Naona kweli mungu wangu kwenye jalibu hili siwezi mungu wangu, naona kweli mungu wangu kwenye vita yangu nimeshindwa bila wewe, nimejaribu kupambanaa eeh mungu wangu nimeshindwa bila wewe, nimetumia akili zangu eeh mungu wangu nimeshindwa bila wewe, jaribu la ndao yangu, limekuwa zito siwezi bila wewe, jaribu la biashara yangu wee limekuwa zito nimeshindwa bila wewe, ķila nikishinda hili mungu nainuka chini unishike mkono wangu wee, nikimaliza kupanda mlima huu wainuka mwingine unishike mkono wangu wee, nimezidiwa nguvu mungu wee!, nisaidie. nimeishiwa nguvu mungu za kuomba, Nitie nguvu, ninazimia rohoni wee mungu, nisaidie,....= Nitie nguuvu mungu wee... nazimiiia roho yangu wee×6 Oooohh nishike mkono mungu, Ooh nishinde vita hivi ×4 Ooh baba....kuna muda mwingine ya kusama mbeele za watu, sina hata dhamani mbele za watu sina mavazi,mmh nimebadishwa jina , naitwa shida mbele za watu, baba ninaona vita mbele kila ninacho fanya haakizai matunda , baba vita yangu vimekuwa kubwa vimenizidia nitie nguvu mungu, mmh nimetumia akili zangu kujitoa hapa nimeshindwa pekee yangu, mmh vita imenizidia eeh mungu wangu njoo nisaidie , vita imenizidia eeh mungu wangu siwezi pekee yangu uuu, nguvu zimeniishia eeh mungu wangu sitashinda pekee yangu ooh, nimezidiwa nguvu wee mungu, nisaidie, ninaishiwa nguvu za kuomba nitie nguvu, ninazimia rohoni wee mungu, nisaidie......= Nitie nguvu mungu wee, nazimia roho yangu wee ×4 Oooh nishike mkono mungu, Oooh nishinde vita hivi. 😂😂😂 Amen,, Kama umebarikiwa weka like na unifatilie@
Mungu ndie nguvu yetu na msaidizi wa kila kitu. Bila Yesu hakuna lolote linalowezekana. Mungu atutie nguvu tuweze yote kwa uweza wake. Ubarikiwe mtumishi kazi njema
Haya nimaombi yangu kwa Jehovah Mungu wetu kwa ajili ya wale wote wampendao Jehovah Mungu Baba yetu. Kristo Yesu tutiye nguvu nyakati zinakuwa ngumu😭😭🙏 big up Pascal cassian wetu. Tusisahau ku like na ku share na wengine unaeneza injili bila kujuwa please tu share na ku like kwa utukufu wa Mungu Baba yetu.
Bila ww mungu mm siwezi nisaidie nishike mkono uniongoze hatuwa zngu ❤ barikiwa sana mtumishi wa mungu kwa wimbo mzuri❤❤❤ 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 tunakupata loud and clear.
Please can you always translate you songs in English for your none Swahili fangs? I love your music too much and I only enjoy the rhythm and not getting the message that you are transmitting. Please also preach to us through this music by writing the meaning or the message on the screen so we can follow as we watch your music. Thank you for such good sounds of praise.
Usijali ndugu yangu yatapita maana niliyo yapitia mwaka 2021,hadi 2023haikuwa rahisi kwangu nilijuwa huu ndio mwisho wangu, kumbe yuko Jehovah Mungu ambaye hakawii wala hachelewi hayo nayo yatapita amini tu, hakuna marefu yasio kuwa må mwisho.
