Wimbo unanikumbusha msiba wa dada yangu kipendi ester erneo mlula mungu ampe pumziko la milele kipenzi changu mdogo wako mlekwa erneo mlula nakukumbuka sana sana natamani ungekuwepo dada yangu Sina rafiki wa kweli zaidi yako
Pamoja na kukushuhudia pale CCM kirumba umelala moyo wangu bado unaamini kuwa umelala usingiz utakapoisha kuna kitu nitakwambia shujaaa jpm rest at time of power
Daaah huu wimbo unanikumbusha siku ambayo tulikua tunamsindikiza mwanachuo mwenzetu katika nyumba ya milele daaah nikiusikiliza tu namkumbuka Sana laha ya milele umpe ee bwana na mwanga was milele umuangazie
😃😃😃👏👏 Asante Sana Ndugu ni Kweli zinaponya na Kuna Baadhi ya watu wamekuwa wakinishirikisha katika Hilo la Uponyaji. Tumshukuru Mungu anayetuwezesha katika hili
Huu wimbo huwa nikiusikiliza huwa machozi yananitoka sana namkumbuka baba yangu pamoja na dada yangu mwenyezi MUNGU azilaze roho zao mahali pema pepono. Amina
Dah nakumbuka siku tunamsindika baba yangu katika nyumba yake ya milele 2017 (raha ya milele umpe ee bwana na mwanga wa milele umwangazie apumzike kwa amani)
Wimbo mzr Sana.huu wimbo unakuaga mpya kila siku. Hasa ktk msiba unaona km unaitwa kwa Mungu na unaanza kusikia huruma ya Mungu na lazima utajisikia kutubu hata km huna dini
Nakupenda San huu wimbo ni mzm kweli kwa kuinjilisha kumludia bwan wetu ASA wakati kam huu tunapojitakasa ili tuweze kufufuka na bwana wetu yesu Kristo
Ahsanteni Sana Kwa kutukumbusha ujumbe wenye mashiko Pia namkumbuka rafiki yangu siku ya maziko yake Mr Joseph maganiko lupelanya mayai katika makaburi ya mahina alliance tarehe 28/06/2018 siku ya alhamis Mungu ampe pumziko zuri,
Maria Coster I think you should say "you're proud to be servant of God" these things ooooh am Catholic, Lutheran, Adventist,Muslim or anything else can not take us anywhere , we all belongs to God.
Helda Oman asanten sana waimbaji kwa ujumbe mzuri na wenye iman tosha moyon mwangu na Mungu wa mbinguni awabariki na atujalie kwaresma njema yenye kujitoa na yenye kutubadilisha maisha yetu na yenye kutuweka pamoja na Mungu Baba wa mbinguni kwani yeye ni mwema amen
Wimbo huu una tafakari nzito sana niusikilizapo machoz hunitoka..... Eeee Mungu wetu mwema tusamehe dhambi zetu na uzid kutukinga na mabaya ya dunia hii tuzid kukutegemea wewe

Sorry, may God comfort your
Pamoja na kukushuhudia pale CCM kirumba umelala moyo wangu bado unaamini kuwa umelala usingiz utakapoisha kuna kitu nitakwambia shujaaa jpm rest at time of power
Kwakweli mwenyezi akuzidishie kipaji kwa kutunga nyimbo ambayo itadumu sana kwa maombolezo
Kila nikiusikiliza huwa nalia .eeh bwana mungu kaa karibu yangu
❤wimbo unatukumbusha humrudia Mungu naupenda sana pia. Mungu awabariki sana watunzi na waimbaji kwa kazihii ya kumtukuza Mungu❤❤❤
Mavumbini tulitoka mavumbini tutarudi eeeh mwenyewezi mungu tujalie mwisho mwema😢😢😢😢😢
Bwana Yesu Kristo nakurudia Wewe kwa moyo wangu wote umeninunua kwa thamani nisiwe mtumwa wa mwanadamu. Amina. 1WAKORINTHO 7:23.
