MKONO AMPASUA KIBU DENIS|TUMEKULEA USITUSUMBUE NENDA UNAKOTAKA SIMBA HATUKUBEMBELEZI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 1 май 2024
  • KWA HABARI NA MATANGAZO
    TUPIGIE SASA
    0753393036 CALL
    0625466848 WHATSAPP

Комментарии • 120

  • @user-ql2cf1to7f
    @user-ql2cf1to7f Месяц назад +3

    Uko sawa mkono simba kubwa kuliko kibu kibu ye nan Sisi hao ote hatuwependi tunapenda Tim akafie mbele

  • @monicajohn9672
    @monicajohn9672 Месяц назад +2

    Mwache aende, Utopolo mlimuacha Fesali ambae ni zaidi ya Kibu, jiulizeni Yanga ikoje baada ya kuondoka Fesali, wachezaji wana viburi tumuache Kibu aende anakotaka

  • @mcharodavis2182
    @mcharodavis2182 Месяц назад +4

    Saafii sana aendee tu huyo kibu

  • @omarswaleh6082
    @omarswaleh6082 Месяц назад +2

    Hakuna kubembeleza mchezaji atakae aende jina la simba ni kubwa

  • @brightonchedego8100
    @brightonchedego8100 Месяц назад +2

    Sasa hivi hatutaki kusikia lolote lile,Simba ni timu kubwa sana,labda tiwaulize ninyi mnaoleta kelele je,Kibu mpaka sasa katika ligi anamagolia mangapi?!,ametunyanyua sana kwenye viti bila ya goal lolote😢😢,anakimbilia goal la wapinzani akifika analibutua mpira hovyo hovyo kama siyo professional player.
    HEBU MTUACHE KIDOGO KWANZA

  • @shilladickson3852
    @shilladickson3852 Месяц назад +3

    Mm naomba wachezaji wote ambao wanataka kuondoka waondoke kwa hiari ..tena iitishwe rocall waondoke wote tuanze upya

  • @hassanabdala7383
    @hassanabdala7383 Месяц назад +1

    Upo sahihi bro hata team team nzimaa wakitaka kutoka watoke waende wana kwenda Simba ni kubwa kuliko mtu yoyote

  • @burnmotto1876
    @burnmotto1876 Месяц назад +2

    For sure

  • @FadhiliAthuman-yx7rm
    @FadhiliAthuman-yx7rm Месяц назад +1

    Kaka roja mkono umetembea vizuri sana

  • @yakoubaliy7559
    @yakoubaliy7559 Месяц назад +1

    good kaka uko vizuri ❤🎉

  • @kabwangaselemani5228
    @kabwangaselemani5228 Месяц назад

    Uko sawa Kibu sio mchezaji potential yeye ni sawa na maji ya bahari kuwa na kujaa leo anaupiga wa kutosha kesho anaudhi ,kwanza amshukuru Mgunda kwa kumtetea vinginevyo alishakuwa juu ya vigogo acha aondoke aende aendako

  • @akidajulius1581
    @akidajulius1581 Месяц назад +2

    ALIVYO MFUNGA DIARA, Mlimjua kibu nan , leo kibu humjui, da kweli shabiki ni maandazi sna, kama huyu jamaa😂😂

  • @simonzelote5998
    @simonzelote5998 Месяц назад +1

    Kibu Ana nguvu tu ya kukokota mpira Ila akili ya mpira Kama winga Hana Ni hewa pale

  • @josepahatmargwe6504
    @josepahatmargwe6504 Месяц назад +2

    Mimi ni Simba Kibu Aondoke hata Sasa hivi , Poor quality control aende.