Ameen mtumish wa mungu Linda Sanaa kusud la mungu lillo ndan mwako ,,,, paschal endlee kuisema kwel . Me naitwa pascal mwabila kutoka shnyinga nafatlia sana nymbo zako naahubr yako
🥺🥺🥺 MUNGU wangu Shangaza adui zangu naomba unitie nguvu ehee!! MUNGU wangu nisiitwe shida Tena babaangu 🙏🙏🙏 Ni mziki mzuri sana ambao unauponyaji ndani yake Kaka pokea baraka Toka Kwa mungu wetu ubarikiwe sana kakaangu
Nakuombea ulinzi wa kimungu kwako mtumishi wa MUNGU maan hapo malaika walioko zamu na wale wasikuwa zamu wakulinde na roho mtakatifu kiongoz na msaidiz awe nawewe daima maan wapo wanaokuchuki ila naamn baba wa yote anakupenda namm pia nakupenda
Kwakweli nyimbo zako zainua imani yangu,, god bless 🙏🙏🙏
mtumishi wa mungu simama tu na mungu hivo usirudi nyuma Wimbo za huwa zinani nipa nguvu may God bless you
Naona kweli mungu wangu kwenye jalibu hili siwezi mungu wangu, naona kweli mungu wangu kwenye vita yangu nimeshindwa bila wewe, nimejaribu kupambanaa eeh mungu wangu nimeshindwa bila wewe, nimetumia akili zangu eeh mungu wangu nimeshindwa bila wewe, jaribu la ndao yangu, limekuwa zito siwezi bila wewe, jaribu la biashara yangu wee limekuwa zito nimeshindwa bila wewe, ķila nikishinda hili mungu nainuka chini unishike mkono wangu wee, nikimaliza kupanda mlima huu wainuka mwingine unishike mkono wangu wee, nimezidiwa nguvu mungu wee!, nisaidie. nimeishiwa nguvu mungu za kuomba, Nitie nguvu, ninazimia rohoni wee mungu, nisaidie,....= Nitie nguuvu mungu wee... nazimiiia roho yangu wee×6 Oooohh nishike mkono mungu, Ooh nishinde vita hivi ×4 Ooh baba....kuna muda mwingine ya kusama mbeele za watu, sina hata dhamani mbele za watu sina mavazi,mmh nimebadishwa jina , naitwa shida mbele za watu, baba ninaona vita mbele kila ninacho fanya haakizai matunda , baba vita yangu vimekuwa kubwa vimenizidia nitie nguvu mungu, mmh nimetumia akili zangu kujitoa hapa nimeshindwa pekee yangu, mmh vita imenizidia eeh mungu wangu njoo nisaidie , vita imenizidia eeh mungu wangu siwezi pekee yangu uuu, nguvu zimeniishia eeh mungu wangu sitashinda pekee yangu ooh, nimezidiwa nguvu wee mungu, nisaidie, ninaishiwa nguvu za kuomba nitie nguvu, ninazimia rohoni wee mungu, nisaidie......= Nitie nguvu mungu wee, nazimia roho yangu wee ×4 Oooh nishike mkono mungu, Oooh nishinde vita hivi. 😂😂😂 Amen,, Kama umebarikiwa weka like na unifatilie@
Mungu ndie nguvu yetu na msaidizi wa kila kitu. Bila Yesu hakuna lolote linalowezekana.
Mungu atutie nguvu tuweze yote kwa uweza wake.
Ubarikiwe mtumishi kazi njema
Haya nimaombi yangu kwa Jehovah Mungu wetu kwa ajili ya wale wote wampendao Jehovah Mungu Baba yetu. Kristo Yesu tutiye nguvu nyakati zinakuwa ngumu😭😭🙏 big up Pascal cassian wetu.
Tusisahau ku like na ku share na wengine unaeneza injili bila kujuwa please tu share na ku like kwa utukufu wa Mungu Baba yetu.
Yehovah munguwakweli anayekujuwasana ndaninainje na asikiekiliochako .na akupe yaleunayohitaji yamsigi ili uzidikuwa nanguvu yaku pazasauti kuwa ambia watu. Asante
Nisaidie Mungu wangu
Amen. Atusaidiye kweli.
Niliisubili sana hii nyimbo hatimae leo ❤❤❤🎉
Hata nami moyo wangu umetulia sasa.
Bila ww mungu mm siwezi nisaidie nishike mkono uniongoze hatuwa zngu ❤ barikiwa sana mtumishi wa mungu kwa wimbo mzuri❤❤❤ 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 tunakupata loud and clear.
