Leo

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 6 янв 2025
  • Leo #MariaSpaces tunajadili: Rushwa, Uchawa, uongozi wa kiimla - Vyama vya siasa vinaponaje?
    Tumeona kuwa maradhi haya yameibuka kila chama ikiongozwa na CCM kwa njia moja ama nyingine na hata kupelekea vyama kufifia baada ya mpasuko!
    Wanaponaje na maradhi haya?

Комментарии • 2

  • @rasnchimbi
    @rasnchimbi 18 дней назад +4

    👇🏿
    #KATIBAMPYANISASA! #TUSIKUBALITENAKUSHIRIKICHAGUZIBILAKATIBAMPYA !Hiyo ni kushiriki Dhambi!✍️🏿

  • @ritchiemuta1092
    @ritchiemuta1092 17 дней назад +1

    Nilijua toka zamani mbowe sio mtu wakutegemea inapokuja maslahi binafsi na hasa pale alipomleta lowassa !!!!