Amina 🙏 na tumshukuru Mwenyezi Mungu pamoja nawe wajina langu kwa Kazi kubwa iliyotukuka hatimaye sasa uliyempa jina siku ya unafika Tanzania ukitoka kusimikwa kuwa Kardinali nae kwa sasa (Protase Rugambwa) amefuata nyayo zako ni kardinali Ahimidiwe Mungu 🙏
Asante kwa kutupa historia hii nzuri. Keep it up Erick endelee kutupa historia mbali mbali hasa za kanisa tuweze kujifunza mengi na kukuza imani yetu. Amina
Hakika uwa sichoki kusoma historia ya Mwadhama Cardinal Rugambwa. Ni historia nzuri na yenye kueleza mengi hasa kiimani. Katika udogo wangu sikufanikiwa kumuona Lkn Kwa kusoma nimejifunza kuwa Alikumwa mnyenyekevu na alimpenda sana Mama Bikira Maria na alikufa siku ya Bikira Maria. Natamani sana kupata japo video moja yenye sauti yake akiongea mwenyewe. Hii itatimiza faraja ya moyo wangu. Apumzike Kwa Amani Baba yetu wa Imani Lauriano Cardinal Rugambwa.
Naomba yeyote anayeweza kunisaidia kupata video yoyote.. Hasa ile documentary ya Baba Mt. Yohane Paul ll alipokuja Tz... Kwa gharama yoyote tafadhari.. 0757593232
Naomba yeyote anayeweza kunisaidia kupata video yoyote.. Hasa ile documentary ya Baba Mt. Yohane Paul ll alipokuja Tz... Kwa gharama yoyote tafadhari.. 0757593232
Amina 🙏 na tumshukuru Mwenyezi Mungu pamoja nawe wajina langu kwa Kazi kubwa iliyotukuka hatimaye sasa uliyempa jina siku ya unafika Tanzania ukitoka kusimikwa kuwa Kardinali nae kwa sasa (Protase Rugambwa) amefuata nyayo zako ni kardinali
Ahimidiwe Mungu 🙏
Pumzika kwa Baba Cardinal Rugambwa Mwenyezi Mungu akulaze mahala pema peponi.....Amina
Hakika mungu ampe neema tele na uzima wa milele Amina🙏🙏
Amina sana. Nashukuru kwa historia hiyo
Asante kwa kutupa historia hii nzuri. Keep it up Erick endelee kutupa historia mbali mbali hasa za kanisa tuweze kujifunza mengi na kukuza imani yetu. Amina
Asante sana kwa historia hii nzuri, Mungu awabariki Radio Maria Tanzania. Kwaresma njema.
Mbarikiwe sanaaa
Hakika uwa sichoki kusoma historia ya Mwadhama Cardinal Rugambwa. Ni historia nzuri na yenye kueleza mengi hasa kiimani.
Katika udogo wangu sikufanikiwa kumuona Lkn Kwa kusoma nimejifunza kuwa Alikumwa mnyenyekevu na alimpenda sana Mama Bikira Maria na alikufa siku ya Bikira Maria.
Natamani sana kupata japo video moja yenye sauti yake akiongea mwenyewe. Hii itatimiza faraja ya moyo wangu.
Apumzike Kwa Amani Baba yetu wa Imani Lauriano Cardinal Rugambwa.
Naomba yeyote anayeweza kunisaidia kupata video yoyote.. Hasa ile documentary ya Baba Mt. Yohane Paul ll alipokuja Tz... Kwa gharama yoyote tafadhari..
0757593232
Really Life Story
Amen
Huu ni ukurasa mzuri wa kupata mambo mazuri ya Kikanisa. Usikubali kuwa mgeni kwa mambo ya Kanisa linalokuhusu
Amina
Good work
Hallelujah
4:10 pongez kwako popote ulip
RIP MUAGAMA KARIDINARI LUGAMBWA
Pumzika kwa amani Kardinali Rugambwa.
Wahaya mko wap amkeni tena jamani
Naomba yeyote anayeweza kunisaidia kupata video yoyote.. Hasa ile documentary ya Baba Mt. Yohane Paul ll alipokuja Tz... Kwa gharama yoyote tafadhari..
0757593232
Amen