Please can you always translate you songs in English for your none Swahili fangs?
I love your music too much and I only enjoy the rhythm and not getting the message that you are transmitting. Please also preach to us through this music by writing the meaning or the message on the screen so we can follow as we watch your music.
Thank you for such good sounds of praise.
Hakika nabarikiwa Sana na nyimbo zako, MUNGU akupe Maisha marefu
So powerful wimbo muzuli sana Mungu nipe mwoyo mwenye ngufu na sbila❤❤❤🎉🎉🎉🎉 from 🇺🇸🇺🇲🇺🇸🇺🇲🇺🇸
Moja kati ya watumishi wa mungu wanaonipa furaha kusikiliza nyimbo za mungu barikiwa sana
Aki kweli nyimbo zako zinainua imani yangu bila mungu hatuwezi be blessed man of God.Mungu akwenue kabisaaaa
Haleluyaah!!
Ubarikiwe sana mtumishi kwa wimbo wa kutia na kufariji moyo
Nimekukubali mtumishi nyimbo imeturia sana iyo
Barikiwa sana Mtumishi wa MUNGU nyimbo zako zaniimalisha kiimani
Uwa nazikubali sana kazi zako sana aisee kenya ipo nyuma yako 🇰🇪🇰🇪
amen amen nitie nguvu nami Mungu wangu univushe kwenye hili pito gumu ninalo pitia🙏
Usijali ndugu yangu yatapita maana niliyo yapitia mwaka 2021,hadi 2023haikuwa rahisi kwangu nilijuwa huu ndio mwisho wangu, kumbe yuko Jehovah Mungu ambaye hakawii wala hachelewi hayo nayo yatapita amini tu, hakuna marefu yasio kuwa må mwisho.
Mungu akubariki sana baba maan nyimbo zako Zinanibariki sana
Amina!!!!
Nimezidiwa. Nitie nguvu Mungu.
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu PASCHAL CASSIAN.
Muñgu akubariki mtumishi wa Mungu, ni wimbo mzuri wa kutufañya tusongembele ktk nyakati ngumu tukiwa na Kristo. Umenibariki
Wow barikiwa man of God wimbo huu imenifariji sana🎉🎉
Barikiwa Sana mtumishi Wa Mungu MUNGU akutie nguvu
Nakupenda tu my brother ❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉 Mungu akuongoze
Mungu akusaidie sana usirudi nyuma unahubirii kupitia wimbo God bless u
Hii nzuri sana nimeipenda imetulia sana ❤❤❤ like naombeni jamani
Much blessings.
Powerful song.
MUNGU WANGU BABA YANGU nitie NGUVU Kwenye jaribu hili siwezi MUNGU WANGU 😭😭😭
Oh yes napita kweli menitia moyo song in season I'm passing thr lord help me amen
Amen mungu akubaliki sana mtumish nyimbo zako zinanibaliki sana❤
Powerful song be blessed bro amen 🙏🙏
Ameen mtumish wa mungu Linda Sanaa kusud la mungu lillo ndan mwako ,,,, paschal endlee kuisema kwel . Me naitwa pascal mwabila kutoka shnyinga nafatlia sana nymbo zako naahubr yako
Furaha Bwana ni nguvu ya watu wake. Barikiwa sana mtumishi PC
Powerful song 🙏🙏
🥺🥺🥺 MUNGU wangu
Shangaza adui zangu naomba unitie nguvu ehee!!
MUNGU wangu nisiitwe shida Tena babaangu 🙏🙏🙏
Ni mziki mzuri sana ambao unauponyaji ndani yake
Kaka pokea baraka Toka Kwa mungu wetu ubarikiwe sana kakaangu
Aaahaaa huu wimbo unanibariki sanaaa Asante mtumishi
Blessed 🙏 song man of God and God bless you 🙏
Mtumishi wa Mungu ubarikiwe Naomba damu ya yesu izidi kukufunika ❤❤🎉🎉🙏🏾🙏🏾
Amina.. 🙏🙏🙏Nimeshindwa bila wewe Mungu wangu nami nionekanie lepo hii n huonekanie watu wako
Amina Baba angu nisaidie
Mungu akubarik sana mtumishi watupa sana faraja
Huyu mtumishi kwangu ninamba moja♥️♥️♥️
Ubarikiwe Sana mtumishi
HAKIKA NGUVU YETU NI MUNGU TU.. UBARIKIWE SANA MTU WA MUNGU. AMEN.