  • @jonamnyone8014
    @jonamnyone8014 Месяц назад +2

    Broo umenifurahisha sana. Yaani Mimi nasema hata MO akitaka kusepa asepe tu. Yaani ikifika wakati wa usajili utasikia MO kasusa mara aseme timu inamtia hasara.
    Tena MO akome asirudie kusema Simba inamtia hasara kwani kalazimishwa?? Ni sawa na mtu kuwa na familia halafu unasema familia yako inakutia hasara ati watoto na mkeo wanakula sana. Jikate ishia mbali Simba tutatembeze bakuli na tutapeta tu wakitokea wawekezaji wanaojitambua tutawapa timu. Kila ahadi aliyotoa MO haijatimia. Alisema anajikita kuendeleza miundo mbinu na kuwekeza kwenye Youth team. Nauliza kipi kimetekelezwa. MO wakati wa kusajili anakaa mbali timu usajili wa hovyo ukifanyika baadae anajitokeza na ahadi zake za pre season za Uturuki.
    Wakati Eng. Hersi anasajili majembe ya nguvu na kuwapeleka pre season AVIC Town Simba tunasajili madunduka halafu tunawapeleka pre season Uturuki!!!

  • @user-vh5on8fz8f
    @user-vh5on8fz8f Месяц назад +1

    Kweri acha aeendeee

  • @omarybasho2341
    @omarybasho2341 Месяц назад +2

    Kweli

  • @dotovundame4143
    @dotovundame4143 Месяц назад +1

    Sawa sawa pa1

  • @AyubuMsindo
    @AyubuMsindo Месяц назад +3

    Yaaa aendetu kwanianagori ngap

  • @cesaryaudax6647
    @cesaryaudax6647 Месяц назад

    Kibu hana chochote alichofanya kwa simba, kupokea pass shida, kutoa pass shida, kukaba tabu, kazi kuanguka tu!

  • @rashidissa5887
    @rashidissa5887 Месяц назад

    Aedeeeee. Simba itakuwepo na itaendelea kuwepo

  • @KeziaKaita
    @KeziaKaita Месяц назад

    Ni kweli aondoke madoa madoa ya nn ndani ya simba waondoke kwanza damu changa zipo pale hazichezi mnang,ang,ania wachezaji hao hao na wengine wapo

  • @kwangahudispensary7238
    @kwangahudispensary7238 Месяц назад

    Xakho na banda ,,nawamis sana

  • @mariammbapira645
    @mariammbapira645 Месяц назад +1

    Kweli kabisa upo sahihi nimependa hio imeenda

  • @user-gb1jq9zz1j
    @user-gb1jq9zz1j Месяц назад +1

    Kibu aondoke tena, chapu

  • @user-eo6su2zy8i
    @user-eo6su2zy8i Месяц назад +1

    aondoke tu nguvu nyingi maarifa hamna

  • @JumaKamasa-kl6pz
    @JumaKamasa-kl6pz Месяц назад +1

    Mchane ukweli unaacha saido andok tuu

  • @hssanrubota3891
    @hssanrubota3891 Месяц назад +1

    Kwani ana magoli mangapi ana sisiti ngapi aondoke anakimbiakimbia ovyo hana msaada wowote

  • @NurdinSemhando
    @NurdinSemhando Месяц назад +1

    Wewe ukovizuri ndg yangu.

  • @GodfreyGeorge-kp7qy
    @GodfreyGeorge-kp7qy Месяц назад +1

    Kweli ndugu unafaa sn tushavurugwa anaetaka kwenda aende

  • @Polyn.123
    @Polyn.123 Месяц назад +1

    Mkono kama mkono⚽️kweli kabisa

  • @athmanimkangara9290
    @athmanimkangara9290 Месяц назад +1

    Simba kwanza mchezaji baadaye

  • @VenanceNtakabile
    @VenanceNtakabile Месяц назад +1

    Kibu aondokd Tena haraka sema kweli

  • @rashidihemedi5517
    @rashidihemedi5517 Месяц назад

    Walikuwa wanashangilia Mayele kuondoka Yanga, zamu yenu Makolo😊😊😊😊

    • @monicajohn9672
      @monicajohn9672 Месяц назад

      Mayele alipokua Yanga huwezi kumfananisha na Kibu, Mayele ameitendea haki Yanga na kuwa Mfungaji bora, Kibu Simba amefanya nn?

