung ❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤😂🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Correction...well taken on, God bless you
Mumbarokiwesa namungu a waNjaziyesa❤
Which is your best here..Me..E Mungu mwenye Haki..of course all are beautiful and glorious
Mungu aendelee kukutia nguvu katika utumishi wako uendelee kutenda kazi kwa nguvu zote kwa ajili ya utukufu wa MUNGU
16 Swahili songs woow👏👏 a proud Kenyan here🇰🇪🇰🇪❤️
This one is from Rwanda
@@charleswesonga7219 True
Nyimbo safi sana.mungu awabariki
14 songs. 2/16 are in Kinyarwanda. But all a blessing!
Hakika Mungu awabariki sana
Nyimbo tamu kabisa ninaposikiza na isi uwepo wa Roho mtakatifu mungu azidi mbarikiwe
Nasikiza nikiwa Congo Brazzaville,ready to go back home Kenya tomorrow
Kuna waswahili brazzaville???
Hizi nyimbo ziko kwa tenzi za rohoni, aki they are soo sweet 🙏🏽
Murantangaza bana bimana ❤ nukuri murumugisha wabenshi mubalikiwe Sana Kwa nyimbo za uwokovu.🎉❤ndabakunda cyaneeee ndabumvira Dk.mubalikiwe sanaaaaa
Napenda yombo zabwana mung awabaliki 🙏🙏🙏🙏🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Mwenyezi Mungu apewe sifa sana, sana na tena sana. Nashukuru sana kwa ajili ya izi nyimbo zinazo upako tele. Ndugu Papi Clever na mama Dorcas, mubarikiwe kabisa.
Ndabakunda Iyo hiyongeye Merci ndanyurwa
Mungu awabariki sana😇😇💥
Barikiwa sana
Mnanigusa sana kwa nyimbo hizi Mungu yehova awabariki
From Kenya na barikiwa especially Roho yangu
E mungu mwenye haki,napenda sana,may GODs grace be more on you.
Haii...the first song is the populer nicefull...happyfull...
I was fasting for my final breakthrough and ended on this collection ya nyimbo za wokovu I cried out while worshiping by believing I'd received what I was praying for🙌all glory and power belongs to Jesus Christ my Lord and savior 🙌🙌🙌💯
I am really blessed indeed
❤
Se bien vraiment j'ai m
Nyimbo nzuri sana. Zinanibariki sana
Nimebarikiwa sana ndugu zangu nchi jirani muwe na nguvu zaidi
Mwebwe ga Yemwe ,murinsiguro igoye kubuzima bwnj,muri ishusho yumuco ,muri ikiyo nirabamwo ejo hanj ukonipfuza ,urugo rusenga mukmpwemu nomukuri ,,,hashimye iyabaremye ikabasiga ubutore nubutoni mumurimo wa Data ,,,amavug makene ng mbavug murumugisha kumahanga
Dalvis kyalo Frome kenya ....blessed all the way good praising songs...every Album is ever my favourite...be blessed as you move forward ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
May God bless Rev Ben he has made me listen to your songs they are powerful... working while listening to these songs is amazing team strong 💪 Les gather here🎉
Asante MUNGU awabariki ❤❤❤
Ninapo sikiza nyimbo zenu nsikia kumtumikia mungu kwakweli mungu azidi kuwainua wapendwa 🙏🙏🙏
Am from Uganda may God bless you brother and sister for the good song
Amina Mungu awabariki
I thank you so much to the best songs this song it in all languages around the world it was sing long time since then this song it for christianity it so powerful no one can bit what God put among us people continue my brother may the good Lord Jesus Christ bless you and the sister from zambia 🇿🇲🇿🇲🇿🇲👍💯
Amina 🙏🙏🙏🙏🙏
Roho yangu inaimba nimefunguliwa kweli ....blessed be the name of the lord
Have seen the video of the first song,the video is so simple and the message is straight to the point🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥kudos and be blessed.
You've a new worshipper here I've joined you guys in praising our lord Jesus
Mubalikiwe Mno.Mungu aendelee kuwapa NGUVU za kumtumikia
Powerful Hymns. Baraka tele. Warmest greetings from HAITI.
Asante Bwana Yesu kwa Wokovu ambao umetupa kwa bure na ukatu haidi ya kwamba utakuwa nasii paka mwisho wa daari , asante kwa Neema juu ya Neema 🙏🙏🙏🥰🥰🥰🥰💃💃💃💃
Depuis la RDC. Que l'Eternel Dieu nous bénisse et qu'il nous pardonne. Merci pour cette compilation des chansons de louange. Mungu apewe sifa🎉