Ubarikiwe sana mtumishi , huduma yako izidi kusonga mbele Kwa viwango vya juu zaidi
Ameen mungu akutie nguvu katika huduma uliyo nayo
Siwezi peke yangu Mungu
This my situation God nitie nguvu , l sung this song and started crying 😢 😢😢 oooh God bless us all
Umenibariki Sana ubarikiwe mtumishi was mungu
Mungu atakuonekania jipe moyo
Kazi nzuli sana hujawahi kosea umenibaliki wimbo huu
Ubarikiwe mtumishi🎉
Nakuombea ulinzi wa kimungu kwako mtumishi wa MUNGU maan hapo malaika walioko zamu na wale wasikuwa zamu wakulinde na roho mtakatifu kiongoz na msaidiz awe nawewe daima maan wapo wanaokuchuki ila naamn baba wa yote anakupenda namm pia nakupenda
Amen pia ubarikiwe 🙏🙏🙏🙏
Wimbo mzuri
Best song ila kiapo cha damu hatuioni jmn
Njo maana napenda kukufatiliya sana kk ❤
Amazing job God bless you man of God🎉🎉
Unajuaka imba vizuri mtumishi, uko toooop
Mungu so kiziwi Anasikia Mungu akusaidie
Kazi nzuri sana
Amen ubarikiwe mtumish
Amen Amen Amen
Amen amen ubarikiwe mtumishi
Eee Mungu nisaidie 🙏
Barikiwa sana, Mungu atupe kuishida vita hii
AMEN MUNGU nitie nguvu MUNGU nishinde vita hii.
Mungu akutiye nguvu mtumishi!
Mwimbaji na mpiga vyombo wamekutana❤🎉🎉🎉
🙏 🙏
Very powerful and full of anointing ❤
swezi Jehovah bila wewe
Ameni Mtumishi wa Mungu
Ameni papaaa casian BARIKIWA
Ubalikiwe mtumishi wa Mungu
Mungu atakushindia
God above all barikiwa from knya
Amina mungu akubariki mtumishi wa Mungu
Eee MUNGU majaribu ni mengi ninayo pitia naomba nitie nguvu hakika huu wimbo umenigusa naomba iokoe familia yangu
Barikiwa sana mtumishi wa mungu
❤❤❤❤❤ kweli naitaji msada wa MUNGU WANGU
Good song
Asante kwa wimbo mziri sana
Kweli wewe nimpakwa mafuta wa mungu bro
kali tamu kama MUNGU
Ubarikiwe sana kwa jina lake yesu 🇲🇿🇲🇿
Vmungu ndie anayetupingania Kwa kila hali tumtumainie yeye ttuu tutashinda
Amen, Nitie nguvu Mungu wangu.
Ubarikiwe sana
Very nice
Amin , il mtumishi umenenp san
Ubarikiwe mtumishi wa mungu
Ee Mungu wangu siwezi bila wewe..
God bless you man of God
Amina mtumishi
Kazi yako ni njema mtumishi wa BWANA bado tuna subiri kiapo cha damu na na makanisa ya kuzimu
Uimbaji ndio witowako sio uinjilist
Hapana, yote katika kristo yesu yanawezekana,ako safi kotekote.
Aliitwa akaitika ...maan anamwamini yy anaye mtia nguvu
Tunapozidiwa na kuishiwa nguvu MUNGU wa mbinguni ukimwomba anatutia nguvu ili tushinde vita iliyo mbele yetu barikiwa mtumishi
Naamini mtumishi wamungu
Oh yesu !!!🤦♂🤦♂🤦♂
Good job