  • @user-lp4xk7qw3t
    @user-lp4xk7qw3t Месяц назад +1

    kibu kama analeta kibuli wamache aende namchezaji kamaanalinga wakimube mbeleza xanando atawaxu mbuwa xanaata kuwaana linga linga

  • @ausiabdallah9961
    @ausiabdallah9961 Месяц назад +1

    Siyo yeye tu at kama Kuna MWINGINE rughusa tunaipenda Simba yetu,

  • @user-ws8mu5wt7r
    @user-ws8mu5wt7r Месяц назад +1

    Live
    Jamaaa

  • @thehustlerafrica4368
    @thehustlerafrica4368 Месяц назад +1

    Hela kusajiri mchezaji yeyote tunayo wao waondoke tuu,tunatengeneza timu mpya

  • @joshuamwambene2874
    @joshuamwambene2874 Месяц назад +1

    Mimi mpenzi wa Yanga..hata mimi namkataa Kibu Denis siyo chombo ana gundu mechi 22 goli moja 😂😂😂😂

  • @JanethFrancis-nb5pz
    @JanethFrancis-nb5pz Месяц назад

    Anajiona bora ndomana anaringa anataka kuongezwa mshahara😂😂😂

  • @JohnMakao-is9fm
    @JohnMakao-is9fm Месяц назад +2

    Rojasi mkono

  • @rashidissa5887
    @rashidissa5887 Месяц назад

    Warudishe kwenye historia. Akina Haidari Abeid walivyotusaliti miaka ya 70 . Jee, Simba imekufa.

  • @dilludillu2747
    @dilludillu2747 Месяц назад

    Smart

  • @user-ps6wm2qm4f
    @user-ps6wm2qm4f Месяц назад +1

    Kibu aende tu.Milioni mia tano ndefu sana.Aende tu

  • @user-rc6lk2if1k
    @user-rc6lk2if1k Месяц назад

    Simba nguvuuu mojaaaaa

  • @geraldbagole4494
    @geraldbagole4494 Месяц назад

    Kibu usichelewe kwenye Hela nenda.Wewe utaisha Simba itabaki.Alikwepo Mogella,Emmanuel Gabriel,Dua Said,Emmanuel Okwi,Mgossi,Bocco,Kichuwa,Kagera hao wote wametwanga jitu tena wengine njendani.Tumechoka na habari za usajili.Simba timu kubwa,tena wakikutaka mshiko uwe mkubwa!

  • @omarmhamed-sv7dx
    @omarmhamed-sv7dx Месяц назад

    Mbona umechanganyikiwa sana haumezimate kaka nakwa Fesali mlikuanastori nyingii zamuimefika BADO Azam

  • @OneliaLuvanda
    @OneliaLuvanda Месяц назад

    Kwani yeye kasema ni mkubwa kuliko simba jamani wanamtukana bure mtoto wa watu,kwani razima kusaini mkataba,kama hafai sasa unalia nini we shabiki andazi

  • @user-ps2om3fg8x
    @user-ps2om3fg8x Месяц назад +1

    Aende tu

  • @ausiabdallah9961
    @ausiabdallah9961 Месяц назад +1

    Pamoja

  • @AngelaSanga-ie3zw
    @AngelaSanga-ie3zw Месяц назад +2

    Kwel

  • @ausiabdallah9961
    @ausiabdallah9961 Месяц назад +1

    Hata mpira wake wa kubaatisha

  • @user-ww2xd9cg5e
    @user-ww2xd9cg5e Месяц назад

    Kibu ana Lana tena aondokeke kwanza sio mtanzania aondoke hata leo tokaaaaaaaaaaaaaaàà

  • @shabanimzalla7108
    @shabanimzalla7108 Месяц назад

    Uko pamoja nami.

