BREAKING: ISRAEL YAPIGWA KWA MAKOMBORA MAKALI YA WAHOUTH, WALIPIZA KISASI KWA ISRAEL

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 25 дек 2024

Комментарии • 12

  • @hemedjackson2261
    @hemedjackson2261 5 дней назад

    Hawa wahouthi imani zao zik juu sana ww hat ukiwauw vipi misimamo yao iko pale pale tu, wanafika mda wowote makao makuu ya miji iliyoibwa na Israel, ewe Allah wabariki hawa jamaa na uwape nguvu ❤❤❤

  • @muhamedmsomally4175
    @muhamedmsomally4175 5 дней назад +1

    Iran huwezi kuingia we mbwa netanyahu ww na Baba yako marekan mnashinda kuingia iran

  • @SelemaniIssah-p2g
    @SelemaniIssah-p2g 5 дней назад

    Hawa ndio wanaume tena hawachagui sehemu ya kupiga

  • @MOSESIMCHUNGUZI
    @MOSESIMCHUNGUZI 5 дней назад +1

    MUDA MCHACHEUJAO WAHUTH WATAJUTA

    • @AsheriChonya
      @AsheriChonya 3 дня назад

      itakuwa sio mara ya kwanza kwaiyo hamna shida Kaa kwa kutulia

  • @issadullah2074
    @issadullah2074 5 дней назад

    Piga mashoga hao wauwaji

  • @Sakina-q2v
    @Sakina-q2v 5 дней назад

    Asilalamike yeye niteule la Mungu apambane.Raiya wake wanashida nyingi leo anatoa ushauri kwa Iran awasaidie raiya wao.

  • @modestwenceslaus9
    @modestwenceslaus9 5 дней назад

    Hata Hezbollah na Hamas waliwahi kutamba kama hawa lakini kibao kilipowageukia kilipelekea anguko la Asaad na mauaji yakutisha ya Raia Lebanon na Wapalestina.

    • @SelemaniIssah-p2g
      @SelemaniIssah-p2g 5 дней назад

      Hizbullah hawakupigwa

    • @mudighurayra
      @mudighurayra 4 дня назад

      Vita ni malengo sio kufa raia lengo la hezbollah limetimia ss nani alifeli, Israel alitaka kurudisha makaazi ya watu wa haifa kiryat atah na kwengineko kwa kutumia nguvu za kijeshi ila hezbollah wakasema kwa nguvu za jeshi haiwezekani na kweli haikuwezekana mbaka wakataka mazungumzo walipo kubal masharti ya wanaume ndio wakapitisha mazungumzo