Nimekosa Nihurumie Chang'ombe Catholic Singers Dsm-Mtunzi/ Mratibu-Aloyce Goden Nyimbo za Kwaresma

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 1 янв 2025

Комментарии • 852

  • @nkafukingsley1627
    @nkafukingsley1627 3 года назад +6

    Natoka Kamerun. Nimefurahia muziki huu. kukusanyika hapa ikiwa bado uko hai katika # 2021

  • @msonobarizakaria100
    @msonobarizakaria100 5 лет назад +8

    Nimeyafanya yasio faa nikasababisha jina lako lilatumanwa bure nihurumie mungu wangu

  • @moseskapyuku114
    @moseskapyuku114 4 года назад +39

    Mbarikiwe wote mnaousikiliza na kutizama huu wimbo pamoja nami hakika Mungu wetu atatusamehe tutubuni makosa yetu kwa muumba wetu.Amen

    • @rehemamohammed4215
      @rehemamohammed4215 3 года назад +2

      Nimekosa nihurumie baba

    • @brysonuronu5862
      @brysonuronu5862 3 года назад +1

      Amen

    • @PlasidoMaulaga
      @PlasidoMaulaga 10 месяцев назад

      ​Nvxvnb NC ñ NC v CgsxXñ v been ññgññx bXxggggcxxxdgggggvgggggggvggggg g CNN NC vñvvnvvxgggnzzznzzn NC cdm5v NC ggvxvg jjgg g nxxdggvgg MN vg5yygggjnnugm NC nxxxgh NC

    • @KelvinKasuga-ij7lg
      @KelvinKasuga-ij7lg 6 месяцев назад

      Amen

    • @ThadeiAndrea
      @ThadeiAndrea 4 месяца назад

      Amina

  • @christinamwakibolwa3000
    @christinamwakibolwa3000 5 лет назад +5

    Nimekosa ee Baba nihurumie asanteni waimbaji mnatusaidia kubadilisha maisha yetu kwa kupitia kwenye uimbaji

  • @teddykaeni45
    @teddykaeni45 4 года назад +4

    Hakika mimi Ni mwenye dhambi ewe mwenyezi mungu naomba unihurumie

  • @elizabethkeya828
    @elizabethkeya828 6 лет назад +7

    Mimi ni mtenda dhambi baba niurumie

  • @wardawarda3427
    @wardawarda3427 4 года назад +9

    nimekosa baba nihurumie mie na nchi yangu ndugu jamaa na jirani tuhurumie na CORONA VIRUS Ameen

  • @carolinaadolf6955
    @carolinaadolf6955 Год назад +4

    Nihurumie Baba Nimekosa🙏😔
    2023 march

  • @robert.maganya1051
    @robert.maganya1051 5 лет назад +8

    Amina utuhurumie , bwana awabariki waimbaji nasi tumeguswa na nyimbo hiii tunahitaji kutubu dhambi zetu na wakati ndio huu krstu utuhurumie

  • @RoseKachecheba-jj2xz
    @RoseKachecheba-jj2xz 10 месяцев назад +5

    Hakika wimbo huu unanibariki sana shukrani kwa mtunzi,pia unanikumbusha kuwa mm ni mkosaji nahitaji msamaha wa mungu,

  • @paschalmasanyiwa5851
    @paschalmasanyiwa5851 7 лет назад +3

    Baraka ziwe kwako mtunzi huu wimbo ni baadhi ya nyimbo chache zenye hisia na mvuto na sio rahisi kuchuja haraka nautabilia kuwa utavuma kwa mda mrefu sana.

  • @maikpiuce3754
    @maikpiuce3754 5 лет назад +3

    Ee mungu sikia kilio changu amina

  • @JustinAganze-l5t
    @JustinAganze-l5t 10 месяцев назад +2

    Mungu aturumiye makosa yethu tusikilize iyi wimbo muzuru tu aca Zambie tuombe musamaha sana kwa mungu kama nili kukoseyaka unirumiye.

  • @blessed9449
    @blessed9449 6 лет назад +19

    Baba Nihurumie nimekosa....what a sad song yet so beautifully sung. Mimi ni mwenya dhambi. Nitakaze Baba niweze kukaa nawe milele. Tuhurumie sisi wana wa dunia hii. Twajinyenyekea mbele yako. Msamaha BABA!