😢😢😢😢😢 hii nyimbo ipoo deep Sana Catholic n dini nzuri sana
Nani yupo hapa anaangalia nyimbo hii sabb ya kuondokewa na kiongozi wetu mpendwa Jpm
Mm jmn😭😭
@@rosemarymsafiri2340 asante sana dar Rose tuko pamoja
Huu wimbo unanikumbusha msiba wa raisi wetu
Tumwombee Rais wetu Upumzike kwa Amani
Huu wimbo umekuwa faraja kubwa kwetu kwa kipindi hki kigumu tulichonacho,Ee Mungu mpokee kwa mikono🤝🤝
In God we surrender everything he is a king he love us with all our sins in God we trust❤❤😢
Tumurudiliye Mungu, mwana mpotevu alimurudiliya babake thank you 🙏🙏🙏
proud to be acatholic,thank you Abba father,nirudieni mimi,especially now that it is lent.
Po p0ppvv. C
Me too
Mmmkoop
Mmmmkkkkl
Jkoooo
Nàbarikiwa sana na huu wimbo wa kwareshma. Mimi si mkatoliki lakini nabarikiwa na huu wimbo ❤
Sichoki kusikiliza huu wimbo
My favorite song during this period❤
Hongeleni sana nyimbo nzuri MUNGU awape nguvu zaidi na ujuzi wakutunga nyimbo nzuri
Lent 2024
Mungu Awabariki sana wanakwaya kwa ujumbe mzuri Nanyi Sasa Mumrudie MUNGU kwa vitendo tuache dhambi
Hii ni nyimbo ya kukumbukwa siku zote za maisha yetu apa Duniani
Ndim bwan mungu wen musiabud miung mingne haijalish wat wanasem nn kuhus dn ya roma
Huu wimbo unanigusa sana Bwana Yesu nikumbushe kuku rudia
2024 watchers 🎉
this is beautiful..m not catholic but this song is so deep. Lord help us to repent by rendering our hearts..+255
Daaah huu wimbo unanikumbusha siku ambayo tulikua tunamsindikiza mwanachuo mwenzetu katika nyumba ya milele daaah nikiusikiliza tu namkumbuka Sana laha ya milele umpe ee bwana na mwanga was milele umuangazie
Apumzike kwa Amani
Yan jpm jmn naumia had leo2024
Proud to be Christian!!
Mungu ibaliki tanzania yetu nimeijua hi nyimbo kupitia kifo cha lais wetu
kumbe tuko weng nkajua mim tu
Kipindi cha kwaresma 😭😭
Aloyce kama Aloyce,,,,, huu nao utaishi kakaa, nyimbo kama hizi zafaa kuuzwa mpaka kwenye maduka za madawa, kwa kuwa zinaponya mno.
😃😃😃👏👏 Asante Sana Ndugu ni Kweli zinaponya na Kuna Baadhi ya watu wamekuwa wakinishirikisha katika Hilo la Uponyaji. Tumshukuru Mungu anayetuwezesha katika hili
Huu wimbo huwa nikiusikiliza huwa machozi yananitoka sana namkumbuka baba yangu pamoja na dada yangu mwenyezi MUNGU azilaze roho zao mahali pema pepono. Amina
Amina
Nikiwa nasikiliza huu Wimbo namkumbuka bibi yangu Marehemu naupenda sana huu Wimbo
hongereni sana kwa wimbo huu mzuri kazanene kuinjilisha shetani asije akawatenganisha.
niludien mm kwa mioyo yenu yote MUNGU atubaliki wote kipindi hiki cha majuto ya dhambi zetu tusisahau kujuta na kutubu dhambi zetu
Danrps
Nyimbo nzuri sana3
Huu wimbo unanikumbusha mazishi ya mzee wangu. Mungu awabariki sana changombe choir
Mimi unanikumbusha mazishi ya marehemu kaka yangu dah aisee sahiyo hamna nguvu hata mukipewa chakula hamuwezi KULA dah😭😭
Dah nakumbuka siku tunamsindika baba yangu katika nyumba yake ya milele 2017 (raha ya milele umpe ee bwana na mwanga wa milele umwangazie apumzike kwa amani)
Amina Kuzidi kuwakumbuka Ndugu zetu Marehemu katika Sala
Wimbo mzr Sana.huu wimbo unakuaga mpya kila siku. Hasa ktk msiba unaona km unaitwa kwa Mungu na unaanza kusikia huruma ya Mungu na lazima utajisikia kutubu hata km huna dini
Proud to be a Catholic!! My best song ever..