  • @omarybasho2341
    @omarybasho2341 Месяц назад +2

    Aendezake uko

  • @user-jn3nf7uw1w
    @user-jn3nf7uw1w Месяц назад

    Yes hakuna kubembekeza ndo kichapo kila .mechi

  • @BardenBensonMwamfupe-dk3yg
    @BardenBensonMwamfupe-dk3yg Месяц назад

    Kolo bana hawaeleweki

  • @benjaminlaban4402
    @benjaminlaban4402 Месяц назад

    Kijana nakukubali sana hawa wachezaji ndio wanaisaliti simba waende tu

  • @muyongahassan2188
    @muyongahassan2188 Месяц назад

    Tuache ubaguzi wewe kibu kuomba pesa nyingi inakua tatiz lakini chama unaon sawa ndoman africain hatuendelei tunachawiana san tunaon kumsapot mtuvwandani haiwezekn wanje saw

  • @Polyn.123
    @Polyn.123 Месяц назад +1

    Hii fukuto lote liliaza kwa mkono ,,fact

  • @user-gn4cp2vq2y
    @user-gn4cp2vq2y Месяц назад

    Uko sw sn mkono ukweli mtupu huo,....tusiwambembeleze mtu ajuwe wajibu wake yeye mwenyewe

  • @ismailmasoud6001
    @ismailmasoud6001 Месяц назад +4

    Kweli MAKOLO watani MMEVURUGWA.....🤣🤣🤣...🖐️✌️

    • @danielchamoto9376
      @danielchamoto9376 Месяц назад +1

      Na haikuhusu wew maku

    • @ismailmasoud6001
      @ismailmasoud6001 Месяц назад

      @@danielchamoto9376 ....🤣🤣🤣, KOLO hilooo...🖐️✌️

    • @user-gb1jq9zz1j
      @user-gb1jq9zz1j Месяц назад

      Kibu aondoke mambo yakubembeleza mchezaji ndio aya yanatukuta kibu aondoke.

    • @user-bi8hr3nu6g
      @user-bi8hr3nu6g Месяц назад

      Upo vizuli aende mbona fei alienda aende makolo tuwange 9

    • @user-bi8hr3nu6g
      @user-bi8hr3nu6g Месяц назад

      Had upasuke

  • @aminatanzanya7475
    @aminatanzanya7475 Месяц назад

    Kaka umesem kweli aende tuu hata wengine wanaotak kuondk waondke

  • @rashidissa5887
    @rashidissa5887 Месяц назад

    Tukiwataja makocha wa Simba, tafadhali tusimsahau Paul West Gwivaha. Bado nadhani hajafikiwa

  • @KeziaKaita
    @KeziaKaita Месяц назад

    Ni kweli kaka aondoke kibu

  • @jumanakamo5503
    @jumanakamo5503 Месяц назад

    UNAONGEA KIRAHISI KAMA UNA PESA YA KUSAJILI WACHEZAJI. PUMBAVU KABISA

  • @GetrudasamsonSengerema-he7ob
    @GetrudasamsonSengerema-he7ob Месяц назад

    Kamammemchokauta his sisi tutumie mpaka mifupa sisi ndooyanga Africa haaa

  • @user-ip2we5uc7n
    @user-ip2we5uc7n Месяц назад

    Kibu kawasaidia kutofungwa goli nyingi kwa kukaba hamuoni umuhimu wake

  • @user-cp2do9pd5k
    @user-cp2do9pd5k Месяц назад

    Aende pumbavu kabisaaaaaaa kaka uko SAWA kabisaaaaaaa

  • @BACHAATRAVELTOURING
    @BACHAATRAVELTOURING Месяц назад

    Wewee acha zako, kibu anatafuta rizki hakuja hapo kulelewa wala kuchanganya mtu, hata wewe timu sio ya baba yako, wacha kumsimanga kijana, nyinyi wenyewe hamjitambui kuanzia raisi wenu wa heshima mpaka mashabiki wote ovyo tu, hebu jitafuteni jamani

  • @Franccoz
    @Franccoz Месяц назад

    WAONDOKE HAO WACHEZAJI WAZEEE, TUMECHOKA NAO WAENDE TU UTOPOLO

  • @mukhsinmarussu9949
    @mukhsinmarussu9949 Месяц назад

    Kibu milioni 600 anataka kwa uchezaji gn sas acha aende hawezi kw na thamani ya hy hela bhn

  • @VenanceNtakabile
    @VenanceNtakabile Месяц назад

    Sawa mechi gani kibu kaiokoa kupata pointi tatu?