  • @obadiasylvester8509
    @obadiasylvester8509 5 лет назад +4

    Nimekosa babaa ,nmekosaa babaa nihurumie hakikaa ni wimboo ulonigusa kwa namna moja ama nyinginee asantee waimbajii

  • @robertmsilanga7290
    @robertmsilanga7290 4 года назад +1

    Mungu aendelee kuwatia nguvu ili niendelee kuhubiri injili kwa njia ya nyimbo, nyimbo zenu ziko juu Mimi nipo mwanza wapendwa kaika bwana

  • @piterndanamba6287
    @piterndanamba6287 5 лет назад +3

    Wimbohuu nihamasa kubwasana yakutubu makosa yetu nakufngua miyomigumu iliyojaa maasi na maov .baba nimekosa nihurumie

  • @veronicaleonce5006
    @veronicaleonce5006 5 лет назад +2

    Kila naposikiza hii nyimbo nalia kabisa nimekosa baba nimekosa nihurumie

  • @jeaninenzigire
    @jeaninenzigire 9 месяцев назад +2

    Ninapo imba nyimbo iyi nnasikia kuwa karibu na Mungu mubarikiwe

  • @frankkibasa7089
    @frankkibasa7089 4 года назад +1

    Hakika mungu tumekosa tunahitaji huruma yako mungu tuongoze katika kipindi hiki cha mateso tukumbushe ukuu wako mungu

  • @LukasLukaslaudanusinyaki
    @LukasLukaslaudanusinyaki 9 месяцев назад +1

    Hongereni Sana mmetuletea ujumbe mzuri Sana hakika maneno yaliopo kwenye nyimbo hii yanapenya Hadi ndani kwenye moyo hasa ukiwa unajutia dhambi ulizozitenda

  • @hildamkucha2593
    @hildamkucha2593 4 года назад +1

    Nimekosa baba nabado naendelea kukosa nihulumie mimi nyimbo hua hachokeki kusikika kwenye masikio yangu barikiweni sana waimbaji mungu azidi kuwainua nakuwap kibali kila uchao

  • @stadiakipangula5980
    @stadiakipangula5980 5 лет назад +28

    mwalm ALOYCE Goden kipangula pamoja na wanakwaya wote wa chang'ombe Mungu awabariki sana kwa uinjilishaji huu..katka nyimbo mnaokoa roho za watu wengi

  • @remigiousmuganga6188
    @remigiousmuganga6188 3 года назад +4

    Huu wimbo umeniliza sana kwa hali niliyonayo kwa sasa na familia yangu na ukoo kwa ujumla,
    Kupoteza ndugu 4kwenye Familia ndani ya mwezi mmoja.

  • @vestinaneema5008
    @vestinaneema5008 6 лет назад +4

    Nimeyaona yasiyifaa,nimesikia yasiyo nimekosa Bwana nihurumie

  • @tarisilakimariokimariotari4661
    @tarisilakimariokimariotari4661 2 года назад +9

    Nimemkumbaka raisi wangu john pombe magufuli lala mahali pema baba

  • @gracelwanba5404
    @gracelwanba5404 5 лет назад +2

    Huu wimbo u natufundisha kuishi maisha ya kumpendeza mungu lkn tumrudie mungu atatusamehe.

  • @petermeliyo4404
    @petermeliyo4404 4 года назад +1

    Yesu wangu tumekosa inginge taifa letu na ndugu zetu kWa ugonjwa wa corona na dunia nzima .Amina

  • @rodgersbosco575
    @rodgersbosco575 4 года назад +3

    Nimekosa baba nihurumie. very nice song mpaka nalia jameni

  • @anthonymsofemsofe9646
    @anthonymsofemsofe9646 4 года назад +1

    Daaaa nyimbo inanibariki sanaa mpaka hisia za machozi zanijia hongereni kwa uinjilishaji kwa njia ya nyimbo

  • @leoncesarwat8878
    @leoncesarwat8878 6 лет назад +35

    ukikosa jaribu kusema nisamehe ewe binadamu mwenzangu kama jinsi wimbo inavyojieleza amen.

