PUTIN AWA MBOGO, AONYA VITA YA TATU YA DUNIA 'TUTAWALIPUA MAREKANI WAKIENDELEA KUTUCHOKOZA’

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 16 дек 2024

Комментарии • 47

  • @josephmulula440
    @josephmulula440 9 часов назад +2

    Aplication militarily chance application niko tayari kujiunga jeshi la urusi

  • @ramadhaniOsujacki
    @ramadhaniOsujacki 11 часов назад

    Tunakupata vizuri sana ndugu mwananchi kwa kuenndelea kutujuza habari za ulimwengu mungu akubariki sanna

  • @DikiSali-h6k
    @DikiSali-h6k 4 часа назад +2

    Putin wapasue maana waliibia sana waafrica wakamuua kaka gadafi wamemwaga damu ya waalestina

    • @josephcharo1356
      @josephcharo1356 Час назад

      Wakiingia vitani ujue watamwaga hadi damu yako. Lakini litakuwa jambo la heri kwako mana utapata fursa ya kwenda kujamiiana na wale mabikra 72 ulo ahidiwa na Mohamed

  • @YamunguMatamya
    @YamunguMatamya 14 часов назад +2

    Hana uwezo huo na msanii sana

  • @danielndusilo4723
    @danielndusilo4723 14 часов назад +2

    Hawezi

  • @venancerutta6875
    @venancerutta6875 13 часов назад +2

    Putin hana lolote ameisha miaka 2 na yeye hana nguvu kwa sasa

  • @arthurmwabulambo1201
    @arthurmwabulambo1201 13 часов назад +2

    Vita kuu ya tatu ya dunia ukiianzisha wewe utakaa wapi? huo ni wendawazimu.russia kwanza hawakutegemea hii vita kuchukua muda wote huu na hali yao mbaya. Vita haina maana yoyote, ni ushetani na uuaji wa watu bure.

  • @venancerutta6875
    @venancerutta6875 13 часов назад +1

    Yeye atakaa wapi ameisha nguvu zake kwisha

  • @KaluKadheinge
    @KaluKadheinge 17 часов назад +3

    stori za jaba, ukrain miaka mitatu

    • @faridfrefre35
      @faridfrefre35 16 часов назад +1

      Urus anapigana na nchi karibu 30 zenye uwezo na anavhukua maeneo inatutosha

    • @princejoseph-g3y-g2f
      @princejoseph-g3y-g2f 15 часов назад

      Iwapo marekani itafanya full scale invasion kwa Russia Putin atashidwa vita tu. Ukraine ni nchi dogo Sana lakini limeua wanajeshi laki Saba WA urusi kwa hivo jiulize kama ni marekani anapigana moja kwa moja na urusi kungeeda aje

    • @NicholausLwaipa-c3j
      @NicholausLwaipa-c3j 15 часов назад

      ACHA ushabiki​@@faridfrefre35

  • @suratibrahim6417
    @suratibrahim6417 14 часов назад

    Putin 🇷🇺💯✍️

  • @emanuelmaraki9758
    @emanuelmaraki9758 17 часов назад +2

    Siokuonyaa Putin anajua mzikiwake marekani ni kibokoo akili mingii sanaaa ubaya umbwelaaa

  • @NgendandumweAlouise
    @NgendandumweAlouise 13 часов назад +1

    Mpe kazi bashad kutoka syria kuhusu marekani bado sana kaka

  • @josepheriah5977
    @josepheriah5977 Час назад

    Urusi zaif

  • @issadullah2074
    @issadullah2074 16 часов назад +2

    Piga mashoga hao nato wamepotezana
    Hawajui wap waanzie putin baba lao anazidi kuwaburuza marekan magaidi wa ulimweng wanapaswa kutiwa adabu namalinda yapepeee

  • @josepheriah5977
    @josepheriah5977 Час назад

    Putin afe

  • @bonifacekomba7060
    @bonifacekomba7060 13 часов назад +1

    Kamwacha Syria peke yake hana lolote mikwara tuu uoga mwingi Ukraine anamsumbua

  • @EzekielMbise
    @EzekielMbise 14 часов назад

    Fanya kwa vitendo tumechoka maneno president putin

  • @rachigameni101
    @rachigameni101 6 часов назад

    fuatilia Kwa makini ili ujue hiyo Russia kabla ya kufanya uvamizi kamili yaani uvamizi mkubwa wa kutaka kuchukua nchi yote alikuwa tayari ana miji minne aliyoiteka bila upinzani miaka 15 iliyopita, lakini mpaka sasa kafanikiwa kuongeza mji mmoja tu, huku Askari wasiopungua laki nane wamefariki na majeruhi lukuki(Askari waliopata majeraha makubwa kama kuvunjika miguu, mikono, upofu, viziwi ikiongezeka. Je Kwa uvamizi huu mkubwa amefaidika au ameingia Choo cha kike?