  • @user-vh5on8fz8f
    @user-vh5on8fz8f Месяц назад

    Gerald gwarara mgunda uyooo

  • @benjaminlaban4402
    @benjaminlaban4402 Месяц назад

    yaan mda huu kibu aondoke amejitekenya awashwe tu

  • @shukuruiddi82
    @shukuruiddi82 Месяц назад

    kiukweli wanaotaka kwenda waende tumechoka heri tubaki na kasha tu kuliko kubaki na mamluki, kama aliemtengeneza kibu kaondoka sasa ht alietengenezwa nani bwana asepe

  • @Mgema001
    @Mgema001 Месяц назад

    Eti leo kibu mnamzarau dah..ngoja akiwashe sasa mtaanza kuongea kama mnavyoongea kuhusu kina baleke

  • @AshrafHashim-bl8zw
    @AshrafHashim-bl8zw Месяц назад

    Aende amna kuongea nae yy nanii

  • @user-oz4gz8kq9e
    @user-oz4gz8kq9e Месяц назад

    Bado ujasema mpaka useme

  • @OneliaLuvanda
    @OneliaLuvanda Месяц назад

    Sasa kama hafai wamwache

  • @user-fi5vt9ok9q
    @user-fi5vt9ok9q Месяц назад

    Mwamba Yuko sahihi kabisa anajua

  • @user-bt6ep3yb2h
    @user-bt6ep3yb2h Месяц назад

    Ngoja aje awafunge ndani nje.

  • @thehustlerafrica4368
    @thehustlerafrica4368 Месяц назад

    Simba hatujabeba kombe kweli

  • @mariamCharles-ti6qi
    @mariamCharles-ti6qi Месяц назад

    😂😂😂😂wambie aooo

  • @FolanAlly
    @FolanAlly Месяц назад

    Mbona tailaaaa Japan

  • @HamisRashid-xl4mn
    @HamisRashid-xl4mn Месяц назад

    😅😅😅😅😅😅😅😅😅 tushavurugwa

  • @kudramzee5769
    @kudramzee5769 Месяц назад

    Mlivyokuwa mnashupalia suala la feysal

  • @omarybasho2341
    @omarybasho2341 Месяц назад

    Agende hanalolote guruwetuilo

  • @NurdinSemhando
    @NurdinSemhando Месяц назад

    Uraia tumpe sisi, kisha atusumbue?

  • @MudoeShabani
    @MudoeShabani Месяц назад

    Acheni upuzi kibu anapambana beki zenu ndio chekeche harafu uongozi wenu mabepari nahuyu msemaji wenu anawaropokea vitu ambavo havipo

  • @user-lp4xk7qw3t
    @user-lp4xk7qw3t Месяц назад

    mbona tuliwaacha wakichama namikixoni lakini ximba ilibaki inafanya vizuli

  • @user-xd4lu1xl6c
    @user-xd4lu1xl6c Месяц назад

    Mh kz ipo

  • @alfoncejohn2104
    @alfoncejohn2104 Месяц назад

    MTAJIKATAA BAADAE MGUNDA NAYE MZEE WA KAMATI.MUMTOE NAE MATOLA BONGE LA GWIJI

  • @FRANSKALITUSI4937
    @FRANSKALITUSI4937 Месяц назад

    😂😂😂😂

  • @MuhsinJuma-wo2bg
    @MuhsinJuma-wo2bg Месяц назад

    Ww acha ufala mchezaji amefanya nn mpaka mseme kuma ww

  • @Emili_6
    @Emili_6 Месяц назад

    Kwani huyu ninani mbona tahila

  • @user-bn3yn8uj7p
    @user-bn3yn8uj7p Месяц назад

    Kibu aende aende

  • @abdulikarimmkacha
    @abdulikarimmkacha Месяц назад

    kibu nenda wewe fala tu naukibaki lazima tukuzomee mbwa wewe nende nenda wewe siyo wakwanza unamjua okwi wee

  • @badendavid8456
    @badendavid8456 Месяц назад

    Tulia Kibu tulia tulia tulia

  • @mudhihirugara8845
    @mudhihirugara8845 Месяц назад

    Wewe msemaji akilihuna kibu anasaidia timu uwanjani wewe unaisaidianini simba siumachogadomotu mjinga