  • @patrickmukambilwa584
    @patrickmukambilwa584 6 лет назад +2

    Nimekosa babanimekosa kwa mawazo nakwamatendo nakuomba uni urumie miminimkosefu naombunijalie neema unijalie mapendo miminimkesefu baba uni urumie

  • @justinashayo3743
    @justinashayo3743 3 года назад +1

    Mungu baba naomba unihurumie mimi na familia yangu. Nabarikiwa sana na huu wimbo

  • @mittialloyce9382
    @mittialloyce9382 4 года назад +1

    ,,,ni nzuri hata ktk ibada tungekuwa kama hivi....!.Juu juu zaiiidi!!!

  • @leogardmbisa3767
    @leogardmbisa3767 7 лет назад +2

    nimekosa yesu nihurumie na kunitasa dhambi zangu zote baba na family yangu pia tuhurumie bwana yesu

  • @agnettaogoma6676
    @agnettaogoma6676 2 года назад +23

    Am proud to be a catholic😍😍

  • @lucyfweni1161
    @lucyfweni1161 7 лет назад +7

    Nimekosa baba, nimekosa Mimi nihurumie . barikiwa sana waimbaji kwa kazi nzuri ya mungu

  • @zephaniasikujua4200
    @zephaniasikujua4200 5 лет назад +3

    Hakika baba tumekosa tuhurumie,maana wewe ndo kimbilio letu,tumsifu yesu kristu.

  • @blaisebahatidile.officiel
    @blaisebahatidile.officiel 9 месяцев назад +1

    Hiii nyimbo natosha machozi nikiziimba , Asante Mungu nihurumie kabisa

  • @floramnzava4977
    @floramnzava4977 6 лет назад +1

    Nimekosa nimekosa baba nihurumie nimetenda yasiyofaa Baba nihurumie
    Nimebarikiwa Sana na wimbo huu mbarikiwe waimbaji na mtunzi

  • @eripidiussarvator659
    @eripidiussarvator659 3 года назад +2

    nimekosa nihurumie mungu tuhurumie sisi wote bina damu tumekosa sana tuhurumie na utuongize ww

  • @paschalluwanda1364
    @paschalluwanda1364 6 лет назад +34

    Ni wimbo wenye ujumbe ulioletwa kwetu kwa njia halisia ya mtu aliyekosa, waimbaji wamevaa vazi la mtu anayejutia makosa yake. Umenigusa sana

  • @LeylaMatara-ug4yq
    @LeylaMatara-ug4yq Год назад +2

    Wimbo mzuri sana ninausikiliza kila wakati. Hakika unanifarijii sana. Mwenyezi mungu bariki wanakwaya wote

  • @chepkoechjoyce4530
    @chepkoechjoyce4530 5 лет назад +9

    am proud being a Catholic,,, very good songs praise be to cheptalel forever,,,, really touching,am humble when singing🙏🙏🙏

  • @VeronicaBango
    @VeronicaBango Месяц назад +1

    Asanteni sana , waimbaji wote wa huu wimbo Mungu awazidishie,

  • @petermeliyo4404
    @petermeliyo4404 4 года назад +1

    Yesu wangu nimekosa Sana katka maisha yangu ya kiroho na ya mwili yesu nihurumia

  • @MnaiThebigname-w4e
    @MnaiThebigname-w4e 11 дней назад

    Baba wa binguni tubariki sisi wanao tuwe na amani mioyoni mwetu kwakuwa sofa na utukufu ni wako ata mile Amina

  • @petertesha6401
    @petertesha6401 5 лет назад +2

    Nimekosa EE MUNGU WANGU kwa mawazo kwa maneno na matendo. Ee Mungu wangu naomba toba ya kwel kupitia wimbo huu.