Nakupenda San huu wimbo ni mzm kweli kwa kuinjilisha kumludia bwan wetu ASA wakati kam huu tunapojitakasa ili tuweze kufufuka na bwana wetu yesu Kristo
Amina
Wimbo mzuri sana wa kwaresma. Mungu nikomboe na maovu. Nakurudia Mungu wangu wakati huu wa kujidia mwenyewe.
Mimi sio catholique lakini iyi nyimbo nayipenda sana MUNGU awabaliki
Bwana nawomba unishike mukono,usiniakye
Kwakwel huuu wimbo naupenda huwanajiona mdogo sana nikiusikiliza napiga nakuona kuwa sina hak katika ufalme wa Mungu Ee Mungu nisaidie
I am very proud to be Christian.
Amen good choir
Asanteni kwa wimbo mzur wa kwaresma mungu azidi kuwabariki amina
Kwa mara ya kwanza kuusikiliza huu wimbo ni kwenye msiba wa wifi yng 2016 hakika niliipenda mbarikiwe watumishi wa Mungu
🙏
Yan jmn naamka nao asubuh huu wimbo,,,japokua muislam ila unafika moyoni
Wimbo huu kwa mtu wa rohoni unamfaa sana wa mwilini hauelewi hata kidogo labda aamue kubadilika na Mungu atambadilisha.
Ahsanteni Sana Kwa kutukumbusha ujumbe wenye mashiko Pia namkumbuka rafiki yangu siku ya maziko yake Mr Joseph maganiko lupelanya mayai katika makaburi ya mahina alliance tarehe 28/06/2018 siku ya alhamis Mungu ampe pumziko zuri,
Ni mwanzo Sasa kumrudia Mungu ili kuondokana na matatizo yote hata hasa katika kipindi hichi Cha janga hili la korona.
Yaan namkubuka babu yangu mimi jamani😭😭😭 endelea kupumzika kwa amani babu
Usipime mzee sauti ya dhahabu iliyo jaa ufundi
This is my best song ever.
Oooh LORD help us to do your will!
Amen
I really love this song. I cant stop listening to it even a day
Tukumbuke kutubu dhambi zetu hasa kipindi cha kwarezima tumrudie mungu ili tusamehewe dhambi zetu
2024🙏🏿
Can't get enough of this song it's so touching.
Mungu awabariki sana watu wa MUNGU kwa wimbo mzuri kwa kipindi kigumu kwa kuondokewa na rais wetu
Hii nyimbo ikipigwa msiban au wakat wa mazishi kutokwa na machoz n rahis sana hata kama n mgumu vp😭
Huu wimbo umetufariji sana tulio wengi kwenye msiba wa Rais JPM
Wimbo huu nikiusikiliza unanipa shuhuda kubwa kwanini nisimrudie Mungu wng maisha haya ni ubatili mtupu tumrudie Mungu
Huuu wimbo unanikumbusha mbali san nakumbuka wapendwa wang,mungu awahifadhi mahali pema amen
Tuzidi kuwaombea
@@AloyceKipangula Amen Amen
Mungu abariki maisha yenu, kazi nzuri na ibadilishe watu wamrudie mungu
Huu wimbo upo vizuri sana naukubali
J'aime beaucoup cette chanson, merci beaucoup mes chers parents, frères et sœurs.que Dieu vous Bénisse
Am so proud to be a catholic love da song
Maria Coster I think you should say "you're proud to be servant of God" these things ooooh am Catholic, Lutheran, Adventist,Muslim or anything else can not take us anywhere , we all belongs to God.
Nyimbo inafanya nijisikie amani moyoni mwangu nakuweza kuitafali
@@petromwinyi4955 exactly
mungu aendelee kutujalia afya njema wakatoliki tuendelee kuimba vizuri nyimbo zetu
Huu wimbo umekuwa faraja katika roho yangu, hasa wakati wa msiba wa kaka yangu waimbaji mungu awabariki
Asante Tubakiwe sote
Niko hapa baada ya kifo cha JPM.
