Ahsante sana kwa historia hii nzuri, ubarikiwe mno naimani vizazi vya sasa na vijavyo vitaendelea kupata historia yake namna alivyomcha Mungu.. 👏👏👏👏🙏🙏🙏
Aiseee nimejifunza mengi kumuhusu hatayati Kardinal Rugambwa🙏🙏 Daaah kweli alikuwa na Karama ya pekee. Nimevutiwa na namna aliyoitafuta Imani yake katika umri mdogo wa miaka 9, kweli alikuwa wa pekee saaaana.👏🙏
ASANTENI Sana Kabisa RADIO MBIU kwa kuendelea kutujuza taarifa muhimu Kabisa Za Kanisa, Ama Kwa Hakika baba Askofu ametufafanulia Vema historia YA Mwadhama Kardinali Rugambwa, Mungu azidi kukubariki Dkt. Methodius Kilaini Kwa kutudadavulia historia nzuri
Video mlizoweka kwenye kipindi zinatafakarisha sana na zinasisimua Kiimani, hasa hapo zinapomuonyesha Baba Kardinal enzi za uhai wake wakati anaingia hapo mlangoni Roma 🙏🙏Mungu amuweke mahali pema huko Mbinguni. Hakika alikuwa mcha Mungu 🙏
Barikiwa sana, endelea kutufuatilia kupata muendelezo wa makala hii..
Ahsante sana kwa historia hii nzuri, ubarikiwe mno naimani vizazi vya sasa na vijavyo vitaendelea kupata historia yake namna alivyomcha Mungu.. 👏👏👏👏🙏🙏🙏
Asante baba Askofu kwa historia
Amina 🙏
Aiseee nimejifunza mengi kumuhusu hatayati Kardinal Rugambwa🙏🙏 Daaah kweli alikuwa na Karama ya pekee. Nimevutiwa na namna aliyoitafuta Imani yake katika umri mdogo wa miaka 9, kweli alikuwa wa pekee saaaana.👏🙏
Hakika tuombe Mungu atuongezee imani 🙏
ASANTENI Sana Kabisa RADIO MBIU kwa kuendelea kutujuza taarifa muhimu Kabisa Za Kanisa, Ama Kwa Hakika baba Askofu ametufafanulia Vema historia YA Mwadhama Kardinali Rugambwa, Mungu azidi kukubariki Dkt. Methodius Kilaini Kwa kutudadavulia historia nzuri
Amina ubarikiwe mpendwa 🙏
Good Work Radio Mbiu
Amina 🙏
Heshima kubwa sana Asante Mungu 🙏
Mungu ibariki Tanzania. Mungu ibariki Africa
Asante sana Radio Mbiu ama hakika nimejifunza mengi
Karibu sana 🙏
Video mlizoweka kwenye kipindi zinatafakarisha sana na zinasisimua Kiimani, hasa hapo zinapomuonyesha Baba Kardinal enzi za uhai wake wakati anaingia hapo mlangoni Roma 🙏🙏Mungu amuweke mahali pema huko Mbinguni. Hakika alikuwa mcha Mungu 🙏
Amina tumuombee kwa Mungu amuite katika Artale yake kama Mtakatifu wa kuigwa 🙏
Nice radio mbiu
R.Rugambwa alisomea wapi kominio
Asikof ume nigusa sana
Kwa nn hamumpatii jimbo huyu Askofu, kila wakati Askofu Msaidizi