  • @kipropmesh592
    @kipropmesh592 3 года назад +3

    Nimekosa baba, kwa mawazo, kwa maneno, kwa vitendo Na kwa kutotimiza wajibu 😢😢ninaomba msamaha baba, utusamehe Na utuhurumie ee bwana

    • @RenifridaNgumbi
      @RenifridaNgumbi 4 месяца назад

      Yani kuna vitu napitia wakati huu mungu aniguse 😢😢😢

  • @rosaliamusila3812
    @rosaliamusila3812 Год назад +5

    Proud catholic

  • @regnaldmarco6696
    @regnaldmarco6696 3 года назад +1

    Baba nimekosea mm nakuomba unihurumie mm kwani Ndie mkosaji ninatubu makosa yangu nihurumie Ee baba

  • @norbertpaul1056
    @norbertpaul1056 6 лет назад +21

    Mungu atuhurumie, maana uovu ni mwingi. Tuombe toba ya kweli kwa Mungu, na reconciliation njema dhidi yetu.

  • @henureckemmanuel8469
    @henureckemmanuel8469 4 года назад +2

    Nimekosa nimekosa baba nimekosa nihurumie moyo wangu unauma

  • @josephinemecky9278
    @josephinemecky9278 5 лет назад +1

    Mimi ni mkosaji ila yupo baba yng wa rehema nihurumie Mungu wng naomba rehema yako Baba yng

  • @catherinerori5330
    @catherinerori5330 4 года назад +2

    Tuombe msamaha kwa wale tumekosea, tuwasamehee na wewe wale wametukosea na tumwombe Mungu ili aweze kutuhurumia

  • @cheochajuu6161
    @cheochajuu6161 6 лет назад +2

    _Baba nimekosa nimekosa nimekosa sana naomba unihurumie😫_

  • @sapphyjohhny7929
    @sapphyjohhny7929 5 лет назад +2

    me nmtenda dhambi, nakukosea kW namna moja au nyingine naomba niurumie baba

  • @simonmwangi1057
    @simonmwangi1057 5 лет назад +1

    Naomba pia nihurumiwe nimevuruga moyo za watu Mara nikawakosea wengi naomba wanisamehe juu kwa kweli dunia duara

  • @GabrielSiluyele
    @GabrielSiluyele Месяц назад

    MAY IT BE THE WILL OF THE LORD OUR GOD THAT YOU STAY BLESSED ALWAYS AS YOU CHANG'OMBE CATHOLIC SINGERS CONTINUE ON THE PATH OF HOLY EKLESIA KATOLIKA TRADITIONS. From Catholic family of Mwalimu Gabriel Siluyele Mushota foundation under Stella Maris Parish of Mpulungu District Northern Province of Zambia at Kapata Village. Currently in Copperbelt.

  • @gladyscherono1445
    @gladyscherono1445 Год назад +1

    Mungu nihurumie wewe mwenye huruma nyingi Mimi mkosaji sana

  • @amedeuslyimo2315
    @amedeuslyimo2315 4 года назад +2

    Nimekosa baba nisameehee 🙏 Kama unaamini MUNGU anasamehe na kWa Imani uuh wimbo unakubariki zaidi twende sawaa.

  • @flowerkimario3447
    @flowerkimario3447 6 лет назад +2

    Wimbo mzuri baba nmekosa naomba nhurumie mm mkosefu

  • @blandinakimbe8910
    @blandinakimbe8910 2 месяца назад +1

    Nimekosa Baba nihurumie ninaleta familia kwako ninatubu,

  • @theodorachaki5174
    @theodorachaki5174 9 месяцев назад +2

    Nimekosa baba nihurumie mbarikiwe

  • @catherinejohn9730
    @catherinejohn9730 2 года назад +6

    This song blesses me..Lord make our hearts soft to love you more and more each day..we have sinned oh Lord and fell short of your glory ...Nimekosa Baba.....

  • @thomasondabu6884
    @thomasondabu6884 6 лет назад +4

    Kitubio chema baada ya kuusikiza wimbo wenu, mungu anapotusamehe kila tuombapo toba awakumbuke nyote pia, asanteni.