  • @ELIFASMADEBHO
    @ELIFASMADEBHO 15 часов назад +1

    Putin hatutaki kelele wapige sasa tushachoka

  • @josepheriah5977
    @josepheriah5977 Час назад

    Ukraine piga uyoo Syria kashindwa

  • @josephcharo1356
    @josephcharo1356 Час назад

    Katambe bhana ili dunia iishe tu kila akatutane na muumba wake

  • @MtotoKanya
    @MtotoKanya 10 часов назад

    Bola.awafute.kwenyelamani.yadunia

  • @rasnchimbi
    @rasnchimbi 18 часов назад +1

    Putini zake ni kuonyaga tu😂

    • @hajiramadhanihaji355
      @hajiramadhanihaji355 17 часов назад +2

      Mtu mwenye busara Sana.

    • @donaldmgunda4970
      @donaldmgunda4970 17 часов назад

      Bwanaa putting maneno yako imekuwa mingii sanaaa,Kila siku unasema mstari mwekunduuu😮

    • @FrediBatoni
      @FrediBatoni 16 часов назад

      Anaijua mazara ya nuclear atuwez tasmani tuna weza lahani nakumchukia poutin sisiwote ndo mana anahonya sana mana yeye ndo mwenye sal bomber bom lamwisho kabisa lanuclear​@@hajiramadhanihaji355

  • @FadhiliAlly-fy2tx
    @FadhiliAlly-fy2tx 17 часов назад

    Kuna siku itakuwa

  • @mariamumechara3398
    @mariamumechara3398 16 часов назад

    Aligusetu aonetu

  • @evaristbamfu7149
    @evaristbamfu7149 14 часов назад

    We Putin chakaza hako ka ukileini mchezo uishe

  • @MtotoKanya
    @MtotoKanya 10 часов назад

    Ifute.malekani.putini.kwenyelamaniyaduni

  • @MtotoKanya
    @MtotoKanya 10 часов назад

    Putini.unafahamu.anapigana.nadunia

  • @rachigameni101
    @rachigameni101 16 часов назад

    West wanahofia tu silaha zake za nyukilia lakini si uwezo wa kijeahi alionao kwani mpaka sasa yukoi

    • @faridfrefre35
      @faridfrefre35 16 часов назад

      Huna akili wewe unajua putin hapigani vita ni oparation maalimu
      Anapigana na nchi nyingi
      Ana vikwazo vingi
      Lazima atumie akili kupigana vita sababu vita ni pesa
      Lakin anachukua maeneo
      Na hataki kutumia nguvu nyingi atauwa raia wengi anazo silaha akapiga dakika tu kuigeuza keive majivu

    • @Baharia92
      @Baharia92 15 часов назад

      Yuko hoi na wakati hv kalibun kachukua mji mwingine unasema yupo hoi huku akiendelea kuwashinda nato

    • @Picassomp-if2km
      @Picassomp-if2km 11 часов назад

      Unachoongea hata ww hukijui yani unaweweseka

    • @rachigameni101
      @rachigameni101 7 часов назад

      Kwanza unapaswa kujua kwamba hakuna wanajeshi wa NATO wanapigana vita Ukraine, ni Ukraine pekee na jeshi lake jasiri lililopewa mafunzo mbali mbali ya kivita na kuwezeshwa misaada ya silaha kutoka magharibi ndio kikwazo kwa Urusi kushindwa kuitwaa Ukraine, "amakweli Ukraine ikiwezeshwa inaweza"

    • @rachigameni101
      @rachigameni101 6 часов назад

      fuatilia Kwa makini ili ujue hiyo Russia kabla ya kufanya uvamizi kamili yaani uvamizi mkubwa wa kutaka kuchukua nchi yote alikuwa tayari ana miji minne aliyoiteka bila upinzani miaka 15 iliyopita, lakini mpaka sasa kafanikiwa kuongeza mji mmoja tu, huku Askari wasiopungua laki nane wamefariki na majeruhi lukuki(Askari waliopata majeraha makubwa kama kuvunjika miguu, mikono, upofu, viziwi ikiongezeka. Je Kwa uvamizi huu mkubwa amefaidika au ameingia Choo cha kike?