Nina miaka 74, naikumbika nyimbo hii.Jamani kweli waimbaji wa siku hizi wangejifunza kutokana na nyinbo kama hizi, sauti, mdundo, maneno, ya kuzua hisia
I first heard of this classic when still in primary school in 1979 through my dads transistor radio.Ever since as i age it has continued to re vibrate always taking me back to my formative years.How time flies
Good music kila kitu kimepangwa kuanzia sauti nidhamu ya uimbaji heshima na BUSARA ya maneno. Siyo kama muziki wa sasa ambao huwezi kusikiliza na familia yako
A road accident occurred...the names of the victims were aired on radio....one of them Zuwena,the love of his life. A girl beautifully created,with good manners,full of love.....where do I get one like her!
Zuwena ama maisha kweli hayarudi nyuma. Sauti nyororo ya marehemu Marijani Rajabu , ALLAH Amrehemu greetings from Adelaide South Australia
Am 54 and I loved this song so much earliely 1980 still a touching song
Where are you now? Good song!
Me nimezaliwa 89 I'll hizi nyimbo no nzuri maneno yk ni matam
Mimi wa 87 lakini washa mdogo wangu hizi ngoma ni noma
Wimbo wenye utamu na wingi wa mawaidha.Kweli mtunzi ni gwiji na mkumbuka mwenda zake ....MDJ Eddy Fondo.VOK.
Hizi ndio zilikua nyimbo za maana kabisa
Wazeee mlikua mnatuandalia mafunzo mema kweli kupitia sanaaa hiliii, ila sio sasa sana ilio jaaa matusi mwaka huuu 2024.
Siku za nyuma kabla Dunia hahijawa gunia,,, timeless music,,,,, 🎷🎵🎺
, Be
I'm here in Mombasa listening to the great musician of the days when I was a boy listening to VOK . Zuwena love songs
Mkongwe,Gwiji wa muziki wa enzi wa muziki mbashara hayati Marijan Shabani...muziki wenye ujumbe
Nina miaka 74, naikumbika nyimbo hii.Jamani kweli waimbaji wa siku hizi wangejifunza kutokana na nyinbo kama hizi, sauti, mdundo, maneno, ya kuzua hisia
VIJANA wa sasa ndio wanaoleta uhanisi 😢😢😢 VIJANA wengi wameharibika kuliko zamani 😢😢😢😢
😅😅😅😅😅
jabali la mziki nchiniTanzania wakati huo. kweli kila wakati na mambo yake.
Hakika ❤Mbosso reminds me so much of Marijan.Tanzania music deserves an Accolade 🎉
Nyimbo bora Duniani hizi, Watoto wa2000 wakiziimba wanaziharibu sana daa
Hii nyimbo naomba iruduwe na daimond ❤❤❤❤
Sasa diamond kafanya zuwena ingine tu hata haina ule ujumbe wak ramazan rajaab
An Iconic figure in popular dance music in Tanzania who seems to have been forgotten by the current generation!!
Absolutely
Huu ndio muziki sasa. RlP Jabali
I first heard of this classic when still in primary school in 1979 through my dads transistor radio.Ever since as i age it has continued to re vibrate always taking me back to my formative years.How time flies
Same to l see
The same years brother.
Alipenda sana ZUENA, JE WEWE WAMPENDA WAKO KIASI GANI, ELEZA WAZI
Na kumbuka Officers mess Oyeter Bay Masaki Dar Es Salaam
❤ the music cool and educative RIP Rajabu
Nice songo and educative
Sichoki 😢
Nostalgic eeh!
God Gracious....a lifetime evangelism by the legendary Marijan Rajab....
The Lion has died,The Lion still lives.....
Daa nakumbuka enzi hizo nipo kijijini kwetu kasokola mpanda 1983 aise mpka machozi yanitoka
Awesome ❤️🇰🇪.
Kila siku lazima niskze hii ngoma aseeeeh,,Marijani alikua balaa
Hizo midomo ya bata Na hiyo Sauti ya Marijani
Vijana Wa Sasa mtakoma I say
Hapo zama za kale paliishi mziki.
Zilikwa kumbusho mzuri 1974
Ya kale ni Dhahabu
Siwezi kujizuia. Nakumbuka enxi hizo vizuri sana
Vijana wa sasa hawana kitu kipya, lazima waige vya wazee
Daaa, ujumbe maridadi.
Good music kila kitu kimepangwa kuanzia sauti nidhamu ya uimbaji heshima na BUSARA ya maneno. Siyo kama muziki wa sasa ambao huwezi kusikiliza na familia yako
Kumbe yule fala alikopi huku duh!
Nyimbo nzzuri naipenda sana vjui ni hii sauti au maneno anywayni nyimbo tamu
Rajab music have total test in heart
Nameelewa
Mbona hazifanani jmn
Tatuta Mr Paul song zuwena
Shingo ya upanga
Good old days
Nice
zakale nizahabu
Nostalgic memory
Good memory
Sijui kama haya yanakumbukwa mashiri
Nostalgia
Sure music
Marjan rajabu
Wasanii wa kizazi hiki wapigwe marufuku kupiga nyimbo za wazee wetu maana wanaziharibu.
Nakweli wanazi shusha haazi unatakiwa ziheshimiwe ili kuendelea kuchukua nafasi yake
Keeling kabisa
Kweli kabisa wanaharibu sana
Cyo kweli aliyefny cover hii track ni mr paul na sioni kibaya alicho hrbu kweny ile track
Nakuunga mkono ndugu. Huu wimbo umeimbwa na wasanii ambao wameuharibu.
2024 am here
❤
HII PICHA NI YA NANI??
😊😅😅
M1😊😊😊😊
A road accident occurred...the names of the victims were aired on radio....one of them Zuwena,the love of his life.
A girl beautifully created,with good manners,full of love.....where do I get one like her!
✓%