    • @thomasondabu6884
      @thomasondabu6884 6 лет назад

      Pia sisi wakenya na wote ulimwenguni tumepokea msamaha was dhambi kupitia kwa ombi lenu

  • @eunicegerminus4964
    @eunicegerminus4964 4 года назад +2

    Nimekukimbilia ww nicabike milele nihurumie mungu mm ni mwenye dhambi nisamehe mungu Wang

  • @erickimathias4253
    @erickimathias4253 3 года назад +7

    Kila akosaye yapaswa kuomba msamaha

  • @robert.maganya1051
    @robert.maganya1051 5 лет назад +3

    Bwana utusamehe sisi tumetenda dhambi utuhurumie, Mimi mwana mpotevu nimerudi Baba nihurumie

  • @kipkemboibarno1661
    @kipkemboibarno1661 6 лет назад +2

    kwa ajili ya mateso makali ya bwana wetu yesu kristo hutuhurumie sisi na dunia nzima

  • @charlesithoka7978
    @charlesithoka7978 6 лет назад +2

    Nimekosa sana mungu wangu, Mimi ni mwenye dhambi nihurumie.

    • @ezekielmayumba8208
      @ezekielmayumba8208 6 лет назад

      Ni muhimu binadamu kukiri makosa na kuomba huruma yake Mungu kila siku, kwa kuwa tu wadhaifu mbele zake.

  • @monicachristopher5134
    @monicachristopher5134 6 лет назад +3

    ninakiri kweri nimekosa baba ni hurumie nimeachana namambo ya dunia nimerud kwako

  • @kokusimakaiza994
    @kokusimakaiza994 6 лет назад +2

    Wimbo mzuri sana Nimekosa Baba Nihurumie kwa kipindi hiki cha toba ili niweze kufufuka pamoja na wewe.

  • @FidelisKilawe
    @FidelisKilawe 6 месяцев назад

    Ee MWENYEZI MUNGU sikia maombi yangu AMEN.

  • @IreneLeonard-tn5yq
    @IreneLeonard-tn5yq 6 месяцев назад

    Nimesema yasiyofaa na kuyatenda yasiyofaa nimekosa baba nihurumie naileta na familia yangu ninatubu kwaajili yao nihurumie Eeh Mungu wangu😭😭😭😭🙌🙌

    • @AloyceKipangula
      @AloyceKipangula  6 месяцев назад +1

      Asante Sana Irene Endelea kutufuatilia na Kuniombea Ili nitunge nyimbo nyingine kwa Sifa na utukufu wa Mungu

    • @IreneLeonard-tn5yq
      @IreneLeonard-tn5yq 6 месяцев назад

      @@AloyceKipangula amina mtumishi wa Mungu na utendewe kama unenavyo

  • @evanatheonly6965
    @evanatheonly6965 5 лет назад +2

    Nihurumie mungu, mimi ni mwenye dhambi

  • @gracejoel4145
    @gracejoel4145 3 года назад +2

    Nimekosa nimekosaa nimekosa baba nihurumie🙏🙏😭😭

  • @nyangimarwa8023
    @nyangimarwa8023 5 лет назад +2

    Bwana nimekosa sana naomba unihurumie Mimi na familia Yangu pamoja na wakristo wenzagu

  • @ElizabethKanini-m6e
    @ElizabethKanini-m6e Месяц назад

    Hakika mungu Mimi ni mwenye dhambi nihurumie mbarikiwe wote

  • @RemyMNgabo
    @RemyMNgabo 3 года назад

    Mungu azidi kuawapatiya nguvu kwa fundisho lenu katika wimbo, asante sana from Uvira DRC

  • @paulborantow5556
    @paulborantow5556 Год назад +4

    What a great song, for a lent season, let's continue praying for each other. God bless you all!!!

  • @IsackAgustino-rz9iz
    @IsackAgustino-rz9iz 6 месяцев назад

    Aminan jamani hakika walio imba wimbo huu mungu awabariki sana huu wimbo umeigusa dunia ya sasa vijana wetu sahivi halinimbaya sana maana ukimwambia kijan sahivi habari yakwenda kanisani swali lake nikwamba kuna warembo kanisan jaman mungu atusamehe sana sisi vijana pia atusaidie amina

  • @adamfimbo5171
    @adamfimbo5171 5 лет назад +2

    Tumsifu yesu Kristo Wimbo huu umenigusa sana wajuasisi wanadamu niwakosaji

  • @annaanorld7262
    @annaanorld7262 5 лет назад +2

    Nihurumie dady nihumie kweli tunapo kosa tujinyenyekeze kwa baba atuhurumie

  • @edinavedastus2619
    @edinavedastus2619 6 лет назад +2

    asate mungu kwa huruma ako, niurumie

  • @THeresiadomisian
    @THeresiadomisian 3 месяца назад +1

    Eeh mungu nimekosa nihirimie.