😭😭😭😭😭🙏🙏🙏🙏
4:43 @@fraviansweetberty8819
I'm proud to be a christian!!
The song is a true reflection of God's love towards our sinful life. He is ready to accepts us as we are as long as we go back to him in truth
🙏
Mbalikiwe sana kwa utuzi mzuli na wenye mafundisho yalio tukuka
🙏
Haijalish una dhambi za aina gani Mungu wetu Leo anatuasa tumrudie yy kwa moyo wetu wote tuache makando kando.my best song
Bwana tujaaliwe kuukiri udhaifu wetu na kunyenyekea kwako daima.
🙏🙏🙏
🙏
Asanteni kwa wimbo unaoisadifu kwaresma.Mungu awape udumifu ktk utume huu.Nawapenda
God bless you all
Wimbo mzuri sana unanifanya nimrudie Mungu wangu muda wote mbarikiwe sana mtungaji na waimbaji wote
Huu wimbo ni wa kwaresma, na pia huwa unaimbwa wakati wa kumua/kutoa heshima za mwisho kwa marehemu
Vraiment c'est une très belle chanson. Que Dieu vous Bénisse
🙏
Hakika nikisikia huu wimbo machozi yananitoka
Lakini hata sasa asema Bwana niludieni mm kwamiyoyo yenu yote Mungu awabarik sana .Atujalie kipindi hiki cha kwaresm
Helda Oman asanten sana waimbaji kwa ujumbe mzuri na wenye iman tosha moyon mwangu na Mungu wa mbinguni awabariki na atujalie kwaresma njema yenye kujitoa na yenye kutubadilisha maisha yetu na yenye kutuweka pamoja na Mungu Baba wa mbinguni kwani yeye ni mwema amen
Ninakuja mbele yako mimi na familia yangu utulinde usiku huu
🙏
Mungu niwezeshe kufanya kulingana na unavyotaka ili niwe nikikutumikia wewe pekee,Nyimbo nzuri chang'ombe barikiweni xana!
Nirudieni Mimi kwa mioyo yenu yote. Mubarikiwe ndugu zangu mlio wanyenyekevu wa Kristo.
Nakurudia wewe Bwana wa majeshi...unipokee eeh Kristo
Mmeniliza mbarikiwe
Amina..tumregelee Mwenyezi Mungu kwa miyoyo yetu yote..barikiweni sana watumishi wa Mungu mme nifariji sana kwa huu wimbo
Yoeli 2:12-13
Naupenda sana huu wimbo Mungu awabariki Sana
Pindi niusikiapo wimbo huu adi mwili wangu unasisimka hongeleni sana
Stuwart Mwarugala thanks Lord
Jaman nawa pendeni nyote na mungu awa bariki sana
Mpingen yule muovu atawakimbia ,,,nkarbien name ntawakarbia nirudien Mimi kwa mioyo yenu yote
Inatoka kitabu gani huu mstari?
nmeamuwa kumrudia mwenyezi mungu kwa moyo wangu wote
Asante wanakwaya wetu kwa nyimbo nzuri sana.
The choir has given me a reason to visit Tanzania...i will be glad to come participate in a mass that Changombe sings...inspirational
hello
Mungu awabariki
Your welcome
nymbo zetu catholic nzuri jamaani
manfred koko kwa kweli
@@kasembechilangwe6223 Asante Sana mbarikiwe
Sanaaaaà
Wimbo huu una tafakari nzito sana niusikilizapo machoz hunitoka..... Eeee Mungu wetu mwema tusamehe dhambi zetu na uzid kutukinga na mabaya ya dunia hii tuzid kukutegemea wewe
Mungu awabariki kwa wimbo mnzuri maana nijambo jema sana kumrudia muumba wetu
Asante Sana Valerian kwa Ujumbe
Mungu azid kuwabariki waimbaji wa kwaya katoliki
How I wish huu wimbo uskizwe the whole world,due to janga la ugonjwa wa corona.
yaaani
tupendane wakatoriki.... nyimbo zetu ni tamu kama yesu
Kwahiyo mkipendana nyie inatosha!?
penda xana huu wimbo