  • @ernestmwanalinze2612
    @ernestmwanalinze2612 3 года назад

    Nimekosa Baba nimekosa mimi nihurumie,nimkosefu usiku na mchana nimeacha njia zako na nihurumie Bwana..nahitaji kurudi kwako Baba lakini naanguka kila nikitaka kusimama nihurumie

  • @rosechepngetich4969
    @rosechepngetich4969 2 года назад +4

    I love the song so much its so touching..........and its aprayer at the same time .the composer and choir members at large be blessed always .

  • @veromugo2034
    @veromugo2034 6 лет назад +1

    Nimekosa,nikosa,nikosa Baba,Nimekosa nihurumie.Nimenyenyekea sana nikiomba msamaha Mungu nisamehe.Vero Mugo kutoka Kenya lakini Sasa hivo niko Qatar

  • @wuodnyauyomakobong7753
    @wuodnyauyomakobong7753 5 лет назад +24

    I truly this song has touched me from today I'm leaving everything I have done

    • @MnHmasa-df9fb
      @MnHmasa-df9fb 4 года назад +1

      Wimbo bora, kwakutubu madhambi. Mungu awabariki

    • @aminamaulid3227
      @aminamaulid3227 4 года назад +1

      Hakika ni wimbo unaotukumbusha tuache dhambi nakutubu mbele za mungu

  • @eradiuskahamba7825
    @eradiuskahamba7825 7 лет назад +47

    Hakika huu wimbo unanifanya nizidi kuichukia dhambi.

  • @oscarAyukah
    @oscarAyukah Месяц назад

    Nimekosa baba nakuomba msamaha niumbie roho safi na uweke ndani yangu

  • @patrickmukambilwa584
    @patrickmukambilwa584 6 лет назад +2

    Bwana utusame ekwasababutuko wakosefu

  • @emmakifimbo3899
    @emmakifimbo3899 5 лет назад +2

    Huu wimbo unafundisha kuomba msamahaa hakika

  • @paschaeltilas3615
    @paschaeltilas3615 4 года назад

    Dah hakka mungu ni mwingi wa huruma baba naomba huruma yako

  • @emmanuelkipamba8481
    @emmanuelkipamba8481 6 лет назад +35

    kupitia wimbo huu tujifunze kuomba msamaha ili mungu atuhurumie

  • @robertkipkiruimutai4008
    @robertkipkiruimutai4008 4 года назад +1

    Nimekosa nionyeshe njia zako

  • @besumitv8674
    @besumitv8674 6 лет назад +86

    Nautangazia Umma kwamba huu Wimbo umenisaidia sana kuachana na mambo Ya Dunia

    • @AloyceKipangula
      @AloyceKipangula  6 лет назад +8

      Aloyce Goden - Namshukuru mungu kwa kunipa karama ya kutunga wimbo huu ili mungu atukuzwe na sisi wanadamu tutakaswe

    • @besumitv8674
      @besumitv8674 6 лет назад +2

      Aloyce Kipangula hongera sana ndugu yangu kazi nzuri mnoo

    • @besumitv8674
      @besumitv8674 6 лет назад

      Naomba namba yako Mkuu

    • @ritambayan843
      @ritambayan843 6 лет назад +2

      Nimekosa baba kweli nihurumie na nisamehe

    • @kibundapesamadimba6352
      @kibundapesamadimba6352 6 лет назад +3

      Hongera sana mkuu kazi nzuri mno ulitulia sana kutunga wimbo huuu,na waimbaji wameutendea haki kwa kuuimba kwa hisia mpaka mwili unasisimka.

  • @CalmSakura-jr7yy
    @CalmSakura-jr7yy 9 месяцев назад +2

    Hakika sisi tuwakosaji kila wakati kwa mungu baba tumuombe msamaha tuilinde imani takatifu ya kanisa katoriki 5:24 5:27

  • @lidianemarie1921
    @lidianemarie1921 6 лет назад +2

    Nime kosa baba nihurumie najuwa me ni mwanadamu sikamiliki Mbele ya usoWako.